#TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI 29/07/2024
21:59
#TANZANIAKESHO
17:39
Күн бұрын
TANESCO KUBORESHA LUKU
1:31
14 күн бұрын
Пікірлер
@issacallando6222
@issacallando6222 4 сағат бұрын
Mtu anajitambulisha ni wakili na anashindwa kujibu swali kwa usahihi, hawa kina Nkuba wamewahi kushinda hata kesi moja kweli??😂
@issacallando6222
@issacallando6222 4 сағат бұрын
Mdahalo huu unathibitishia umma aina ya viongozi tulionao, ifike pahala kiongozi yoyote apitishwe kwanza mmkwa mdahalo ili atakapo pata ridhaa aitendee haki.
@farajabinamsimchimba
@farajabinamsimchimba 6 сағат бұрын
Mwambukusi anafaa kua rais
@peterkissiri9821
@peterkissiri9821 8 сағат бұрын
Nadhani Mwabukusi anastahili kuongoza TLS yupo tofauti sana na wagombea wenzake ktk hoja zake na pia sio muoga.
@justinalonda8220
@justinalonda8220 8 сағат бұрын
Mwabukusa anafaha sana tu ni moto
@boblatino3899
@boblatino3899 22 сағат бұрын
Usiombe ukutane na odemba kwenye maojiano ni kama umekutana na bwana Pepsi utakunywa soda mpaka ukojoe
@sundaymushi9640
@sundaymushi9640 Күн бұрын
Uyo muga ni janja janja tu😅😅😅😅
@sundaymushi9640
@sundaymushi9640 Күн бұрын
Kwann interview za kazi zisifanyike kams ivi
@user-zs8de1os7q
@user-zs8de1os7q Күн бұрын
Mwabukusi
@user-zs8de1os7q
@user-zs8de1os7q Күн бұрын
Mwabukusi
@ExaudyMassawe
@ExaudyMassawe Күн бұрын
Mwabukusi nimekuelewa sana unawajali wananchi kupitia mawakili wakati huo mawakili wakinufaika na kazi yao pamoja na kuifanya kwa furahi
@ExaudyMassawe
@ExaudyMassawe Күн бұрын
Mwabukusi wewe ni nomaaa
@ExaudyMassawe
@ExaudyMassawe Күн бұрын
Mpeni tu mwakubusi hayo mawazo ya wengine atayafanyia kazi
@vonmedia1024
@vonmedia1024 Күн бұрын
HIVI NDIVYO VITU VINAVYO TAKIWA KUFANYWA. BRAVO STAR TV, VEMA SANA
@YohanaThadeo-ki2qg
@YohanaThadeo-ki2qg Күн бұрын
Brother k mbona sasahiv simuoni kwenye futui
@NkwabiMasanja
@NkwabiMasanja Күн бұрын
ODEMBAAAAAAA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 MUNGU AKUBALIK XANAAAA
@harunamtiko117
@harunamtiko117 Күн бұрын
Hapo kura ni kwa mwabukusi wengine msubr kidogo tafdhali 🎉
@lusetheshadow2821
@lusetheshadow2821 Күн бұрын
Mwabukusi hajabanwa kwenye maswali vipi kwamba alikuwa sahihi sana ee?
@NtuliMwakyusa-o4w
@NtuliMwakyusa-o4w Күн бұрын
Mwambukusi
@jaymacodejaymacode
@jaymacodejaymacode Күн бұрын
Mwabukusi
@JumaAmos-rt8ey
@JumaAmos-rt8ey Күн бұрын
mwabukusi ❤
@DeborahMafuru
@DeborahMafuru Күн бұрын
Mwabukusiiiiiiii
@florangido202
@florangido202 Күн бұрын
Mwabuguds Anastahili
@emmasonanjawe9042
@emmasonanjawe9042 2 күн бұрын
Huyu ndo mwandishi
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 2 күн бұрын
Hapo mimi ningemchagua Boniface Mwabukusi.
@leonardmartine662
@leonardmartine662 2 күн бұрын
Mwabukusi ameshajitanabiasha kuwa ni mtu nanusu
@jacobthobias8901
@jacobthobias8901 2 күн бұрын
Kuna watu wanajua kuongea kidogo harafu vitu vya msingi (Mwambuksi)
@JamesAbel-ig8wb
@JamesAbel-ig8wb 2 күн бұрын
Nakupongeza sana ODEMBA wewe ni mzalendo kweli hauna upendeleo. Ila huwezi kupata kazi TBC
@NkwabiMasanja
@NkwabiMasanja Күн бұрын
Asiede kbxa pale
@jumannemwakalinga2586
@jumannemwakalinga2586 2 күн бұрын
Midahalo iliisha kufa kifo cha mende katika vyuo Vikuu vyote nchini, hatuna critical thinkers tena. Ndiyo maana Odemba unapongezwa, umeenda kuamsha hicho kitu hapo UDSM
@leonardmbeho7785
@leonardmbeho7785 2 күн бұрын
Mwabugusi
@jumannemwakalinga2586
@jumannemwakalinga2586 2 күн бұрын
Mtangazaji Odemba tunakupenda kwa kuendesha huo mdahala vizuri, endelea hivyo hivyo ukiwa umenyooka vizuri, tafadhari usipinde tafadhari
@avinrwegasira3448
@avinrwegasira3448 2 күн бұрын
Shida odemba hawapi watu mda wa kuuliza maswal anauliza yeye peke ake
@mossesherman8830
@mossesherman8830 Күн бұрын
Yuko vizuri tena sana, lakini mapungufu ni kwenye kuhakikisha kila swali lililoulizwa linajibiwa.
@owdenlukuwi4696
@owdenlukuwi4696 2 күн бұрын
Mdahalo mzuri sana
@issanyoka5641
@issanyoka5641 2 күн бұрын
Mwabukusi super sana
@issanyoka5641
@issanyoka5641 2 күн бұрын
Watu wanatema cheche htr
@emmanuelfarleedalingo7307
@emmanuelfarleedalingo7307 2 күн бұрын
Mdahalo nmeupenda ikiwa hvi Tanzania tutafka mbali sana
@herbertjoz4655
@herbertjoz4655 2 күн бұрын
Huyu mwamba anajua kuhoji🔥
@calvinkiluswa439
@calvinkiluswa439 2 күн бұрын
odemba anajua sana tena sana
@tobiasisanga3757
@tobiasisanga3757 2 күн бұрын
Mwabukusi ndio mwamba na uchungu wakweli na masilai ya inchi yetu uyo ana tufaa
@johnmabula88
@johnmabula88 2 күн бұрын
Mwabukusi
@maulidmichael4939
@maulidmichael4939 2 күн бұрын
Jitahid moderator uwe na MTU maalumu wa Ku note maswali ili yajibuwe Bila kusahaulika
@joshuarose6756
@joshuarose6756 2 күн бұрын
Mwabukus winner
@SalhaRamadan
@SalhaRamadan 2 күн бұрын
Kutoka mzee huyo wa pili na watatu ni machawa wa fisiemu tuuuuuu
@SalhaRamadan
@SalhaRamadan 2 күн бұрын
Huu ni mwaka wa mwakabusu🎉🎉🎉🎉 Go baba huenda utatusaidia nchi yetu kuilinda kisheria na huenda haki ikawepo❤❤❤
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 2 күн бұрын
Kuli we utatumika na serekali hebu jiengue mwenyewe😅😅😅
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 2 күн бұрын
MAKOFI KWA WAGOMBEA YAMESHAONYESHA KIPENZI CHA WATANGANYIKA HAPO NI NANI. OLE WENU TLS MLETE FIGISU
@user-ei4gj1zx3d
@user-ei4gj1zx3d 2 күн бұрын
Ok
@user-ei4gj1zx3d
@user-ei4gj1zx3d 2 күн бұрын
Ok
@user-pv8iu6em6l
@user-pv8iu6em6l 2 күн бұрын
Mwabukusi tunaomba uwaongoze mawakili wenzako ukasimamie nchi na malizake nahali yawanyonge kulayangu nakupa
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 2 күн бұрын
TUNAOMBA PIA MUPAMBANISHE WANASIASA WA PANDE ZOTE MBILI