Unafundisha vizur saana tunaomba video zako zishutiwe kama zile za kipindi cha kwanza footage zilikua za hatari tulikua tunaelewa somo
@2kizzycomedian1022 ай бұрын
Aliekua anashuti video za mwanzo yule mwambie awe anashuti alikua anahatari tulikua tunaelewa Kila stage
@yudachelango68242 ай бұрын
Nice expression
@frankedwin80912 ай бұрын
Huna baya na mtu kazi inaonekana
@hamadimziraymziray-ry4vi3 ай бұрын
Uko vizr sn kk kaz nzur
@adrofgwahula72942 ай бұрын
Asante saaana
@IreneRaymond-xm2nm3 ай бұрын
Hongeraa boss
@adrofgwahula72943 ай бұрын
Asante japo hukunitumia picha ya viazi
@eliyajosephkituye9313 ай бұрын
Amazing homeboy .
@adrofgwahula72943 ай бұрын
Tunajitafuta Kwa kazi saaana
@adrofgwahula72943 ай бұрын
Asante saaana tunajipanua taratibu
@frankedwin80913 ай бұрын
Kijana umeivaaaa hongera
@rasheedmtoi6 ай бұрын
Kuushindilia udongo sana wakat wakueka kwenye tray inaeza ikawa ndo sababu ya miche kushindwa kuota???
@rafoursamiol524411 ай бұрын
Mungu awabariki kazi nzuri mno
@SaliminallySalimin11 ай бұрын
Naomba mawasiluano
@sayisambu7852 Жыл бұрын
Mpaka kieleweke
@frankedwin8091 Жыл бұрын
hubahatishi
@MrSaidi57 Жыл бұрын
Asante sana kwa video nzuri na miche iliyonawili. Mziki una sauti kubwa kiasi unazuia kufatilizia kikamilifu mnayoongea. Kuhusu ufanisi wa kazi yako ni mzuri. Samahani nataka tu kuongezea kama viungo kwenye mchuzi
@hamzaswaibu9470 Жыл бұрын
Safi sana bahati mbaya tulifika shambani kwako muda wa jioni sana lakini tutarudi Tena tuone vizuri shamba
@fabulauwimana2608 Жыл бұрын
Hii kitu ni mwoto nimesha tumia from Burundi
@lewakonde9637 Жыл бұрын
Halafu kaka naomba kama naweza kujua utaratibu wa mbolea dawa from plant to harvesting
@lewakonde9637 Жыл бұрын
Naomba kujua gharama ya kukuza tomatoes eka moja
@lewakonde9637 Жыл бұрын
Nataka kujua spacing ya tomatoes
@carenhilary8067 Жыл бұрын
Good work
@ahmedsharif922 Жыл бұрын
Anko ntakuja kujifunza Ado
@GuntramNdunguru-rp2jp Жыл бұрын
Adrof Kwa nin uwekaji wa mbolea hapo hautumii kipimo, naona unakadiria tuuuuu Kwa nin???
@JosephBahati-re8zr Жыл бұрын
Unatisha
@user-cr1zp3nd3u Жыл бұрын
Niko TARIME napata je mbegu nzur ya nyanya
@mr_smme3947 Жыл бұрын
I want to learn from brother
@mr_smme3947 Жыл бұрын
We are coming
@ZilagabaBisukaye Жыл бұрын
Safi,
@frankedwin8091 Жыл бұрын
nice inspiration
@canab9568 Жыл бұрын
Ni shilingi ngapi ya kenya na nitaipata vipi
@MedComtz Жыл бұрын
🎉🎉 kazi nzuri sana kaka. Haya ndio maisha sasa. Big up
@josephlucas1318 Жыл бұрын
Namba yako ya simu mkuu
@adrofgwahula7294 Жыл бұрын
0625953266
@frankedwin8091 Жыл бұрын
Inspiration my best nice job
@germainmukandamamauridi3112 Жыл бұрын
Congratulations for a great work. Nitazid kujifunza toka Adro Farm
@ZilagabaBisukaye Жыл бұрын
Kaka adrof farm na Miche mnauza?
@GuntramNdunguru-rp2jp Жыл бұрын
Hongeeera,
@germainmukandamamauridi3112 Жыл бұрын
Ndugu zangu kwa kweli napendezwa sana na channel hii ila shida ni kwamba tuko mbali sana na uko kwenu. Mimi mpenzi sana wa kilimo. Kwa hiyo jitaidi ata kutusukumia ata number za WhatsApp. Itakua bora zaidi. Ahsante