Пікірлер
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 2 сағат бұрын
Mwambukusi cio rais wa tls tu ni rais wa tanganyika
@user-pz6cm8no8n
@user-pz6cm8no8n 3 сағат бұрын
Naipenda.kiwla na wananchi wake pia chadema nailenda sana
@user-kp5hx2kz1b
@user-kp5hx2kz1b 4 сағат бұрын
Mbona hamuonyeshi uwingi wa watu?
@dillonfoya
@dillonfoya 5 сағат бұрын
Msomi Mwabukusi ni chaguo la Sasa na ujasiri wake atakuwa muhimu sana Kwa Tanganyika na WaTanganyika HONGERA SANA
@rasgwandumikaisi7489
@rasgwandumikaisi7489 5 сағат бұрын
Duh! ..Msigwa kumbe hovyo kuliko covid 19., aise!
@rasgwandumikaisi7489
@rasgwandumikaisi7489 5 сағат бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@janeshija6638
@janeshija6638 5 сағат бұрын
Kwa sasa matokeo yote yabandikwe kwenye vituo na hakuna kuhamisha masanduku kwenda kuhesabiwa. MARUFUKU.
@WilliamChaula-y2y
@WilliamChaula-y2y 6 сағат бұрын
Hii channel mnakera sana kusimulia story na masauti yenu mabaya wekeni habari halisi sio kusimulia story
@Bahariatv
@Bahariatv 6 сағат бұрын
Asante kwa maoni ndugu William tutafanyia kazi maoni
@user-cx1xz2is5d
@user-cx1xz2is5d 6 сағат бұрын
Ww inataka kazi uteuliwe pumbavu
@oss6689
@oss6689 6 сағат бұрын
Kijana mdogo lakini anaibisha vijana wengine. Katiba ikowapi??
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 7 сағат бұрын
Haki huinua taifa
@AnnaMwiru-s8v
@AnnaMwiru-s8v 7 сағат бұрын
Wewe ni mjinga watu waliandamana Hadi Wana ccm tulilua nao. Ww achakujipendekeza, nakuonya unaagya uanapendeza kumbe kichwa kimejaa nyama.
@AyahHussein-qe5rv
@AyahHussein-qe5rv 8 сағат бұрын
Atafanya nini jipya ni mbinafsi
@emmapaul1766
@emmapaul1766 3 сағат бұрын
Kagongwe ccm
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 2 сағат бұрын
Pumbavu mkubwa wewe
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 8 сағат бұрын
Waliomzuia kugombea walimpaishaa
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 8 сағат бұрын
Mikutano kujaa siyo wingi wa kura!pale kuna wanakuja kuwasikiliza na kuwapima uwezo wenu,na kama siasa zenu ni hizo wengi wanawadharau! wapinzani wa Tanzania mkiendelea na siasa hizi mtakuwa watu wa kulalamika kila mwaka!
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 9 сағат бұрын
Ni mtu ambaye hana akili tu ndiye ataamini uongo wa kitoto kama huu!kwanza hujui siasa
@PaulTajiri-vu4xu
@PaulTajiri-vu4xu 13 сағат бұрын
Tunauga mkono sana sana
@aloycemruma6552
@aloycemruma6552 15 сағат бұрын
Mungu swape upofu machawa nafitina zao.kwani. Wameharibu Taifa sana Mungu unaweza ku badilisha. Taifa tuokoe 🙏
@godwinkasembe6812
@godwinkasembe6812 16 сағат бұрын
Ebu ww achaujinga sana kijana kilawakati unaisema chadema ukiona hivyo kumbe chadema inakitu chamhimu sana nabora sana mbowe hatoki pale mnamuombea mabaya mtakufa nyinyi mnayo mpinga mbowe kwanza kinawauna nini siyochama chenu unaumiya nini Kila wakati ni CDM mtaumiya sana unasema CDM kunarushwa unamsema CDM amekaa sana kwenyeweti mbona husemi CCM wamekaa sana kwenye madaraka huuni unamuona mbowe tu
@godwinkasembe6812
@godwinkasembe6812 16 сағат бұрын
Acha ujinga ww nenda shule kasome kwasababu kuwa navyama vingi sio kama wamamatatizo angalia marekani kunavyama vingi sio kama domoctrac wanashinda hapana sio kama hawana maji au barabarani acha ujinga ww mandamano yako kwenye katiba acha ujinga ww kisaswahili chakusema mama kaupiga mwingi kwakiswahili nikwamba amekosea kufanyakitu achaujinga unabisha vitu vyakijinga kwasababu niwatu Gani wanaokusanya Kodi zanchi niwatu Gani wamepewa dhamana yamali zanchi achaujinga unaongea ubumbavu
@michaelmwambije3603
@michaelmwambije3603 17 сағат бұрын
Mpumbavu wewe
@MaywaTifurukwa
@MaywaTifurukwa 17 сағат бұрын
Watu wanalalamika watoto wanapotea , wapotezaji hawakamatwi ila wanalinda Picha kuliko uhai wa watu
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn 17 сағат бұрын
Sasa Baharia tv. Kichwa cha habari: "sasa haya ni zaidi ya matusi." Nimemsilkiliza askofu mi sijasikia matusi yoyote!
@TwalibuKimaro-th5mv
@TwalibuKimaro-th5mv 18 сағат бұрын
Uchawa unatesa vijana nafikiri njaa imeamia kichwani
@allyhasani3750
@allyhasani3750 18 сағат бұрын
Kama ni msikivu kampigie kampeni
@allyhasani3750
@allyhasani3750 18 сағат бұрын
Uskivu kwa wanasiasa tu, sio kw raia kwa mfano watu wa pembezon mwa hifadh
@TwalibuKimaro-th5mv
@TwalibuKimaro-th5mv 19 сағат бұрын
Hngereni sana akina mama wa chadema people
@leokamil6284
@leokamil6284 19 сағат бұрын
Uhuni utesaji Mungu atawalipa kwa kila mtendalo msione mpo juu ya Mungu
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 21 сағат бұрын
Amejenga kikanisa chake cha mbao kisicho na waumini. Mchungaji gani bila waumini? Mbakaji tu.
@prospermiraji8473
@prospermiraji8473 21 сағат бұрын
Tx Mwambigija ni jembe ulaya
@ChristianMkumbo-ix2ke
@ChristianMkumbo-ix2ke 23 сағат бұрын
Wesema tu unataka cheo gani stop West our time
@christosiadanieli6512
@christosiadanieli6512 Күн бұрын
kajiloga
@evelina9621
@evelina9621 Күн бұрын
Matokeo.yaanze.kutangazwa.kwenye.vituo.vyote.mpakajimboni.kulinda.kura.kila.kijiji.mtaa.uwende.jimboni.matkeo.yake.msiruhusi.wasimamizi.na.polisi.huwa.wanapewa.ahadi.zuri.wanaipata.waru.wawe.wajanja.kama.nyoka.werefu.kama.njiwa.watakamatwa.tu.mungu.amesikia.kilio.cha.watu.wake.piga.kelele.dunia.isikie.tutavuka.asnte
@bahatimugabo9642
@bahatimugabo9642 Күн бұрын
Hongera sana mahakama Kwa hukumu
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc Күн бұрын
Wewe Mwambigija Upewe tu Ubunge wako Wa Rungwe hakina kibajaji hawakufikii hata robo
@salama1113
@salama1113 Күн бұрын
Ndo unataka uteuzi sio
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Күн бұрын
Katika serikali hii haina mtu mzuri wala hawatetei. Kuna wakati huyo waziri wa ardhi aliyetoka aibuka kwenye vyombo vya habari na kukubali petrol station imejengwa katikati ya watu. Akatangazia watu kuwa itabomolewa. Mpaka leo petrol station ipo na inaendelea kufanya kazi kama kawaida. Kweli serikali za CCM hawatendei wanainchi haki yo yote. Hivi Samia anapesa? Kodi zetu zinageuzwa kuitwa pesa za Samia! Hakuna serikali zo zote katika Dunia wanaoita mali za Inchi ati ni za raisi na ndiyo sababu sasa anagawa mali za Inchi ovyo kwa warabu si mmempa ni mali yake ache agawie awapendao
@gracebaijukya
@gracebaijukya Күн бұрын
Hongera sana kaka
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Күн бұрын
Mimi toka mwanzo nimesema Nape anasema ukweli kabisa ! Nape anazungumuza ukweli kabisa. Wanaochukizwa ni CCM. Lakini watanganyika wanajuwa kuwa wanafanya hivyo wazi wazi.
@victoriambonde8061
@victoriambonde8061 Күн бұрын
utajisumbua tuu uwezi kumchafua mbowe watu wamemjua mbowe hata kabra yako Yani tunakuona punguwani tuu
@kostajoseph5811
@kostajoseph5811 Күн бұрын
KAULI ZA KUKATA TAMAA HIZO MBONA MAPEMA
@estambuya3901
@estambuya3901 Күн бұрын
Ccm ndo imetufikisha hapa,unaongea nini wewe mpumbavu, mbowe sio saizi yako mbwa wewe.
@mwitamwikwabe6611
@mwitamwikwabe6611 Күн бұрын
Hauna akili kijana pole sana
@user-cz5sd6ys8i
@user-cz5sd6ys8i Күн бұрын
Wewe hauna akili kweli
@MathewsSikazwe-up4qd
@MathewsSikazwe-up4qd Күн бұрын
hatari sana, viongozi wako bize na kununua ma v8 vitu vya msingi awana habari ina uma sana mungu baba leta ufarume wako apa chini yajuwa awaviongozi wa kiafrica nimanyani msituni.
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 Күн бұрын
Huyu mpuuzi kweli,Chadema ina matatizo mengi kuliko CCM?Wewe kweli una akili timamu?Chadema inaoongoza nchi?Chadema kinamtegemea nani?Kina Msigwa waliohamia CCM wako wangapi?
@MathewsSikazwe-up4qd
@MathewsSikazwe-up4qd Күн бұрын
safi sana.
@Kalunirashidi
@Kalunirashidi Күн бұрын
wewe ndio ufam kwann aliama chadema msalati
@JoelMroni
@JoelMroni Күн бұрын
WATU KAMA NAPE WAMEKAA MADARAKANI MREFU SERIKALINI NA WAMEFA NYA MAMBO YA HOVYO KTK NCHI HII.WANAJIDANGANYA KUWA BILA WAO NCHI HAIENDI.WANAJIDANGANYA.
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d Күн бұрын
Acha ujinga wewe na chuki zako kidini kama hawamtaki tutaona Kama hao wajinga wenzinga watashida Mtu mzima hovyo kabisa unakaa kuzunguza upumbavu acha ujinga wewe