UWEKEZAJI WA KIHISIA - JOEL NANAUKA
2:29
JINSI YA KUWEKEZA KWENYE HATI FUNGANI
1:01:02
MJANE KWENYE PROGRAM YA MAFUNZO
2:52
21 күн бұрын
THE TOP TEAM ACADEMY PRESENTS TO YOU
1:42
WATAJE WENGINE: JOEL NANAUKA
4:58
Пікірлер
@Giliad-atsua1y
@Giliad-atsua1y Күн бұрын
🎉❤ kuanzia leo naanza kujilazimisha ❤🎉
@Giliad-atsua1y
@Giliad-atsua1y Күн бұрын
Kweli kabisaa mwalimu
@ENOSOUND
@ENOSOUND Күн бұрын
From Moonnight inn kaka nakupata hapa nimeelewa
@charlesmasangu4080
@charlesmasangu4080 Күн бұрын
Tokea niliposoma kwa mara ya kwanza kitabu chako cha Timiza malengo yako vitu viwili ambavyo nilivitendea kazi ni hiyo Falsafa ya Choma meli zako zote na Chinese Bamboo… ambavyo mpaka leo hii vimenibadilisha sana postively na mtazamo wangu ulibadilika sana tangu wakati huo na mpaka najishangaa mwenyewe… Barikiwa sana Joel Mungu akutunze uzidi kusaidia watu wengi mimi binafsi nakushukuru sana kunipa elimu ambayo huwezi kuipata kwenye mfumo wa kawaida wa ellimu …
@JohnNdosi-i1y
@JohnNdosi-i1y Күн бұрын
Nimekubali anachofundisha Ubarikiwe Sana ndugu
@zuwenayusuph3813
@zuwenayusuph3813 Күн бұрын
Nakupenda sana kaka Joel MUNGU akuinue zaidi MUNGU akuzidishie
@NancySalekwa
@NancySalekwa Күн бұрын
U know bro
@CharlzFilbeth
@CharlzFilbeth Күн бұрын
Unaongea facts Sana broh
@TravoriusShimbax
@TravoriusShimbax Күн бұрын
Napitia iyo changamoto
@user-lj4pz4pv8o
@user-lj4pz4pv8o Күн бұрын
Ubarikiwe sana mental wang
@PaulinaGasto-n8t
@PaulinaGasto-n8t Күн бұрын
Nipo aruxha nakptaje kitabu
@issakabogo7929
@issakabogo7929 Күн бұрын
Nmepata somo shukran
@user-pi1st6pj3w
@user-pi1st6pj3w Күн бұрын
Amen
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 Күн бұрын
🙏🙏
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 Күн бұрын
Barikiwa sana coach Joel nimejifunza
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 Күн бұрын
Asante sana nimejifunza
@aminakasim1198
@aminakasim1198 Күн бұрын
I am very careful,
@nakaniwaamon8051
@nakaniwaamon8051 2 күн бұрын
Natamani kusema mengi Kwa namna ninavyobarikiwa na huduma yako,,,ila nashindwa kuandika yote ila ubarikiwe mno MUNGU anakutumia unatusaidia kiroho na kijamii pia Huwa nakufwatilia sana,,,,Msaada Kwa namna ya kupambana na tabia ya hasira😢 iliyopita kiasi
@StephanoManyanda
@StephanoManyanda 2 күн бұрын
mabarikiwa sana na elim yako brother 🙏
@HamadiRsima
@HamadiRsima 2 күн бұрын
Namba nne
@MussaIssaya-up1zu
@MussaIssaya-up1zu 2 күн бұрын
Daaah! hapa na mm ni mmoja wao
@claudjohn
@claudjohn 2 күн бұрын
Respect for you
@claudjohn
@claudjohn 2 күн бұрын
Respect for you
@mjemachannel7591
@mjemachannel7591 2 күн бұрын
MAARIFA YATAKAYO KUSAIDIA MAISHANI 1]Jitambue wewe kwanza [kama wewe mwenyewe haujitambui hakuna atakayekutambua.
@AngelMassawe-nz9sk
@AngelMassawe-nz9sk 2 күн бұрын
ndio ilivyo lakini tusichoke kutenda mema tutalipwa na Mungu na kama huna usilazimishe akichukia ipo siku ataelewa tu tusiwachukie tuwasamehe na kuwaombea hili nitatizo, mwl asante jambo hili latakiwa maandalizi ni jinsi gani tutatoka kwani haliko kwenye changamoto bali liko kwa tatizo tayari baadhi ya familia tena nyingi
@mjemachannel7591
@mjemachannel7591 2 күн бұрын
MAMBO YA KUEPUKA UNAPOKUWA KAZINi 1]Isitoe ahadi ambazo huwezi kuzitimiza.[kumbe unajua haliwezekani ila unashindwa kusema hapa ndio maana unatoa ahadi za uongo] 2] Zingatia mipaka yako ya kazi 3] Epuka kufanya kazi kwa mazoea jaribu kuwa mbunifu 4]Usiwe unarudia makosa yale yale ]utaonekana una dharau na hautaaminika tena 5]Jiepushe na watu wanaopenda kujadili mambo ya Watu wengine 6]Epuka kuwa mchelewaji [itapelekea watu kukuona haupo makini
@sophiamwasonga5289
@sophiamwasonga5289 2 күн бұрын
Asante sana,samahan mimi naomba kuonana na wewe nakupataje
@Delphinusdeodatus-xu6nf
@Delphinusdeodatus-xu6nf 2 күн бұрын
Barikiwa Sana bro Joel
@EmilyMwalongo-sg4ru
@EmilyMwalongo-sg4ru 2 күн бұрын
This is the knowledge that many Africans want, although only a very few percent know that if they want this knowledge, there are many of them, realize that the comfort zone in the brain is not correct, and the need we have
@kishoshamisungwi
@kishoshamisungwi 2 күн бұрын
Bro Joel, asanaaa
@EmilyMwalongo-sg4ru
@EmilyMwalongo-sg4ru 2 күн бұрын
Bro joel nanauka umechangiya kwa 100% kubadili maisha na fomla nzima ya maisha yangu na shukuru sana kwa kazi nzuri unayo ifanya ya kuandaa hizi content na vitabu vyako vyenye Quality ya juu vinavyo nifanya niwe imara kwenye hatua za kukamilisha ndoto yangu so thank you bro. (If this knowledge I have, if I manage to penetrate and reach even a quarter of Africans, I am sure we will become strong nations or Africa very strong economically. See you at the top my brother.
@mohamedKudura
@mohamedKudura 2 күн бұрын
Mungu akuongoze