InshaALLAH nikijaaliwa nami nitawasilana na Istighama mwakani nijue hali halisi
@user-hz8uw4oe2d4 күн бұрын
Mashallah mashallah Mwenyez Mungu awajaalie hijja maqboul mahujaj wetu nyote nasi atujaalie tuweze kwenda kufanya hijja inshallah
@fatihiyadossa3754 күн бұрын
Mashallah mungu anisaidie Mimi pamoja na mume wangu tuende uko jmn
@Arafa-dt9sh4 күн бұрын
Mashaallah tabarakallah Allah awatakabbalie hijja zenu na cc Allah atujaalie tufike pamoja na vizazi vyetu kwa rehma na utukufu wake Allah ammin ammin yaa rabby
@mhm_alazdi4 күн бұрын
Masha Allah istiqama ❤
@mubarakahmed31734 күн бұрын
MASHAA ALLAH Allah akujalieni wote mlotia nia muweze kwenda kufanya ibada ya hijjah
@mubarakahmed31736 күн бұрын
MASHAA ALLAH Allah awakubalie hijja zao mahujaji wote Na viongozi wa jumuiya ya Istiqama znz Allah awahifadhi na awalipe kheir
@thamani58425 күн бұрын
Amiin
@hafidhsaid41666 күн бұрын
Mashaa Allah Tumwombe Allah na sie atuwafiikishe tufike huko
@MwanahamisHussein-dp2if7 күн бұрын
Maashallah Nasi tunatia nia
@masoudsafia2078 күн бұрын
Mashallah alhamdulillah
@wahidatimimi31798 күн бұрын
Barakallahu fikum
@rashidkhamisjuma371412 күн бұрын
ما أجمل هذه الخطبة
@AshaMwamba14 күн бұрын
Jamànii mumgu anipe uhai nifike makka
@MizaMohd-tm4bo14 күн бұрын
Allah awakubalie hijja zenu
@MizaMohd-tm4bo14 күн бұрын
Dua zenu tunaomba mungu atuongozee watoto wetu
@mubarakahmed317314 күн бұрын
MASHAA ALLAH ALLAH AWAJALIE MAHUJAJI WOTE HIJJA MAQBOUL WA DHAMBAL MAGHFOUR WA TIJAARATAN LLAN TABOUR
@rukiakyaka182715 күн бұрын
Allah atuwezeshe kufanya Kheir Inshaallah
@manton469715 күн бұрын
Mashallah mashallah ustdh
@muslihmazruitogether80715 күн бұрын
Amiina yarab alamina Allah atakabal dua
@MakoyekKulwa16 күн бұрын
Allah atukubalie Toba zetu
@RahmaSenga16 күн бұрын
Masha Allah
@RajabuYahyaBurindwi16 күн бұрын
Allah akulipeni kila lakheri nahija yenu iwe maquubur
@aminafadhili439216 күн бұрын
Masha Allah
@hamadikhamisi506916 күн бұрын
mwenzi mungu awape afwa namutuombe dua sisi nduguzenu
@hamadikhamisi506916 күн бұрын
❤
@atkerhamad998416 күн бұрын
Mashaallah
@sommohd790316 күн бұрын
M.mungu awajaalie mmalize Ibada mrudi salama..nasi Mungu atujalaie Khery za Ibada hiyo
@aishaali958316 күн бұрын
Mimi niko huku lakini warabu wenyewe awaendi ni kula tu jamani
@user-fd6tj8yg9o17 күн бұрын
MashaAllah Allah awajalie Kila lakher 🙏🙏
@wahidatimimi317917 күн бұрын
MashaAllah
@user-un3hr5kh6z17 күн бұрын
Maknay choyo
@AndulHida-hs5py17 күн бұрын
Mash Allah tabarak Allah ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri mola Awakubaliye mahujaji wote hijja maqbuli inshaallah
@AndulHida-hs5py17 күн бұрын
Mash Allah tabarak Allahu ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri, mola Awakubaliye mahujaji wote inshaallah
@tariqhafidh81617 күн бұрын
ماشاءالله تبارك الرحمن😊
@ashaomar710917 күн бұрын
Ewe mola wetu tujaaliye na sisi waja wako kutimiza ibada ya hijja
@AhmedMohamed-so7db17 күн бұрын
Yaan nataman sana sana yaraby nijalie tujaaliye sote tunao tamani kukamilisha Ibadan hii
@ashaomar710917 күн бұрын
mashaaallah ❤❤
@user-jy8tr5bp1p17 күн бұрын
Masha allaah aja awaongoze katik zafari yao
@victorterry22717 күн бұрын
Masha-allah
@Aisha-qd2rg17 күн бұрын
Mashaalah tabarak Rahman Allah awatakabalie dua zenu pia nataman sana nami siku moja nije kuhijj ila sijui garama na taratib zote za Hijja naomba muwe mnatupa taarifa tafadhli 🤲
@FaidhaSaid-ff1jh17 күн бұрын
Maashaallah Allah awakubalie ibada hiyo na msisahau kutuombea nasi tupate nafasi ya kuja huko kufanya ibada hiyo inshaallah
@salmasalim605517 күн бұрын
Mashallah
@gamarmahsan825417 күн бұрын
Kabisa habibti
@gamarmahsan825417 күн бұрын
Alhamdulilaah Alla awatimiziye haj yenu awatakabaliye amal zenu basi twa waomba duwa zenu natamani kufika hapo duwa zenu ndugi zangu mashalla
@allahmamana17 күн бұрын
Mola awatakabalie hija yao amin
@allahmamana17 күн бұрын
Maashaallah
@butoyiamadi126617 күн бұрын
ManshaAllah tabarakallah hadi raha mwenyezi Mungu awajaze kheri atujaliye nasisi tulio baki kuipata neema iyo asitufishe bila kuifanya iyo ibada nafurahi sana
@user-eu4pk3eh5d17 күн бұрын
Mashallah Mungu awatakabalie hijja yenu iwe yenye kukubaliwaa na mimi nina imani siku moja nitafika huko inshallah
@fawziaabdurrahman225117 күн бұрын
Kuenda hijja ni mualiko wa Allah. Kwa hio, Wanaotamani kuenda hijja, Wewe tia nia kua wataka ufike huko. Allah kwa ukarimu wake atakufungulia upate nguvu ya fedha, nguvu ya mwili na afya, upate huo mda na hio nafasi. Inshallah Utajipata kwenye miji mitakatifu. Walioenda Allah awatakabalie na sote Allah atutakabalie ibada zetu. Amin