Misumari ni mingi kwenye ligi yeti,yaani ushirikina,angalia ata Ile Simba mbovu msimu uliopita tulikua yunafungwa ovyo ovyo hapa kwenye ligi lakini timu Ile Ile inapokwenda nje inacheza tafauti kabisa,yanga wanaamini ushirikina sana ata mayele aliliweka wazi jambo ilo
@PROPHETPCANTENA2 күн бұрын
Aucho Alie pungua uzito
@albertlambert28102 күн бұрын
Mi najua . Mnao kejeli viwango vya wachezaji wa Simba sio shabiki wa Simba..ni wanafiki
Mukwala ni mchezaji mzuri ,atawafunga yanga mabao yakutosha yanga wajipange.
@nabiimgongolwa87284 күн бұрын
MKWALA MZURI ALIKOKUWA LAKINI KWA SIMBA ATAFELI KWA SABABU SIMBA HAWANA UVUMILIVU MCHEZAJI AKIFANYA MAKOSA.
@oscarvumbama5 күн бұрын
Hapana jamaa Yuko vizuri
@kelvinmikida5 күн бұрын
wachezaji wanaokuja simba ni wazuri ila wakishacheza na yanga tu, ubovu unaanza kuonekana🤓🤓🤓maana kipicho sa sahihi kwa vilabu za nje na ndani ya tanzania ni kucheza na yanga
@fj83174 күн бұрын
Akili yako IPO matakoni
@muksinimbaruku12333 күн бұрын
Nikajuwa unataka kusema yanga wachawi
@saidi-cu5fy6 күн бұрын
Sawa midi
@garasianpetro95910 күн бұрын
Yuko vizuri lakini
@garasianpetro95910 күн бұрын
Yuko vizuri lakini 0:22
@user-qw5ke5co5b10 күн бұрын
Fundi karibu simba
@Nellysonnathan11 күн бұрын
huyunimtu nanusu🎉
@japhetsyerest27612 күн бұрын
Aje kwel Tunamsubili kwa hamu
@YOSHUAMWAMPETA13 күн бұрын
MBONA HILO GOLI HATA MIMI MSHABIKI NAFUNGA! TUACHE KUWASIFIA SANA WACHEZAJI TUSUBILI LIGI IANZE NDIPO WACHEZE NASI TUTAONA KWA MACHO YETU
@BenAman-cm5kx7 күн бұрын
Nenda kafunge hilo goli😂😂😂
@YOSHUAMWAMPETA7 күн бұрын
@@BenAman-cm5kx NIMEISHAFUNGA .
@DavidGershon14 күн бұрын
Siyo mzuri wa kumfikia chama sema kashamwaga wino haina namna 😢
@YasiriHamisi10 күн бұрын
Acha kukalili mpira mbuzi wew kwani chama alikuwa hivi Kipindi anakuja simba
@ChrespenSilwimba14 күн бұрын
Wamepigwa tena😂😂😂😂😂
@jumakidunda7814 күн бұрын
Nawajuza tu style yake y kushangilia anaruka kavu,,,, style hiyo ya kushangilia wachezaji wanafunga sana
@RamadhaniDuruduru-y3p14 күн бұрын
Ngoja tuone Stivin Mukwala
@user-gy3wo2ez4d14 күн бұрын
Kuna jamaa namba nane nimemuona anajua sana uyo alitoa asist tungemchukua pia sa tunamleta peke😂 nan anamlisha ss
@iddybora187615 күн бұрын
Eti job baca chura tuu
@iddybora187615 күн бұрын
Uyo kibaca chura tuu
@daudimichael733815 күн бұрын
Mbele ya Bacca, Job, Kwasi na Boka, halafu wanalindwa Aucho, kazi atakuwa nayo, aje tu😂