Snash nataka kujua katika mfumo wa magari kwa nini kuna left handed na right handed kwanini usingekuwa mfumo mmoja tu
@MabenaKasumulu10 сағат бұрын
Fanya review ya movie inaitwa snowfall
@ezekielraphael640816 сағат бұрын
Kaka naweza ipata hyo device
@AdamHamisi-ml1gd16 сағат бұрын
Kwel brother unajua kinoma wakupe kipind wasaf
@user-bk9vl1en1j17 сағат бұрын
Snash mbon hujawah kufanya review ya Samsung ring
@ledfashionmk18 сағат бұрын
Ni kama gemini tu
@erickmbilinyi205618 сағат бұрын
Gemini ni 🔥🔥🔥
@FURAHA_NI_HAKI_YAKO20 сағат бұрын
Of course usalama hamna 😅
@godlovemsigwa485021 сағат бұрын
Safi mkuu
@bestokingКүн бұрын
Mimi nina wazo nahisi linaweza kuleta maendeleo
@erickmbilinyi205618 сағат бұрын
Wazo gan hilo
@ramadhanhassan6570Күн бұрын
Kaka tunaomba review ya hdmi
@ermatvКүн бұрын
Ai NI kitu kidogo sana
@user-dg7wf6fg2j22 сағат бұрын
Ni kweli kidogo ila kinaenda kutumiza itatukamatisha taarifa zetu wanazo vizuri
@user-nq3xj9mh8oКүн бұрын
Kaka tunaomba reviews ya movie ya matrix
@iampantah9284Күн бұрын
he was depresed
@leonardkahimba9815Күн бұрын
Kaka shnash naomba tueleweshe kuhusu hdmi kwenye tv maana yake nn na inafanyaje kazi
@DjsunirytzКүн бұрын
ACH uviv wa kutumia ubongo
@amaningobayi711418 сағат бұрын
Kwakweli Ni HDMI
@FedhaVanbility8 сағат бұрын
nunua tv na HDMI na uta ona inavyo fanya kazi pumbavu@@amaningobayi7114
@canaafricaКүн бұрын
💥💥💥💥
@SlyvesterMatiko-ql9miКүн бұрын
❤❤❤😂😂😂😂😂
@muhammedothman8390Күн бұрын
❤❤❤
@MarveltanzaniaКүн бұрын
Ngoja tuona kama iron man akiwa kama dr doom kutamfaa Kraven the hunter | official trailer kzfaq.info/get/bejne/ldOeeJmjmtXDmok.htmlsi=AbL2HM85ZUoAc43H
@angeloriodancerКүн бұрын
Yes Chris Evans amekuja kama “Human Torch” ya movie Fantastic Four!!! Sasa hajaabadilisha 😍🔥🔥🔥
@Issaali-it4ntКүн бұрын
Asante kwamsaada wako bro
@HUSSEINNKAZILY2 күн бұрын
Snash mbona naona kama kuna avengers doomday kama imeachiwa tela lake
@YunusHassan-dl2md2 күн бұрын
Umetisha snash tz 😊
@minjaDax79523 күн бұрын
Kaka tunaomba review ya apocalypto 2
@stanleynombwe48653 күн бұрын
Range sport ina mil 200 kwa nn Vogue ina hadi mil 800
@JordanDonatus3 күн бұрын
Oaaaa sterling ameuvaa huusika vzr sana kweny hii movie na upande wa jambazi uko vzr
@MwanaidiJuma-z8x3 күн бұрын
Bei yatv ni sh ngapi
@munisiamosi29383 күн бұрын
Kaka kuna device inaitwa FRIEND Tunaomba review
@arnoldnickson29123 күн бұрын
Ila character kma captain America ni character muhimu sana kumuondoa daahh sio poa yaan
@johnisuto93884 күн бұрын
Snash tunaomba review ya bad boys do or die
@borntown69454 күн бұрын
Snashi ebu nitofautishie kati ya xiaomi na redmi naona sielewi
@rickwilliams26415 күн бұрын
Chief salama nahitaji tv TCL 65 inch QLED kwa wale jamaa wa lampard vp hmna ofa ya punguzo la bei nikachukuwe me na 1.5m
@NuruShaban-p8e5 күн бұрын
Muda mrefu ulitusahau
@KheyrMt-go1jw6 күн бұрын
hii muvi pindi naiangalia yakanijia mawazo kua kuanzia leo sito amini serekali niwaongo
@DanchiboMnyama6 күн бұрын
Unyama sana
@JoshuaDavid-gl7hv6 күн бұрын
ERTENALS IS THE BEST IN EVERY WAY
@caizkd2556 күн бұрын
I'm ur fan mzee ila next time uwe unaanza hata na SPOILER ALERT babu didn't know about cap na Wesley snipes 😂😂
@denis0n6076 күн бұрын
Basi utamu kwisha hapo 😂😂
@SenetorSaid-qk1hl6 күн бұрын
Me nadhani hyo ni muendelezo wa Multuniverse ndomaan characters wa MCU wanabadilishiwa koo me naona huwo ni muendelezo wa multunivers
@mussalaurian6 күн бұрын
Huna maajabu saiz yan story ninyingi lakin unapotea ukirud unaleta mambo ya kitoto
@Peaceman-S6 күн бұрын
Babu unapoonekana unaboa video zinachunda babu weka video tuu kama mwanzo acha kuuza sura....ukiiweka video inakuwa na sauti nzur sass kuonekana unazingua babu
@kenoxxkiller6 күн бұрын
Range extender naipataje
@IbrahimMbega-cq1eu7 күн бұрын
Brother naomba review ya Oppenheimer ya 2023
@Ghostte_notte7 күн бұрын
Sasa Itakuaje kwa yule Villain Kang the Conqueror. Tulie muona ktk Ant man and wasp Quantumania. Mana marvel ukienda ktk Site yao hata sahiv, ukiangalia mov inayo kuja ni Avengers Kang Dynasty. Mwaka 2026. Kwaio walivo weka Avengers Doom's Day mwaka huo huo ndo wame i Replace Kang Dynasty Ama. Mana itakua Multiverse saga Ya kang the Conqueror ndo imeishia hapa. Akati Loki season 1 and season 2. Inatuelekeza Tuangalie kitacho fata ktk Avengers Kang Dynasty ilio Canceliwa baada ya kumuua Who He Remain. Sijaelewa, Marvel wanachanganya sana
@MaverickMichael-jy9tn6 күн бұрын
Imekuwa replaced na hii mpya ya Avengers: Doomsday, baada ya actor Jonathan Majors kukutwa na kosa la kumpiga mkewe, akafutiwa mkataba na Marvel Studios, hivyo Avengers 6 ambayo ni Secret Wars ilitakiwa kufuata baada ya Kang Dynasty... lakini Marvel wameamua kuingiza villain ambaye atakuwa anagusa idea yao moja kwa moja ya Multiversal Saga, hakuna mwingine kwa wakati huu zaidi ya Dr. Doom
@Ghostte_notte6 күн бұрын
@@MaverickMichael-jy9tn Duuu. Sawa kaka nimekuelewa sana
@RamadhaniMussa-u4k7 күн бұрын
Mcu watakua wamekosea sana kama watamrudisha Wesley snipes as a blade wamwache dogo mahershala ally dogo anafit kuwa blade wa mcu
@denis0n6076 күн бұрын
Wesley hawezi kurudi labda kwenye multiverse huko aje kama variant ila Mahershala Ali ndio main cast wa Blade for upcoming Blade Movie 2025
@shaidanidecoration10077 күн бұрын
Unayam san
@EzekielNuhu-n3v7 күн бұрын
Naomba namb
@YunusHassan-dl2md7 күн бұрын
Asante sana kaka snash jambo nililo kuomba kama mshabiki wako umelifanyia kazi Asante kk 🫡
@LukawisehusseinAli7 күн бұрын
😂😂😂😂ilike 🐈
@user-ju1vl3cg5y7 күн бұрын
Ina bei gan
@tinchy-b1i7 күн бұрын
Watakavyofanya ni kwamba iron man atarudi lakn akiwa wa altenate universe kisha atakutana reeds na irone man anaamin yeye ndio smart person alive so kukutana na reeds ambae n smart zaid yake na yeye alivy na ego ndio atajaribu kua smart zaid ya reeds ndipo dr doom atatokea apo