Je ukiota unaretewa hera kwako na watu wengi wanatokea mbere na nyuma ya nyumba yako ukawa unapokea unapereka ndan manayake nin
@KessySimbatz238 күн бұрын
Umegusa ulemule thank you
@AllyMwatete8 күн бұрын
Na ukiota ntoto ndogo ametumbukia kisimani na kafariki
@AhmadAli3258913 күн бұрын
Mii nimeota mtoto wangu kafarikii
@jacklineomwega277118 күн бұрын
Mimi nimeota mtoto wangu amelazwa hospitali
@namakularecho316518 күн бұрын
Mj
@sofiaaoscarkenga19 күн бұрын
mimi apa sijui
@MamyCallins21 күн бұрын
Mim niliota nmemkata mwanang wakiume kidudu
@RoseMalley-dt9ub23 күн бұрын
As ante Mimi ni r wangu no f
@javerymsangi2856Ай бұрын
Mimi nmeota mwanangu katoka shule afukafikia Kwa jiran wanaanza kucheza ala akaanguka akaumia akaanza kulia na mm nkaanakumchapa ila wakat namchapa nkamuona akuwa amenenepa pana
@Ashreystar84652 ай бұрын
Mbona jumapili hujItaja mama
@user-pl4qn1ko1j2 ай бұрын
Uki ôta nikwa mutu mwengine anakwa mbiya kama anafanya mapenzi na wanyama
@user-gd9yc2tx7v2 ай бұрын
Ukiota ume chuma uyoga ume uweka kwenye mufuko ukaokota na kitabu juu ya uyoga kisha ukaweka kwenye mufuko na kwenda nyumbani mana yake nini
@ashabilali23663 ай бұрын
Mume wng aliota anaitwa na marehem dadaake na mm nikaota nimetoka kwangu sina viatu nikaenda kwa shogaang yy alifiwa na mumewe nikamuomba viatu akanipa kandambili nyeus nikavaa ndoto hizi zinaashiria nini
@Ms-zuuuh0013 ай бұрын
Mm nimeota kichanga kimekufa afu Kuna mtu kakifukua anatembea nacho katika begi kamefungwa miguu na mikono jmn😢😢😢😢😢
@Ms-zuuuh0013 ай бұрын
Afu sikafaham hata na tulikaona mtoni wakati tunaoga na watu wengi kabas
@mwanajumahamisichisuma3 ай бұрын
je m na m
@mwanajumahamisichisuma3 ай бұрын
je m na m
@JimmyloveNdikumana3 ай бұрын
Ukiota ndoto unafanya mapenzi na mme wa mtu na ni boy friend wako inamaanisha nini
@barnotiloitu67893 ай бұрын
Je ukibadilisha jina na nyota itabadilika? Na kama umeoana na mtu mwenye nyota sizizoendana wafanyeje kubadilisha mwelekeo wa nyota
@djyondergigi10273 ай бұрын
A aleikum na ukiota maiti huwajuyi ? Ni nini
@HassanYahya-rc3sz3 ай бұрын
❤🎉
@fidiamusafiri58593 ай бұрын
Asante Sana mama Mimi nakufatiliaga Sana Ila Mimi Kuna ndoto inanisumbuwaga Sana kila mara inanirudia Sana hiyo ndoto ni naotaga nikienda tembelea rafiki yangu anakuwa nimujamuzito Niki fikatu anajifunguwa napia na muona mudogoyangu nikifika kwake anae pea najifungu mtoto Yani maraningi Sana ningeomba tafsiri ya hiyo ndoto Ina maana gani kwangu
@RahmaKhamis-ir4bd3 ай бұрын
Nyota yangu Mimi ni ya maji nataka nijue maana yake🥹
@fathrish32163 ай бұрын
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh,mm nimeota nimepatiwa mtoto mchanga nikambeba kifuani kama vile mtu akijifungua anaekewa mtoto wake kifuani ....je ni nn maana yake
@EsterStephano-fo7sm3 ай бұрын
E mwanamke
@AbdillahiShelkh3 ай бұрын
Niambie ndoto marehemu shangazi ananinyowa
@user-wf9sy9ms7q4 ай бұрын
Habari dada,naomba msaada mie nnashida nnapendwa sana na wanamme tena wenye hera,lakini sina bahati ya kudumu nao yani wanapoteaga tu bila sababu youote ile,nimeamgaika sana hadi saizi nawachukia kabisa wanamme kutokana najinsi ninavyofanyiwa,naomba nisaidie dada kwani nimeamgaika sana hadi nimechoka
@hanskilongo2394 ай бұрын
Je o na m zinaendana
@user-uu3hv2uy9w4 ай бұрын
M na M zinaendano
@NYIRARUKUNDOHalimah-iy6rg4 ай бұрын
S na H vina endana
@ZuhuraFadhili4 ай бұрын
Ukiota jirani ananyonyesha
@jameswaititu5 ай бұрын
Mimi niliota tukiwa matatu nikahisi kkunywa maji tukaona mto nikaeda kukunywa maji sikuiona matatu hiyo tena
@mwanakombomwamnono1126 ай бұрын
Mimi ni herufi yangu ni M na nimeolewa na F twaendana
@pidiusDominick-qi7nl6 ай бұрын
Nahitaji pete yenye kito cha ruby ntaweza kupata
@user-ep4td7jx7e6 ай бұрын
Kama mutu anaota iko anaenda ulaya,kipindi hicho anaishi eko, inamaana gani? Tena ndoto inajirudia rudia
@veronicahowendi13666 ай бұрын
Nimeota na safiri na mtoto wangu wa kiume first born kwa pikipiki tukieiekea stage za magari nn maana yake. Niliamka kwenye ndoto kabla kufika stage.
@HarusiMwango-zb3dn6 ай бұрын
Mimi ni H je naendana na herufi M
@muddyboy6766 ай бұрын
Na ukiota unafanya mapnz na mtoto mdog je
@KurubonePascal-pe3pg6 ай бұрын
Niambie ndoto yamto
@ImaniMfugale-hy6tm7 ай бұрын
Nimeota manunua Michele kg 2 halafu nikapewa na muuza duka akanipa tena kg 2
@ImaniMfugale-hy6tm7 ай бұрын
Pole na kazi,Mimi nimeota mwanaume alishakufa amekufa tena amefufuka
@mtengwadj93907 ай бұрын
Ahsante kwa Elimu
@MichaelMichaelsamuel7 ай бұрын
Naitaj number yako
@user-hh1jd2gs1j7 ай бұрын
Mnajitia kutoa namba za simu, mkipigiwa mnakata, sms wasap hamjibu .....😢