Dada uwe unapunguza sauti ya mziki Ili uweze kuskika vizuri
@ClaimlorieАй бұрын
Sawa
@jestinamtweve7413Ай бұрын
Tutamaliza leo kwa kamoj kamoj apo nina kilo nne😢😢😢 unatudanganya ben
@ClaimlorieАй бұрын
😂😂pole aisee mkiwa wawili sio kazi hata me nimezoea ila unaweza changanya kawaida tu kwenye bakuli
@KijakaziHamadiАй бұрын
Shukran kwa somo
@user-oi6hk5db3eАй бұрын
Kias cha blubend kwa kilo 1 nikias gan nisaidien
@ClaimlorieАй бұрын
Ni kama gram 60 hivi kwaiyo ukipimiwa robo inabidi utenganishe mara nne tena
@ZuhuraOmari-ms3odАй бұрын
Naomba kujua tofauti ya baking powder na bicarbonate hasa kwa upishi huu
@ClaimlorieАй бұрын
Baking powder inaipa visheti hewa ndani vinakua vyepesi na inachambuka
@JimmyClaus-u3uАй бұрын
Mbn sas haongei vitu vngn sivijui
@ClaimlorieАй бұрын
Kuna full video kwenye channel yangu naongea angalia
@moviehutpoint5477Ай бұрын
Good
@Foxie542Ай бұрын
Mafunzo ni shingapi
@ClaimlorieАй бұрын
Elfu kumi (10,000) tu ya Kitanzania)
@ClaimlorieАй бұрын
Kwa vipimo, recipe za biashara, na maswali yanapatikana kwa bei rahisi sana - Asante WhatsApp
@NeemaOmary-du9lxАй бұрын
vipi zinakulipa
@ClaimlorieАй бұрын
Sio sana...karanga inabidi upike nyingi ili uone faida ila nikidogo
@Mamuu1222-ld2jn2 ай бұрын
I like it
@ClaimlorieАй бұрын
Am glad
@FranciscaChukwuebuka2 ай бұрын
Please hw can I make a smooth looking peanut
@ClaimlorieАй бұрын
I have another video, just check it's more detailed than this
@bunanamsafiri55412 ай бұрын
Mbona sauti unaitoa kimapozi saana?
@ErasminaPaul2 ай бұрын
kalang unaanz kuzilowek kwanz au
@Claimlorie2 ай бұрын
Sikushauri uziloeke maana zitavunjika na kulainika sana
@NeydeeFrancis2 ай бұрын
Jaman natamani nijuwe kupikà kama ww mommy I like it 😍
@Claimlorie2 ай бұрын
Jaribu tu utaweza
@naominapendwa1412 ай бұрын
Asante kwa darasa
@annamatiya72593 ай бұрын
Naomba kufahamu namna ya kutengeneza kokoto.
@Claimlorie2 ай бұрын
Angalia video
@AmusedCassettePlayer-cm7ql2 ай бұрын
😮
@rahimasaid67213 ай бұрын
Ahsante sana Allah akuzidishie ujuzi Amiin ❤
@Claimlorie3 ай бұрын
Amen Asantee
@azmedmtwana81353 ай бұрын
Jamani visheti haviweki hamira.sio maandaz hayo
@Claimlorie3 ай бұрын
Umemuona nani kaweka hamira?
@joycemlay57622 ай бұрын
Baking powder ni nn kwan?
@Claimlorie2 ай бұрын
@@joycemlay5762 ni raising agent inasaidia kuongeza kiasi cha baked goods alaf inafanya bites kuwa nyepesi
@samiramussa26232 ай бұрын
Ujaona vzr
@AminaDullah3 ай бұрын
0:10 0:10 minna
@Claimlorie3 ай бұрын
??
@ChiwaMbalila3 ай бұрын
Asant kwa SoMo Dada
@mngwalijuma5973 ай бұрын
Huweki hamira bi shoga Pia km hutaki sukari unaweka chumvi ila uweke chumvi nyingi kipenzi hutoweza kuvila pia kwa.mafuta ukitaka vinafanyika having shida vinakua laini na vitamu sana
@TeddyLucas-fd9lw3 ай бұрын
6:00 6:00 6:00 6:00
@TeddyLucas-fd9lw3 ай бұрын
Samahani mayai ya kisasa au ya kienyeji
@Claimlorie3 ай бұрын
Kienyeji
@MwanaidMo3 ай бұрын
Kwa hiyo uweki amira
@Claimlorie3 ай бұрын
Yes huweki
@HappneshRamadhan3 ай бұрын
Sukari ni ipi ni hii yakawaida au ipi?
@Claimlorie3 ай бұрын
Ndio unaweza isaga iwe unga ukatumia
@AnethMateru-ys8xc3 ай бұрын
Unga hutakiwi kuukanda muda mrefu?
@Claimlorie3 ай бұрын
Ndio unakanda hadi utakapo ona umechanganyika
@rhodasebastian7153 ай бұрын
Unaongeaje😂
@EugeniaJackson-li8jk3 ай бұрын
Je kama sipendi kuweka sukari ninafanyaje?
@Claimlorie3 ай бұрын
Kuweka mwishoni au?
@user-jx4sx4qj5g4 ай бұрын
Ongeza sauti jamani.
@Claimlorie4 ай бұрын
Okay
@user-kq9jt7yc6i4 ай бұрын
Good
@ShamimuHamis-fw7fk4 ай бұрын
Nimevipenda sanaa nishajuwa na mm ntapikaaa kwanguu
@Claimlorie4 ай бұрын
❤️
@salamasalmini97254 ай бұрын
mashallah
@AryanMsoke4 ай бұрын
Amira atuweki ?
@AryanMsoke4 ай бұрын
Natokea dar Asante Kwa ubunifu nimependa
@Claimlorie4 ай бұрын
Asante
@user-wp6zh4oc3z4 ай бұрын
Hilki hueki
@Claimlorie4 ай бұрын
Naweka ila mwishoni kama unapenda kuweka wakati wa kukanda ni sawa pia