HAIJAWAHI KUTOKEA ZANZIBAR
20:52
9 сағат бұрын
FADHILA ZA MWEZI WA MUHARAAM
49:42
14 күн бұрын
HII NDIO TIBA YA SHEIKH MARDHIYYAH
29:45
RAIS MWINYI AZIDI KUNG`ARA
1:12
28 күн бұрын
RAIS MWINYI ASHIRIKI KIKAO NEC
3:17
MASIKU BORA / SHEIKH FARID HADI
56:05
Пікірлер
@AminaMwinyi-jc8bt
@AminaMwinyi-jc8bt 50 минут бұрын
Mashallah
@salamabakari8384
@salamabakari8384 2 сағат бұрын
Kweli ustadh
@salamabakari8384
@salamabakari8384 4 сағат бұрын
Mashallah
@IdrissRashid
@IdrissRashid 5 сағат бұрын
Mashaallah shk jazakumllahu khairan 🙏 Allah akujaze nyingi heri kwa hayo unatufundisha. Shukran sana shk . Tumekumbwa na mazito sana shk. Namuomba Allah akuzidishie umri mrefu , afya na uzima uzidikutupa alicho kupa Allah subhhana wataala. Santa sana shk 🙏🥰🥰🥰🎉💯.
@ZuhuraMuarabu
@ZuhuraMuarabu 6 сағат бұрын
Mashallah Allah
@saeedsaeed7381
@saeedsaeed7381 7 сағат бұрын
Masha Allah lovely show as always, BarakAllah feek 🙏🙏🙏
@user-lr9zc1yx2t
@user-lr9zc1yx2t 10 сағат бұрын
Nikweli sheikh Muhammad tunae kwenda kurudi
@user-ck6ur1vk1f
@user-ck6ur1vk1f 11 сағат бұрын
Ni kweli sekhe yangu Mimi nilijtolea niwe Nampa bibi yangu mzaa baba kile nnachokipata lakini niliambulia kufungwa mzunguko wangu wa mwezi
@user-ck6ur1vk1f
@user-ck6ur1vk1f 11 сағат бұрын
Ma_ashallah! Hakika shekhe Nakupenda kwa ajili ya Allah maana hata nimekasilika najikuta nafsi yangu ng' aa kwa mawaiza yako❤❤
@shamissuleyman4894
@shamissuleyman4894 12 сағат бұрын
Jee wale wanao tafuta riziki pembeni mwa barabarani sahivi wanabomolewa vp rais anayo habari kwa kazi anayofanya mazuri nahisi hajui kuvunjiwa kwa hao wanaovunjiwa
@mahfoudhally2879
@mahfoudhally2879 20 сағат бұрын
Maendeleo makubwa kavunja shule tano mjini kajenga maduka na mahoteli na ajira zote kwa wageni jua kali imekua ya wamasai hongera sana
@abrahmanhmd2557
@abrahmanhmd2557 23 сағат бұрын
Achaneni na majisifu ya kifisadi
@FamilyVideos-pt1mo
@FamilyVideos-pt1mo Күн бұрын
Shukran zinjibar tv kutuletea changamoto hizi
@FamilyVideos-pt1mo
@FamilyVideos-pt1mo Күн бұрын
17:40 jamaa kaeleza ukweli mtupu 😂😂😂
@FamilyVideos-pt1mo
@FamilyVideos-pt1mo Күн бұрын
Hizi comments zinanifurahisha- hawa wote walohojiwa wanasifu kisha wanatoa changamoto hapo hapo 😂
@FabianoJumanee
@FabianoJumanee Күн бұрын
asante dada
@ChristinaKimath
@ChristinaKimath Күн бұрын
Tunaomba matumizi ya kifumbazi na matumizi
@ChristinaKimath
@ChristinaKimath Күн бұрын
Matumiz
@ChristinaKimath
@ChristinaKimath Күн бұрын
Tunaomba atuelezee matumizi
@tanzanite9944
@tanzanite9944 Күн бұрын
Mwinyi Anapasiwa Pesa kutoka Bara kwa Samia kama hamjui ndio mjue leo. Huko Zanzibar pesa zinatoka wapi? Mbona hamjiulizi hayo? Mapato gani ya Zanzibar ya kujenga Barabara kilomita 50-100, Mashule ya maghorofa, mahospitali na mataa, hamjiulizi?
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Күн бұрын
Bibi kashapewa ubale wa kanga tatizo pesa mfukoni hakuna vyakula vimepanda bei
@Abdul-oc1ul
@Abdul-oc1ul Күн бұрын
Muongo kumamayo mulipanga karume na nyerere muwauwe masheikh na waarabu kwa roho mby mmeona znzibar twenge faidi hivi leo waznzbr kuwa watumwa na muarabu ni bora kutumwa na mtngnyika mwnye njaa nmkumbuka nyerere aliwahi kusema nawachukia wznznbr na akasema anachukia tujifny waislamu karume kumamayo huko uliko mbwa ww
@themasimbi2
@themasimbi2 2 күн бұрын
Kujenga Unguja t ila Pemba Aaah
@Samsungjprime-ww9ve
@Samsungjprime-ww9ve 2 күн бұрын
MASHAALLAH
@allykhatib660
@allykhatib660 2 күн бұрын
Uyo mama mshamba sana Hao walopita na hawakufanya kitu je tuwazungumzieje Uwo ni ulazima wa serikali naniela zetu wenyewe
@cornelytv2839
@cornelytv2839 2 күн бұрын
Congratulations 🎉🎉🎉
@HashimSalim-qj7zn
@HashimSalim-qj7zn 2 күн бұрын
JAMANI HII NJAA WATU HAWAIONI AU NI MIMI TU NAONA HAWASEMI RAISI AKASIKIA
@abrahmanhmd2557
@abrahmanhmd2557 23 сағат бұрын
Waswmaji ndio wajinga kama hawa wanazidi kusifia upumbavu
@user-oj8bk5xn8n
@user-oj8bk5xn8n 3 күн бұрын
Hawa ni watoto zanzibar hawaijuwi ukionabarabara inajengwe nikodi yako husein mwinyi yup miakamingi na kalelewa akilakodi zawanzibari kasoma kwakodi zawazanzibar mpaka kawawaziri waulinzi fazilayake akatuma Jeshi kujakutuua wewe unazarau roho unasifu barabara
@KauochuMamy-b3h
@KauochuMamy-b3h 3 күн бұрын
Sheik kama umeniona na mm ila nishachok kusem nyumban km Nina matatizo hay lkn nitagom kuolewa kwa Hali hiyo.
@kadhyajuma3471
@kadhyajuma3471 3 күн бұрын
Nampenda mwinyi piga kazi usizijali fitna na maneno ya mkosaji
@mangofish9079
@mangofish9079 3 күн бұрын
Kwani na hao waliopita akina Shein na wenzake si walisifiwa kwa maendeleo hivyo hivyo au mbona binadam tunasahau mapema sana na ataekuja mwengine atasifiwa kuliko huyu aliepo sasa.
@HashimJuma-en8je
@HashimJuma-en8je 3 күн бұрын
mashallaa Bachu Alla akuhifadhi
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 3 күн бұрын
HATA MKIMSIFU HUYO DR MWINYI JAMBAZI LA MKURANGA, LAKINI WAZANZIBARI HAWATAKI MAANA NI MWIZI NA JAMBAZIIIII👁️👁️
@abedomar5183
@abedomar5183 3 күн бұрын
Nonsense
@AbdulSaid-bn2gi
@AbdulSaid-bn2gi 3 күн бұрын
Ulaya ikiyoona tu utashangaa tu haijafanana kabisa na Zanzibar
@AbdulSaid-bn2gi
@AbdulSaid-bn2gi 3 күн бұрын
Sasa tunatembea bara bara ila tuna njaaa Kali tutakula hizo bara bara
@mangofish9079
@mangofish9079 3 күн бұрын
Hizo barabara alianza kujenga alau kwa kiasi chake kidogo Amani Karume wa ccm halafu munakaa miaka 20 na ushee munamsifu rais wa ccm tena kwa hizo hizo barabara sasa hayo mengine yatafanywa kwa karne ngapi?
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 3 күн бұрын
Safi sana na cctv mitaani itakua sawa sana ila Nyanya miaka 30 lol 😆 hio hamna km museven na kagame lol ila wazanzibar wana sura mbili
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 3 күн бұрын
Munasema munaona kama muko ulaya mtu anatoa mfano huo mara hata nairobi hajafika 😂
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 3 күн бұрын
10 years only by law
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 3 күн бұрын
Miaka 30 😂😂😂 bibi vipi ushaonja!!!!
@karyori69
@karyori69 3 күн бұрын
Barabara bila lanea demarcation ni chini ya kiwango!
@nassorseif7907
@nassorseif7907 3 күн бұрын
Yajayo ni njaaa tupu Wallah
@rashidomar2771
@rashidomar2771 3 күн бұрын
Hatari kweli,,au ndio ile hadithi ya kipofu,,alieona jogoo,akadhani hakuna mnyama mkubwa kuliko jogoo Yaani chawa kila pahala,,
@funnysmile8666
@funnysmile8666 3 күн бұрын
naona wana sifuu tuu hakuna alie zungumziaa kuusu skuliya buyu na changa motozakee kiwanja pia kisha uzwa mm nimkaazii wabuyuu kiwanja chetu cha shule ya buyu kime sha uzwaa na wapiga jiii
@Nassor2377
@Nassor2377 3 күн бұрын
Huo niwajibu wa serekali sio ajabu ni kodi zetu kwahio miaka 60 leo ndio tunafurahia baadhi ya barara mtihani ...kajitahidi mwinyi na shukran zote mama samia suluhu hassan kutuangali wazanzibar
@Zubaiba
@Zubaiba 3 күн бұрын
Mungu.akuzidishie kila la kher
@aliyaaliya7213
@aliyaaliya7213 4 күн бұрын
Zenyibar tunaomba uje kibele na sisi tupatee kupaza sauti kupitia nyinyi kuhusu changamoto ya barabara
@surusuru1994
@surusuru1994 4 күн бұрын
Mash Allah Tanzania 🤲 ❤
@surusuru1994
@surusuru1994 4 күн бұрын
Tumbo warangi kondoa Qruan hamtuabi kondoa ❤
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b 5 күн бұрын
Mbona hutowi aya? Ukuhanibwana na usufi utasumbuasana umat wakislam kutumia majini nauganga kuliko kuifundishadini hamuwezi kutameliwatutu tumishagawabain
@user-sd5zf6fz4v
@user-sd5zf6fz4v 5 күн бұрын
Uyo mungemuwa mazima