IFAHAMU STAND YA MIZENGO PINDA
1:20
19 сағат бұрын
KIBOKO YA MADEREVA WAZEMBE
2:13
12 сағат бұрын
MTAZAME KIBOKO WA KATAVI NATIONAL PARK
2:38
HUDUMA ZA AFYA KATAVI ZABORESHWA
2:46
17 сағат бұрын
HUU HAPA MTO MALAGARASI NA MAAJABU YAKE.
1:25
DRONE FOOTAGE: UTAZAME MKOA WA KATAVI
2:45
22 сағат бұрын
KATAVI NATIONAL PARK
3:15
Күн бұрын
KATAVI KUJA JUU MCHEZO WA NETBALL
4:39
KANISA LA MAAJABU MPANDA KATAVI
3:01
14 күн бұрын
UWT MPANDA-KATAVI KUMEKUCHA.
7:07
28 күн бұрын
Пікірлер
@chukumedia
@chukumedia 23 сағат бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ntulimwakimonga6966
@ntulimwakimonga6966 3 күн бұрын
Hello! Nawapata barabara kabisa picha ang:avu matukio yote mubashata. Uhauri wangu muongeze nyama kidogo kwa maana ya maelezo ya sauti
@emmanuelkema045
@emmanuelkema045 6 күн бұрын
Sawaaaaaaa
@VictorDominick-qg5qq
@VictorDominick-qg5qq 10 күн бұрын
Netball tuu football aaah😂😂😂😂
@user-ed4nw4br3b
@user-ed4nw4br3b 11 күн бұрын
Sana kaka❤❤
@emmanuelkema045
@emmanuelkema045 14 күн бұрын
Haya bwanaaaa
@KulwaLudovick
@KulwaLudovick 14 күн бұрын
Sasa cjaelewa maajabu yake yako wapi sasa
@Noelkitoi
@Noelkitoi 16 күн бұрын
Wewe una akili ccm ni madada poa
@Noelkitoi
@Noelkitoi 16 күн бұрын
Samia acha kuonga watu wa kuiba kura acha wizi nenda nyumbani
@user-mx9jj1tp3c
@user-mx9jj1tp3c 18 күн бұрын
Mko vizuri sana
@ntulimwakimonga6966
@ntulimwakimonga6966 24 күн бұрын
Tunaomba location
@phinumedia4515
@phinumedia4515 24 күн бұрын
@@ntulimwakimonga6966 IPO HALMASHAURI YA NSIMBO
@nemesapollo4846
@nemesapollo4846 28 күн бұрын
safi
@Maletltd
@Maletltd Ай бұрын
Hongera phinu
@SelemanSichilima-eg1qe
@SelemanSichilima-eg1qe Ай бұрын
Kuna kazi ila tutafika
@Maletltd
@Maletltd Ай бұрын
Yaani hapo unge ulizia Moira au Mziki unge pewa ese za kutosha😂😂😂😅😅
@ntulimwakimonga6966
@ntulimwakimonga6966 Ай бұрын
Inaonesha jinsi ambavyo tumekuwa wavivu wa kufuatilia Mambo ya msingi badala yake mda mwingi ni soga za mpira na kubeti.
@anantoleaurassa2428
@anantoleaurassa2428 Ай бұрын
Afike mbali
@anantoleaurassa2428
@anantoleaurassa2428 Ай бұрын
Daah huyo mtoto aliyesoma habari ana kitu alike mbali❤❤
@SabasiMasawe
@SabasiMasawe Ай бұрын
Katavi yetuu❤
@LIBERATUSKINYONTO
@LIBERATUSKINYONTO 2 ай бұрын
Mheshimiwa Anna Richard Lupembe,mbunge wa Nsimbo kwa zaidi ya mwaka zaidi ameanzisha ligi ya Lupembe Cup ambayo timu kadhaa za mpira wa miguu kwenye kata ndani ya jimbo lake hushindana. Nampongeza sana kwa jitihada hizo. Nashauri sasa ageukie au aanzishe sambamba na ligi ya wanaume iwepo na ligi ya mpira wa kikapu na pete na wabunge na wadau wengine waanzishe ligi hizi kwa mkoa mzima.
@alfoncekasanyi6584
@alfoncekasanyi6584 2 ай бұрын
Netball Mpanda ilikuwa juu sana miaka ya. 1970 na siyo Netball tu hata football Tatizo ni viongozi wengi waliokuja baadaye wakawa hawana mwamko kimichezo.Kwa Sasa mna bahati Mkuu wa mkoa na pia RAS wote Ni wanamichezo Wapeni ushirikiano
@GodfreyNefary-mq5gr
@GodfreyNefary-mq5gr 2 ай бұрын
Sasa kama utaipeleka kwenye makumbusho unaomba wakusaidie kutengeneza ili iweje peleka hivohivo na matobo yake ikiwezekana ijengewe kajumba kadogo
@simonsangu6040
@simonsangu6040 2 ай бұрын
N hatare tupu yaaan watu wanajipatia ridhiki wao wamekaa tu ofisin wananchi wanateseka tu...Tz hii
@davidsaibu2930
@davidsaibu2930 2 ай бұрын
Hao ndio snaipar wa kisukuma hivi hana nyoka humo au siafu
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 2 ай бұрын
Hawagopi nyoka?
@shabanielia6905
@shabanielia6905 2 ай бұрын
Tunaomba namba simu yako doctor
@francengomeni6955
@francengomeni6955 2 ай бұрын
wakishua kapewa maiki 😅
@athanaskipeto572
@athanaskipeto572 2 ай бұрын
Haya siyo mafuriko ni maji ya mvua kubwa mafuriko uwa yana tokana na mito iliyo Fura
@lilyjones3584
@lilyjones3584 2 ай бұрын
Kwani huwa mito inafurishwa na nini kama siyo mvua kubwa? 😅
@user-ud7db7gg4e
@user-ud7db7gg4e 2 ай бұрын
Why did Ruto kill the General Ogola ? Now look how he is crying
@user-zc2ms4wl6r
@user-zc2ms4wl6r 2 ай бұрын
Nikweli tumezidi dhambi nabado
@user-eh3sh5hn7d
@user-eh3sh5hn7d 2 ай бұрын
Alhamdulillah Allah is washing his lands Allahu-Akbar
@lightnessolsen9346
@lightnessolsen9346 2 ай бұрын
Nimecheka😂😂😂❤
@FavorbJoseph-dz8yl
@FavorbJoseph-dz8yl 2 ай бұрын
Katavi ng'aring'ari
@maryamjuma4204
@maryamjuma4204 2 ай бұрын
Poleni sana
@user-iz9ci4rs3d
@user-iz9ci4rs3d 3 ай бұрын
Gunia la mpunga bei gan kwa sasa
@gayanimwansasu
@gayanimwansasu 3 ай бұрын
Katika yote Mungu awalinde
@user-zi6tq9yx3p
@user-zi6tq9yx3p 3 ай бұрын
Hii ni is haraka ya ghadhabu ya Mungu
@ayshaaysha2165
@ayshaaysha2165 3 ай бұрын
Pole sana
@asaeedia1
@asaeedia1 3 ай бұрын
Poleni sana. Mungu atusamehe tulipokosea yarab
@PhilipoMbilinyi
@PhilipoMbilinyi 3 ай бұрын
wapi
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 3 ай бұрын
dunia yote imepata mafuriko kwa mwezi mmoja tu kiama kweli hakichukuwi sekunde kishasafisha
@VictorDominick
@VictorDominick 3 ай бұрын
Duuh mtanifanya nije leo 😂😂
@user-un7et1bp2t
@user-un7et1bp2t 3 ай бұрын
👍
@emmanuelkema045
@emmanuelkema045 3 ай бұрын
Kakaaaa
@kungugeni
@kungugeni 3 ай бұрын
Wapi hapo
@user-fl7jl7vk3n
@user-fl7jl7vk3n 3 ай бұрын
✌️✌️
@rasnchimbi
@rasnchimbi 3 ай бұрын
👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 3 ай бұрын
Dubai hapo?
@user-hy9pp5rp9i
@user-hy9pp5rp9i 3 ай бұрын
😂😂😂Dubai ten
@SubiraAlly-ww4wt
@SubiraAlly-ww4wt 3 ай бұрын
Nchi gani hii
@MaulidAmri-zt2gv
@MaulidAmri-zt2gv 3 ай бұрын
Tanzania 🇹🇿
@rabilubinza7661
@rabilubinza7661 2 ай бұрын
Rukwa katavi Tanzania
@AnnaSimon243
@AnnaSimon243 3 ай бұрын
😢