Gubu La Mume - Vijana Jazz Band
7:26
Mawazo No. 2 -Tanzania Stars
6:24
7 жыл бұрын
Kaka Yangu - Nuta Jazz Band
3:29
7 жыл бұрын
Halima  - Nuta Jazz Band
5:15
7 жыл бұрын
Mawazo No. 1 -   Tanzania Stars
4:42
7 жыл бұрын
Mado   Atomic Jazz Band
5:30
7 жыл бұрын
Kilimo   Juwata Jazz Band
6:25
7 жыл бұрын
Jamila   Tanzania Stars
6:35
7 жыл бұрын
Dada Rehema   Nuta Jazz Band
4:57
7 жыл бұрын
Dada Mwajuma   Nuta Jazz Band
4:51
7 жыл бұрын
Dada Helena   Taborah Jazz Band
5:32
7 жыл бұрын
Dada   Nuta Jazz Band
3:18
7 жыл бұрын
Blandina   Jamhuri Jazz Band
4:58
7 жыл бұрын
Anna   Juwata Jazz Band
8:18
7 жыл бұрын
Aminani   Orchestre Safari Sound
5:51
7 жыл бұрын
Shime Shime   Mwenga Jazz Band
7:48
8 жыл бұрын
Rabana   Ottu Jazz Band
8:05
8 жыл бұрын
Mary   Juma Kilaza & Cuban Marimba
5:54
Mama Kilio   Orchestra Maquis
8:51
8 жыл бұрын
Kupatwa Kwa Mwezi   Mwenga Jazz Band
7:34
Huba   Orchestra Maquis Original
8:01
8 жыл бұрын
Binadanu Hatosheki   Orchestra Makassy
6:29
Пікірлер
@marisangaelifadhili3166
@marisangaelifadhili3166 Күн бұрын
Very nice.❤❤
@patrickmsimbe2370
@patrickmsimbe2370 Күн бұрын
Huu wimbo Kara ya maji ninaukubari sana , hasa mpangilio wa Sauti ya Max Bushoke, na Hamis Juma (Maalim Kinyasi) na Max Bushoke,, na Drums zimepigwa vizuri na Chipembele Said
@jumammbaga9974
@jumammbaga9974 2 күн бұрын
Aisee Namkumbuka Marehemu baba
@sangomamourice3539
@sangomamourice3539 3 күн бұрын
Juwata hatimaye msondo asanteni kwa maisha ya waimbaji kitu pekee tulichobakiza ni kusikiliza tungo hizi kujisahaulisha kodi za mama samia
@GeoffreyNgonda-bx8me
@GeoffreyNgonda-bx8me 3 күн бұрын
Fitina zilianza long time
@GeoffreyNgonda-bx8me
@GeoffreyNgonda-bx8me 4 күн бұрын
Zamani sio Leo tungo mubashalaah
@GeoffreyNgonda-bx8me
@GeoffreyNgonda-bx8me 4 күн бұрын
Zamani sio Leo Yani natamani kulima
@mchelumohamed2976
@mchelumohamed2976 4 күн бұрын
Mali adimu sana hii
@danielmsuya720
@danielmsuya720 4 күн бұрын
Ni wimbo nzuri sana
@alexshaka1102
@alexshaka1102 5 күн бұрын
Hayo ndo maudhui, ama kweli, aiseee!!!!
@IssaMrisho-o9c
@IssaMrisho-o9c 6 күн бұрын
Mbaraka mushee
@MashavuDonatus
@MashavuDonatus 6 күн бұрын
Vijana jaz Bujumbura
@Dj_Alvin.
@Dj_Alvin. 6 күн бұрын
2024😂 nani ako?
@sketchbabu
@sketchbabu 7 күн бұрын
Miaka ya utoto wangu baba akiwa Bado yu hai.
@NdigaWilkinson-rm4pq
@NdigaWilkinson-rm4pq 7 күн бұрын
Jameni msondo juwata wameacha urithi mkubwa katika nyiimbo hizi na nyingine . Lakini vijana wa leo Wana shindwa kufata nyayo za watangulizi wao.
@humphreyagrey7940
@humphreyagrey7940 10 күн бұрын
Mziki huu utadumu milele, walikuwa wanatunga nyimbo kweli kweli sauti,nzuri zilizopangwa,huwa napata Raha sana kusikiliza ngoma zao Hawa jamaa@2024
@alisheemaka1884
@alisheemaka1884 10 күн бұрын
Nilikuwa mdogo mjini Muheza Tanzania mkoa wa Tanga.
@YahyaMbega
@YahyaMbega 11 күн бұрын
USIKOSE KUMWITA TOMATOMA NA MWANAEDI EZI ZA KINA KASALOO
@YahyaMbega
@YahyaMbega 11 күн бұрын
ASANTE SANA WEWE UNATISHA KWA HIZI ZAKALE NIPO KIDATU MKAMBA MR KILOMBELO
@YahyaMbega
@YahyaMbega 11 күн бұрын
ÀSANTE JUMA MRISHO UNGA WA PULENDA MBOGA DAGA
@philipachikindubi5128
@philipachikindubi5128 11 күн бұрын
real music
@sangomamourice3539
@sangomamourice3539 13 күн бұрын
Na kweli penzi halina umaarufu
@MwedadiMwedamsangi
@MwedadiMwedamsangi 13 күн бұрын
Unanikumbusha mbali sana
@allyzakaria6902
@allyzakaria6902 13 күн бұрын
Chua ngoma ...Marehemu Michael Vicent kwenye Solo Rithym Churchill si mch
@HarunaOmari-e8o
@HarunaOmari-e8o 14 күн бұрын
Solo Michael Vicent ridhim Ezekiel Mazanda waimbaji jumaMr 0:30 isho 0:30
@kamanyolabilajasho3833
@kamanyolabilajasho3833 14 күн бұрын
Kuna mtu amenitibua kweli nikaukumbuka wimbo huu enzi za ujana wetu..nikaweka nia kuutafuta nimtumie ujumbe uliomo ajifunze mali ya wengine si yakuringia kweli! Eeh! Jamani waimbaji wa zamani walikuwa na ujumbe katika jamii...RIP.
@veebway1
@veebway1 15 күн бұрын
Hii nyimbo ilikuwa ukiisikia asubuhi na bado upo nyumbani ujuwe tayari ushachelewa skuli mikwaju mlangoni inakusubiri
@erastosanga1694
@erastosanga1694 16 күн бұрын
Aaa police mulikuwa munajua sana hadi basi
@mbarakamwakivuma2858
@mbarakamwakivuma2858 16 күн бұрын
old is gold
@machaku
@machaku 17 күн бұрын
Old is gold
@sangomamourice3539
@sangomamourice3539 17 күн бұрын
Asante sana vijana jazz hakika maisha ni nafasi
@philipshija3651
@philipshija3651 17 күн бұрын
Hii nyimbo inanikumbusha tukio fulani la kifo lilitokea mjini kwetu Mwanza nikiwa nasoma Lake Secondary School kuna Mwanamke mmoja baada ya kufiwa na Mumewe aliekua Manager wa kampuni fulani,alidhulumiwa kila kitu na ndugu wa mumewe. Ilikua gumzo kuubwa saana Mwanza mjini miaka ile ya 1980s
@hebelmlagala5847
@hebelmlagala5847 17 күн бұрын
Huu wimbo ni Part 3 ya wimbo mzee said. Part 2 ni Masudi amekuwa jambazi
@dotogede
@dotogede 19 күн бұрын
Sina la kusema nipo la sita 1979 msata shule ya msingi
@KubojaMashsuri
@KubojaMashsuri 20 күн бұрын
Good 👍
@EmmanuelCharles-d6x
@EmmanuelCharles-d6x 21 күн бұрын
Inakumbusha wakati maqis du Zaire
@EmmanuelCharles-d6x
@EmmanuelCharles-d6x 21 күн бұрын
Vijana wa sasa wanatamani vitu vyetu huu ni ujumbe 🎉🎉🎉🎉🎉
@EmmanuelCharles-d6x
@EmmanuelCharles-d6x 21 күн бұрын
Nakumbuka sana 😂😂😂😂
@djsjefrolet
@djsjefrolet 21 күн бұрын
Loooove this! Anybody has a good recording of the album?
@jumakiduka4625
@jumakiduka4625 22 күн бұрын
It gives me memories of youth
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 22 күн бұрын
Mwenda pole hajikwai,nitasafiri Kila pande Ili nifanikiwe! Napata Raha zaidi magitaa na hizo saxophone vinapojibizana💯🔊🎶👏
@amossambu3053
@amossambu3053 22 күн бұрын
Muziki wa adabu huu. Memories of childhood laid bear
@suzanarupia6484
@suzanarupia6484 23 күн бұрын
Nyimbo hizo nakumbuka DDC tukicheza na zina mahana zake kweli hujana haurudi one lv
@ombwayoodiero2806
@ombwayoodiero2806 23 күн бұрын
Zilipendua bado tuko bwanae kumbuka Tanzania Police na wimbo yao ya Leo na tuma salamu zangu nyinyi mlio mbali na mimi.
@alisabatia8612
@alisabatia8612 24 күн бұрын
Mothers spoil their last borne children and make them miserable and unsuccessful.
@simonmanase3263
@simonmanase3263 24 күн бұрын
Idhaa ya Biashara RTD 😭😭😭
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i 24 күн бұрын
Nazipenda sana
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i 24 күн бұрын
Mzee Makassy bado yupo?
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i 24 күн бұрын
Unanikumbusha mbali sana.
@PrinceKela
@PrinceKela 25 күн бұрын
Enzi zetu miziki iliyovuma