Sasa tumekuandikia barua hautaki kuwa pitishia watu cheo ni dhamana Mungua anakuona
@daudimanyangu48122 күн бұрын
Sasa tumekuandikia barua hautaki kuwa pitishia watu cheo ni dhamana Mungua anakuona
@EsterJafariАй бұрын
bahati bukuku
@salamsabdullah-st9pt3 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@dorcasdavid22473 ай бұрын
❤
@KarenziJeandamour-ib4pn3 ай бұрын
Tunagupenda apa rwanda
@user-ro2bh1yg4l4 ай бұрын
Je kubadilisha taarifa lazima uende kwenye kituo ulicho andikisha
@khaledsalem23874 ай бұрын
Hii nchi hovyo tu
@MussaNseru7 ай бұрын
Mimi mbona mm mmeniletea figisu katika tahalifa
@Lucy-mr6ni7 ай бұрын
Amen wewe ni baba
@user-pt2mh5ln3r8 ай бұрын
Mbona mm mpakaleo sijapata kitambulisho cha taifa
@draye33579 ай бұрын
Mkuu ile njia ya NIDA ONLINE REGISTRATION imeishia wapi
@KuluthumuFundi10 ай бұрын
Asante Kwa taarifa
@michaelobed302211 ай бұрын
Nipo chunya naweza kupata kitambulisho kwa kuja hapo mkoani moja kwa moja?
@nidatanzania13910 ай бұрын
Salaam Ndg. Michael, Iwapo ulisajiliwa mkoani unaweza kufika hapo kuchukua Kitambulisho chako iwapo umejulishwa kikoo tayari. unaweza pia kufika kuulizia maendeleo yako ya Usajili. Karibu.
@michaelobed302210 ай бұрын
@@nidatanzania139 nashukuru kwa taarifa hii, mimi nilisajilia hapa hapa chunya ila karenda zimekuwa nyingi inamaana mchakato umechukua muda mrefu nilisajiliwa awamu ya kwanza kabisa 2019
@nidatanzania13910 ай бұрын
Salaam Ndg. Michael, iwapo umesajiliwa miaka ya nyuma unaweza kututumia ombi lako kwenda [email protected] ili tutume kwenye dawati letu husika kwa ufuatiliaji wa utatuzi zaidi. Shukrani.
@jacksaid3 жыл бұрын
Utaratibu uko je kwa raia ambao wako nje ya nchi au bara tofauti? Kwa kupata vitambolisho vya taifa?
@emelianachrizostom49695 жыл бұрын
Habar za leo mm nishafanya maombi lakin sijajaza namba ya smu kwenye fomu maana sikuwa simu kwahyo sijajua nitapataje namba ya kitambulisho changu kabla ya vitambulisho havijatoka na nilijisajili mwaka Jana mwezi wa sita naomba munisaidie nipate hyo namba ya kitambulisho nisajili lain ya simu
@sendarokhatwibu51075 жыл бұрын
Habari za leo mm nimefanya maombi ya kitambulisho cha ajabu nimekwenda nida wanasema kitambulisho kimetoka lakini hakionekan sijui inakuwaje