Nipo mkoa wa songwe maoni yangu jezi sio shida tunataka kikosi bora
@user-fj3ny9cp4p10 сағат бұрын
Tulifanya haraka kumpatia uraia wa nchi yetu
@JOAKIMJONATHAN10 сағат бұрын
Kama amegoma kuja kujiunga na wenzake ni Bora tU Simba iachane name arudishe fidia
@MosesMwenda-g5m11 сағат бұрын
Hilo ni pigo kwa simba bora wavunje mkataba watafute mwingine mapema .
@RehemaNimrody12 сағат бұрын
Ali Salim mbona anayaweza Amna pigo apo
@josiamwambona278512 сағат бұрын
Achana pimbi huyo
@josiamwambona278512 сағат бұрын
Uza huyo si kamwaga mboga muuze b 1 aende
@Mwanaidiabdallah-mb6zt12 сағат бұрын
Wamuuze tu
@mussamgullo552112 сағат бұрын
Huyu Kibu Anasahau tu au anajitoa ufahamu wapi Simba walimtoa na kiasi gani alisaidiwa.Asijifanye yeye ni zaidi ya Simba ambayo ni TAASISI kubwa.Auzwe waachane naye.
@husseinkarim766313 сағат бұрын
Manula asirudi simba, bado tunalia na goli 5, akiumia huwezi kuvunja mkataba, inabidi atibiwe kwa gharama ya Simba.
@jameskikeni385414 сағат бұрын
Kibuuu simba
@SalimAlhilal15 сағат бұрын
Wamchukuwwww bokooo akaee kipaa
@SalimAlhilal15 сағат бұрын
Bora sannna
@HakunaMatata-xp1hg15 сағат бұрын
Mamb
@RahimaMct-ik8mr13 сағат бұрын
Sasa manual wa nini😠😠😠
@GeofreyKivembele12 сағат бұрын
bora ata jiwe rikae gorini
@SelemaniRajabu-os6eb15 сағат бұрын
Vp mbona nyinyi waongo 2 kila sikuu
@SelemaniRajabu-os6eb15 сағат бұрын
Vp mbona nyinyi waongo 2 kila sikuu
@AllyMasangaluka-bm5ib16 сағат бұрын
Kikosi Cha kiiime atukati na.kinadebola aoukouko kolo
@CondradMbigi-vi1zw17 сағат бұрын
Naiombea simba yangu kutoka na ushindi wa gori tano bira❤
@HebethAidano23 сағат бұрын
vp isirael mwenda yuko wapi kaka naomba unisadie
@HebethAidano23 сағат бұрын
wana simbaaaaaaaaaaaaaaa. hatujamaliza mpaka mseme yani hapo bado mpaka mseme
@BarikiSamwel23 сағат бұрын
Magoli 10
@SalimaMtimaКүн бұрын
Mwaka huu yanga balaa jamaangu
@user-ox1eg1ej6uКүн бұрын
Ni. Aibu. Mkubwa. Kwa. Wanaojita. Eti. Ni. Wakubwa. Kimpira. Haliyakuwa. Mwisho. Virobo. Marazote. Vinadhalilika. Zaiidi. Kumlazimisha. Chama. Abaki. Kwaoo.