UKUMBI WA ANTONY MAYALA WAZINDULIWA RASMI
5:29
Пікірлер
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 13 сағат бұрын
Utume mwema Baba padre
@DevinusMabiba
@DevinusMabiba 7 күн бұрын
Atutampata raisi Kama magufuri mungu umpokekee ktk makao yake ya milele Amina ❤
@PerpetuaGeorge
@PerpetuaGeorge 7 күн бұрын
watoto wa kipapa wako vizuriii
@PerpetuaGeorge
@PerpetuaGeorge 7 күн бұрын
kwakweli organist yuko vizuri hongera
@PerpetuaGeorge
@PerpetuaGeorge 7 күн бұрын
kwakweli organist yuko vizuri hongera
@user-eg9ne2sb9c
@user-eg9ne2sb9c 7 күн бұрын
Nakumbuka tulikiwasha iyo siku
@ibanzatvonline
@ibanzatvonline 7 күн бұрын
Pongezi kubwa Kanisa Katoliki kwa Utamadunisho
@deosimba
@deosimba 8 күн бұрын
Padre Anania hujarefuka tu?
@ChrisFrancis-hd8sg
@ChrisFrancis-hd8sg 9 күн бұрын
Vivaa bukumbi hospital ❤❤❤❤❤
@josephatmkomi6573
@josephatmkomi6573 9 күн бұрын
Kitomari big up
@Eva-mn8ns
@Eva-mn8ns 9 күн бұрын
Magufuli hoyeee ,
@YohanaMbano
@YohanaMbano 10 күн бұрын
Hongereni sana❤❤❤🎉🎉
@WilliamNestory-rn2wh
@WilliamNestory-rn2wh 11 күн бұрын
Hongereni sana wana wa kwande umetukumbusha kurud nyumbani mwanza kumenoga pia nimefurah kumuona kaka Derefinus baada ya kupotezana cku nyingi
@buselaelias211
@buselaelias211 12 күн бұрын
Organist japo cjui jina lako hongera sana umeipamba Misa kw setting nzuri ya kinanda na fingering tamu sana
@happymarchiusnjungani1138
@happymarchiusnjungani1138 12 күн бұрын
Hongera Sana watoto pia Baba Mlez Fr.Busanda Barikiwa Sana
@user-yi6cf2jh9f
@user-yi6cf2jh9f 15 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@DevinusMabiba
@DevinusMabiba 15 күн бұрын
Hongera sana
@laurentlugema593
@laurentlugema593 17 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@NdamboAgano-hu2ci
@NdamboAgano-hu2ci 18 күн бұрын
Pumzika kwa Amani
@DavidZetekaPius
@DavidZetekaPius 18 күн бұрын
❤🎉😊
@TajiliusNdau
@TajiliusNdau 18 күн бұрын
Pongezi sana baba
@wilbrodtungaraza6204
@wilbrodtungaraza6204 19 күн бұрын
Hongereni sana Wana Jimbo kuu la Mwanza Kwa kutembekewa na mgeni mkubwa sana
@user-iy6ot4bd2p
@user-iy6ot4bd2p 19 күн бұрын
Hakika ilikuwa ni Furaha kubwa kwa wana Kirumba na wageni wetu kwa Ujumla, Baba Mwadhama Kardinali Tunakushukuru sana kwa Baraka, Tunakutakukia Utume Mwema.
@happymarchiusnjungani1138
@happymarchiusnjungani1138 20 күн бұрын
Mwadhama Kadinal Asante Sana kututembelea parokia ya kirumba Mungu akubariki ktk utume wako
@ROZIMARYLUTEMBEJA-cv6qp
@ROZIMARYLUTEMBEJA-cv6qp 22 күн бұрын
Hongereni sana Mungu awatangulie na tnawaombea uaminifu wa kudumu daima,kwani malipo ya kazi zenu ni Uzima wa milele
@JamooUrio
@JamooUrio 26 күн бұрын
Endeleeni kuweka video nyingi na kwenda live...kazi nzuri
@eliasnganira7661
@eliasnganira7661 27 күн бұрын
Kanisa letu lina kauzembe na ushahidi anautoa baba Askofu
@malifezajrdealf8982
@malifezajrdealf8982 27 күн бұрын
Ahsante baba askofu kwa ukumbusho
@dorothykabora2173
@dorothykabora2173 Ай бұрын
Safi sana. Kila jema kwenu Vijana
@dorothykabora2173
@dorothykabora2173 Ай бұрын
Hongereni Watoto, Mungu awasaidie muweze kufanikisha Malengo yenu
@FranciscoAmos-cx2zh
@FranciscoAmos-cx2zh Ай бұрын
Nilkuwepo,Baba alinipa kipaimara kabla hajalala! Bwana ampe raha ya milele
@KapumbeNny
@KapumbeNny Ай бұрын
woooooooh NYC
@aderickanatorypesha4004
@aderickanatorypesha4004 Ай бұрын
Huyu ni Baba msomi mchumi ,nimekaa naye Sana . Ningelipata fursa kufanya naye kazi maendeleo
@Boniphace222_trust_God
@Boniphace222_trust_God Ай бұрын
Amina sana 🙏🙏
@enockmaige8936
@enockmaige8936 Ай бұрын
Tunakumbuka daima baba
@DionizLubango-of2wk
@DionizLubango-of2wk Ай бұрын
Asante Baba Kwa Maelezo mazuri
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 Ай бұрын
Congratulations keep it up good job ❤❤
@user-sh9vr2xm9i
@user-sh9vr2xm9i Ай бұрын
Hongereni Sana ,kazi nzuri Sana. Mungu awabariki kwa sadaka hii
@user-zq3zt8yk5s
@user-zq3zt8yk5s Ай бұрын
Barikiwa kwautume wenu na baba apumzike kwa. Aman Amna
@mamangodoki3734
@mamangodoki3734 2 ай бұрын
Hongera Mama mkubwa wa Shirika na wasaidizi wako
@StellahMartine
@StellahMartine 2 ай бұрын
Dunia simama nishuke,nimekua jmn
@emmanuelmogela5871
@emmanuelmogela5871 2 ай бұрын
Uyu dogo anaweza mwanangu, ila kwanini siku ya magu haipewi kipao mbele Ina mana hawaoni matunda aliyo acha mzee
@user-ks7tr1fd5d
@user-ks7tr1fd5d 2 ай бұрын
Daaaaaaah pumzika kwa Amani baba wa wanyonge. Watanzania bado 2likuwa 2nakuhitaj lakin MUNGU kakuhitaj zaid. Ubarikiwe sana kijana kwa kumuenz baba wa wanyonge piaa hongera sana kwa kipaj chako MUNGU azid kukuina zaid na zaid. R.I.P 😢😢😢😢Magufuli
@VeronickaAdam-jn4rn
@VeronickaAdam-jn4rn 2 ай бұрын
Kijan hongera sana kwa kumwekti bwana John pombe magufuli, naamini tutamkumbuka kwa mazuri!😊
@mathahosea6783
@mathahosea6783 2 ай бұрын
Jaman daah
@malifezajrdealf8982
@malifezajrdealf8982 2 ай бұрын
Endelea kustareheshwa Pema peponi amina.
@HoseaPeter-yu3qh
@HoseaPeter-yu3qh 2 ай бұрын
Kiasi gani nimetoa machozi umenikumbusha mbalii
@magrethmathayo2800
@magrethmathayo2800 2 ай бұрын
daaaaaa umenifanya nimelia tena 😢😢😢😢😢
@tiopherysanga2934
@tiopherysanga2934 2 ай бұрын
vyote vipo kichwani kama jpm
@tiopherysanga2934
@tiopherysanga2934 2 ай бұрын
kijana anajua sana tena sanaaaaaa🎉