KUZALIWA
10:04
7 ай бұрын
Mh. John Mongela - RC Arusha
2:11
Shangilieni Praise Concert
1:01
2 жыл бұрын
Shangilieni Praise Concert
1:01
2 жыл бұрын
Shangilieni Praise Concert
1:01
2 жыл бұрын
Shangilieni Concert Promo 1
1:01
2 жыл бұрын
HAKUNA MUNGU KAMA WEWE 2
0:31
3 жыл бұрын
Futa Machozi  PROMO
0:22
3 жыл бұрын
PENENGE
4:38
3 жыл бұрын
EE BWANA UHIMIDIWE - Intro
0:39
3 жыл бұрын
Пікірлер
@jimmymassam8657
@jimmymassam8657 Күн бұрын
Nawapenda sana
@skylevelmedia7581
@skylevelmedia7581 Күн бұрын
🙏🙏🙏
@skylevelmedia7581
@skylevelmedia7581 Күн бұрын
Asanteni saana shangiliemi nawskubali saanana unyamabmwingii sasns❤
@mrutusimonshundi628
@mrutusimonshundi628 2 күн бұрын
2024
@EsaieKasombo.kamukad
@EsaieKasombo.kamukad 2 күн бұрын
❤ j'aime cette chorale pour leurs manières de chanter qui béni les chrétiens du monde entier.c'est KASOMBO kapend Esaie à Kolwezi RDC
@magrethmambali4242
@magrethmambali4242 3 күн бұрын
Hakika Yesu ni mwema 🙏
@asifiwemasudya2731
@asifiwemasudya2731 4 күн бұрын
Katikati ya magumu unafanya njia, Yesu eeh wewe ni mwema, wimbo umejaa sifa, kuabudu na maombi ndani yake hakika Mungu ni mwema
@mercymaedamaeda198
@mercymaedamaeda198 6 күн бұрын
Hii ni kwaya yangu namba moja. nyimbo zake huzitumia kama sala zangu pale nishindwapo kuomba nipitiapo njia ngumu. zina ujumbe mzuri wa Mungu. Mungu awatunze katika huduma hii
@nicolasmvanda1736
@nicolasmvanda1736 6 күн бұрын
God bless this singers❤
@nicolasmvanda1736
@nicolasmvanda1736 6 күн бұрын
Who is here 2024 listening to this beautiful song🙌
@inocentMwakalinga
@inocentMwakalinga 7 күн бұрын
Pianist kaka Barakeyz Kazi yako ni njema.Mungu awabariki
@leahbukuku9549
@leahbukuku9549 8 күн бұрын
So blessed, kabla sijaufungua kuuangalia na kuusikiliza nimejikuta nimeanza ku like kwanza, maana nilijua wimbo ni🔥🔥🔥🔥, mbarikiwe sana sijutii mb zangu kuisha kwa kuwasikiliza na kuwatazama
@chauothebig225
@chauothebig225 8 күн бұрын
🙏🙏 Kavaa ubinadamu kwa ajili yetu.
@aloisnjau7086
@aloisnjau7086 8 күн бұрын
Nyimbo nzuri sana hii.......Good work ever....🙏🙏
@lordorcas9344
@lordorcas9344 8 күн бұрын
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🇮🇱🌹✝️
@leahmtuma5339
@leahmtuma5339 9 күн бұрын
Wimbo niupendao sana, SITAKUFA NITAISHI NIYASIMULIE MATENDO YAKO
@jacobmwaipopo9961
@jacobmwaipopo9961 9 күн бұрын
Yaan huu wimbo! unakufanya ujisikie upo karibu na Mungu wako. Meseji imenyooka yenye faraja kubwa, Mbarikiwe sana.
@EmmanuelMacha-me1zz
@EmmanuelMacha-me1zz 9 күн бұрын
Mungu akubarikini sana jamani, mmenibariki sana jamani.
@davidTambala
@davidTambala 9 күн бұрын
Hakika sinto kufa nitaishi kuyasimulia makeuu ya mungu
@GraceMlemeta
@GraceMlemeta 9 күн бұрын
Ameen
@JullyNchaila-vh7op
@JullyNchaila-vh7op 9 күн бұрын
My favorite choir asanteni Sana kwa kuugusa moyo wangu na nyimbo Kali mno ❤❤
@patrickmaloba214
@patrickmaloba214 9 күн бұрын
C'est très bien fait
@wilsongodfrey3761
@wilsongodfrey3761 9 күн бұрын
Aisee
@monyjohn5538
@monyjohn5538 9 күн бұрын
Mungu Baba aendelee kujitwalia utukufu hongereni Sana 🎉
@danielmwamwaja3477
@danielmwamwaja3477 10 күн бұрын
Barikiwa kwa kazi njema ya kumtukuza Mungu.
@user-xh4ui2lv4s
@user-xh4ui2lv4s 10 күн бұрын
Yesu eee....... Mbarikiwe
@samwelmwasanjobe2976
@samwelmwasanjobe2976 10 күн бұрын
Kiukweli Mungu awabariki waimbaji wote kila nyimbo mkitoa ni njema sana na inagusa maisha yetu
@johnmtangoo
@johnmtangoo 9 күн бұрын
Mungu akubariki mno
@charlessalali4507
@charlessalali4507 10 күн бұрын
Mtaendelea kuwa Bora nyakati zote mungu awabariki sana
@user-xh4ui2lv4s
@user-xh4ui2lv4s 10 күн бұрын
Mbarikiwe sana. Kazi yenu ni njema
@harrietyambi1132
@harrietyambi1132 10 күн бұрын
Amen mbarikiwe Sana watumishi wa Mungu hakika Yesu awatunze
@faresisaid
@faresisaid 10 күн бұрын
Mungu azidi kuwabariki katika kazi ya uinjilishaji kupitia nyimbo
@hoseabass7277
@hoseabass7277 10 күн бұрын
Wehu wangu hawa nawapenda sana mpk navurugwa kwenye uimbaji wao hawana vurugu hawa slow
@onexgozbert2554
@onexgozbert2554 10 күн бұрын
My song❤❤
@ezekielmakililo
@ezekielmakililo 10 күн бұрын
Wimbo mtamu,mzuri.YESU awatunze
@johnmtangoo
@johnmtangoo 9 күн бұрын
Amen
@gertrudemosangamabusipaul4078
@gertrudemosangamabusipaul4078 10 күн бұрын
Ktk kwaya ninazozipenda ya kwanza hii,ya pili mamajusi na ya tatu AIC chang'ombe huwa nabarikiwa sana na nyimbo zenu Kuna nyimbo za tangu nipo shule ya msingi mpaka Leo nazisikiliza na ninazipenda
@mosesmanyiga1021
@mosesmanyiga1021 10 күн бұрын
Basist, soloist, wapiga keyboards wote shkamoo!
@DorahNgereza
@DorahNgereza 10 күн бұрын
❤kwa nguvu zote mungu awatunze blessed
@mosesmanyiga1021
@mosesmanyiga1021 10 күн бұрын
Woo! Bonge song 🎵 Tumaini hamjawahi kuniangusha hata siku moja.Kazi nzuri sana, upigaji wa muziki wa kisasa! Dah! Mungu awabariki sana! Bibi hongera sana!
@owenholydrummer4458
@owenholydrummer4458 10 күн бұрын
@user-xi7ny5mn3i
@user-xi7ny5mn3i 10 күн бұрын
Woyoooo kelele za shangwe zivume mbarikiwe sana family kwaya nawapenda mno utufu Kwa bwanaaaa ❤❤❤❤❤
@Benobenow
@Benobenow 10 күн бұрын
Wimbo bomba......yaani ni bonge la wimbo....mmetendea haki jukwaa kwa dakika zote 11 na zaidi jukwaani. KAZI nzuri sana. Music arrangement excellent nasikia kila ala hapo mpaka rhythm. AMEN
@faithjoel8304
@faithjoel8304 10 күн бұрын
Ooh mmeutendea wimbo haki yake da Neema na bibi mmenifanya naangalia nikitabasamu tu hapa
@richardkiza5054
@richardkiza5054 2 күн бұрын
natamamani munip namba ya mwlimu wa kikundi hiki
@WilliceIbrahim
@WilliceIbrahim 10 күн бұрын
Hongereni wapendwa kwa wimbo mzuri
@Regnard999
@Regnard999 10 күн бұрын
Kwaya hii ina upako wa kipekee sana. Hawajawahi kuchanganya mafaili🎉🎉🎉,, Mungu azidi kuinua huduma yenu. "SITAKUFA NITAISHI NIYASIMULIE MATENDO YAKO.....KATIKATI YA MAGUMU UNAFANYA NJIA😭❤❤❤❤❤❤❤."
@johnmtangoo
@johnmtangoo 9 күн бұрын
Amen Barikiwa sana
@Regnard999
@Regnard999 8 күн бұрын
Amina
@grahammgongo6319
@grahammgongo6319 3 күн бұрын
Kkwa ubora wake.....hii ina kibali hawauzi sura
@grahammgongo6319
@grahammgongo6319 3 күн бұрын
Kkwa ubora wake.....hii ina kibali hawauzi sura
@grahammgongo6319
@grahammgongo6319 3 күн бұрын
Kkwa ubora wake.....hii ina kibali hawauzi sura
@jenivamenda574
@jenivamenda574 10 күн бұрын
❤❤❤❤ Amen
@JuliusHaule-j5o
@JuliusHaule-j5o 10 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤ wakali WA hizi kaziiiiii
@aghatamaziku6173
@aghatamaziku6173 10 күн бұрын
nawapenda mno tangu nikiwa mdogo kbs na kila siku mnazidi kuleta nyimbo nzuri..Mungu awabariki sana
@clarabenard1045
@clarabenard1045 10 күн бұрын
Mungu ni mwema 🎉
@daudimhoha320
@daudimhoha320 10 күн бұрын
Hakika.mungu.nimqenye.huruma
@daudimhoha320
@daudimhoha320 10 күн бұрын
Mungu.atuwazia.mema.sana.mungu.anataka.tuishi.miaka.mingi.yenye.neema.nabaraka.tuyasimulie.matendo.ya.Bwana.haleluya
@BintiNampesya
@BintiNampesya 10 күн бұрын
Mathayo Hajawahi Haribu Bando langu 🎉🎉🎉