Nasumbiria garama nijuwe na Mimi iyo naweza kuchukuwa ramani iyo
@user-bk6ue5zl5t19 сағат бұрын
Kak mbona kigoropha hicho siwez pata vyumba 3 kweli😂😂 nikivunja hiyo gereji kikawa chumb je haiwezekan au show itakuwa mbay😂
@samyspesho1698Күн бұрын
YAANI MILIONI 9 CHUMBA KIMOJA AAAAH ACHA HIZO WEWE
@abdullahiahmed7981Күн бұрын
Mkenya anaruhisiwa kuja kujenga
@user-un3hr5kh6zКүн бұрын
Fuso la mchanga zanzibari shiling laki tatu fusi fuso laki mbili na nussu tofali mia tisa
@zayrkaucha3131Күн бұрын
Et mbona hamjaweka karatasi jeusi chini juu mkamwaga zege au sio lazima
@AudaxAdrianКүн бұрын
Ahsantee
@hadijaiddi245Күн бұрын
Maashaalah❤
@Juliana-fx8tr2 күн бұрын
Unaweza kupeleka site IPO Kibaha Vigwaza Nyuki
@missmoona44972 күн бұрын
Mikoana vp kk
@RoseMayige-gn9qb2 күн бұрын
Nitakutafuta, kazi yako ni nzuri sana!
@aishaamour53702 күн бұрын
.
@japharisongoni72772 күн бұрын
Kaka hapo kwenye fuso ya mchanga umechanganya
@Amba2024-ti2dc2 күн бұрын
Ahsantee kaka
@Uaminifu_nyamitembe.2 күн бұрын
nita kupata je?naishi Dr.congo
@totobest69132 күн бұрын
Huna ujualo
@patrickamon1843 күн бұрын
🔥
@viatorykashabizi25383 күн бұрын
Unaonaje kama kuta zote za nje zingebolewa hadi foundation level na kuzungusha foundation beam? Haitakuwa loss kubwa kwani tofari zitarudi zilezile
@isamony583 күн бұрын
Sasa hizoo ngazi Zina majabu gani
@Official836403 күн бұрын
Hii nyumba kapata hasara sana dah hd huruma
@KukuVillage3 күн бұрын
camera man wako hakutendei haki, fanya kitu au mtrain...
@user-mc5zb3ox9c4 күн бұрын
Sana
@CarolineMushi-e3s4 күн бұрын
Naomba Ramani kaka angu nyumba ya tofari 950 na mifuko 30
@diana23gzo4 күн бұрын
Natamani ukaangalie na kwangu namna nataka kuongeza nyumba nyingine, ni hapo hapo kwa awadh. Je kuna gharama?
@user-ct5yc9ph7u4 күн бұрын
Mhona mim nakutumiya sms hujibu
@felixmkude3934 күн бұрын
Nice house!
@allymagimbi72175 күн бұрын
Kaz kaz dua
@Reginajohnson198845 күн бұрын
Duh ndugu wamejaa kumludisha nyumba tena
@zuwenaakida30155 күн бұрын
Mashallah!
@karimrahim335 күн бұрын
Maelezo yake na bajet ni tofauti chukua calculator then utapata jibu tumia hayo maelezo
@Elizabeth-cd4bc5 күн бұрын
Waooooo
@BrysonMsabila5 күн бұрын
nataka nijenge 2026
@dorahmatitu25545 күн бұрын
Ongera Sana my kaka. Nijibi msg zangu basi
@JanethMadios5 күн бұрын
Ushaanza kujiingiza huko kwa wasanii watu wataanza kukuogopa wakihofia bei sasa
@innocentinyasi91983 күн бұрын
Kujibrand nivizur sister 😂😂
@handenitakuru66966 күн бұрын
Daaaah huyu fundi jamaa kama kamfanyia makisudi yani kamtia hasara kubwa sana sasa uwe na pesa kama nimwenzangu namie pesa yetu ni yakuunga unga unatamani uende ukamchabange mapanga
@saadaabdallah52396 күн бұрын
Na mimi naitaji kujengewa ila nipo mkoani inakuaj
@Witnessmontana4246 күн бұрын
Kaz iendelee tajiri 🔥
@salamabakari83846 күн бұрын
Nyumba mashallah ❤❤
@victoriamaige28626 күн бұрын
Gharama zenu za ufundi zikoje
@jumaibrahim61656 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@Alpha-66666 күн бұрын
Habari kaka hivi mnaa offisi zenu Zanzibar?
@zainab82517 күн бұрын
Pole sana kaka MUNGU MWEMA
@user-po8hz7xw9j7 күн бұрын
Hiyo nyumba kaka naomba kila HATUA unioneshe niiyone nataka nijenge JİTAHİDİ sana