TAARIFA KWA UMMA: HABARI NZITO ZA UTEUZI
4:52
MAKAMU YANGA😍😍
2:49
14 сағат бұрын
KUMEKUCHA MAKAMU AKIWASHA MOTO PEMBA
4:37
9 сағат бұрын
Пікірлер
@NoufelSalim
@NoufelSalim 47 минут бұрын
Porojo tu
@khamiszahor3293
@khamiszahor3293 Сағат бұрын
Hv ndivo inavotakiwa watendaji wafanye. Hongera lkn kasi hio isije ikaishia njiani.
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k Сағат бұрын
Nashauri kwa ushauri wa buree tusii pendelee upande wowote tukipa fursa ya kuongea na wazanzibari bali tuuwaammbie mchagieni kiongozi munae mtaka mchagueni kiongozi ambae munahisi atakuleteeni MAMLAKA KAMILI, ambae munahisi mukilala kesko yake hamutojiuliza mutaakula nini hutojiuliza kama sokoni nitafukuzwa na mitumba yangu itachukuliwa nitafukuzw a nchini na kupewa masaa yakuuondoka kwetuu nilipo zaliwa na mengine mengineyo
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 2 сағат бұрын
Sikiliza ndugu ccm tokea 95 haitakiwi zanzibar Tokea 95 imekua ikijiweka madarakani kwa mabavu Tutafute uchaguzi wa elfumbili pemmba walifanywa nini na ccm wakiwa madarakani kisha 2005 wazee na watoto wao wakikee wali fanywa nini usichana waooo tuambieni ukweli watoto wari nini kiliwakuta iyo ndio kutunza amanii kua na utulivu hayo maneno hayasemwi muda wa uchaguzi tuu hapana sio sahihi bali ii kila muuda kila siku kila tu napokjmbuka maddhila na mateso kwa watesaji wetu
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 2 сағат бұрын
Jamani hii kauli za ajabu kweli dah ata nashindwa kufahamu mfano, wewe umeamka asubuhi bila ya kuoga wala kupiga mswaki si utatoa harufu mbaya umekutana na wenzio wakakuambia ebwana unanuka hawa walokwambia unanuka wamefanya kosa au wewe kutokamana na uchafu wakooo (MCHAFU MKUBWA WEE)
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 2 сағат бұрын
Hivi mtu kila mkikutana an akutusi na kukupiga haswa mbele za watu wewe unaumilia jeee huku kuvumilia kwako ndioo kutunza amani ndo utulivuu huooo ndo wanachokimaa nisha ccm au m unasemajee waungwana
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 2 сағат бұрын
Jamani kwani vp mbona muna haha kikako ni walimu wa madrasa ama kuhusu amani utulivu tunu za taifa ujenzi na huduma za kijamii mbona hatuelewi
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 3 сағат бұрын
Hebu tizameni hao viongozi waliopita nini wamefanya na Mwinyi amefanya nini Zanzibar imekuwa nzuri na mji msafi unapendeza kama unajifahamu AU macho unayo haitaji kuambiwa mjomba Mwinyi aiongoze Zanzibar mpaka mwisho wake wa maisha mumepata kiongozi mzuri lakini mushazoweya kudanganywa na wapenda pesa na malengo yao kukaa madarakani na kuiba Tu
@user-kv8sq6qz7g
@user-kv8sq6qz7g 6 сағат бұрын
Kigoma je hawa watu wanajiita waha kumbe ni watu kutoka Burundi
@allymaha-tv5lf
@allymaha-tv5lf 8 сағат бұрын
Hivi kama munayajua hayo mngeuwa watu kwa Kungangania madaraka kwakua tu hamkuchaguliwa nyinyi wanafiki hivi ndivyo walivyo tumuombe Allah atuepushe nao ukitaka kuwajua wa kweli au waongo tusubiri mwakani inshaallah tutawaona wanavyo ua watu
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 9 сағат бұрын
MNAFIQ MKUBWA. MNAANDAA MAUAJI KISGA MNAJIMBILIA MISIKITINI KUOMBEWA DUA! MLAANIWE NA DR MWINYI WAKO
@KhadijaHussein-qn2ge
@KhadijaHussein-qn2ge 9 сағат бұрын
Mnamaneno matam ila moyoni hamna kitu usoni hamna kitu
@ramzsule7678
@ramzsule7678 9 сағат бұрын
Naona Sasa mmesha zidiwa mnakwenda kwa watu wa dini lakini mkikosolewa na hao watu wa dini wanakua wachochezi hatutaki amani tunataka haki
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 3 сағат бұрын
Huna elimu ya kujielewa bado unakula kwenu
@KhadijaHussein-qn2ge
@KhadijaHussein-qn2ge 9 сағат бұрын
Amani inakuja baada yanyinyi viongozi kutenda haki lakini ukiwa unataka ungozi bilayakuchaguliwa na uma hii utafanya watuu wasiwaelewe na hapandipo amani mnapoiyondosha kiukweli mnapemda kuhubiri amani haliyakua nyinyi ndo wavunjaji wa amani mana mnachukua uwongozi usio wakwenu badilikeni nyinyi kwanza ukiwa umeshindwa uchaguzi ondoka
@user-hh2mg2wc4n
@user-hh2mg2wc4n 9 сағат бұрын
Na Madrasa za Qur'an za hali Mbaya
@amanmohd9435
@amanmohd9435 10 сағат бұрын
Hemed wewe mnafik tu....
@RamadhaniMussa-xs5uk
@RamadhaniMussa-xs5uk 10 сағат бұрын
UtawapatA wabara wenzio
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 10 сағат бұрын
Kuna watu wakizungumza tu nyoyo zetu zinachafukaaaaaa
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 10 сағат бұрын
Kuna watu wanavyeo vikubwa lakin sura zao zimetoka nuru kutetea uchafu na dhulmaaa
@RamadhaniMussa-xs5uk
@RamadhaniMussa-xs5uk 10 сағат бұрын
Kama amani nyinyi ndo mnaovunja
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman 10 сағат бұрын
Nyinyi ndio mnaofanya uharibifu mnapiga watu mnawauwa na mengi mabaya hata kusemeka hayasemeki
@sultanmohammed4157
@sultanmohammed4157 11 сағат бұрын
Mjinga huyo wao ndio wa uwaji wakubwa.
@lusakaone7782
@lusakaone7782 11 сағат бұрын
Soma na comment hapo wamefata kula tu huna mtu anayekusikia
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq 11 сағат бұрын
Amani,nautulivu,,tu,haki,mbona,,haisikiki
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 11 сағат бұрын
JAMBAZI MKUBWA KUTOKA MKURANGA👁️👁️! JIONGO KAMA SHETANI👁️👁️👀
@HassanMchoro
@HassanMchoro 11 сағат бұрын
Unauhakika kama mwamdogo 2025 atashida
@ALIKHAMIS-un4fv
@ALIKHAMIS-un4fv 11 сағат бұрын
Maneno maxur mukivaa kanzu ila ukifika uchaguzi tu munayasahau
@shaabanmohammed2611
@shaabanmohammed2611 11 сағат бұрын
Ajira hamna. Maisha magumu. Mlo shida...lakini Mkuu yuko bizi katia pamba masikioni haskilizi la mwazini wala la mtia maji mskitini. Anabomoa na kujenga Barabara for fun kwa pesa za mkopo. Yeye si mlipa Kodi. Anatumia Rasilimali za State ambazo ni pesa za walipa Kodi. Issue hapa ni kwamba anayoyafanya sio priority kwa Walipa Kodi. Barabara Ghorofa Majengo ya Spitali si vitu vigeni kwa Wazanzibari. Watu si malimbukeni. Kama mnadhani huo ujenzi ndio kampeni basi subirini Oct 2025 mtapata majibu mnayostahiki. Acheni kuwasumbua Mashehke na Ukhty. Ratiba yenu inasemaje....kesho mtazungumza na Mapadri na Maaskofu au!!!
@hamadyussuf5307
@hamadyussuf5307 11 сағат бұрын
Muna maneno mazuri mukivaa joho la dini lkn kutenda haki hamuwezi 😢
@shaabanmohammed2611
@shaabanmohammed2611 12 сағат бұрын
Tendeni Haki. Mkuu wa Nchi atende Haki. Aache Ubaguzi. Timizeni ahadi. Mkubali kuwajibishwa. Kwanini Mashehke na Ukhty watumie muda wao kusifia maghorofa na Barabara Tu? Kwanini pia wasiwakosowe pale Mnapokosea, Mnapoiba, Mnapodhulumu, Mnapotumia nguvu isipo halali, Mnapokataa kutimiza ahadi, Mnapovuruga mwenendo wa Uchaguzi. Wazanzibari Majority maisha yao magumu mno hivi wewe hujui hivo? Rais atajenga kila kitu lakini Wananchi hawali maghorofa wala Barabara. Na akiondoka atatuachia Deni kubwa la Nchi. Yeye na wewe hata Kodi hamlipi.
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq 13 сағат бұрын
Uwezo,up,huna,mwizi,utazimika,wewe,
@fayzfadhil5921
@fayzfadhil5921 13 сағат бұрын
kwenda uko tapeli
@AbdallahSalim-is3db
@AbdallahSalim-is3db 16 сағат бұрын
Hakuna hata muelekeo wa bandari hapo... mie siioni
@user-lm3lt7xx6l
@user-lm3lt7xx6l 16 сағат бұрын
aman au usemee haki mbona haki hamuisemei.chaguzi watu wanauliwa mskit hautakusaidien kitu msijifanye kuingia ktk iman za watu rekebishen chaguzi
@muslihpandu6
@muslihpandu6 16 сағат бұрын
Sas kam yeye mvuta bangi ww nan sas maana naon hujielew mtu mzima
@imusalis5092
@imusalis5092 17 сағат бұрын
MashaAllah Allah awape kheri walojenga msikiti
@HassanMchoro
@HassanMchoro 18 сағат бұрын
Kweli baba kura siku moja t
@user-ty3df8wv1t
@user-ty3df8wv1t Күн бұрын
Kweli kabisa mitano tena atumalize
@user-kv8sq6qz7g
@user-kv8sq6qz7g Күн бұрын
One day yes Mzalendo Jerry
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 Күн бұрын
Ajira elfu kumi na saba kwa wazawa au? Maana bila ya wazawa kupata ajira ni swa na buree tu kwa wananchi wenu
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 Күн бұрын
UONGO MTUPU, WAGENI TU NDIO WENYE KIPAUMBELE. WAZANZIBARI WAPO HOI KWA MAISHA MAGUMU, DR MWINYI ULAANIWEEE
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Күн бұрын
Nikuliz tu kwan ww Muislam au mkiristo
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 Күн бұрын
Tatizo wavivu hamupo makini na kufanya kazi.porojo jingi kazini na kuchelewa sehemu ya kazi.na elimu pia ndogo mukaambiwa mukiseme ndio munatafuta maskani mukavuta mabangi.mwisho wa siku munaanza kuwakashifu serekali.kumbe nyie wenyewe
@user-dm4di4rl3n
@user-dm4di4rl3n Күн бұрын
Wewe mpumbavu khanisi
@seifmohd5357
@seifmohd5357 Күн бұрын
Ccm hamna lenu jambo
@KhadijaHussein-qn2ge
@KhadijaHussein-qn2ge Күн бұрын
Bandari ipo wapi mlotuahidi
@abrahmankhamis-e3v
@abrahmankhamis-e3v Күн бұрын
kuna majitu mabumbavu kama haya!!
@DelightfulMacawBird-tl5hf
@DelightfulMacawBird-tl5hf Күн бұрын
Kweli mh tuwe n subra NA fly ovr
@yusuphhamad8494
@yusuphhamad8494 Күн бұрын
Ww ndio unalaana mzee mzima huna aibu mbizi ww
@NoufelSalim
@NoufelSalim Күн бұрын
Kwani ww ndo mungu,wadogo wanakufa na wakubwa pya wanakufa.jidanganyeni tu mpk mukamsahau muumba wenu
@nassorseif7907
@nassorseif7907 Күн бұрын
Kweli wanatekeleza zaid ya walioyahidi maana Zanzibar miaka 60 huijui mbele wala nyuma kila siku inarudi nyuma hamna jipyaa nchi inanuka njaa
@ahmedalkiyum7592
@ahmedalkiyum7592 Күн бұрын
Katika miaka hio 60 walitawala nani vile chama kipi na walizipeleka wapi vile
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 Күн бұрын
WAZANZIBARI HAWAPATIFURZA KTK NCHI YAO, LAKINI WAGENI NDIO WANAOPEWA KIPAUMBELE. KAZI YENU KUVIMBISHA MATUMBO YENU TU NA POROJA NYINGI HUKU MKIANDAA MAUAJI. MLAANIWEEE