MOROCCO SQUARE - BUY | LEASE | INVEST
2:43
HODI CHUO KIKUU - UDSM
29:26
2 ай бұрын
PBZ KUTOA MKOPO BILA KIKOMO
30:22
3 ай бұрын
Пікірлер
@nakivonamediatz
@nakivonamediatz 12 күн бұрын
Kwani ilipaswa kuisha lini?
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 16 күн бұрын
Tqtizo mnaficha bei kaa na nyumba zenu
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 16 күн бұрын
Mnaboa sana semeni bei
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 16 күн бұрын
Story nyiiiiiingiiii bei.gani sema.acha story
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 16 күн бұрын
Pandisheni msangi. Hizo.nyunba maua ikikazia maji.yanajaa.ndani
@chichimzuzu6827
@chichimzuzu6827 20 күн бұрын
Ni Bei gani kwa nyumba?
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 28 күн бұрын
MLIMANI CITY BAADAE INATAKIWA ITUMIKE KUFUGIA MIFUGO , ZIKIJENGWA MALL ZA MAANA MAANA NI KAMA VIBANDA VYA MAONYESHO
@evaemil856
@evaemil856 Ай бұрын
Kuna nini Kilimanjaro, Serengeti kote huko mbona sijasikia akina Albert, Getrude wanateuliwa kuwa katibu au mkuu wa mkoa huko Pemba na Unguja?
@saidiyusufumuhode3159
@saidiyusufumuhode3159 Ай бұрын
Kwanini msipangishe badala ya kuziuza ?
@tonyaron1194
@tonyaron1194 Ай бұрын
Hayo majengo 51 yapo wapi hata hayaonekani majengo ovyoooo mnajenga mikoa mingine huyo mkuu anafanyakazi kazi gani tunazidiwa hata na miji mingine midogo xn
@chochotekitu-hf6of
@chochotekitu-hf6of Ай бұрын
Tusaidieni whatsap number wengine tupo injection ya inch.
@chochotekitu-hf6of
@chochotekitu-hf6of Ай бұрын
Naomba namba ya shirika kwa maelezo zaid samahani
@dicksondominic9217
@dicksondominic9217 Ай бұрын
NHC hawana mpango na Mbeya sijui ni Kwa nini. majengo yote ni ya zamani hawana miradi mikubwa kama ya Mtwara ,Singida ,Mwanza, Dodoma na kwingineko Kiufupi Mbeya imesahaulika
@user-kp7wu9zc1k
@user-kp7wu9zc1k Ай бұрын
Bei
@Skomi-0nedayyes
@Skomi-0nedayyes 2 ай бұрын
Utaratibu gari kwa park mwisho mbili tu na razima kila nyumba iwe na park yake ata kama mtu hana gari lakini park yake iwepo pasipo muingiliano.
@Skomi-0nedayyes
@Skomi-0nedayyes 2 ай бұрын
Nyumba zinatakiwa ziwe na lift uwezi kujenga ghorofa nne zaidi bira kuwepo na lift kuna waremavu na kuna wagonjwa pia sio kila mtu atataka kutumia ngazi, na ata Wakati wa kuamia ni tabu kupereka vitu juu.
@fredyjunior6961
@fredyjunior6961 2 ай бұрын
KWA KWELI YALE MAJENGOBYENU PALE FIRE YANACHAFUA MJI. BOMOENI MJENGE MAJENGO MAPYA
@eudoaidan
@eudoaidan 2 ай бұрын
But professora Omary the goverment need to impose the landscape architecture
@TinahBennypaul-ms2jg
@TinahBennypaul-ms2jg 2 ай бұрын
Plz jaribuni kuweka maeelezo vzr ni kiwanja tupu au pamoja na nyumba
@modenasayi
@modenasayi 2 ай бұрын
Hivi nyinyi NHC mnaona uchafu wenu pale fire kwanini msibomoe ile uchafu mjenge vitu vya maana
@fredyjunior6961
@fredyjunior6961 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 ай бұрын
Mbarikiwe saaana Shirika la nyumba la Taifa
@geofreymalekana8000
@geofreymalekana8000 3 ай бұрын
Kazi nzuri 👏
@jumashedafa
@jumashedafa 3 ай бұрын
Kwann shirka la nyumba msiwe mnaanzisha miji mfano kama magufuli city..Kama hapo Dar mnatafut eneo mnajenga mji wenye nyumba za design mbalimbal na za kuvutia hii kwang nahis itapendeza zaid na kuifanya miji iwe ya kisasa zaid hasa hizi za makaz na si kujenga moja moja labd pale penye uhitaji wa kufanya ivy...Sisi tuna maguful city ile ile ni utawala zaid...kenya wao wana konza city na lile ni mult-purpose...Bas na sisi tujenge miji hiy ambayo itakuwa na makazi, maduka, malls, hotel na mikahawa, viwanja vya michezo nk...Na hiy itakuz pia utalii wa ndan yan mtu anawez toka tu ngoj niend mfano Samia city...kile kitendo cha kutoka kuna nauli ya kipando au kuweka mafuta ktk kipando, atafik eneo hilo atakula labd na kula, atanunua mahitaj ya nyumban au vilivyomvutial nk..tyr keshakuz kipato cha mtanzania mmoja mmoja na mapato serikalin kupitia kodi...Hivy napend kushaur tusiwaz nyumba tu...tufikir zaid ya nyumba yan ata hao watalii mnawez mkabland hiy miji na wao wakawa wanaitembelea wanafurahia
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 ай бұрын
wazo zuri saana natumai wahusika watalizingatia
@kwisa4899
@kwisa4899 3 ай бұрын
akili hizo zipo sasa
@JustinePatrinius
@JustinePatrinius 2 ай бұрын
Iyo tatu city akuna cha manaa
@caesar7745
@caesar7745 3 ай бұрын
Nyumba bado zipo
@richardbegga6679
@richardbegga6679 3 ай бұрын
Jengeni pale Mwanza kwenye Milima majumba ya Kifahari na Muingie Mikataba na Migodi kama GGM na Mgodi mpya wa Nyanzaga razima Watumishi wao watapanga na Kununua tu hizo nyumba na Wachimba wadogo wako na pesa sana iwe kama pale Cap town SA zile nyumba ziko juu mlimani bahari Iko Chini View Nzuri na hapo Mwanza inawekana kabisa munawalipa Fidia na kujenga nyie Nyumba za Kibiashara au munaingia Ubia na Harimashauri.Hata Majengo yenu ya hapo Mjini kati na Mwanza na Arusha ni ya Kizamani sana
@chrispinerespicious1432
@chrispinerespicious1432 3 ай бұрын
Tofali moja bei gan
@jameshensdouglass7632
@jameshensdouglass7632 3 ай бұрын
Good
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 3 ай бұрын
Wekeni barabara za zege ama cabro sasa
@MeenaHassan-fd9vv
@MeenaHassan-fd9vv 3 ай бұрын
duh siyo poa inapendeza sana
@hashimshaban4675
@hashimshaban4675 4 ай бұрын
Acha kutuchanganya nyumba zipo au zimeisha?
@MwombekiJovitus
@MwombekiJovitus 4 ай бұрын
Iko poa
@hashimshaban4675
@hashimshaban4675 4 ай бұрын
Bei ya nyumba normal na duplex TSH ngapi?
@user-hj1qs8hf7v
@user-hj1qs8hf7v 4 ай бұрын
Tatzo amtaji bei
@juma3473
@juma3473 4 ай бұрын
❤❤❤
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani 5 ай бұрын
Nateseka sana nikiziona hizi nyumba😊Ee muumba mbingu na nchi shusha baraka zako ili nami nijikinge na mvua😂
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani 5 ай бұрын
Wajanja watauziana wenyewe kwa wenyewe/mabaniani ponjoro ndio watajaa hapo kama kariakoo.
@TinahBennypaul-ms2jg
@TinahBennypaul-ms2jg 5 ай бұрын
Vip bado vip ama
@lillianreuben4239
@lillianreuben4239 5 ай бұрын
Loved it, quite educative indeed.
@AllyMbega
@AllyMbega 5 ай бұрын
❤🎉
@baluhiphilipbudika7612
@baluhiphilipbudika7612 6 ай бұрын
Hbr, mashirika yetu yenye kuwezesha upatikanaji wa viwanja, wamekuwa wakijikita kupima viwanja na kuwaahidi wananchi wataweka huduma za jamii kama barabara, umeme, maji na usalama. Hadi leo, hakuna barabara, madaraja, maji, umeme n.k. Ukitaka kwenda huko hakuna njia rasimi inayokupeleka moja kwa moja kwenye eneo husika, hapafikiki kwa urahisi. Tuombe sasa NHC wasimamie ahadi zao kwa kuweka miundo mbinu mahususi badala yakuweka ahadi zisizokuwa na mashiko.
@user-dd3ek5fh5g
@user-dd3ek5fh5g 6 ай бұрын
Kazi nzuri🦾🇹🇿
@abedomar5183
@abedomar5183 6 ай бұрын
Daaah sema hivyo vibao vya mitaa aibu tupu
@davidcurtis175
@davidcurtis175 6 ай бұрын
Liwe la mataaa eee ndio unavyotaka
@abedomar5183
@abedomar5183 6 ай бұрын
@@davidcurtis175 bwege kama wewe c hujatembea ndo maana hujui kitu nonsense
@davidcurtis175
@davidcurtis175 6 ай бұрын
@@abedomar5183 mpumbavu mmoja wee mpaka leo umekuwa mtumwa wa kifikra unaishi kwa kukariri maisha ya ulaya mwehu mkubwa kutembea unaamanisha kutumia miguu au kupanda ndege na kutembea unatakiwa kufika nchigani ili uwe umetembea, mimi nimebadili pass mara tano sasa nimesafiri kwa ndege kwa meli ndio usiseme vp wewe sio kama hawaoni hivyo vibao ila vinafanywa kinyumbani zaidi sio kuiga iga tu kila kitu.
@charlesmarco248
@charlesmarco248 6 ай бұрын
Je naweza pata mkopo wa nyumba ya makazi Arusha
@nicksonkahwa438
@nicksonkahwa438 6 ай бұрын
Safi sana NHC mnafanya vizuri sana.
@user-vp2vt5vp7c
@user-vp2vt5vp7c 6 ай бұрын
nahis mtanzania kawaida hawex kununua labda wagen
@user-hf4mv5gu3f
@user-hf4mv5gu3f 7 ай бұрын
Mbeya vipi nhc?
@amosieliadi1504
@amosieliadi1504 7 ай бұрын
Mbona mbeya hamjengi nyumba nzur
@user-rj5dj8vu8p
@user-rj5dj8vu8p 7 ай бұрын
Naitaji mkopo wa nyumba napataje?
@ShirikalaNyumbalaTaifa
@ShirikalaNyumbalaTaifa 7 ай бұрын
Karibu sana na uwasiliane na Benki ya Azania wanaotoa aina hiyo ya mkopo
@godfreymushi6966
@godfreymushi6966 8 ай бұрын
Hovyo.badala ya kutaja bei watu wajuwe bei unaleta ujinga
@godfreymushi6966
@godfreymushi6966 8 ай бұрын
Nyiwe watu wa ajabi sana hakuna nyumba inalipwaga mwaka mmoja