Lema amshauri Mbowe @ChademaTv
9:28
3 жыл бұрын
Пікірлер
@MbokeMboke-l3w
@MbokeMboke-l3w 12 күн бұрын
Pamoja dada❤❤❤❤❤❤❤
@illomowerner7690
@illomowerner7690 26 күн бұрын
Huwa unaniuma sana kwa kifo cha huyu kamanda, nilitamani japo nimwone nimsalimie na nimtie moyo..Namna pekee ya kumkumbuka kwa vitendo ni kupigania ndoto ya ukombozi wa nchi yetu aliyokuwa nayo Sarah Alex kupitia CHADEMA. Apumzike kwa amani.
@MbegaMwangasha
@MbegaMwangasha Ай бұрын
Mzee sasa hv hao viongoz wenye tabia za ki malaya malaya wamejaa wanaume kwa wanawake kwenye chama chako
@EDETRAUDHUNGU
@EDETRAUDHUNGU Ай бұрын
wimbo umetisha sanaaa
@HarunaKitiku-sv1fe
@HarunaKitiku-sv1fe 3 ай бұрын
Hotuba za maana sana alikuwa anaongea baba wa taifa hili
@mohamedabdallah4365
@mohamedabdallah4365 3 ай бұрын
Rip kamanda
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 5 ай бұрын
ndo walio jaa na wanaongoza afrika nzima sasa wamechukua hela zote za wananchi
@athanaschannel6391
@athanaschannel6391 5 ай бұрын
Wazuri jamani hawadumu
@mohamedabdallah9918
@mohamedabdallah9918 5 ай бұрын
😂
@user-bq2xm8bv1x
@user-bq2xm8bv1x 5 ай бұрын
Pumzika Kwa amani safari yetu sote
@user-pj6ud7li6m
@user-pj6ud7li6m 7 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥💯
@NaaliShauri
@NaaliShauri 7 ай бұрын
leo wamejaa mzee
@manasseskamau5327
@manasseskamau5327 7 ай бұрын
Kenya wanasiasa wote hawana tu tabia za kimalaya. Ni malaya haswa.
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 8 ай бұрын
Leo,bado,Jeshi letu la wananchi na Bunge ni la wananchi kweli? Kama bado ni la wananchi,ni wananchi wapi? Watawaliwa,wanasheria,n.k? Nina mashaka sasa.
@alexjulius6354
@alexjulius6354 10 ай бұрын
rip
@richardgaya3965
@richardgaya3965 10 ай бұрын
...... relevant at all times...... just change the reference to Tanzania to read "Kenya!"
@johnmpemba3057
@johnmpemba3057 11 ай бұрын
The song of the century
@user-ig4jy5mi4v
@user-ig4jy5mi4v 11 ай бұрын
Huyu mzee ana udini. Anachanganya dini na siasa. Kwanini anawaandama watu wanaohongwa?
@user-ig4jy5mi4v
@user-ig4jy5mi4v 11 ай бұрын
Huyu aliyevaa shati la khanga ni nani? Mbona roho mtakatifu anamuandama?
@DelangAbraham-ib6mu
@DelangAbraham-ib6mu 11 ай бұрын
Chadema
@bundalamabula6264
@bundalamabula6264 Жыл бұрын
Nashangaa chadema inaandamwa, vipi kuhusu waarabu. Na bandar hakuna hela yapo imetumika
@mohammedal7864
@mohammedal7864 Жыл бұрын
Lisu kalifanyia nini jimbo lake au mboye hadi wakamwaga kwenye uchaguzi 😂😂
@mohammedal7864
@mohammedal7864 Жыл бұрын
Chadema uadilifu hawana viongozi wachaga na ndio majizi makubwa
@user-zb5qz6fk1v
@user-zb5qz6fk1v 11 ай бұрын
CCM majizi no 1
@eliasitairo9546
@eliasitairo9546 3 ай бұрын
Ulaaniwe kwa mawazoyako uliyonayo hata sasa umelaaniwa nguruwe wewe ulie angushwa kule baharini imekuwa mzimu
@mohammedal7864
@mohammedal7864 Жыл бұрын
Hiyo inaonyesha hiyo tabia ilikuwepo enzi zake ndio maana hajasema kuwa watakuja wanasiasa malaya 😂😂 Au kiswaili kigumu
@eliajimmy95
@eliajimmy95 Жыл бұрын
Mwalimu ulifanya mengi sana mazuri ila ulifeli kwenye katiba tu na hayo yote uliyoyaongea yangesimamiwa vizuri kama ungetengeneza katiba nzuri.
@yusuphchankwa4759
@yusuphchankwa4759 Жыл бұрын
Duuuuuuh
@jiweg-unit5408
@jiweg-unit5408 Жыл бұрын
Wapo wengi sana na walikuwepo hadi kipindi chako mzeee wetu na ulikufa ukawaacha na Ulivyowaacha wakaota mapembe na ikawa balaa hatujawahi sikia akemee kuhusu malighafi za watanzania wao walikuwa kimya wanaweka pesa kwenye account zao wakati ni pesa za watanzania walipa kodi
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Kkkkkk wakaskazin bana kkkk kwani nyie mkoje
@sawiah_Tk
@sawiah_Tk Жыл бұрын
👨‍🎓👨‍🎓
@cypriansambagi
@cypriansambagi Жыл бұрын
Mwalimu Nyerere kweli legent
@makalangaluka6337
@makalangaluka6337 Жыл бұрын
as a call
@peterdeus6093
@peterdeus6093 Жыл бұрын
Nimekumbuka kiliçhotokea 2015 chadema
@allyshafi4391
@allyshafi4391 2 жыл бұрын
Mwalimu ndo keshasema 😅😅kuna wanasiasa ni.... .... .... ....🤣
@aikajeras4638
@aikajeras4638 2 жыл бұрын
Rest in peace sarah ✌️✌️✌️✌️
@charlesnkuubilwanga8051
@charlesnkuubilwanga8051 2 жыл бұрын
Lovely song.
@hemedmakanika7486
@hemedmakanika7486 2 жыл бұрын
2022 gonga like hapa
@khanafrica22
@khanafrica22 2 жыл бұрын
Naomba namba yako
@yakobomaganga6557
@yakobomaganga6557 2 жыл бұрын
✍️✍️✍️✍️✍️🇹🇿🧏🧏
@mswilliamj1270
@mswilliamj1270 2 жыл бұрын
Mungu ampumzishe kwa amani
@justineronard7747
@justineronard7747 2 жыл бұрын
Mungu ambariki sana huyu Dada.....na amkumbuke sana huko aliko pumzika kwa ajili ya kupambania haki.
@carolinamgando6026
@carolinamgando6026 2 жыл бұрын
Wimbo ni mzuri sana na maneno hayo yatatimia tu ,mungu amweke pema peponi
@carolinamgando6026
@carolinamgando6026 2 жыл бұрын
Kwakweli wimbo umeniguza sana mungu amweke pema peponi
@marrymenas
@marrymenas 2 жыл бұрын
Kumbe Lissue alishakaa jela siku 360? Ndio maana kaikimbia nchi anajua utam wa magereza.
@gladismsuya2072
@gladismsuya2072 2 жыл бұрын
Dance with angels Sarah
@nyamaigestephano8573
@nyamaigestephano8573 2 жыл бұрын
R.I.P SARAH
@pjronline1572
@pjronline1572 2 жыл бұрын
Pole kwa ndugu jamaa na marafiki kamanda amelala
@edwinbernard3289
@edwinbernard3289 2 жыл бұрын
Rest in peace my sarah
@nadiaally9022
@nadiaally9022 2 жыл бұрын
R.I.P Sarah
@justinakaronge5270
@justinakaronge5270 2 жыл бұрын
AAA ja me and ameumwa nini? Jamaniii,
@majaliwaadammnaga3223
@majaliwaadammnaga3223 2 жыл бұрын
RIP