Пікірлер
@alvarocastro2687
@alvarocastro2687 3 сағат бұрын
Extremely delicious!
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 6 сағат бұрын
Jeshi la polisi taabani vipi majambzi wawili wamekimbia
@gesusgegangphray7689
@gesusgegangphray7689 6 сағат бұрын
kamandaaa.. Mungu abariki Jeshi la Police tañzania..
@user-oq1zv2nv8n
@user-oq1zv2nv8n 8 сағат бұрын
Kwasababu.amerushiana.risasi.na.askari.wetu.nayeye.apigwe.risasi.
@robertphilip385
@robertphilip385 12 сағат бұрын
Ila marehe kamanda Shana alikua Sanaa ya kufu mtu
@reubenmwaravino525
@reubenmwaravino525 17 сағат бұрын
Hongern wa tz mm n mkenya lakin vjana wawe imar il wawapunguzia maasķar kaz
@WinnieAlessia
@WinnieAlessia Күн бұрын
Hongera xana sana Tz police
@RonnieBertin
@RonnieBertin Күн бұрын
Du. Huyu jamaa ni noma. Amefika.komoro. Ametumiaboti au ndege
@deomathias2313
@deomathias2313 Күн бұрын
Hongera kwako ACP kwakazinzuri na yenye weredi, Respect x100
@deomathias2313
@deomathias2313 Күн бұрын
Huyo siobinadamu tena mnamchelewesha malizeni habaliyake
@annajohn3377
@annajohn3377 Күн бұрын
Asiyefuzwa na mamaye aminywe mapumbu ataje wenziee atakua namtandaoo mkubwa hiv unamuibia mwinzio costar kweli
@MasumbukoMabula-bb3vm
@MasumbukoMabula-bb3vm Күн бұрын
Safi sana jeshi la polisi kwa kumkamata huyo jambazi, mungu aendelee kuwapa uzima na mbinu nyingi.
@immutown7481
@immutown7481 2 күн бұрын
Duh asee ni aibu Kah
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale 2 күн бұрын
Haa!haaa!et ananiiga mimi anasema dakka sifuri!
@VanessaMahenge
@VanessaMahenge 2 күн бұрын
11:54 mungu awape ujasili wakupambana na waharifu.
@brysonmwanga4108
@brysonmwanga4108 2 күн бұрын
Hongera sana kamanda KAZI uliyo fanya niyamfano
@user-xx1mj1xe5i
@user-xx1mj1xe5i 2 күн бұрын
Uyo jambaz achomwe mot
@dodoshaibu8370
@dodoshaibu8370 2 күн бұрын
Mmhhh alikuwa Dar huyu posta na wizi wa bahasha, anakwambia ameokota bahasha mugawane kumbe kuna makarstasi, simsahau huyu
@annajohn3377
@annajohn3377 Күн бұрын
Unamjua kumbee
@methodgogo
@methodgogo 2 күн бұрын
Mbona hafanani na tabia yake
@jaliamkubilasidi
@jaliamkubilasidi 3 күн бұрын
Hongereni sana maaskari wetu mungu uwalipe kwa KAZI mnazozifanya
@AbasiMadege-ot2of
@AbasiMadege-ot2of 3 күн бұрын
Msitishe watu bwana hata mkiua na ninyi mtakufa tu mazoezi au vitisho
@MaulidJuma-do5oj
@MaulidJuma-do5oj 3 күн бұрын
😂
@MarthaMariwa
@MarthaMariwa 3 күн бұрын
sukuma ndani muuaji uyo
@MarthaMariwa
@MarthaMariwa 3 күн бұрын
kazi nzuri
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 3 күн бұрын
Serekali waongezeeni mishahara polisi wanakazi ngumu sana
@GetrudeRashid-be8bs
@GetrudeRashid-be8bs 3 күн бұрын
Huyo mwiz afungwe maisha,,ikiwezekana anyongw,,Kwan lengo lao ilikuwa nikumua huyo drev
@hamidaawadh9024
@hamidaawadh9024 3 күн бұрын
Safi sana polisi
@waziriwaziri4330
@waziriwaziri4330 3 күн бұрын
J
@polycarpytarimo857
@polycarpytarimo857 3 күн бұрын
Unapambana na jambaZ saa moja ni halal kweli
@user-kp3hz3qw4m
@user-kp3hz3qw4m 3 күн бұрын
Duu uwe mfano kwao hao ni wauaji na wao wafe tu
@hassanrashid9436
@hassanrashid9436 3 күн бұрын
Hongereni sana hapa tu ndo tunapowapa hongera zetu kwa jeshi la polisi kwa kutulinda raia na kupambana na waharamia kama hawa. ni mambo ya siasa tu ndo huwa yanawaharibu na kupambana na raia wenzenu wema. lakini kusingekua na mambo ya kisiasa nyinyi ni watu wa maana sana kuwepo. tunawapa hongera kwa kazi kubwa mnayoifanya. Hongereni sana.
@NeemaNnko-t8w
@NeemaNnko-t8w 4 күн бұрын
Huyo jambazi haonyeshi haha kuogopa.hana woga, afungwe maisha.akirudi uraian anaeza maliza watu.hongera jeshi la police kwa kazi nzuri
@NeemaNnko-t8w
@NeemaNnko-t8w 4 күн бұрын
Huyo jambazi haonyeshi haha kuogopa.hana woga, afungwe maisha.akirudi uraian anaeza maliza watu.hongera jeshi la police kwa kazi nzuri
@NeemaNnko-t8w
@NeemaNnko-t8w 4 күн бұрын
Huyo jambazi haonyeshi haha kuogopa.hana woga, afungwe maisha.akirudi uraian anaeza maliza watu.hongera jeshi la police kwa kazi nzuri
@NeemaNnko-t8w
@NeemaNnko-t8w 4 күн бұрын
Huyo jambazi haonyeshi haha kuogopa.hana woga, afungwe maisha.akirudi uraian anaeza maliza watu.hongera jeshi la police kwa kazi nzuri
@MsAisha-w4o
@MsAisha-w4o 4 күн бұрын
Ahsanten sana jeshi la police mungu aendelee kuwalinda ha awape afya njema
@anenragnesmunis8490
@anenragnesmunis8490 4 күн бұрын
Hata haogopi anavyoangalia mtu mzima nafanya ujambazi na familia inawatazama
@gassymushi1536
@gassymushi1536 4 күн бұрын
Mtanda mpenda haki go's bless u
@Pagansmediagrouptv
@Pagansmediagrouptv 4 күн бұрын
Mkono wa shelia ijukue mkondo wake
@abdallahkiliaki3744
@abdallahkiliaki3744 4 күн бұрын
Wkt unamshukuru Mama Samia, umesahau msimamo mkali alioutoa Rais John Pombe Magufuli kabla yake. Magufuli alikuwa tayari kukata misaada ya nje na kufungia NGOs zilizokuwa zinajihusisha na masuala ya ushoga. Watetea haki za binadamu hapa hapa nchini wakamwona Magufuli km "anti-west". Adui yetu mkubwa ni Watanzania wenzetu anbao ni waajiriwa wa NGOs zinazofadhiliwa na nchi za Magharibi. Wanajua kinachoendelea ndani ya hizo taasisi.
@JosephineMegora
@JosephineMegora 4 күн бұрын
Kila chenye mwanzo huwa kina mwisho
@JosephineMegora
@JosephineMegora 4 күн бұрын
Kudadadeki
@user-cm2io9vz3v
@user-cm2io9vz3v 4 күн бұрын
Hongera sana TZ police tunawaombea endeleeni na kazi nzuri sana
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 4 күн бұрын
Ila mwanza wanaulinzi mkali
@martinkisha6307
@martinkisha6307 5 күн бұрын
Polisi wetu mimi nawakibari sana kwa kazi hamna mchezo
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 5 күн бұрын
Msiwahurumie muuwaji nae auliwe tunaimba serekali isowahurumie hawa wakisibitishwa wameuwa wauwawe wanaumiza watu mpaka polic pia wanaumia wakati wakuwakamata
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 5 күн бұрын
Naiyomba serekali polc wakifanya kazi nzuri waengezewe cheo ili wapate moyo wakufanya kazi au wapewe hata zawadi serekali iwafikiria kwa kazi nzury
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 5 күн бұрын
Tatizo letu vingozi hatii saini kwa wauwaji wamakusudi tuimba serekali mtu akiuwa kwa makudi ahakumiwe kwa mujibu ya sharia muuwaji nae auliwa sahivi wamekua hawana uwoga
@BenardSadani
@BenardSadani 5 күн бұрын
Apigwe adiafe mbona yupo hai adileo.
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 5 күн бұрын
😢
@VelonicaKigwile
@VelonicaKigwile 5 күн бұрын
Huyo jambazl afugwe kifungo cha maisha