Tatizo lenu America ishawanunua Kama vile Saudia ilivo nunuliwa miaka 20 ijayo saudia watajaa mayahudi
@muhammedaloufy4086Ай бұрын
Huu ni upotishaji wa mtu ambaye anajiona anajua!
@abdallahsiraji9919Ай бұрын
ACHENI DHARAU NDUGU MNAO COMMENT.. KAMA HUAFIKI JAMBO KAA KIMYA UNUSURIKE NA KALAMU ZA MALAIKA WAKO WANAOANDIKA KILA JAMBO LAKO. USIMUONESHE MTU DHARAU ,KEJELI,MATUSI HATA KAMA UNATOFAUTIANA NAYE MSIMAMO. KWANI LAKINI MNAICHAIFUA TABIA YA DINI YETU YA KIISLAMU? JE,HIYO NDIYO SUNNA AMA??? ACHENI TABIA MBAYA MNADHALILASHA AKIDA ZENU JAMANI HAMUMUOGOPI ALLAH HATA KWA NUKTA ,SUBHANA LLAH.. ALLAH AWAPOKELEE TOBA NYIE NA MIMI.TOTUBIENI KWA ALLAH
@mzeemwinyihassan9774Ай бұрын
Yeye alikuwepo makka Sasa je tuwambie kabla ya mitandao miaka1400 iliyopota jee wao wafunga vipi aau shekhe anakusudia kutuambia walikuwa wamekosea kufuata mweziii tujibuuubhilooo
@darajanidaАй бұрын
kuwalazimisha watu wafuwate saudia tu msimamo huwo haopu kishiria
@YussufIssa-eg3irАй бұрын
Hhi uyu bwana asema abajali akiswali?
@YussufIssa-eg3irАй бұрын
Twambiye ni hadthi gani abajahali kaswali swala gani wewe mzushi
@YussufIssa-eg3irАй бұрын
Waporja
@user-sy1qp5eg1sАй бұрын
Msitupotezee MB kwa watu wanaohitaji kusoma
@user-od1et5ii1kАй бұрын
Katafute pichori ule huna jipya humpati mtu hapa
@suleymanmrutu9498Ай бұрын
Dah! huyu mzee arudi tena MADRASA naona hatakikusema ukweli kuwa TV ndio zinazowangoza kwasasa asingizia MITUME NA MASWAHBA alfu hajiulizi kwanini sauti inakatakata acha kupotosha uma
@warshysaid8564Ай бұрын
Ww unafunga kwa kufuata nn kma c hizo cmu na TV na radio
@YaziduIddyАй бұрын
Huyo na ni shekh kwali mbona anaongea bila kutafakari kabla ya Tanzania kulikuwa na waislam walikuwa wanafunga arafa
@AnuaryKISEGEАй бұрын
ANA VIDOLE KAMA FIMBO HUYU JAMAA
@AnuaryKISEGEАй бұрын
MIMI WAHABI NDO NAWAKUBALI WANAONGEA VITU VINAINAINGIA AKILINI WENGINE WOTE WASUMBUFU
@abdallahsiraji9919Ай бұрын
Wahabi ndio dini gani?
@ismailsoud3634Ай бұрын
Ukweli unakuja kila jambo litakuwa bayaani ( wazi)
@hilalkhalfan1452Ай бұрын
SASA WEYE MUWAHABI UNAMGOMBA NANI HAPA NA UWAHABIA WAKO?😂😂😂. NAONA MAWAHABI MNATOA POVU KUTETEA UNAFIKI NA UONGO WENU
@hilalkhalfan1452Ай бұрын
😂😂😂😂ABUU JAHAL KUMBE MCHAMUNG AKIMUABUDU ALLAH SW, HUYO FIRAUNI WA UMMA HUU KWELI NYIE MAWAHABI MSHACHENGUKA AKILI😂, ALIOKUTOGENI AMEKUFA. YAANI ABUU JAHALI AKIMUABUDU ALLAH NA AKISWALI SWALA TANO NA AKIFUNGA RAMADHAN NA AKIHIJI AU SIO???. AAH ABUU JAHAL KUMBE NI MWALIMU WA MAWAHABI SASA TUNAJUA NA ALIKUWA NA FITNAAAA SIO MCHEZO NA WATOTO WAKE MNARITHI MASHALLAH 😂😂😂. HAO WANAOKUSIKILIZA WEYE HIVI PIA HAWANA AKILI KAMA WEWE AU?😂😂😂
@hilalkhalfan1452Ай бұрын
YAANI ABUU JEHELI AKIFUNGA ARAFA WATU WAKIWA HIJA 😂😂😂😂😂
@user-ox4fv4cf5lАй бұрын
NJAA WANATAFUTA CHEO BAKWATA
@Al.habeebAl.habaaibАй бұрын
Hata kuongea hujuo😅
@HemedSeriousАй бұрын
Ayo tunayajua Mzee, povu jingi Huna Cha maana ata kimoja Cha maana😊
@HemedSeriousАй бұрын
Ufaham Tatizo kubwa😢😢😢😢
@HemedSeriousАй бұрын
Uelewa mbovu
@abdulkhalfan8586Ай бұрын
MAWAHABI HAWANA AKILI
@MwinyimvuaOmaryАй бұрын
Mwenye AKILI ni wewe Wala usipate shida Ila soma achana na kuwa na AKILI za KUSHIKIWA PENYE qauli ya mtume saw mwanachuoni Hana nafasi ya kuyaangusha maneno ya mtume saw
@hamisisalimu6908Ай бұрын
Tunaomba fatwa kuhusu watu wa marekani mchana wa SAUDIA Arafa wao marekani ni usiku wamelala inamaana wafunge usiku?
@allymtito8117Ай бұрын
Wafunge wakiamka mchana wawo
@ahmadikasogotaАй бұрын
Kwan wewe marekan umewauzaliza wamesemaj😂😂 Maan naon unawasemea marekani wew nchi yako inatofautian na makkah masaa mangap😅😅😅
@hamisisalimu6908Ай бұрын
Sasaivi kuna mtume mpya anaitwa simu na tv
@isaackmlayy6228Ай бұрын
tutawajua sana na uongo wenu
@muhammadabdul6272Ай бұрын
Maskini
@user-fz9ir4nj1yАй бұрын
Shkh samahan lkn umekosea mana hujazungumza kielim ila umeongeoa kiutashi t twambie kauli za wanachuon wanasemaje kuhusu kufunga arafa na so utafsir Kwa akili Yako shkh
@user-rq7hr8ee7iАй бұрын
Wacheni ujinga zero wapi iyihadithi yauwongo kwani
@nurdiniabdillahi3558Ай бұрын
Elimu yako 0
@FadhilaHamad-fr3sbАй бұрын
Mashallah
@FundiHusseinАй бұрын
Unatumia nguvu nyingi kiposha ila elimu huna.kwani mlikuwa mwa wasiliana vip Kaba ya simu na tv
@HashimSalim-qj7znАй бұрын
Sijui nani hana elimu kati ya wewe na yeye maana io hoja yako haina mashiko
@kisomekiguwa3706Ай бұрын
Huyu jamaa kachanganikiwa kama unauliza kabla yasimu walikua wanawasilianaje, kwan ktk tanzania kabla ya sim kutoka dar mpaka dodoma walikua wanawasilianaje? wakataa utandawaz mbona taarifa za mwezi kutoka kwa mufti unazipata kwa njia ya mtandao simu au redio au tv acha kukataa mtandao halafu watumia mtandao huko ni kuchanganyikiwa.
@HemedSeriousАй бұрын
Uyu ana matatzo ya ubongo, au ana ubongo wa jongoo
@hilalkhalfan1452Ай бұрын
@@kisomekiguwa3706 KISHA SEMA KUWA ABUU JEHELI FIRAUNI MWENZAO MAWAHABI ALIKUWA MCHAMUNGU SIO MCHEZO😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. AKIPIGA SWALA TANO, FUNGA RAMADHAN YOTE, AKITUFU ALKAABA YAANI MCHAMUNGU WAO MAWAHABI NI ABUU JEHEL NDIO MAANA SUFI WAKIFANYA KARAMA KAMA ALIVYOFANYA MIUJIZA MTUME SAW HUA JIBU LAO NI LILE LILE LA BABA YAO ABUU JEHEL KUWA NI UCHAWI TU SUFI. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 MWENZAO ALIMUITA MCHAWI MTUME SAW.
@YaziduIddyАй бұрын
@@kisomekiguwa3706soma dini kabla ya technology waislam walikuwa wakifunga na kufungua Kwa kuangalia mwezi wao hapo unavyosema daa na Dodoma walikuwa wanawasiliana vipi huo ni ujinga wa akili kwani zamani kulikuwa na nchi daa na Dodoma?baada ya technology kulikuwa na redio tu na hapo ndipo daa na Dodoma zikawa kwenye inchi Moja kiongozi mmoja
@user-hf9yo7hy6k4 ай бұрын
Maashallah hutuba fupi maana nzito.
@HalimaBakari-ii6vg4 ай бұрын
Mashaa allaah
@alimjanaheli94616 ай бұрын
Abuu Answar Maashaallah
@user-wx4co4xj2i6 ай бұрын
Mashallhw allhw akubaariki
@ibrahimusuleimani17806 ай бұрын
مشالله
@mutwarrifmohd-mn3gr6 ай бұрын
🎉
@vipajionlineseries5506 ай бұрын
Masha allaah by IBNU SWALEH
@vipajionlineseries5506 ай бұрын
Masha allaah by ibnu swaleh
@user-sf9uu3tj2o6 ай бұрын
Mashallah Mashallah, shukran sn ustadh, Allah akulipe kila la kheri