NYUMBA HII INAUZWA
7:11
Жыл бұрын
NYUMBA HII INAUZWA
6:33
Жыл бұрын
August 20, 2023
3:42
Жыл бұрын
August 20, 2023
5:10
Жыл бұрын
NYUMBA HII INAUZWA
5:41
Жыл бұрын
House is for RENT
5:28
Жыл бұрын
Пікірлер
@mariethaadelinminja6429
@mariethaadelinminja6429 14 күн бұрын
Inauzua bei gani
@smina8226
@smina8226 6 ай бұрын
Inauzwa bei gabi
@mwanakhamisimwinyimatano1185
@mwanakhamisimwinyimatano1185 6 ай бұрын
Bado ipo hii
@Hapi-Awa
@Hapi-Awa 7 ай бұрын
Hii nyumba bado ipo? Number yako yenye WhatsApp ni ipi hiyo?
@ceomom2213
@ceomom2213 7 ай бұрын
Tunguu ni wapi huko? Madalali wa Tanzanis mnatakiwa mjiongeze zaid kama mnataka kuuza kweli nyumba zenu. Kila nyumba maelezo ni nusu nusu. Usimuache mteja na maswali unamfanya aende kuangalia nyumba nyingine. Unapoteza mteja
@hemedmadaya6371
@hemedmadaya6371 8 ай бұрын
Kwa nini inauzwa
@hemedmadaya6371
@hemedmadaya6371 8 ай бұрын
Nas
@hemedmadaya6371
@hemedmadaya6371 8 ай бұрын
Habari iko wapi?
@mamyomar1241
@mamyomar1241 8 ай бұрын
Mnajenga majumba hamuhamii, washahamia majini hazikaliki ndio mnauza. Nawasiwasi wenyewe wapo uingereza,
@khatibsaid5010
@khatibsaid5010 7 ай бұрын
Kazi choyo tu kwani nawewe siunde alafu ufanye kama ivo kama ni rahisi
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 Ай бұрын
Hii yako akili mgando mmh
@dalalizanzibar9583
@dalalizanzibar9583 8 ай бұрын
Nyumba nzuri
@fatumazakalia-yx4kg
@fatumazakalia-yx4kg 9 ай бұрын
Kwann inauzwa ?
@ummusamira3518
@ummusamira3518 9 ай бұрын
Assalam alaykum warhmatullah wabarakatu vipi Hali zenu hamjambo nyote Vipi hii nyumba bado IPO?
@KhalidKhan-ud9cz
@KhalidKhan-ud9cz 9 ай бұрын
Mzuri Sana
@fatimaburhani1015
@fatimaburhani1015 9 ай бұрын
Brother how much is the cost? Please reply.
@csato9415
@csato9415 9 ай бұрын
Bei yake imewekwa hapo ni 330,000,000 Mil.
@zakiamohamed7611
@zakiamohamed7611 9 ай бұрын
Zanzibar hiyo ila tuma namba zako za cm
@csato9415
@csato9415 9 ай бұрын
Namba za simu ziko hapo ambapo pia kuna bei.
@fauziakarama8581
@fauziakarama8581 9 ай бұрын
Maa Shaa Allah eneo zuri Sanaa kwa kilimo na utumaji
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 9 ай бұрын
Hii ni paradiso ndogo🎉
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 9 ай бұрын
Kwanini inauzwa
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 9 ай бұрын
😂hapo sasa
@csato9415
@csato9415 9 ай бұрын
Ni lazima ufanye uchunguzi kabla ya kununua ili kujiridhisha.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 9 ай бұрын
Bei ni kiasi gani. Kwa kifupi ni wapi hasa
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 9 ай бұрын
Choo hicho mi nikiingia ntalala hapo hapo ntafikiri ni chumba mashaallah😂
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 9 ай бұрын
Mkopo upo?!
@hamudzakuwani4149
@hamudzakuwani4149 9 ай бұрын
wapi eneoo
@hamudzakuwani4149
@hamudzakuwani4149 9 ай бұрын
beii
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 9 ай бұрын
Tuwasiliane nataka kununua ni eneo zuri sana kwa ufugaji wa nguruwe
@aminakasim1198
@aminakasim1198 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 Astaghafirullah nguruwe tenaa
@SalamaAkilimali-ly3bu
@SalamaAkilimali-ly3bu 9 ай бұрын
Bangi jamani mbaya sanaaa
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 9 ай бұрын
​@@SalamaAkilimali-ly3bu😂😂😂😂
@csato9415
@csato9415 9 ай бұрын
Ukinunua ni haki yako...lakini sasa eneo lenyewe liko Tunguu - Znz.😮
@rizikimohamed2449
@rizikimohamed2449 9 ай бұрын
Mashaallah nyumbani mzuri sana
@salomekilavi6421
@salomekilavi6421 9 ай бұрын
Ni how much cost
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 9 ай бұрын
Kwakweli eneo zuri sana majengo mazuri sana wenye hela wanaraha nikununua familia ikikaa hapo yaani ni kufanya kazi ya kuboresha kilimo ndani ya ukuta mwanamke mwenye akili hapo ni ajira tosha kipato kinapatikana hapo hapo
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 9 ай бұрын
Toa maelezo vizuri , TUNGUU ni wapi , wadhani kila mtu hapa mtandaoni anafahamu TUNGUU ni wapi .
@sultansallah8772
@sultansallah8772 9 ай бұрын
Hajielewi huyu dalali. TUNGUU ni zanzibar.... Nje kidg ya mji ndo kilipo chuo kikuu cha zanzbar SUZA na vyuo vengne vungi kama Z.U na IPA kwa daladala kutoka mjini ni kama 600 kama sikosei
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 9 ай бұрын
How much tsh
@yasminjuma9146
@yasminjuma9146 9 ай бұрын
Bei
@fatmakhatib2935
@fatmakhatib2935 9 ай бұрын
Watu bhana mbona kila kitu kimejieleza hapo juu bei pamoja na namba za simu pia zipo gusa hapo kwenye maandishi makubwa maelezo yatakuja kamili maana hapo yako nusu ndio mana kila mtu anauliza bei mara mawasiliano vyote vipo hapo
@fatmakhatib2935
@fatmakhatib2935 9 ай бұрын
Bei ipo hapo kwenye kichwa cha habari tungui ni Zanzibar jamani
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 9 ай бұрын
Kwa nini ?tatizo nini tuelewane isije ikawa kesi
@aminakasim1198
@aminakasim1198 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂kwakweli kujihami nivizur
@zaituniallyjuma8845
@zaituniallyjuma8845 9 ай бұрын
anauza iyo nyumba inanini
@kamalabuberwa2001
@kamalabuberwa2001 10 ай бұрын
Tunguu ipo wapi?
@hassanshamte1610
@hassanshamte1610 9 ай бұрын
Zanzibar
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 9 ай бұрын
Tuwasiliane nataka kununua eneo Zuri sana kwa ufugaji wa nguruwe
@kyaro5945
@kyaro5945 10 ай бұрын
simu zako ziko wapi shekhe
@kyaro5945
@kyaro5945 10 ай бұрын
ila hakuwa na mjenzi mzuri. kote hapo panageuzwa vila. hiyzo za mlinzi mabanda ya kitu gsni yote villa na bungaloows 20 na swimming pool yaongezwa
@HhhTt-vl9ct
@HhhTt-vl9ct 10 ай бұрын
المال والبنونا زينة احيات الدنيا.
@abdulbandidu119
@abdulbandidu119 10 ай бұрын
Mashallah hatujui mwenyew amekutwa na mtihan gan ila c sehem ya kuuza
@zainabzain3434
@zainabzain3434 10 ай бұрын
Sijui nn ttzo maskini Pana maisha hata bila kutoka na kutumwa mtihani
@hamadmussa8402
@hamadmussa8402 10 ай бұрын
Bei inasemaje?
@bakarbakarali-cw3gc
@bakarbakarali-cw3gc 10 ай бұрын
Sema bei matajiri tupo bilioni ngap?
@sameraakhf5605
@sameraakhf5605 10 ай бұрын
😂😂😂😂 Unguja iyo
@yasminjuma9146
@yasminjuma9146 9 ай бұрын
😢
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 10 ай бұрын
Hv tunguska ni ujerumani au saudia
@kyaro5945
@kyaro5945 10 ай бұрын
Zenji
@mudymudy3132
@mudymudy3132 10 ай бұрын
Offer yake inasemaje
@Zahraalhabsi-yz4fe
@Zahraalhabsi-yz4fe 10 ай бұрын
No za sim
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 10 ай бұрын
Sehemu nzuri kuuza hasara
@muhamadmasoud4936
@muhamadmasoud4936 10 ай бұрын
Sehemu ni nzry