Пікірлер
@jamesmasome359
@jamesmasome359 2 күн бұрын
Nakweli zero ni zero tuuuuu uni uuu
@amirnassoro
@amirnassoro 2 күн бұрын
Wewe mama muogope mungu Tama zenu mungu ni moja tuu na yesu ni moja
@ConfusedDarts-yv4pr
@ConfusedDarts-yv4pr 4 күн бұрын
Sanamu Kwenye msalaba ni kielelezo tu! Haiabudiwi na haichukui nafasi ya Mungu! Sanamu anazochukiza nazo Mwenyezi Mungu ni zile zinazofanywa kuwa Mungu na zinaabudiwa kama Mungu mbona ninyi wazushi hamuelewe? Acheni kuhukumu kwa mambo msiyoyaelewa! Udumifu wa Imani hudhihirika, Imani potofu hugawanyika na haidumu! Kama unadhani ww ni mtakatifu tuombee na cc na sio kutuhukumu Mungu atusaidie.
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 4 күн бұрын
Amen
@user-hv3we8ld8m
@user-hv3we8ld8m 4 күн бұрын
😂😂😂😂😂kiboko ya wachawi😂😂😂
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 күн бұрын
Hongereni sana watoto kuna sisi mama zenu bado hatujui kabisa Mungu awabariki sana mkayaishi yale yote mliyofundishwa
@edinafaustinez8514
@edinafaustinez8514 5 күн бұрын
Hongera sana mkuu wa majeshi mabeyo mungu akutunze na pia akupe maisha marefu mabeyoo❤❤❤
@IsackBileha
@IsackBileha 5 күн бұрын
Mama,,,pole,,na hongera kwa kurudi nyumbani,,,kanisa ni moja tu,,,Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume🙏
@user-ns1dg4jd7q
@user-ns1dg4jd7q 3 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@judithmakoye6386
@judithmakoye6386 5 күн бұрын
@user-gf9yt8nl9t
@user-gf9yt8nl9t 6 күн бұрын
Kanisa Katoliki ndilo kanisa la kweli ambalo kupitia kwalo hakuna atakaye ing'oa mizizi na misngi yake ukiona...Shetani anatumia wepesi Ili watu waende kwakwe maana Katoliki haliongozwi kwa hisia,,,,Jitahidi uelewe ,fatilia na Mwisho maNabii wa Uongo washindwe na walegee wanakera ni wengii mnooo na hawajulikani wamesomea wapi na Nini chanzo chao kwaio tulione Hilo kwa kutumia maarifa✍️✨🙏🖐️
@Bettylaizery
@Bettylaizery 6 күн бұрын
Hakika huyo siyo mkatoliki kabisa kanisa Katoliki Lina Sheria na taratibu mazuri.huyu mama amesahau katoliki mafuta maji ya baraka. Tangatanga hata sala ya nasadiki hajui. CHUNGA IMANI KATOLIKI.
@user-oq7jw6kp6w
@user-oq7jw6kp6w Күн бұрын
Wengi huwa ni wale wanaosali kwa matukio tuu ,Mungu tusaidie sana
@elsymargotpulgar
@elsymargotpulgar 6 күн бұрын
Padre Gilberth. Lo saludo desde El Carmen de Bolívar ( Colombia ). Siempre presente en nuestras oraciones.
@elsymargotpulgar
@elsymargotpulgar 6 күн бұрын
Padre Gilberh. La paz del Señor, este con usted.
@mkomwaadam2645
@mkomwaadam2645 6 күн бұрын
Hakika ilifana sana I was one among the witnesses. Bwana yu mwema sana hongereni Breez
@K-go1qj
@K-go1qj 7 күн бұрын
Wengi watahangaishwa na kuiacha imani ya kweli
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 7 күн бұрын
Amina baba asante kwa mafundisho mazuri yenye kuimarisha.Mungu atuzidishie Imani zaidi kupitia kanisa Katoliki
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 8 күн бұрын
Yeah nisahihi na atafanya kitubio then atakili imani kwa ile sala ya nasadiki,,nazani niivyo km cjakosea
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 8 күн бұрын
YESU KRISTO REHEMA WATU WAKO
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 8 күн бұрын
HIZI NI NYAKATI ZA MWISHO YESU KRISTO YUKO MALANGONI TUJIANDAYE KUMLAKI
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 8 күн бұрын
Ni kweli MUNGU akurehemu Mama rudi kwa YESU KRISTO kwa maombi ya Toba
@gabapentin8070
@gabapentin8070 8 күн бұрын
Catholic for life ♥️🫶🏽
@josephlango5591
@josephlango5591 8 күн бұрын
Ni ujinga kufikiri na kudhani kuwa karama za Roho Mtakatifu huuzwa kama pipi. Hiyo ndiyo dhambi ya "Simonia". Kasomeni habari za Simoni mchawi na Mtume Petro kwenye Biblia na ufafanuzi kwenye KKK
@vitusmdegela5356
@vitusmdegela5356 8 күн бұрын
C kila aneneye kwa lugha ngeni ni roho mtakatifu, watuwangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, siwalaumu sana, Bwana awaonekanie katika kuomba kwenu kwenye imani iliyo IMARA Ifundishwayo kanisa katoliki.
@user-oq7jw6kp6w
@user-oq7jw6kp6w Күн бұрын
Amina🙏🙏
@josepherjosephpaul1138
@josepherjosephpaul1138 9 күн бұрын
Utaratibu wa kikatoliki ni sa hihi kabisa. Tunamfuata Yesu Kristo wa kweli. Hatubabaishi
@user-fm3ew9tu9y
@user-fm3ew9tu9y 9 күн бұрын
Tutulie Nyumbani Yesu Kristo anatusikia
@mussamabula-zt8zf
@mussamabula-zt8zf 9 күн бұрын
Fr ww ni intellectual kabisa, mimi nimepona kwa mahubiri yako
@Aminaobed
@Aminaobed 9 күн бұрын
Sekali inatakiwa kuchunguza sana haya makanisa mapya yanayoibuka Kila siku ni halali kufungiwa huyo nabii bado wapo wengi
@josephinegravasiano8860
@josephinegravasiano8860 9 күн бұрын
Hongera sana mama umefanya jambo jema
@consolatamushi7735
@consolatamushi7735 9 күн бұрын
Wakristu tumezidi kupenda mambo mepesi mepesi, kumfuata KRISTU hakuna urahisi. Mkristu beba msalaba wako mfuate KRISTU. Achana na manabii wa uwongo wanaorubuni kwa maneno matamu mdomoni! Usikubali kupeperushwa huku na huko. Mkatoliki baki njia kuu. Aksante baba Rwa'ichi kwa neno la uzima.
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 9 күн бұрын
Mkome nakiherehere cha imani... mara kula keki ya upako... hawa manabii watawalisha hadi mavi yao : m naonywa hamsikii hayo ndio matokeo ya ukaidi
@user-oq7jw6kp6w
@user-oq7jw6kp6w Күн бұрын
😂😂😂😂 nimecheka sanaa utadhani mazuri
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 9 күн бұрын
Hahahaa... ulitoka kimyakimya unataka kurudi kimyakimya
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 8 күн бұрын
😂😂😂😂wewe umenifanya nicheke.Mungu atusaidie nakutunusuru jamni.
@cyprianmwageni701
@cyprianmwageni701 9 күн бұрын
Rc iko sawa kwa malipizi hayo, pia kufungwa kwa kanisa hilo ni sawa pia serikali ingefanya mchujo na makanisa mengine
@janethtarimo7415
@janethtarimo7415 9 күн бұрын
😢😢😢mmmmmm
@OlivoKisembeke
@OlivoKisembeke 9 күн бұрын
Yote yafungiwe kwasababu watu waataabika sana
@doriceswai1854
@doriceswai1854 11 күн бұрын
Amina fr nimebarikiwa sana .Mungu akubariki
@ChrispinMwigan
@ChrispinMwigan 11 күн бұрын
Aswali na majibu
@JosephJoseph-h1s
@JosephJoseph-h1s 12 күн бұрын
Asante baba kwa mahubiri Yako tumepokea.
@JosephJoseph-h1s
@JosephJoseph-h1s 13 күн бұрын
Kweli wwanadam ni watu wa kuhangaika msahau kabisa kama maandimo yanavyosema ni kweli kabisa katoliki nawapa shavu
@JosephJoseph-h1s
@JosephJoseph-h1s 13 күн бұрын
Asante yesu wa ekaristi 10:28
@JosephJoseph-h1s
@JosephJoseph-h1s 13 күн бұрын
Achen matamshi ya kasfa kwa kabisa katoliki mtalaaniwa. Hilo ni kabisa mama.
@JosephJoseph-h1s
@JosephJoseph-h1s 13 күн бұрын
Kama unaimani amini ulipobatizwa sio kutangatanga hutaiona pepo.
@jeromejames-cu7hv
@jeromejames-cu7hv 15 күн бұрын
Mungu atukuzwe ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Laswaididas
@Laswaididas 17 күн бұрын
Nimepata faraja sana. Mungu akupiganie, na kukuza talanta yako Father wetu
@user-fw9vv8wi7m
@user-fw9vv8wi7m 17 күн бұрын
Tumekukumbuka sana baba njoo kugoma utuone
@MagingaJoseph-iw9nk
@MagingaJoseph-iw9nk 19 күн бұрын
Kanisa katoliki halilei waamini maana miujiza haileti baraka
@VICTORIAKIHAGA
@VICTORIAKIHAGA 20 күн бұрын
Asante baba napata baraka sana .
@MushiVicent
@MushiVicent 21 күн бұрын
MUNGU AENDELEE KUKUONGOZA,DAVOO WA LORI CONGO,
@MelkioryDigha-ry8nu
@MelkioryDigha-ry8nu 21 күн бұрын
Dah nzuri sichoki kuitizama
@Joyce-p6w
@Joyce-p6w 22 күн бұрын
❤❤❤❤
@user-sh8xp5dn3w
@user-sh8xp5dn3w 22 күн бұрын
Pole baba kwa kutoa homilia ya watoto wachanga