A.alykum je haiwezi kushika kwenye pan ambyo c mpya?
@SwaumMsuya10 күн бұрын
Ivi auweki amira
@ConsolathaChausa11 күн бұрын
Asante nikichukua ufuta nusukilo sukari kiasi gani?
@reemaalwad3ani61612 күн бұрын
Nimependa sana
@RichardRobart13 күн бұрын
😅😅😅😅😅
@futurepublications684713 күн бұрын
Naomba kuuliza yale maharage makubwa kama yanayopikwa gengeni yanaitwaje ?
@mohamedaayda606017 күн бұрын
Mashaa ALLAH kama mayai matano je unatiaje ayo maziwa na mafuta?
@haifzasumra766518 күн бұрын
Masha Allah can you speak in English so I can understand I don't understand in Swelai so can you make onther video thank you ❤ please keep in touch my Name is Hafiza can you send me your phone number I will phone you insha'Allah
@NabahanySwahabah20 күн бұрын
Umetumia kikombe kipi kupimiaa ???
@ilhamhaji112520 күн бұрын
Asante sana .Da Asha yummy.nmejaribu kufanya maandazi yako .wallahi watu nyumbani wameyapenda.Nmekua chef mzuri masha Allahh ❤❤
@halemasuliman-js8ug21 күн бұрын
Asante sana dada
@MaggieMkandawire-ki5mu23 күн бұрын
Kamauna uvunu tumia. Muka
@MaggieMkandawire-ki5mu23 күн бұрын
I like the way vou cooked the cake
@ghhhhy181224 күн бұрын
Mashaallah ❤
@rozminhajimohamed870327 күн бұрын
Ma Shaa Allah! Safi sana
@rahmaabdallah205329 күн бұрын
Namba yako ya simu
@carolkimaiyo4259Ай бұрын
Dada Mimi hapa naishi kitale sijui kama ni bara ......kupata tui ni ngumu sana naeza tumia maziwa instead
@vesitinarevocatus7333Ай бұрын
Nimeipenda hii nirahisi asante sana
@salmamackam6021Ай бұрын
Sasa huwezi kuikaanga baada ya yote
@user-pj7ks7jn5mАй бұрын
MaanshaAllah shukran ❤
@shemmaster7swaleyuun228Ай бұрын
Vinakua laini?
@khatibmako3500Ай бұрын
Huu unga ni wa sambusa bakhresa wanauza
@pamellansabimana5493Ай бұрын
Hamira ninini jameni muniagize kwenye English please
Shukran sana Ungeweka vipimo kwenye description box ingekuwa vizuri sana ❤❤❤
@ashayummy2299Ай бұрын
Sawa inshallah naweka mpenzi😂❤
@ashayummy2299Ай бұрын
Nimeshaweka shukran kwa kunikumbusha
@shamzone388Ай бұрын
Nakupenda sana dear❤❤❤
@user-ce7dl4qc2tАй бұрын
Mashaallah ❤ very nice
@mohamedaayda6060Ай бұрын
Unga kikombe kimoja co
@ashayummy2299Ай бұрын
Pima matai kwenye kikombe kama kikubwa ama kidogo yatakapoishia nndio unapima humohumo unga na sukari pia kilakitu kiwe sawa na utakachopimia mayai ila sukari kama hupendi nyingi waweza kupunguza shukran ❤
@bindawood978Ай бұрын
Maashallah, Eid Moubarak special
@ashayummy2299Ай бұрын
Shukran sana ❤
@SalmaSindayihebura-xb2rsАй бұрын
Shukran da Asha kwa kutukumbuka skuku hii tu liku miss❤🎉
@ashayummy2299Ай бұрын
Niombeeni dua niendelee my dear shukran sana 😂❤
@SalmaSindayihebura-xb2rsАй бұрын
@@ashayummy2299 tuko pamoja my dear sister
@a.856Ай бұрын
Ahsante
@ashayummy2299Ай бұрын
Afwan
@najlaskitchen1572Ай бұрын
Mashallah ntaupika eid inshallah huu😋😋
@ashayummy2299Ай бұрын
Shukran sana dear
@ashasaid6985Ай бұрын
MashaAllah
@ashayummy2299Ай бұрын
Shukran
@ladyvision1133Ай бұрын
Umesema mayai kumi je unga kiasi gani
@ashayummy2299Ай бұрын
Kikombe kimoja pima kwenye kikombe mayai yanapoishia na unga na sukar sawa sawa labda sukar upunguze kidogo kama hupendi skar nyingi shukran sana
@MwanaidiAli-bw3plАй бұрын
❤❤❤❤❤
@MwanaidiAli-bw3plАй бұрын
Ntka n mm kufundishw odo😂😂
@MwanaidiAli-bw3plАй бұрын
Very cute
@k_nhymh7607Ай бұрын
Mchele gani
@HimaHimayaАй бұрын
Assalamaliekum... kama nyama ni 3kg waeka mayai ngapi
@DavidStemboАй бұрын
Nice work
@khayratrajab9503Ай бұрын
Mimi nimepika vyangu vimekuwa vigumu sana😢
@abdullahalmahrooqi8306Ай бұрын
Salam hujatuandikia ingredients zake na vipimo kamili!!!!!