Пікірлер
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 8 күн бұрын
👍👍👍💚🧡
@victorialuvanda9222
@victorialuvanda9222 9 күн бұрын
Samli n nn
@abdulhajiahmed8735
@abdulhajiahmed8735 9 күн бұрын
Tanga hakuna mchezo kwa mapishi ya vyakula bila kusahau nazi Ahsante MashaALLAH
@ukhtyzainab7254
@ukhtyzainab7254 9 күн бұрын
Thanks❤
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 8 күн бұрын
You're welcome 😊
@josephzenda3827
@josephzenda3827 27 күн бұрын
nimepiiita uko lakin hapa kabej limepikwa❤❤
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 26 күн бұрын
Asanteee😊
@user-vb1mp1jr6z
@user-vb1mp1jr6z Ай бұрын
Masha allah dada ang mungu azidi kukuwekaa🙏🤲🤲🙏
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 Ай бұрын
Amiin ya rabb🤲
@FarajaTarimo
@FarajaTarimo Ай бұрын
Hueki maji
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 Ай бұрын
Hapana….sababu tumeshatumia maji kwenye kuchujia tui
@user-vg9nw8iz6k
@user-vg9nw8iz6k Ай бұрын
Pishi pambe
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 Ай бұрын
Karibu😂🔥
@PhilimoniDaudi-ir9lv
@PhilimoniDaudi-ir9lv Ай бұрын
Na Mimi pia nitajaribu
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 Ай бұрын
Karibu❤️
@PhilimoniDaudi-ir9lv
@PhilimoniDaudi-ir9lv Ай бұрын
😮
@MaryKasunga-im9km
@MaryKasunga-im9km Ай бұрын
Asante snA nmependa na rahis mnooo
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 Ай бұрын
Karibu❤️
@neemachomo8390
@neemachomo8390 2 ай бұрын
Nimependa,mahitaji machache na mapishi rahisi
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 2 ай бұрын
Shukran❤️
@SamwelJohn-vt5od
@SamwelJohn-vt5od 2 ай бұрын
Mafuta hayatumiki?
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 2 ай бұрын
Ukipenda unaweza kuweka…ila sisi hapo hatukuweka kabisaa
@sobbyesmail5278
@sobbyesmail5278 2 ай бұрын
Ma shaa Allah
@mariamumohamedi4047
@mariamumohamedi4047 2 ай бұрын
Inafaa mchele kusaga mashineni?
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 2 ай бұрын
Ndio
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 2 ай бұрын
Safiiiii
@sofiamasseelyas7553
@sofiamasseelyas7553 2 ай бұрын
Bonjour. Svp les deux tasses font combien en centilitres ? merci !
@fatmammassy3532
@fatmammassy3532 3 ай бұрын
MashaAllah nimevipenda
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 3 ай бұрын
Asante❤️…karibu tena
@Daniella249
@Daniella249 3 ай бұрын
Nimekuelewa vizuri nitajaribu naamini nitaweza
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 3 ай бұрын
Utaweza tu hbbty❤️
@pamelaaminaamina8946
@pamelaaminaamina8946 4 ай бұрын
Nataka namba yako pls pls
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 4 ай бұрын
0657728204
@shamirasalemwalla8920
@shamirasalemwalla8920 4 ай бұрын
Mpande ingine na takiwa ku roast? Tuna ona mbichi.
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 4 ай бұрын
Huo upande wa juu unaiva kwa mvuke/steam ndomana tunakuwa tunafunika na mfiniko
@ArafaOmbeni
@ArafaOmbeni 4 ай бұрын
Simple
@maryamabdulkadir4027
@maryamabdulkadir4027 4 ай бұрын
Jee sausage ulichoma n mafuta kabla ya kubake??
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 4 ай бұрын
Hapana sikuipika kabla sababu uki bake na mkate inaiva humohumo❤️
@hadijawaziri-ld9xt
@hadijawaziri-ld9xt 4 ай бұрын
Mashallah
@fatumamorris7581
@fatumamorris7581 4 ай бұрын
MashaAllah
@22222lucia
@22222lucia 4 ай бұрын
Mashallah❤
@siamushi2916
@siamushi2916 4 ай бұрын
Ziko njema sana
@MJEGEJEEE
@MJEGEJEEE 4 ай бұрын
Je una weza kufinika zaidi ya lisa
@user-uk6te8me1q
@user-uk6te8me1q 4 ай бұрын
Ww hutumii mayai
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 4 ай бұрын
Hapana siweki kwasababu mayai yanaleta harufu kwnye chilla…lakini unaweza kuweka
@christinainnocent3184
@christinainnocent3184 3 ай бұрын
Vitumbua haviwekwi mayai kabisa . Mayai huwekwa kwenye keki na maandazi
@salamamana
@salamamana 4 ай бұрын
MashaAllah
@user-jf1eg2mi4i
@user-jf1eg2mi4i 4 ай бұрын
Nina swali mfano ukapikia na chungu
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 4 ай бұрын
Pia sawa…kwasababu frying pan za cku hzi kama ugae
@faudhiakazinja6913
@faudhiakazinja6913 4 ай бұрын
Nimetengeza chapati kwa muongozo wako na MashaAllah zimetoka vizuri sana… asante😍
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 4 ай бұрын
Shukran…Jazakallah khair❤️❤️❤️
@nanamohamed6093
@nanamohamed6093 4 ай бұрын
❤❤❤wow mashallah Mzuri mno. 🎉
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 4 ай бұрын
Thankyou❤️
@neemalyimo8921
@neemalyimo8921 5 ай бұрын
Naweza pika kwa jiko la mkaa
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 5 ай бұрын
Ndio unaweza
@user-lt5uq8mf1g
@user-lt5uq8mf1g 5 ай бұрын
1
@mohamedaayda6060
@mohamedaayda6060 5 ай бұрын
Maziwa ya pakti ya 500
@mohamedaayda6060
@mohamedaayda6060 5 ай бұрын
Kwa maziwa ya 500 mayai, waeza weka 4 ama?
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 5 ай бұрын
Unaweza kueka…ila itakuwa ngumu kdogo
@user-dl3ep1ow3y
@user-dl3ep1ow3y 5 ай бұрын
MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR. I AM PROUD OF YOU MY SISTER FROM TANGA .I AM LIVING IN UK 🇬🇧 LONDON BUT I AM ORIGINAL FROM KENYA MOMBASA. BUT I AM PROUD PEOPLE OF TZ .JUMA MUBARAK AND EID MUBARAK FROM BOTTOM OF MY HEART ❤️ 💙 💜 💖 💗 UR BROTHER SIDIK FROM UK 🇬🇧 LONDON WS. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 5 ай бұрын
Shukran, It means a lot really❤.
@mms9158
@mms9158 6 ай бұрын
Nimenda mmmm wau thanks❤
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 5 ай бұрын
Karibu❤
@AnnaEzekiel-zc3vf
@AnnaEzekiel-zc3vf 6 ай бұрын
Unaweza kupika kwenye mkaa?
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 6 ай бұрын
Yess ndio.....kwanza inabid uweke maji kidogo ata nusu au kikombe kizima alafu akishakauka maji unampalilia moto wa juu na chini.
@user-fk2ls5nt5h
@user-fk2ls5nt5h 6 ай бұрын
nimependa ulivyo elekeza lakini pia huwezi kumtumia maji na maziwa pee
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 6 ай бұрын
Shukran❤.....Ila ukiweka maji unakuwa mgumu.... kwhyo nakushauri bora utumie nazi tuh
@littlepie5914
@littlepie5914 6 ай бұрын
Maashallah pambe
@user-fr1be4jo7v
@user-fr1be4jo7v 6 ай бұрын
Vizuri sanatorium 😍😍
@RacherBakari-qh2gx
@RacherBakari-qh2gx 7 ай бұрын
Sasa hili ndio pishi sio futari inawekwa hoho karoti tangawizi. Kila kitu viungo boo
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 7 ай бұрын
Asanteee... Mapishi asili yetu😁
@DanAlves-jz8cm
@DanAlves-jz8cm 4 ай бұрын
Haha
@user-hi1nj6tw5n
@user-hi1nj6tw5n 7 ай бұрын
Mayai umewek mangap
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 7 ай бұрын
Ipo kwenye video
@winifridalaswai1921
@winifridalaswai1921 7 ай бұрын
Je hatuweki sukari?
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 7 ай бұрын
Unaweza kuweka lakn hapo itabid usiweke vitunguu
@KurusumuMossi-df1gg
@KurusumuMossi-df1gg 8 ай бұрын
Ma Shaa ALLAH mamy🥰. ALLAH akulipe kheir 🤲. Nimetaka kuulizia vp km hauna samli inakuaje ?🙏
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 8 ай бұрын
Amiin Amiin kwa soteee😊....kama huna samli unaweza kutumia ata mafuta..ila samli ndo inaongeza hizo kurasa kwenye chapati..shukran
@KurusumuMossi-df1gg
@KurusumuMossi-df1gg 7 ай бұрын
Aamin... Oooh shukran sn pia nimekupenda❤😘
@allyshaaban37
@allyshaaban37 8 ай бұрын
Kama Huna nazi unaweza kutumia maziwa ya kawaida
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 8 ай бұрын
Inakuwa haifai
@user-iy5up2oc1p
@user-iy5up2oc1p 9 ай бұрын
Yummy❤❤❤❤
@shamamcwann5196
@shamamcwann5196 9 ай бұрын
Did you use fresh coconut milk or the powder.
@mapishitanga9861
@mapishitanga9861 8 ай бұрын
Fresh Coconut milk