Пікірлер
@athanastebuye408
@athanastebuye408 21 сағат бұрын
Nikiwa kipalapala Tabora aksante sana Baba kwa kutu risha neno zuri
@charlesmoshi4411
@charlesmoshi4411 Күн бұрын
Ametufungua wengi.
@BerthaKinabo-n9j
@BerthaKinabo-n9j Күн бұрын
N
@winnicbrito4172
@winnicbrito4172 Күн бұрын
Rest In Peace 😢
@eutropiachami2492
@eutropiachami2492 2 күн бұрын
Àsnte Yesu bado tuna hazina kubwa natamani mahubiri haya yawafikie wakatoliki wote na yatuingie kabla hatujachelewa zaidi
@PhidelisMdahila
@PhidelisMdahila 2 күн бұрын
Amina fr Mungu akuongezee taarifa mengi na hekima
@kazawadibeturabusha3822
@kazawadibeturabusha3822 2 күн бұрын
Mungu amulehemu
@tumaininyoni5725
@tumaininyoni5725 2 күн бұрын
Pumzika kwa amani dada
@marygachau3879
@marygachau3879 2 күн бұрын
Bwana akuongeze hekima uzidi kutufundisha.
@FRWPresscom
@FRWPresscom 2 күн бұрын
Ameen...tuombeane
@mapendoglory16
@mapendoglory16 2 күн бұрын
Ee Mungu mlaze mwanao Pema mbinguni.
@harounclaude2263
@harounclaude2263 2 күн бұрын
Ubarikiwe sana Fr. Rwechungura
@MwalimuRop
@MwalimuRop 3 күн бұрын
Asante sana Padre. Ubarikiwe
@umtv9224
@umtv9224 3 күн бұрын
Mkandidati Margreth apumzike kwa Amani mbinguni
@umtv9224
@umtv9224 3 күн бұрын
Poleni sana Masista pamoja na wakandidati wote
@sr.jovithavincent4119
@sr.jovithavincent4119 3 күн бұрын
Asante sana baba kwa mafundisho.
@user-xh1bw3eu4t
@user-xh1bw3eu4t 4 күн бұрын
Amina
@deusbarnabas9060
@deusbarnabas9060 4 күн бұрын
Ubarikiwe sana, Father kwa neno la Mungu, kweli mda mwingi tunautumua kuangaika na mambo ya kidunia.
@FRWPresscom
@FRWPresscom 2 күн бұрын
Kweli.. Baba Mchungaji...tuombeane na tubadilike
@GeraldinaGerard-xy6pl
@GeraldinaGerard-xy6pl 4 күн бұрын
Hivi wewe utakuwa na hamu ya mwanaume,unapindisha acha hapo watu wana akili sasa ubaenda chaka ndugu
@GeraldinaGerard-xy6pl
@GeraldinaGerard-xy6pl 4 күн бұрын
Unaenda chaka hayo yoyote ya nini?waambie watu ukweli
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano 4 күн бұрын
Hakuna awezaye kufasiri Neno isipokuwa Mjumbe wa agano duniani,acheni uongo wa fasiri.
@MariaJtvine
@MariaJtvine 4 күн бұрын
4,4,4...🙏🙏
@beatricenangale5439
@beatricenangale5439 4 күн бұрын
Hivi huyu ni yule Padre Kashinje wa Parokia ya huko kijijini Nindo? Jimbo la Shinyanga? Mbona waumini wa huko Wana assert nzuri sana. Maana nilimsikiliza pia akihubiri juu ya Ekaristi Takatifu nilijifunza sana. Jamani ukweli tuna mapadre na mashemasi waliodhamiria hasa kuifanya kazi ya Bwana. Yatupasa tubadilike kutokana na mafundisho haya.
@JamooUrio
@JamooUrio 4 күн бұрын
Huyu ni Pd John Kulwa(kurwa) wa Tabora Jimbo Kuu
@deusurio9056
@deusurio9056 5 күн бұрын
Wacha uongo, ukitenda dhambi Kwa kusudi ukijua nitakwenda kuungama ,bado hiyo dhambi hujaomdolewa
@josephlango5591
@josephlango5591 4 күн бұрын
Hebu tuambie dhambi ya mauti inaondokaje kama si toba na maungamo?
@benedictinebusanda3306
@benedictinebusanda3306 Күн бұрын
Sikiliza uelewe usikurupuke kujaji
@user-fd4lw7xo7i
@user-fd4lw7xo7i 5 күн бұрын
@Montana12-v2c
@Montana12-v2c 5 күн бұрын
Kwakosa la adam aridhi ndo ililaaniwa na sio Adam hapa watumishi mnashindwa kufafanua vizuri kwanini lana ya Adam ilibidi kulaaniwa Aridhi na sio yeye kwanini hapo hampaweki sawa ?? Mwanaume amepewa adhabu hao wengine wamepewa laana hapo lazima ieleweke vizuri
@user-nq5pl9ev7p
@user-nq5pl9ev7p 5 күн бұрын
My favourite Father...daah bonge la somo
@LinathGodfrey
@LinathGodfrey 5 күн бұрын
Mungu azidi kukutangulia na tuendelee kupata ukweli kupitia wewe
@JoyceNdunguru-lg1ug
@JoyceNdunguru-lg1ug 5 күн бұрын
Asante Fr kwa majibu ujumbe uliotangulia niliuandika kabla ya majibu yako.MAKANISA MENGI YA KIKATOLIKI HAWATUPATII DAMU YA YESU WANADAI IKO KWENYE MWILI WA YESU,HALAFU HIYO KAULI WAMEIPANDA NA KWA VIONGOZI WA KANISA,,SIJUI MAANA YAKE NINI,NILISHAULIZA DIVAI INAUZWA BEI GANI?INAMAANA NI GHALI SANA HADI KANISA LINASHINDWA KUNUNUA? NA WAUMINI WAMESHINDWA?JUMUIYA NAZO ZIMESHINDWA HATA KUCHOVYA MWILI TU?MAKANISA YA ANGILIKANA YOTE UWE MJINI AU VIJIJINI WAAMINI WANAPEWA MWILI NA DAMU.MAKANISA YA KIKATOLIKI TUNAOMBA MAPADRE WAZINGATIE JAMBO HILO.. FR ASANTE SANA KWA MAHUBIRI MUNGU AKUBARIKI SANA.PIA NAOMBA MAPADRE WAJITAHIDI SANA KUSOMA NENO LA MUNGU ,SALA , MAOMBI,WANA KITU KIKUBWA SANA AMBACHO MUNGU AMEWEKA NDANI YAO,,WAKIFANYA BIDIII HASA YA KUACHANA NA DUNIA HII WAKATOLIKI HAWATATANGATANGA,,WAAMINI WANAKWENDA HUKU NA HUKU KWA KUKOSA CHAKULA HAWASHIBI,WAKO SAWASAWA NA WATOTO WANAOKULA KWA WATU KUMBE KWAO NI MLO MMOJA.,,MAKANISA YAWE WAZI KWA AJILI YA KUWAFUNDISHA WAAMINI NENO LA MUNGU.,ILI WAPATE KUTUA MIZIGO WALIYONAYO KWA BWANA YESU NA KUOKOKA ,.HAPO NDIPO TUTAKAPOONA UZURI NA UTAMU WA YESU.NENO LA MUNGU NI UPONYAJI TOSHA,.
@JoyceNdunguru-lg1ug
@JoyceNdunguru-lg1ug 5 күн бұрын
Baba Padri kwanini tunapewa mwili wa Yesu tu (ekaristi),vipi kuhusu divai(damu ya Yesu),,shida iko wapi hapo? Sijaelewa bado,ingependeza sana MWILI NA DAMU YA YESU,,kama miaka ya nyuma .Sasa tunasikiliza tu.FANYENI HIVI KWA UKUMBUSHO WANGU hafu tunakula mwili tu,nilimuuliza Fr mmoja akanijibu mwili wa Yesu una damu ndani yake,,sasa kwani Yesu hakujua kama mwili wake una damu ?kwanini alitwaa mkate na divai akageuza kuwa mwili na damu?majibu ya Fr hayakuniingia akilini nimekuwa najiulizaulizatu,,NIELEWESHE HAPO.
@JoyceNdunguru-lg1ug
@JoyceNdunguru-lg1ug 5 күн бұрын
Mungu akubariki sana FR.Asante kwa mafundisho mazuri,.Sifa kwa Yesu Kristo
@JoyceNdunguru-lg1ug
@JoyceNdunguru-lg1ug 5 күн бұрын
Wakatoliki tuna cha kujifunza hapa,, Mungu atusaidie sana.
@JamaalRashid51
@JamaalRashid51 5 күн бұрын
Pumziko,lamilele Umpe,eebwana,namwanga Wamilele,umwangazie, Apumzike,kwa,aman,amina🙏🙏🙏🙏
@BeatriceRwegasira-mc2wm
@BeatriceRwegasira-mc2wm 6 күн бұрын
R.I.P Mkandidati Margret.
@theresiamushi5094
@theresiamushi5094 6 күн бұрын
Pumzika kwa Amani mpendwa mkandidati Margret
@theresiamushi5094
@theresiamushi5094 6 күн бұрын
Poleni sana Masister wa mabinti wa Maria
@theonesteuwiringiyimana8443
@theonesteuwiringiyimana8443 7 күн бұрын
Binti yetu apumzike kwa amani mungu ampokee mbinguni..
@benmattowo
@benmattowo 8 күн бұрын
Asante Baba kwa mafundisho yako mazuri. Ndugu analazwa Hospitali halafu wanaokwenda kumjulia hali ni wachache sana mfano ndugu wa karibu pamoja na wale watu baki tena kwa gharama ndogo tu. Sasa inafikia msiba kwa yule mgonjwa gharama zinakuwa kubwa kwa maana ya Michango na kujitokeza majina makubwa ili kupata sifa. Ajabu pengine mgonjwa angepona kwa gharama ndogo kama wangemtembelea yapo mifano mingi inayofanana na mifano yako kuonyesha jinsi gani utu, ukarimu ,upendo n.k vinavyotutesa. Amina
@beatricekapotwe2278
@beatricekapotwe2278 8 күн бұрын
Amina
@user-yj2ki5fd3p
@user-yj2ki5fd3p 8 күн бұрын
Asante sama father . Amina kunwa
@rosemaryemily311
@rosemaryemily311 8 күн бұрын
Karibu Fullugosple
@EmanuelLohay-n9c
@EmanuelLohay-n9c 8 күн бұрын
Amina mahubiri mazuri ubarikiwe padri
@clementinalotary4913
@clementinalotary4913 8 күн бұрын
Poleni sana kwa msiba mkubwa
@user-xh1bw3eu4t
@user-xh1bw3eu4t 9 күн бұрын
Amen
@SoniMwenebonjwa
@SoniMwenebonjwa 9 күн бұрын
Asante sana padiri jonh kulwa ,ubarikiwe KWA SOMO lako utuombee ILI tuwe nanasfi safi ktk maisha yetu ya kiroho,
@SoniMwenebonjwa
@SoniMwenebonjwa 9 күн бұрын
Asante sana padiri KWA SOMO lako, mungu azidi kuongeza elimu yako ya kiroho, tupatie kushinda zambi zetu za asili,
@user-ci9lj2vq9n
@user-ci9lj2vq9n 9 күн бұрын
Amina
@MaryMfoi
@MaryMfoi 9 күн бұрын
Pumzika kwa Amani Magreth
@uncertgosbertuncertgosbert8362
@uncertgosbertuncertgosbert8362 9 күн бұрын
Mkuu mkuu nakupa kutokea Goweko city
@PauloKagolo
@PauloKagolo 9 күн бұрын
Asante sana mkuu
@uncertgosbertuncertgosbert8362
@uncertgosbertuncertgosbert8362 9 күн бұрын
Kushukuru ni kuomba tena baba
@avelinabaluhya2804
@avelinabaluhya2804 10 күн бұрын
Mungu atukuzwe ktk yote🙏
@siliviakokubanza-dz6qf
@siliviakokubanza-dz6qf 10 күн бұрын
Amina. Ahsante Baba kwa tafakari. Mungu atujalie tuwe watu wa shukrani.
@NicholasNalianya
@NicholasNalianya 10 күн бұрын
Heko Padre Mungu akutie nguvu na akufunulie zaidi kwenye mahubiri yako.