Пікірлер
@janemarwa4120
@janemarwa4120 15 минут бұрын
Mungu alitaka uende pale ili watu wake wasikie neno na kumjua kupitia wewe.Yesu alikuja kwa wakosefu ili wamjue so ulitimiwa na mungu katikati ya waovu sioni kwanini unaomba msamaha kwa kufanya kazi ya mungu.
@user-mb3zq1jr1q
@user-mb3zq1jr1q 23 минут бұрын
Ule ubaya sasa unabwela 😊
@HaruniGerald-g8l
@HaruniGerald-g8l 27 минут бұрын
Sawa
@martingelard7121
@martingelard7121 33 минут бұрын
Mtetezi cku zote huwa adui kwa wambaya, mungu atamulida ,awe na afya njema...❤❤ kioo cku zote kinatazamwa hata kipofu hutamani kukiangalia hata kukishika japo haoni...Watazania tunakuombea afya njema.....
@YvonneNjeri-cb7yw
@YvonneNjeri-cb7yw 46 минут бұрын
Jipe moyo dada, umeshinda hili jaribu kwa sababu ulikua umefika mbele ya hili tukio kukupata kupitia wimbo wako" Niangukapo Mimi nitasimama tena".
@BarakaKawanara
@BarakaKawanara Сағат бұрын
Kweli kuna mamb dunian ya uchawi
@sakysaky1800
@sakysaky1800 Сағат бұрын
Dah Sad....
@mvullamanase
@mvullamanase Сағат бұрын
Hii ni ya kipindi cha Magu. Ndio maana Magu aliwatumbua
@user-go6ht5vv8r
@user-go6ht5vv8r 2 сағат бұрын
Jambalaya hili
@PreciousLilian-f9n
@PreciousLilian-f9n 2 сағат бұрын
Kanisa lako lipo wapi nije kula
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 2 сағат бұрын
Makonda ni kiungo Tanzania
@aishajumanne2698
@aishajumanne2698 2 сағат бұрын
Mungu sijawahi kukutana wala kumuona live makonda .niliwahi kukuomba kipindi ukimya wa JP Mungu Baba ila ukaona aje kwako .niliumia sana Baba.ila nakuomba sana Baba Mungu please.mpe uhai na uzima Paul Makonda uwiii naumia sana nitaumia nihurumie Mungu baba..hii iwe turn kwao wanaotaka akufe waumize wao now
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 2 сағат бұрын
Siasa makanisani sio nzuri ,Makonda piga kazi mkuu tunakuombea upone urudi kazin
@bahatishaisiagi4203
@bahatishaisiagi4203 2 сағат бұрын
Hii record ya mwaka gan, maana nasikia anatajwa mkapa amemuabia!! 😢
@user-uo3jl7jb6x
@user-uo3jl7jb6x 3 сағат бұрын
NAKUOMBEA sana Paul sana mkuu wa mkoa wetu wa Arusha upone haraka
@EliaMhile
@EliaMhile 4 сағат бұрын
Kumbe mzee wa upako sio mkristo.. Mmh kumbe watumishi vilaza ni wengi namna hii
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 4 сағат бұрын
Jamn Nchi hii ina watu wa namna gani,ina maana wamemfanya kama Magufuli,jamn msimuue maana mbona alishaacha siasa, inamaana kupewa ukuu wa mkoa ndio tayari, uwiiiiiiiii.
@AdijaSeleman
@AdijaSeleman 4 сағат бұрын
IKO VIZURU ALLA AMUWEKEYE WEPES POPOTE ALIPO
@maximilianishanyangi1415
@maximilianishanyangi1415 4 сағат бұрын
kama itatokea na makonda kufa nchi hii daa
@AndrewShola-ts5lp
@AndrewShola-ts5lp 5 сағат бұрын
Je kosa lake liko wapi,? Ila nao Hawa wa haki ya kibinadam hamnazo kweri. Je makonda anamtetea binadam wao wanamtetea mtu..
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 5 сағат бұрын
Tunaomba ufahamu juu ya aina ya msalaba unaoutumia na ikiwa wewe ni mtu mwema mbona unatumia nguvu nyingi ki hivyo? Je hupendi kushauriwa?
@SarahLegonda-c8w
@SarahLegonda-c8w 5 сағат бұрын
Piga goti muombe msamaha mungu achana na binadam
@gisellekavira8966
@gisellekavira8966 5 сағат бұрын
Mungu akukemeye wewe.
@salimnzomo1704
@salimnzomo1704 6 сағат бұрын
Try Kenya and you will see for yourself
@mwanawamfalmetz
@mwanawamfalmetz 6 сағат бұрын
Pole Mama mi naamini wewe sio mtu wa mitandao raiti ungekuwa nimtu wa mitandao ungekuwa unamfahamu sana huyo mtu❤
@devotamutayoba9373
@devotamutayoba9373 6 сағат бұрын
Makonda uko wapi? Ebu jitokeze utusalimie tumekumiss jembe letu
@hanskidd2290
@hanskidd2290 6 сағат бұрын
Mbona hii clip ktambo sana tangu magu yupo mzma
@tertulashio
@tertulashio 7 сағат бұрын
Huyo alikiwa ni nani? Membe???
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly 7 сағат бұрын
Mwacheni NAPE jamani, Kwani kutoka madarakani ni ajabu?? Uchaguzi halali ni ULAYA tu siyo AFRIKA,kwa hapo tumefail.
@tertulashio
@tertulashio 7 сағат бұрын
Uongo Uongo ndio menu ya Maisha
@antoniaseif2480
@antoniaseif2480 7 сағат бұрын
Mungu asimame nawewe atete na wanao Tena nawe apigane na wanao pigana naweee❤😢
@gracemtonga3263
@gracemtonga3263 7 сағат бұрын
Atakuwa anamharibi kazi zake kiuchawi so kiboko ya vigagula kambaini😂😂😂😂
@DevothaMahajile
@DevothaMahajile 7 сағат бұрын
Acha kujitetea
@FrankhabibuLunenge-vp8ho
@FrankhabibuLunenge-vp8ho 8 сағат бұрын
Unawasaidia au unawadhalilisha tumia hekima
@Moses-ur8cr
@Moses-ur8cr 8 сағат бұрын
Nape,makamba na kinana ni mafisadi wanatak kuhujumu nchi kwa kutumiwa na mabeberu wa magharibi watanzania tuwe macho tujifunze kwa traole wa bukina faso miaka miwili tu bukinabe neema
@PiusKimaro
@PiusKimaro 8 сағат бұрын
Kaz nzuri mno.kwa wale machawa wajitathmin.hii tz yetu mungu anajua unyonge wetu.atatumia machawa kama mfano kwa waovu wakisiasa
@minyoosho1860
@minyoosho1860 8 сағат бұрын
Ndugu okoka umjue Yesu
@user-sh6ch6ex1h
@user-sh6ch6ex1h 8 сағат бұрын
Your best friend could be your worse enemy, R.IP Nesta Robert Marley
@catherinekeli7403
@catherinekeli7403 9 сағат бұрын
Hujakosa ulihudumia watu. Tuliitwa kwa ajili ya Dunia na Yesu alikufa kwa ajili ya hao. TUnafaa tufikie hao ndio wa nahitaji Mungu.
@simonmwambene4441
@simonmwambene4441 9 сағат бұрын
Vita Gani tena wewe umeomba msamaha kaa kimya hayo maombi magumu ya Nini tena je wewe usingefanya haya yote wangepost hivyo vitu?
@MarthaLungwa-sr4er
@MarthaLungwa-sr4er 9 сағат бұрын
Unajuwa mi nasemaje haijalish mmeliwa hamjaliwa wpo walioponywa kwa iman zao na ndio maana wanajaa pale nasemaje anaesifia mvuwa imemnyeshea. Manabiii wangapi washenziwashenz huku dar hamuwaongelei leo kiboko ndio kawa wimbo uzur hakuna mtu aliwaita palemlienda wenyewe kama uliskia bei huiwezi kwanini usipande gar urud kwako ?? Inakuuma hela ya jirani yako unajitangaza kabisa shika biblia mama soma omba funga uone kama yesu atakutupa kwa jambo lolote lile ukimwamini.
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 9 сағат бұрын
Hakuna mkamilifu sisi wote ni wakosefu mbele zke,,Allah akusamehe dada😢😢
@nasrasewando7152
@nasrasewando7152 9 сағат бұрын
Mungu anasemaga kwanza,so Roho Mtakatifu ajakuambia bac ww unaenda kimwili
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 9 сағат бұрын
Dada upendo!! Yamkini Mungu aliruhusu uende ili uwajie maadui zako. Wasamehe na usonge mbele. Kwangu sijaona kama ni kosa ila ni njia ya kujifunza. Ubarikiwe
@JumaNjiku-df1fd
@JumaNjiku-df1fd 10 сағат бұрын
Mwandishi rudi shule ukasome! Ajiudhuru ni kitendo ambacho hakipo! Neno sahihi ni jiuzulu- ajiuzulu.
@maryr4033
@maryr4033 10 сағат бұрын
Hapo umedanganya Yesu yupo uchawi upo!!
@RoseNailo
@RoseNailo 11 сағат бұрын
Hauna kosa hapo ulipoendà sio kubaya maana Mungu ni wetu wote wabaya na waluo wema kikubwa injiri ifuke mabaya yao haya kuhusu
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e 11 сағат бұрын
Mpina anajibu kwa takwimu na vigezo lkn bodi ya sukali inajibu kwa mdomo na takwimj ambazo hajahoji mpina
@AnthonyVitalis-iy5su
@AnthonyVitalis-iy5su 11 сағат бұрын
Watu wanashida wewe unawaimbia
@mwambaimara1950
@mwambaimara1950 12 сағат бұрын
Awekae sumu ni gaidi kama wewe unakanusha, tuambie wew