Пікірлер
@deuskaijage8242
@deuskaijage8242 15 сағат бұрын
Je naweza kulitenga banda ndani kati ya futi nane kutenga nusu kwa nusu na nikafugia kuku wa mayai na wakapata hewa ya kutosha.
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 20 сағат бұрын
Hawa VP wanauza vifaranga awatoe namba
@OvithaMlonganile
@OvithaMlonganile Күн бұрын
njia gani ya kufanya kuku atage mayai mengi?
@DanielYoramu
@DanielYoramu Күн бұрын
Kuku wangu ameatamia Matayo kisha amewaacha mtanisaidisje
@VicentVedasto-i4k
@VicentVedasto-i4k Күн бұрын
Vizuri kaka nimeipenda naweza Pata no yako
@mokwaxymokwaxy-fc8lx
@mokwaxymokwaxy-fc8lx 2 күн бұрын
big plan👍👍👍
@jairosgreyson3268
@jairosgreyson3268 2 күн бұрын
Kuku wa Malawi wañapatikana?
@HulumaKisakali
@HulumaKisakali 3 күн бұрын
Dada nimependa elim yako nataka kuwa mfugaji nipo iringa najiandaa kwa banda
@ndondeonlinetv9594
@ndondeonlinetv9594 3 күн бұрын
Nimejifunza ipasavyoo
@josephkonchellah2715
@josephkonchellah2715 4 күн бұрын
Kazi nzuri
@ChristinaBeatus
@ChristinaBeatus 4 күн бұрын
Nahitaji namba zenu nazipataje?
@ChristinaBeatus
@ChristinaBeatus 4 күн бұрын
Naenda kufuga Ila Sina elimu,mnaweza kunisaidia nipate elimu
@MaicoMichael-ml5dl
@MaicoMichael-ml5dl 5 күн бұрын
Mkoa Gan apo
@ElizabethWambui-u1c
@ElizabethWambui-u1c 5 күн бұрын
Renmbo
@witnessmallya5114
@witnessmallya5114 6 күн бұрын
Mi natamani kufuga kwa ajili ya mayai, je soko linapatikana wapi?
@JanethNyamiso
@JanethNyamiso 6 күн бұрын
@JanethNyamiso
@JanethNyamiso 6 күн бұрын
Tunapenda kufuga kuku lakini kuku wangu wanaumwa Sana
@LEONARDMwakamwelo
@LEONARDMwakamwelo 6 күн бұрын
Naomba msaada wa dawa hizo Asante kwa Elim hiyo
@mukombero.
@mukombero. 6 күн бұрын
Jambo bado kuna group? Naitaji
@khadijasegumba8898
@khadijasegumba8898 6 күн бұрын
Nimependa hilo banda nitampata wapi mjenzi?
@saumumunisi8013
@saumumunisi8013 7 күн бұрын
Hicho ni chakula cha wakubwa au vifaranfa?
@saumumunisi8013
@saumumunisi8013 7 күн бұрын
Asante sana
@felixmutta9539
@felixmutta9539 7 күн бұрын
Namba YAKO ya SIMU nsiomba
@sarafinadunia5986
@sarafinadunia5986 7 күн бұрын
Mbona huyajibu hayo maswali Mpendwa. Maana hata nami nilitaka kujuwa kuwa utajuwaje kama kuku sasa yupo tayari kulalia. Na mara nyingine ukiwaondolea Mayai hususia kulalia. Tujuze Tafadhali.
@JuliusGathuri-zz3dy
@JuliusGathuri-zz3dy 8 күн бұрын
Meshing ya kulalia mayayi less ngapi plzs
@Silastoroo-u5h
@Silastoroo-u5h 8 күн бұрын
Ilike it
@YusuphuMatayo
@YusuphuMatayo 9 күн бұрын
Je ukiwa unataka kufuga kuku inàtakiwa uwe na bada kiasi gani
@witnessmallya5114
@witnessmallya5114 10 күн бұрын
Thanks be blessed
@CalvinTemba-nv9px
@CalvinTemba-nv9px 10 күн бұрын
Vifaranga vinauzwaje
@user-ih4fo3lw8n
@user-ih4fo3lw8n 11 күн бұрын
Kuku aliye tamia unaweza kumpa mayai tena akitoa vifalanga
@zabronkbilahi8385
@zabronkbilahi8385 11 күн бұрын
Naitaji kujuwa jinsi ya kufunga kuku
@colinsSikuku-p7v
@colinsSikuku-p7v 11 күн бұрын
0705112852🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@DianaJimmy-y6i
@DianaJimmy-y6i 11 күн бұрын
Niunge ktk darasa kaka
@DianaJimmy-y6i
@DianaJimmy-y6i 11 күн бұрын
Inamaana kuongea nao wanasikia
@user-vq3xl2mq9x
@user-vq3xl2mq9x 15 күн бұрын
Hivyo vifaa vya kulishia natengenezaje
@NazaelElias-hu7ow
@NazaelElias-hu7ow 15 күн бұрын
Nini shida ya kifaranga kuvimba maeneo yashingoni je ni chakula huwa kimeshindwa kusagika au ni ugonjwa naomba kujua
@AjwangThobias
@AjwangThobias 16 күн бұрын
habari za leo,nina swali moja nalo ni nina kuku wa kienyeji ,yaani tetea wana acha firanga wakiwa na miezi miwili lakini sasa firanga vinavyo kuwa si chini ya 6Je nifanye nini ili nipate mavuno mazuri . nini tetea 8 na wote na sifa hiyo
@HarunSeeh
@HarunSeeh 17 күн бұрын
Niko nairobi kenya tunaeza asilianaje
@HarunSeeh
@HarunSeeh 17 күн бұрын
Natamani sana hii biashara sijui ntaazaja mnishauri hapa kidogo
@user-ls2uj3fl1o
@user-ls2uj3fl1o 17 күн бұрын
Naomba namba za huyo mama
@user-ls2uj3fl1o
@user-ls2uj3fl1o 17 күн бұрын
Hongera naomba no yako
@user-nv3ri3ru8s
@user-nv3ri3ru8s 17 күн бұрын
Nice work
@MaprosMrsOphiry
@MaprosMrsOphiry 19 күн бұрын
Asant kwaushauri mzur sana
@jemimabakari
@jemimabakari 19 күн бұрын
Naomba kuuliza,je kuna madini ya kufanya mayai yawe makubwa?
@NeemaMtambo-m6f
@NeemaMtambo-m6f 19 күн бұрын
Jamani Mimi naitaji kuku wa kienyeji vifaranga
@SelemanNob
@SelemanNob 20 күн бұрын
Changamkia fursa ni Daima❤
@kaluluthehair4400
@kaluluthehair4400 21 күн бұрын
Mim nataka kufuga kuku kienyeji
@alijuma5168
@alijuma5168 22 күн бұрын
Na uliza kuku coks hukia kwa miezi?
@GibelyJoel
@GibelyJoel 22 күн бұрын
Munguawqbariki
@user-ed8nt9xy4w
@user-ed8nt9xy4w 22 күн бұрын
aksanti kwa siri za ufugaji wa kuku; sasa na hitaji saana video zenu ni fanye nini