GODFATHER WA COMEDY
1:07
Ай бұрын
The Silent Loud One
1:09
Ай бұрын
The Silent Loud One
1:10
Ай бұрын
Buckle up! Life Is Not Free
1:06
Saturn's Return
1:24
Ай бұрын
Kujiajiri sio kutoka
1:03
Ай бұрын
Leave Room For Magic
1:24:12
Ай бұрын
The Silent Loud One
1:10:44
Ай бұрын
Maumivu Hutokana Na Matarajio
1:04
Curious Case Of Arthur
1:17
Ай бұрын
Curious Case Of Arthur Kyara
1:15
Win The Audience With This
3:42
2 ай бұрын
This Is The Only WAY!
4:15
2 ай бұрын
I Made My Younger Self Proud
2:09
Kuna Watu Bongo Hawalali
4:08
2 ай бұрын
Mimi Naipenda Sauti Yangu Sana
4:27
I Overestimated Myself
6:52
2 ай бұрын
Vision Is Everything
3:43
2 ай бұрын
I Can't Commercialize My Ministry
2:08
Call To Greatness
4:45
2 ай бұрын
How To Win Hearts
3:02
2 ай бұрын
Пікірлер
@user-vd4yp2ou8t
@user-vd4yp2ou8t Күн бұрын
Profess wa chuo kikuu Cha ghetto
@user-vd4yp2ou8t
@user-vd4yp2ou8t Күн бұрын
Profess wa chuo kikuu Cha ghetto
@sylvausd
@sylvausd Ай бұрын
Sijui kwa nini unaupload video kwa vipande pande ila nahisi ingependeza zaidi kuweka video nzima kwa pamoja kwa title moja nzuri. Uenda unahofia wabongo wengi hawapendi kuangalia video ndefu lakini hii ni nzuri sana kwa watu tunaopenda podcast maana hatuna haja ya kufukua kwenye channel tena kutafuta fulani aliongea nini. Naamini ni bora kuwa subscribers 100 wenye interest na podcast wanaotizama saa zima la video zako, kuliko kujaribu kuvutia watu 10,000 wataotizama kwa sekunde 30. Idea ni nzuri kazia sana kwenye title na thumbnail alafu weka full length bro. Unaweza chukua inspiration kwa @TheDiaryOfACEO
@GeorgeAyo-kz4sq
@GeorgeAyo-kz4sq Ай бұрын
Faridi kubanda madini mengi Sanaa
@Dreamerdreamz255
@Dreamerdreamz255 Ай бұрын
MSASA 🔥🔥🔥🙌🏾
@DuhuzumutimaRebecca-ep1nq
@DuhuzumutimaRebecca-ep1nq 2 ай бұрын
Never give up
@Sidthe.emperor
@Sidthe.emperor 2 ай бұрын
I'm a big fan, bro elisha. Trust me or not 2 years from now i will be having an interview with you 💪
@MSASAPODCAST
@MSASAPODCAST Ай бұрын
That's the spirit! 💪🏾💪🏾
@Sidthe.emperor
@Sidthe.emperor 2 ай бұрын
best podcast, ila bro elisha tuna jua una target market fulani. Ila punguza english kidogo kaka
@SAMISAI.
@SAMISAI. 2 ай бұрын
🙏👏👏👏
@ignatusrogerslema8650
@ignatusrogerslema8650 2 ай бұрын
Shame who said no credible Startups in Tanzania?? While we are rasing untill 3 million $ in VC funding while others are have raised upto 8 million $... its just that we dont want to be known.. we dont want all of this media Sagaa
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 ай бұрын
Hii ni zaidi ya Elimu 🎉🎉🎉🎉🎉
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 ай бұрын
Hi! hizi PODCASTS ni nzuri sana itakua vizuri m-post Full podcasts ya mtu hata kama ni 5hrz then mpost vipande vipande for others who want short clips. People may not comment sana ila bado they are getting to know this Channel baada ya muda loyal fans watajaa hapa. Hongera kwa the good work ya creators, this is very educational asanteni kwa kufundisha.
@MSASAPODCAST
@MSASAPODCAST 2 ай бұрын
Thank you for your kind words and recommendation. We do post the full episodes, the link to watch it inakuwa kwenye descriptions ya hizi short ones
@ChristopherMillanzi
@ChristopherMillanzi 2 ай бұрын
Mtam Sana farid
@Bongo-h5p
@Bongo-h5p 2 ай бұрын
👍
@user-yx7fs4ts5z
@user-yx7fs4ts5z 2 ай бұрын
Nakubal fid. Q
@vinny.morales
@vinny.morales 3 ай бұрын
Kipindi kizuri sana. Can't wait for season two
@caidobeats
@caidobeats 3 ай бұрын
Our industry is missing professional people's like you but i can see you win on your own way differently.. i like it keep up bro
@EdwardWilliam-gw1ms
@EdwardWilliam-gw1ms 3 ай бұрын
Nime ipenda ita nijenga kiakili.
@shedrackemanuel5223
@shedrackemanuel5223 3 ай бұрын
Host: hisia you're genius bro
@djfktz
@djfktz 3 ай бұрын
Bro mie naona ungebadili jina la channel maana jina ni kiswahili laki post ni english tupu kuna watu hawajasoma pia wanapenda kufatilia channel yako
@MSASAPODCAST
@MSASAPODCAST 3 ай бұрын
Asante kwa opinion yako mkuu. Ila just to clarify. It's not just a name. It's a BRAND IDENTITY. Na kwa yeyote anaetamani kuelewa zaid, basi iwe hamasa kwake kujiongeza ujuzi lasivyo atapitwa na dunia ya sasa and the 4th Industrial Revolution!
@djfktz
@djfktz 3 ай бұрын
@@MSASAPODCAST sawa kaka nimekuelewa
@johndaniel2278
@johndaniel2278 3 ай бұрын
background music is a bit loud, it's almost as though inashindana na sauti to some point. Otherwise this is a DOPE show..Big up braza
@MSASAPODCAST
@MSASAPODCAST 2 ай бұрын
Thank you for the feedback bro🙏🏾
@hinikasteve176
@hinikasteve176 3 ай бұрын
Hii ni zaid ya interview nimemeza madini mengi Sana
@melindatownsend6355
@melindatownsend6355 3 ай бұрын
🏃 "promo sm"
@ZainabuIdrisa
@ZainabuIdrisa 3 ай бұрын
Samaya x ananiita fiq the future
@MakutanoTV
@MakutanoTV 3 ай бұрын
Hongera sana Sky "Sky is a limit" Keep pushing
@jerrybasaya5377
@jerrybasaya5377 3 ай бұрын
It was great listening to Evans Bukuku. Great guy, Great Interview,
@MSASAPODCAST
@MSASAPODCAST 3 ай бұрын
💪🏾
@bstv1434
@bstv1434 3 ай бұрын
Aka bhana interview zako nzur kwl ila kingkingereza kingisana ss kunesehem unatuacha japo tunakipenda
@mwarabukabandama3797
@mwarabukabandama3797 3 ай бұрын
Perfect 100%
@amedegabri4435
@amedegabri4435 3 ай бұрын
Mbona hatuonagi kazi zake ... Au zimejificha.... Ukiwa na kipaji alafu hakionekani uje kazi zipo... Yani hata clip ya sekunde 10 hana😅😅😅 nasikitika sana... Eti GODFATHER... SAWA
@Eliabennet
@Eliabennet 3 ай бұрын
WE NI MGENI SANA 🤣🤣🤣🤣
@simons.2536
@simons.2536 3 ай бұрын
Umezaliwa mwaka gani, Sheikh?🤣🤣🤣
@ladha3187
@ladha3187 3 ай бұрын
⁠@@Eliabennetsome people need shule kuhusiana na hili game tatizo wanadanganywa na hizi socials 🤣
@FotoMart
@FotoMart 3 ай бұрын
The part of illegal things 🔥🔥 interesting a lot,, hii biashara it pay a lot
@richardsaikong1138
@richardsaikong1138 3 ай бұрын
😅
@robertgastormatilya7113
@robertgastormatilya7113 3 ай бұрын
I dare you discuss abt failure with abel mutua
@MSASAPODCAST
@MSASAPODCAST 2 ай бұрын
Good suggestion
@uzimakwayesutv
@uzimakwayesutv 3 ай бұрын
🔥🔥🔥
@janelyuvale8738
@janelyuvale8738 3 ай бұрын
Kennedy🎉
@chingejotham3508
@chingejotham3508 3 ай бұрын
Nimerudi hapa🤝
@habyhabib7538
@habyhabib7538 3 ай бұрын
Mtu asieeelewa nini maana ya mziki haez elewa Grace matata,ila sisi tunaejua huez acha kuskiza grace matata ❤❤❤
@MSASAPODCAST
@MSASAPODCAST 3 ай бұрын
Well put
@angeljuma3021
@angeljuma3021 3 ай бұрын
Hisia
@Sammy_01t
@Sammy_01t 3 ай бұрын
Content nzuri ila walengwa wake wachache sana, kama unataka utengeneze pesa KZfaq itabid ubadili mbinu, hapa utachelewa sana
@njoroboihastla
@njoroboihastla 3 ай бұрын
Point walajii ni sis elim ya kawaida
@Knowledge_and_Understanding.
@Knowledge_and_Understanding. 4 ай бұрын
Sound 100% Picture 100% Moves 100% Message 100% Quality 100% Msasa podcast the best ever
@MSASAPODCAST
@MSASAPODCAST 3 ай бұрын
🙏🏾
@alwymohammed2589
@alwymohammed2589 4 ай бұрын
The best podcast ever to ever happen.
@MSASAPODCAST
@MSASAPODCAST 3 ай бұрын
🙏🏾
@alwymohammed2589
@alwymohammed2589 4 ай бұрын
The best thing ever to happen to me this year its getting to know about Msasa podcasts, keep doing the great work brother
@MSASAPODCAST
@MSASAPODCAST 3 ай бұрын
Tunafurahi kusikia hivyo🙏🏾
@FrankKalabamu
@FrankKalabamu 4 ай бұрын
Nice one 😅
@njoroboihastla
@njoroboihastla 4 ай бұрын
🙌🙌truue
@judithlaizer5509
@judithlaizer5509 4 ай бұрын
I love your work Elisha...... Keep on bro!
@sospetermarandu1349
@sospetermarandu1349 4 ай бұрын
Grace Matata, haimbwi sana kwenye Media lakini mziki wake ni Amazing
@nicolaussabuni5922
@nicolaussabuni5922 4 ай бұрын
Huwa napenda sana mtu akitoa historia Kwa ruga mama kama akiwa ni mtanzania kuliko hio ruga ambayo wengi mnatuispaya lakin hatuelewi sisi tupo uswazi bro na tunakata tamaa mnao sababisha tusilale ni nyie na msisahau kizazi kinacho tegemea hizo speech zenu
@PhilemonMinja-of3os
@PhilemonMinja-of3os 4 ай бұрын
We need legal professionals too in this podcast
@luandangwiki1756
@luandangwiki1756 4 ай бұрын
Clay hachoshi kumsikiliza kweli he is an amazing story teller.ila ana madini and aunthenticity
@PhilemonMinja-of3os
@PhilemonMinja-of3os 4 ай бұрын
Amazing
@geofreymugabo1219
@geofreymugabo1219 4 ай бұрын
Bro honestly i am always refreshed and impacted by your conversations but this was another level! thank you so much for doing what i can call a calling and Grace thank you for blessing us with your wards of wisdom.🙌🙌
@MSASAPODCAST
@MSASAPODCAST 2 ай бұрын
Glad you enjoyed it!