Пікірлер
@user-cr4th9lr6b
@user-cr4th9lr6b 3 сағат бұрын
Wall Uturuki usije kwenda
@user-cr4th9lr6b
@user-cr4th9lr6b 3 сағат бұрын
Kapendeza bidada usije kunenepa
@MariamAlly-hk7io
@MariamAlly-hk7io 3 сағат бұрын
Dini yako sio dini ya snura endelea Tu mpk fie huko Hakuna wa kukuzuia
@dismasmariananga4776
@dismasmariananga4776 5 сағат бұрын
Yaani Nyerere angeamka uko aliko aje akute riziwan kikwete ni waziri na mwanae ni kinyago dah angerud huko huko araka stvini hitambue ata upewe uc
@BlackFly-r2w
@BlackFly-r2w 6 сағат бұрын
😂
@user-ll7np8td7x
@user-ll7np8td7x 11 сағат бұрын
❤❤
@mussafelix1085
@mussafelix1085 12 сағат бұрын
Kwni kusoma hajui , mbna kama ana ngonjera
@FrankChalula-hz6dn
@FrankChalula-hz6dn 14 сағат бұрын
Uchoko tu, yaani sauti kama mizimu ndo inaongea , ndo maana wenzetu wanatushinda
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 15 сағат бұрын
Ila sijapenda swala la kumsema mkeo kuwa anamadhaifu sijapenda...apo kwel kuhusu yanga nimependa...usipokuwa yanga kwel juha🤣🤣🤣🤣Aya majuha mpooo??
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 15 сағат бұрын
Mashalah..mara nyingi majina ya herufi ya z ni waaminifu na wanawivu Sana na wakipenda wanapenda kwel..napia herufi ya z wanabahati Sana yakuolewa
@mtukwao5775
@mtukwao5775 16 сағат бұрын
Wewe mwehu tuuu ushazeeeka
@lilianmungure8374
@lilianmungure8374 16 сағат бұрын
Ila Manara Mungu akusaidie sana,unasifia mkeo badae unamwacha,acha tabia ya kuoa na kuacha Mungu hapendi hiyo tabia,Nawaombea maisha mazuri Mungu awatunze
@user-mk9vk5pe6i
@user-mk9vk5pe6i 16 сағат бұрын
❤❤❤❤shishiii ndo shiii.tunakuamini shishiii yeeee.
@zainabuhamisi576
@zainabuhamisi576 17 сағат бұрын
Amin
@user-jy6pm7px7y
@user-jy6pm7px7y 18 сағат бұрын
❤❤❤
@user-id5oc7hm4n
@user-id5oc7hm4n 19 сағат бұрын
Mbona usha zeeka uioni iyo shingo😂😂😂😂😂
@priscaadongo1922
@priscaadongo1922 22 сағат бұрын
Kwani hata hizo mchoro za mabawa Kwa ukuta haoni ama wako kiroho pamoja
@FatmaMohammed-ry8yo
@FatmaMohammed-ry8yo 22 сағат бұрын
Mmh unadini yako nae anadini yake jitambue unapoongea. Viovu kukaa uchi sio usijimalize ww
@SanuraIssa
@SanuraIssa 22 сағат бұрын
❤❤❤
@menshitunze
@menshitunze 22 сағат бұрын
Amechukua Hela kwa sababu haikuwa mara yake yakwanza, umeeuzika sana shishi mpaka Sasa, ndio biashara.
@menshitunze
@menshitunze 23 сағат бұрын
si ndio biashara zako, imekuwaje unatoa Siri zako.
@nangukidasu8040
@nangukidasu8040 23 сағат бұрын
Huyu dada kwani hana anayemlea kiroho?
@KenyanDailyGossip
@KenyanDailyGossip 23 сағат бұрын
Poor sound engineers
@samiryomary1643
@samiryomary1643 Күн бұрын
Nawamasai wasemaje
@lulurubby2235
@lulurubby2235 Күн бұрын
Huyu nae ana mdomo mpaka anaongea utumbo
@baderal_ofi1804
@baderal_ofi1804 Күн бұрын
❤❤❤❤❤❤😂😂😂
@verobecamfipa8655
@verobecamfipa8655 Күн бұрын
Huo mdomo na meno ya manara kumkiss Mimi kama mimi Cwez dah!!!
@niceygeorge8042
@niceygeorge8042 Күн бұрын
Mbona kama huyubdada analazimisha furaha ?
@chalzesque
@chalzesque Күн бұрын
Mwambaa katishaa
@ElizabethFrank-r4n
@ElizabethFrank-r4n Күн бұрын
Jaman kazainabu kapole❤❤❤❤
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Күн бұрын
🤣🎉🙌🫸✋️💯
@user-zj1ep6hn4p
@user-zj1ep6hn4p Күн бұрын
Kuwa na akba ya maneno uta zalilika hawa viumbe hawajawah aminika bro
@user-hy9pp5rp9i
@user-hy9pp5rp9i Күн бұрын
Filta shikamoo kumbe zai siomweupe uso tu mikonoo meusi kujichubua usoni tu mwilini aaaaa😅😅😅
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 Күн бұрын
Oh my goodness 🤣🤣
@frankmichael411
@frankmichael411 Күн бұрын
Jezi yangu nitumie
@khamismuhammad
@khamismuhammad Күн бұрын
Fikiria na kufa pia usifkirie kuwa bibi tu ivi unaijua kesho yako itakuwaje ata ujipe matumaini kama utafikia kuwa bibi!! Ivi ni mara ngapi mauti yashaingia nyumbani kweni yakawanyakuwa wengine yakakuacha wewe!
@khamismuhammad
@khamismuhammad Күн бұрын
Fikiria na kufa pia usifkirie kuwa bibi tu ivi unaijua kesho yako itakuwaje ata ujipe matumaini kama utafikia kuwa bibi!! Ivi ni mara ngapi mauti yashaingia nyumbani kweni yakawanyakuwa wengine yakakuacha wewe!
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 Күн бұрын
Manara atadumu na uyu mke kwa sababu zai hn mappepe na sio muongeaji sn
@ISSASULEIMAN-ub1zi
@ISSASULEIMAN-ub1zi Күн бұрын
Ukristo ni dini ya shetani watu wote wa ajabu wnakimbilia kanisani
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 Күн бұрын
Jo❤🎉
@franklinmganga736
@franklinmganga736 Күн бұрын
Wandishi mnauliza maswali ya kiseng
@SuuhPrecious
@SuuhPrecious Күн бұрын
Huyuu zay anakupenda xanaaaaaaaa mwanamke mwenye wivu nimapenz
@dannienimrod8713
@dannienimrod8713 Күн бұрын
Shida ya sound engineers wa comedy za Tz wao hupick sound za video from the cameras badala ya kupick from the sound control system. Inafanya iwe vigumu kumkiza comedian with all the noise from the crowd
@maymbeyu5458
@maymbeyu5458 23 сағат бұрын
Kabisaaa...ata siskii kitu
@charleschristian9241
@charleschristian9241 Күн бұрын
It's Good to plunder hell with gospel,she has done a recommendable thing. More grace my sister .
@HhBbh-tn5uh
@HhBbh-tn5uh Күн бұрын
Zai nikutafutie dawa ya sugo ya vidole😂😂😂😂
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 2 күн бұрын
Zaylisa acha kujichubua sugu zinakuumbua jmn😂😂😂😂😂
@ChritinaMasenga
@ChritinaMasenga 2 күн бұрын
Ukipata kujaliwa ,na kuheshimiwa na mtoto wa ma mkwe ushukuru,maana Pesa inatafutwa lakini faraja inapatikana kwa mtu,deka zai wangu,tulia na ndoa yako mama.
@rabiahsingo5971
@rabiahsingo5971 2 күн бұрын
Wew manala wew njoo kisemvule nakuwekea eka 2 utambe na zay unavailable weweeee hahahaha
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 2 күн бұрын
Hilo domo sasa😂😂😂😂😂😂😂khaaaa
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Күн бұрын
😂😂😂😂😂km chai jaba
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 2 күн бұрын
Check sugu za vidole hzo Kwa zaylisa😂😂😂😂😂jmn wadada tuache kujichubua Kwan bila weupe hatuishi??😂😂😂
@dogofiy6277
@dogofiy6277 Күн бұрын
sjui wnaon je Allah aninusuru kiukwl
@ElizabethFrank-r4n
@ElizabethFrank-r4n 16 сағат бұрын
Jaman ww zainabu umeniponza 😊😊hizo sugu Haji akosi kukununulia loshen za , mambele upake uxiwe ma sugu nakupenda Ila kwaloshi za 1500 hazikufai