MAAJABU YA JINA LA ALLAH AL-MUSWAWWIRU
3:41
UTUKUFU WA JINA LA ALLAH AL-ADHWIIM
4:35
21 сағат бұрын
NDOTO ZA PAKA MWEUPE KWA MTALAKA
6:31
MAMBO 3 YANAYO ZIDISHA UMRI
3:33
3 ай бұрын
MAMBO KUMI YANAYO ZIDISHA RIZIKI
7:07
Пікірлер
@user-su5oi5wb6c
@user-su5oi5wb6c Күн бұрын
Amiin 🤲🤲
@SofiaMwakipiti
@SofiaMwakipiti Күн бұрын
Ewe mwenyezi mungu unajua udhaifu wangu naomba uniongeze nipe furaha na amani mtu ulie mtuma kwangu naomba tu anisaidie
@ZainaMkamba
@ZainaMkamba Күн бұрын
Allah kupitia Dua hii imponye mwanangu sielewi kinacho muuma Kila kitu nimepima ila hakuna ugonjwa ila tumbo linajaa na kutapika nakuharisha
@Zarika-o2z
@Zarika-o2z 2 күн бұрын
Kupitia dua hii ya Allah nifungulie rizik niepusheie maradhi yote
@KhalfanDotto
@KhalfanDotto 2 күн бұрын
Ewe mwenyezimungu nijalie mwisho mwema
@KhalfanDotto
@KhalfanDotto 2 күн бұрын
Kupitia duahii naomba mungu anitakabalie Dua
@JokhakhelefRashid
@JokhakhelefRashid 3 күн бұрын
A alykum shkh nina suali ivi iyo njia yakutumia tanga wizi na pili pl manga nikijiko kimoja kwa kila ivo vifaa au nikijiko kimoja mchananyiko? Nahalafu hio glass moja unukunywa mwanzo wa tendo na mwisho unakoroga nyengne ya mwanzo?au unabakisha nusu ile glass ya mara
@ManirakizaSada
@ManirakizaSada 6 күн бұрын
Amiin ya Raabii kupitiya iyi Dhua nakuwomba unisameh mazhambi yangu ya Allah na unikubaliy Dua yangu
@user-md8gs2mk2m
@user-md8gs2mk2m 7 күн бұрын
Amiiina
@EnduBoy
@EnduBoy 7 күн бұрын
Ukiota unakula. Ndizi
@user-rs8km4nq2e
@user-rs8km4nq2e 7 күн бұрын
Mungu ataraisisha inshaallah
@Ibrahim-q1t
@Ibrahim-q1t 8 күн бұрын
Sheikh kwa darsa nzuri
@AbdulrazackMussamzee
@AbdulrazackMussamzee 9 күн бұрын
Sheikh nmeota napambana na maadui bsdae nikasema ntaka nipae na nikapaa nikagsnda kule juu nikawa nssoma surat ikhras pia hii inajirudia nsota nspata matatz ucngzn then naota nasoma ayatul qursiyu na ikhras hii inamaanish nn
@AishaAthimani
@AishaAthimani 9 күн бұрын
Jazakallah khair ataje mara ngani
@asilahassan9965
@asilahassan9965 11 күн бұрын
Shukran shekhe wangu
@user-eh7zi5kj4f
@user-eh7zi5kj4f 11 күн бұрын
Mi nimeota naikata ndizi au kuvuna mkungu mzima naukata kwenye ndoto, naomba unitafsirie shehe wangu
@HabibaHemedy-rs8uo
@HabibaHemedy-rs8uo 11 күн бұрын
Ya Allah Nisameh kwa chochote kisichokupendeza kwako hakika naamini dua hii alahbdulilah lablalamina
@Qian-ei6lx
@Qian-ei6lx 11 күн бұрын
Aminii🙏 Ewee Mwenyezi Mungu mpunguzie adhabu ya kaburi baba ang ,,
@NeemaKizulege
@NeemaKizulege 12 күн бұрын
Mwenyez nifungulie nipate pesa leo ili niweze kufanikisha safari yng pia nipe wepes safari yang iwe ya kher
@Azuu-rq6te
@Azuu-rq6te 12 күн бұрын
Assalam alaykum warahmatullah, nimeota Kuna paka Watatu Wana rangi mchanyiko Ikiwepo na nyeupe naokota mawe nawapiga nn maana yake
@MsAisha-w4o
@MsAisha-w4o 12 күн бұрын
Maa shaa allah..Allah akuhifadhi shekh wetu..mngu ajaalie KHeri ndoto hizi zitimie...🩵🙏
@lilianali8851
@lilianali8851 12 күн бұрын
Ndoto ya mama amekufa
@emmabell3399
@emmabell3399 13 күн бұрын
Mimi si mwislamu. Lakini nimeota nafukuzwa na simba nikipanda mlima. Nikaona mwanamme kule juu akininyoshea mkono kuja chini kutoka huko juu kule kwenye kilele. Nikafika kilele, simba akatuliatuli mbele yangu. Na kando yake kulikua na lango kama lile liko kwenye airport. Lile la security check. Halafu nikaota boyfriend yangu akiniambia anatakakuninunulia kitanda kipya. Aty tuko kwenye open ground imejaa vitanda za kila aina, na ananiambia nichague kitanda nimependa anilipie. Kisha nikaamka hivo tu.
@Adamson-u2x
@Adamson-u2x 14 күн бұрын
Je ukiota usingizini unachuma ndizi ya njano unawapa watu
@ZulfatRamadhani
@ZulfatRamadhani 14 күн бұрын
Shekhe samahani mim nimeota tumekata mikungu na wenzangu wa kike na wakiume nawajua.tukapeleka shule.sikujua tulikabidhi nani.swali wanasem ukiota mambo ya shule maisha yako yanarudi chini.
@HassanVicent
@HassanVicent 15 күн бұрын
Aamii mwenyezi mungu naombasa unibaliki kupitia hii dua
@NeemaKizulege
@NeemaKizulege 15 күн бұрын
Mungu nisaidie nalipukwa na mapigo ya moyo
@SakinaSaidi-qu4wy
@SakinaSaidi-qu4wy 15 күн бұрын
amin
@nickluckmakundi
@nickluckmakundi 15 күн бұрын
Sheik umekosea kwa mujibu wa neno la Bwana ukimuta nyoka ujue huyo nyoka ni ibilisi soma ufunuo 12:1-10 uone unyodanganya watu ukimuota nyoka yeyete ujue nishetan nakeziyake nikuuwa TU
@Angel-do2lb
@Angel-do2lb 16 күн бұрын
Ukiota unafanya mapenz na mwanamke mwenzio
@UpendoChigwasi
@UpendoChigwasi 16 күн бұрын
Mungu nisameee Kwa kila kitu
@noorischmutisch5321
@noorischmutisch5321 16 күн бұрын
Assalaam aleikum warahmatullah wabarakatuh,,mimi nimeota mti mmja umetoa matunda tofauti tofauti nilipogeuza macho kuangalia hayo matunda nikashangaa na kufurahi sababu nilizungukwa na maembe,mapapai,matikitii maembe ya apple,,na ndizi kisukari mashaallah nikasema nitatunda niwape na majirani wangu pia!
@AbdallahHassan-y2n
@AbdallahHassan-y2n 18 күн бұрын
Kupitia dua hii kwawenzo wako manani niondoshe mabala ya kilaaina
@abdullymalambaya
@abdullymalambaya 18 күн бұрын
Je sheikh ukinunua duka la dawa. Yanakua Tyr yameshasomewa
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 17 күн бұрын
huwa hayajasimewa wee ukiyanunua nipigie niyasomee
@abdullymalambaya
@abdullymalambaya 18 күн бұрын
Kwa mfano sheikh hayo mafuta ya miski. Ukiyanunua duka la dawa je yanakua Tyr yameshasomewa
@user-qr6wq9kk6c
@user-qr6wq9kk6c 18 күн бұрын
Ya Allah nakuomba uniondolee matatizo yanngu unifungulie baraka zangu inshaallah😢😢😢😢😢😢😢
@bwanamakakassim3659
@bwanamakakassim3659 19 күн бұрын
Na mwanamume akiota paka mweupe huwa ina ishara gani.?
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 19 күн бұрын
paka mweupe huyo umemuota afanya nini ?
@KulthumRashidmusa
@KulthumRashidmusa 19 күн бұрын
Mashallah
@NaimahKhalifasalim
@NaimahKhalifasalim 19 күн бұрын
Nimeota nakula tende,mwez uliopita,jana nimeota namwagilia mboga maji kipind cha Ramadhan nilikua naota sana vitanda
@SophiaSalum-tq5re
@SophiaSalum-tq5re 20 күн бұрын
Yarrap nakuomba unipatie mume mwema ,mume mwenye hofu yamung ,atakae nipenda mimi pamoja na family yang eeh mwenyezimung nisaidie kwa hili🤲🤲😢
@user-eg1tz6xe5y
@user-eg1tz6xe5y 20 күн бұрын
Allahumma Amin rabina lamini
@user-eg1tz6xe5y
@user-eg1tz6xe5y 20 күн бұрын
Ewe mola wangu nisamehe makosa yangu nifungulie riziki zangu, nipe umri mrefu niweze kutubu Dhabi zangu
@yusterAloyce-l7t
@yusterAloyce-l7t 20 күн бұрын
Eeh mung nakuomba umponye mume wangu 🙏
@yusterAloyce-l7t
@yusterAloyce-l7t 20 күн бұрын
Eeh mwenyez mung nakuo
@asnatabdallah
@asnatabdallah 21 күн бұрын
Ya Allah nakuomba unisamehe makosa yangu ninayo yajua na nisio yajua nakuomba unipe afya njema na mwisho mwema 🤲
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 20 күн бұрын
Aamin
@iradukundamimi4212
@iradukundamimi4212 21 күн бұрын
Yarabi niondoleye matatizokatika maisha mwangu yarabi napia mengi muno unipe moyo yasubra
@JasminKibula
@JasminKibula 21 күн бұрын
Ya Allah naomba unisamehe makosa yangu yale niliyo yafanya kwa kuelewa na kwa nisiyo yaelewa Allaha naomb unipe mwisho mwema Ya Allah
@Ali-dv7ds
@Ali-dv7ds 22 күн бұрын
Shurkan sheikh
@shangaza127
@shangaza127 22 күн бұрын
Yaraby wajaalie wazazi wangu na wazazi wenzangu pamoja na waislam wote tulokuwa hai uzima afya na mwisho mwema amiin amiin amiin
@shangaza127
@shangaza127 22 күн бұрын
Amiin amiin thumma amiin yaraby wajaalie watoto wangu maisha marefu uzima afya pia waondoshee husda maradhi uwajaalie wasimaishe sala5 nawajaalie kuifata dini yao mambo yao nakuacha makatazo yao pia uwajaalie maisha yenye furaha na aman pia utujaalie mwisho mwema waislam wote amiin amiin rabialamin amiin