Kutafsiri 3
Ай бұрын
BWANA MKUBWA
2 ай бұрын
MVUVI WA WATU
2 ай бұрын
Kutafsiri 2
2 ай бұрын
Kutafsiri 1
2 ай бұрын
KUKUA KIROHO
3 ай бұрын
VITA DHIDI YA NYAKATI
3 ай бұрын
KUITWA EP #2
5 ай бұрын
UJUMBE WA KRISMASI
6 ай бұрын
KUITWA. Ep #1
6 ай бұрын
BAKI KATIKA LENGO
6 ай бұрын
KWANINI TUSOME NENO?
7 ай бұрын
Пікірлер
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 6 сағат бұрын
mwalimu yuko vizuri sana ktk utuatu waMumgu kulikowaliojifumga kitambaausoniwenyewe. Mungu manabiiwote nimarehemu marehemu atahuku mujewafu wenzake?
@saadomar2480
@saadomar2480 7 күн бұрын
YESU ANAUUNGU GAN WAKAT YY NIMTU KAMAWEWE. WAONGOWAKUBWA MNAPOTEZA WATU.
@jospinchance
@jospinchance 10 күн бұрын
Alina mutu Alina mungu wakati wowote ni mechack pa Sud Kivu Bukavu
@jospinchance
@jospinchance 10 күн бұрын
Akuna mutu alishaka ona mungu
@elishampoki8751
@elishampoki8751 12 күн бұрын
Ameni mtumishi wa Mungu,
@amedesamki425
@amedesamki425 19 күн бұрын
Waalimu wengine wa kikristo wanatumia kurani kwa makosa kuthibitisha maswala magumu ya kiislamu maana mungu wa kurAni ni allah na wa biblia ni Gehova
@amedesamki425
@amedesamki425 19 күн бұрын
Maswala magumu ya kikristo
@amedesamki425
@amedesamki425 19 күн бұрын
Yesu wa biblia siyo isa wa kurani
@SaidiNyanga-ct8zq
@SaidiNyanga-ct8zq 19 күн бұрын
Mungu Akubarik mtumish
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 19 күн бұрын
Danieli.angaika.yesu.sio.mungu.wala.mungu.sio.yesu
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 19 күн бұрын
Waalimu.vipofu
@niyoaze
@niyoaze 27 күн бұрын
mukibishasana birauthurivu nakusikiriza kwamakini utakbuzi haupati wendekwaumakini kwakuwa mdanwingi hufafawa naroho wamungu anayekuwa ndaniyethu
@christophersimwinga6689
@christophersimwinga6689 Ай бұрын
Wewe niMwalimu nimekukubali na Leo ndo nimeelewa kuwa dini zote zitahukumiwa Kwa haki
@christophersimwinga6689
@christophersimwinga6689 Ай бұрын
Yes Mwalimu upon sahihi hata yesu mwenyewe alisema Mimi na baba ni Kitu kimoja
@mwinyijuma2686
@mwinyijuma2686 17 күн бұрын
Bado hujaelewa yesu aliposema hivyo sababu umesoma sentence Moja tu katika kitabu Cha yohana 10:30 ukitaka kujua maana halisi soma kuanzia John (yohana) 10:23-34.
@dennismasira8992
@dennismasira8992 Ай бұрын
Mwalimu bado elimu yako katika uungu wa Yesu ni ndogo njoo kenya nikufundishe maandiko
@emmanuelallankanumba5234
@emmanuelallankanumba5234 Ай бұрын
Je ni Mambo gani yesu au Issa aliamulu umma wa waislamu wayashike na kumfuata yeye kama hakim ili wapate wokovu maana sisi wakrito inaeleweka asiyezaliwa mara ya pili hawezi kuona ufalme wa mbinguni,,mimi ndio njia na kweli na uzma huwezi kwenda kwa baba ila kwa njia ya mimi nk naomba unipe elimu kuhusu hawa ndg zetu nini hatma yao aksante
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
2wakorintho 12:7 Na makusudi nisipate kujivuna kupita kiasi Kwa wingi wa mafunuo hayo nalipewa mwiba katika mwili mjumbe wa shetani ili anipige nisije nikajivuna kupita kiasi
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Sasa uyo ndiyo na shetani ndiyo wame wangiya nyinyi ote kuleta imani yesu nimungi
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Warumi 3:7 Lakini ikiwa kweli ya Mungu imezidi kidhihirikasha utukufu wake kwa sababu ya Uongo wangu mbona mimi ningali nahukumiwa kuwa mwenye dhabi
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Paul najiita Muongo na Mwenye Dhabi nakila anaye mfuta wote motoni Aliwanda nganya kuwa yesu ni Mungu nanyi wajinga hapo studio mkaamini
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Iyo tito ni Paul ndiyo anasema yesu ni Mungu
@selelilumambo2157
@selelilumambo2157 Ай бұрын
uko vizuri mwalimu, hakika elimu ya theolojia ni pana sana , watu wengi hawataki kuipata wala kuielewa mungu atujalie hekima iliyo kuu katika kuelewa neno la Mungu kupitia quran na biblia, atujaalie pia aman kati yetu na atujalie mwisho mwema kupitia iman zetu, ni vizuri tujiulize tutafute kumjua Mungu wetu alie hai, Mungu anawajua walio wake na walio wake wanamjua Mungu, pia Mungu anaweza kuwa chochote kile na akawa kupitia uweza na uweza wa nguvu zake, kama vile alivyojitokeza mbele ya nabii Musa kama 🔥 moto kule mlima Sinai.. ni lazima tujiulize kupitia huyu Yesu au nabii Issa, aliposema alikuwako hata kabla kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu naye alikuwa kama fundi stadi wa vitu vyote vilivyoumbwa.. mithali 8:30 pia ktk taurat ya musa nabii yakub alitabir juu ya ujio wa yesu/ issa akasema ktk mwanzo 49:10 fimbo ya enzi haitaondoka ktk yuda, hata atakapokuja yeye mwenye milki ambae mataifa watamtii ktk quran sura nzima ya kwanza (surat-ul Faatiha) ni dua ambayo muisilamu anatakiwa kuisoma anapokuw ktk ibada yyte mara tano kw siku, dua hio inamlenga kumwomba na kumwabudu mwenye kumiliki siku ya malipo, na mwenye kuimilik siku ya hukumu ni nabii Issa "Kwa jina la mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema mwenye kurehemu. sifa njema zote ni za mwenyezi Mungu,Mola mlezi wa viumbe vyote, mwingi wa Rehema,mwenye kurehemu; mwenye kumiliki siku ya malipo wewe tu tunakuabudu, na wewe tu tunakuomba msaada. tuongoe njia iliyonyooka,njia ya ulio waneemesha, na siyo ya waliokasirikiwa, wala ya waliopotea." Hivyo ni wazi kuwa anayestahili kuabudiwa ni mwenye kumiliki siku ya malipo/yaani mwenye kuimiliki siku ya hukumu ambaye ni yesu/ nabii issa mathayo 25:31-32 "hapo atakapokuja mwana adam ktk utukufu wake, malaika watakatifu wote pamoja naye, ndipo atakapoketi ktk kiti chake cha utukufu wake na mataifa yote watakusanyika mbele zake."
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Oyo missionary ndiyo wale tu wa catholic imani zao
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Kwanza ukitaka kujuwa mmepotea towa andiko inasema tusamiyane kwa jina la yesu towa hapo yesu anesema Mathayo 11:29 tufunze kwake sasa wapi yesu alitowa iyo salamu ili tujifunze kwake
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Nyinyi mmepotea na mnapoteza watu Yesu hawezi kuwa Mungu
@abdalahsuleiman8989
@abdalahsuleiman8989 Ай бұрын
Ukisikia watu wa moton wakiwa duniani
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Ndiyo hawa
@victorponera1572
@victorponera1572 Ай бұрын
Nakuelewa sana ,,,mwalimu!!!.
@mcndege9724
@mcndege9724 Ай бұрын
John 3:16 Mungu akajituma...... Mungu akafa siku tatau.... Waubiri bubu waliopotoka hawaelewi maandiko wanawapotesha watu. Yesu ni mwana wa Mungu alie hai.. hiyo ndo wokovu..
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Mungu akafa sikutatu na ninani aliendesha dunia
@BAYYINATDMTV
@BAYYINATDMTV Ай бұрын
Kuhusu Utatu tulifanya mdahalo na Mwl Ndacha kutoka Kenya. Bonyeza link hii ujifunze kzfaq.infopJBIajLSlN0?si=MIj-XqVYSHX6UqQX
@nehemiekwizera1277
@nehemiekwizera1277 Ай бұрын
Then akasema eti Thomas, alimuita Yesu Mungu ....mbona hakusoma waebrania 1:7,8 ambapo Mungu Baba Mwenyewe akumuita Mwanawe Mungu.
@nehemiekwizera1277
@nehemiekwizera1277 Ай бұрын
Then akasema eti Emmanuel maana yake ,hakfu akaweka maneno yake. Jamani
@nehemiekwizera1277
@nehemiekwizera1277 Ай бұрын
Kwanza maneno ya Daniel anajichanganya mwenyewe, eti huwezi kutofautisha neno na mwenyenalo, basi ukasema Kwamba John 1:1 , Neno alikua, then ukaja ukabadisha eti Neno lija , si unaona unajichanganya.
@nehemiekwizera1277
@nehemiekwizera1277 Ай бұрын
Nyie wote bado wanafunzi kabisa
@djskadi7355
@djskadi7355 Ай бұрын
Kenya kwa ndacha atachukuwa nusu saa anabadilika uyoo anadanganya Yesu ni Mungu kwa Nature sio Mungu mkuu kwa sababu ni mtoto wa Mungu ndo maana anakuwa mungu kuna Mungu mkuu na Bwana Yesu soma imani Yohan 7-3 huu ndo uzima wa milele hii andiko alitaki kachumbali uyu mwalimu wa utatu ni uwongo kabisa akuna andiko linasema Mungu baba Mungu mwana Mungu roho kama lipo watoe kunyeshe mvua ya damu 😅
@petromachanga5538
@petromachanga5538 Ай бұрын
Safi utatu
@0badiaMwasongwe-rt1wr
@0badiaMwasongwe-rt1wr Ай бұрын
Asante mtumishi kwa kutueleza na kutufundishaa mengii Tusiyoyajua MUNGU wa mbinguni akubariki sanaaa
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 Ай бұрын
Sasa Mungu wambinguni Gani Tena uyo mna jichangana Yesu ni Mungu Sasa uyoemwine wa mbinguni Gani tena
@geoffreykomu9782
@geoffreykomu9782 Ай бұрын
kama yesu ni yule mungu mmonja ambaye haonekani, nashidwa ibilisi katokea wapi kuja kuwadanganya watu, kisha huyu mungu ajifanye mwanadamu ili apambane na huyu ibilisi.
@dennismasira8992
@dennismasira8992 Ай бұрын
Muulize tena kwa sauti
@msemakweli243
@msemakweli243 Ай бұрын
Hapo mnapotosha watu mungu haonekani, yesu ana uhungu
@davidochiengbuoga7165
@davidochiengbuoga7165 Ай бұрын
Amina,ningependa mfanye hii majadiano moja kwa moja na mwalimu kutoka Kenya 🇰🇪,jina lake ni Ndacha.Anasema Yesu sio Mungu ila ni malaika MKUU ZAIDI.Mbarikiwe watumishi
@msemakweli243
@msemakweli243 Ай бұрын
Kinacho watatiza ni kukalilishwa yesu sio mungu hila ana uungu
@davidochiengbuoga7165
@davidochiengbuoga7165 Ай бұрын
@@msemakweli243 Hiyo uungu wa Yesu Kristo ndo inamfanya awe Mungu (Isaya 9:6; Wafilipi2:5-11)
@JESUSISLO891
@JESUSISLO891 Ай бұрын
Ndacha hajielewi anafaa kurudi Kwa Imani ya kweli
@msemakweli243
@msemakweli243 Ай бұрын
@@davidochiengbuoga7165 kwahyo mungu watakuwa wangapi?
@msemakweli243
@msemakweli243 Ай бұрын
@@JESUSISLO891 wewe ndo fikira zako
@kelvinmpanda-ms2ik
@kelvinmpanda-ms2ik Ай бұрын
Kuna Yesu na Mungu ila Yesu sio Mungu
@julyuzkemei5754
@julyuzkemei5754 Ай бұрын
Umepotea kabisa...soma biblia kwa makini brother
@davidochiengbuoga7165
@davidochiengbuoga7165 Ай бұрын
YESU Kristo ni Mungu kwa utukufu wa Mungu Babaye (Isaya 9:6; Wafilipi2:5-11)
@davidochiengbuoga7165
@davidochiengbuoga7165 Ай бұрын
Je, unafahamu kuwa mtoto wa nyoka ni nyoka, vile vile, Mtoto wa Mungu ni Mungu. Yesu Kristo ni Mtoto wa Mungu,tena mzaliwa wa kwanza wa Mungu na yupo pamoja na ndugu zake hapa duniani.Ndungu zale Yesu Kristo ni 'miungu "(Zaburi82:6; Yohana 10:30-37)
@philbertjapheht6173
@philbertjapheht6173 2 ай бұрын
Chambuaaa mwalimu Mginaa nakufatilia vyema kutokeaaa kigoma katubukaaa 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@philbertjapheht6173
@philbertjapheht6173 3 ай бұрын
MUNGU fundi
@samsonfredricktv
@samsonfredricktv 3 ай бұрын
Mbarikiwe sana
@samsonfredricktv
@samsonfredricktv 3 ай бұрын
Safi sana Mtumishi Samweli Matole nakukubali na Nina kupongeza sana Kwa kazi nzuri
@philbertjapheht6173
@philbertjapheht6173 3 ай бұрын
VITA DHIDI YA NYAKATI. 🔥🔥🔥
@WBJ121
@WBJ121 5 ай бұрын
Huaaa nakuelewa broo ....barkiwaa sana ...
@nathansamwel4460
@nathansamwel4460 5 ай бұрын
Pastor MIMUBU🔥🔥
@issakitambala-cc1em
@issakitambala-cc1em 7 ай бұрын
Amen ahsante
@kelvingodias9304
@kelvingodias9304 7 ай бұрын
amen
@johndelefa973
@johndelefa973 7 ай бұрын
Hakika Ndani Ya Neno Ziko Ajabu
@preppy.....
@preppy..... 7 ай бұрын
Mipaka ya imani
@WBJ121
@WBJ121 9 ай бұрын
Mh nikweli kabisa Yoh 6:63 ....ubarkiwe mtumishi nimebrkiwa sana hapa
@peterjamskaila534
@peterjamskaila534 10 ай бұрын
Big up man of God...Nimewapta vzr nikiwa mwanza...injili iendelee na Mungu awabariki
@sautiyauzima
@sautiyauzima 10 ай бұрын
Amina
@PeninaDaniphord-tw6th
@PeninaDaniphord-tw6th 10 ай бұрын
Mbarikiwe mnoo, Mashujaa wa Bwana kwa SoMo la Baraka kwangu ,🙏🙏
@sautiyauzima
@sautiyauzima 10 ай бұрын
Amina. Asante
@t.a.glangolabarakamorogoro1957
@t.a.glangolabarakamorogoro1957 10 ай бұрын
@WBJ121
@WBJ121 10 ай бұрын
🇹🇿 somo LA wakati kwetu watanzania....
@sautiyauzima
@sautiyauzima 10 ай бұрын
Amina