Пікірлер
@IsaacPhilemon-mt7bk
@IsaacPhilemon-mt7bk 22 сағат бұрын
Bora Moo alitambulisha dada yake ambaye pia kuna kitu anakiweka kwenye Simba Queen,kuliko Manara kalaza watu usiku wa manane kwa kumuongelea Mabeto.
@DeborahRichard-gc7bf
@DeborahRichard-gc7bf Күн бұрын
Ahahahahahahaha hya bwan kutambulisha tu lkn kufunga aaaaaah😂😂😂😂😂😂
@StoryTellersTZ
@StoryTellersTZ Күн бұрын
@@DeborahRichard-gc7bf 😅😅😂😂😂
@Upendogospelchoir
@Upendogospelchoir 3 күн бұрын
Kitale
@bonfilskashaba7381
@bonfilskashaba7381 7 күн бұрын
😅😅😅😅
@AbraSango
@AbraSango 11 күн бұрын
msitumie nguvu kubwa kumjadili haji...last born ata akikupig analia yy😂😂😂
@user-tc9vi3ow3n
@user-tc9vi3ow3n 12 күн бұрын
Family ililetwa kutambulishwa
@user-gj1sn3yu8x
@user-gj1sn3yu8x 14 күн бұрын
Manara hata moo umchafuee vp yule ww sio saizi yko Acha ujinga manara
@MichaelNgowi-nc3vn
@MichaelNgowi-nc3vn 16 күн бұрын
Hahaha makolo hawana exprnc dada ana taka bwana au
@StoryTellersTZ
@StoryTellersTZ 16 күн бұрын
@@MichaelNgowi-nc3vn kheeeee
@AliAmad-f8n
@AliAmad-f8n 17 күн бұрын
Manara vaa kofiya
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 17 күн бұрын
😂😂😂😂🤣🤣🤣 yani MO alitambulisha familia yake tu ila poleni sana
@StoryTellersTZ
@StoryTellersTZ 17 күн бұрын
@@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k duhhh😂😂😂
@OmaryAbdalah
@OmaryAbdalah 17 күн бұрын
😅😅😅😅
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k 21 күн бұрын
Hapo wakusitakiwa Ali kua IGP Wawa Kati huo Ndie Aliye fuga Wa uaji Pengine ni Ndugu zao Ona kaua Raia Hatu jui kaua Wa ngapi?
@safenathpanea
@safenathpanea 21 күн бұрын
kzfaq.info/get/bejne/fLaqhNKazM_XY6s.htmlsi=Ndd55pPZ7fFS55Ob Yahwe 🎶🎶🔊🔊
@IsackTeacher
@IsackTeacher 24 күн бұрын
Hatar sna
@MabenaKishapu
@MabenaKishapu 26 күн бұрын
hakuna mtu aliyekuwa anaitukan yanga kama manara dah kwel manara we ni mnafiki kinoma2
@user-eg1ts2fu9z
@user-eg1ts2fu9z 29 күн бұрын
Ketenge yupo smart Sana kichwani
@MaikoAdam-mw7qb
@MaikoAdam-mw7qb Ай бұрын
Kweli hapo mpo vzr
@byamungumpenda679
@byamungumpenda679 Ай бұрын
Katika waandishi wa ovyo kabisa ambao hawezi kujua interview maulid kitenge ni mjinga sana
@Mchwatv
@Mchwatv Ай бұрын
kzfaq.info/get/bejne/edqigaZ10M2lcmQ.htmlsi=sBMl4cbQBRRuWJGd
@Fiston.benalfa
@Fiston.benalfa Ай бұрын
😂😂😂😂
@yohanakiureimoon-mo4py
@yohanakiureimoon-mo4py Ай бұрын
Hivi huu mtandao inatusaidia je sisi washabiki au watazamaji kwa ukweli gani?maana mara inonga ameuziwa mar chama ni yupi kati yao kashaa toka msimbazi niambieni
@HajiJuma-oy1jy
@HajiJuma-oy1jy Ай бұрын
Huna mamlaka yakusema bei lkn mamlaka yakuisemea Yanga unayo
@anyeresa928
@anyeresa928 Ай бұрын
Subirini nikiinunua efm nawapa thank u wawili hapo
@salimmbilu4524
@salimmbilu4524 Ай бұрын
Ahmed uko sawa
@Hassanisuleimani
@Hassanisuleimani Ай бұрын
Huyo mudi nyie munamuita ahmed mmepooza Hugo akili Hana mayele hakuuzwa na yanga aliuzwa na mamaake au na shemeji yake anae tembea na dadaake
@JuhudiKasanga-yq5ks
@JuhudiKasanga-yq5ks Ай бұрын
Mda wa madunduka huu kutamba ligi ikianza mateso mpaka mda wadirisha dogo wanaamkaga tena
@wilbertsanze285
@wilbertsanze285 Ай бұрын
Huyu mzee chizi
@IssaAbdallah-rt2sh
@IssaAbdallah-rt2sh Ай бұрын
Ats nini utajua mambo ya mayele kweli
@IssaAbdallah-rt2sh
@IssaAbdallah-rt2sh Ай бұрын
Sasa kwani yanga walimuuza mayele hata jambo la kweli yanga hamlitaki washamba sana nyinyi gongo wazi
@mubaraalichiku6089
@mubaraalichiku6089 Ай бұрын
Ahmed Ali Nakuheshimu lakini msenge, aseme ukweli mbwa koko ww
@twahakabajemi9716
@twahakabajemi9716 Ай бұрын
Kama yanga hawa kumuuza wewe inakuathiri nini?
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Ай бұрын
Inonga marehem duuuu
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d Ай бұрын
Mayele alikua yanga kwa mkopo
@gabrielgwawu4026
@gabrielgwawu4026 Ай бұрын
Chizi chizi tu. Na badoooo.!! YANGA BINGWAAAAAA TENA NA TENAAA
@HalidiKilale-d2n
@HalidiKilale-d2n Ай бұрын
Semaji la visemaji Sauti ya jogoo akiwika Hadi vijiji vya jirani wanaskia sauti.
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v Ай бұрын
MAYELE ALIUZWA NA SIMBA BASI
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d Ай бұрын
Aliuzwa na timu yake ya congo
@user-mg1yl2rl8s
@user-mg1yl2rl8s Ай бұрын
Mkataba umeisha unasemaje mmemuuza...hii klabu ni uongo uongo tuuu
@AbrahamanHussein
@AbrahamanHussein Ай бұрын
Huyo ahemed ni mpumbavu kazoea kuwadanganya makolo anawaina wote
@MusaAli-gl1ue
@MusaAli-gl1ue Ай бұрын
Inawaumaaa wakisikia sauti ya Ahmed
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp Ай бұрын
Wewe ndio semaji la caf simba nguvu moja
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Nguvu Moja huku mkiteseka nyeee ni Hoya Hoya kweli
@khajihamisi5054
@khajihamisi5054 Ай бұрын
Waandishi na ninyi wachambuzi,kfk hilo jibu lake huyo comedian(siyo msemaji wa simba)muulizeni swali dogo tu, ambalo halihitaji elimu ya chuo kikuu. ATS ya Mayele ilitoka klabu gani wakati anakwenda Plamidy?
@HalimaMaulidi-sv7le
@HalimaMaulidi-sv7le Ай бұрын
Semaji la wasemaji handsome boy wetu huyooo wanaonuna wacha wanune tupa kuleeeee!
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
😂😂😂😂 oruma maswal yote yameyayuka baada .......bila d 2 huwez kuelewa
@adrophinamwanguse1510
@adrophinamwanguse1510 Ай бұрын
Semajiii wakeereeee wenye vifukunyuku
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
Huyu msemaji 😂😂😂😂
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
😂😂😂 alomuona oruma anajichekesha akicheka kinafiki 😂😂😂😂,
@DanielChaula
@DanielChaula Ай бұрын
😂😂😂😂
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 Ай бұрын
Huyu ni msemaji sahihi kwa klabu yetu. Msemaji huwa hakurupuki
@mwanangusana
@mwanangusana Ай бұрын
Club yenu 🤣🤣
@user-lj8jp9dc9l
@user-lj8jp9dc9l Ай бұрын
Wee jibu la inonga ya mayele hayakuhusu. Hivi huo fara walimchaguaje kuwa msemaji.
@zachmaselle6635
@zachmaselle6635 Ай бұрын
Wachambuzi wanaididimiza Simba. Media za Tanzania za michezo ni shabiki, Umuhimu inaopewa Simba inaufanya uoncozi wa Simba kufikiria timu yao ipo sawa na kutofanya vitu vinavyotakiwa kuiimarisha. Sasa hivi Simba ni timu ya tatu. Wachambuzi mungeisaidia timu kama Azamu na Yanga kuangalia ni jinsi gani wanatakiwa kujiimarisha kugomba ubingwa wa Afrika. Suala la kusajili Timu bila mwalimu sijui inamantiki gani! Haya hamchumbui!
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt Ай бұрын
Huyu msemaji ni komediani sana sasa watu wanakuliza yeye analeta mzaa kweli simba mjitahidi kutafuta wasemaji Wenyeweredi