Salama Na Masoud Kipanya
52:05
Күн бұрын
Пікірлер
@mkanulamajid500
@mkanulamajid500 4 сағат бұрын
Heeeee kutoka kwenye ziro hadi juu na kushuka tena kwa kasi kurudi kwenye ziro mbona iyo kiboko
@FrankDeus-y8o
@FrankDeus-y8o 23 сағат бұрын
Mama kasema is the project
@ibrahimnadir4490
@ibrahimnadir4490 Күн бұрын
Pizza 🍕 na sausage 😅
@ArerimanazilfahassanZilfahassa
@ArerimanazilfahassanZilfahassa 2 күн бұрын
Mama teso
@user-lo6gd4tg2n
@user-lo6gd4tg2n 2 күн бұрын
Tunaomba Show mpya, hii ni ya Mwaka uliopita
@RonnieBertin
@RonnieBertin 2 күн бұрын
Eheeee. I like that
@RoseKabwa
@RoseKabwa 2 күн бұрын
Amen
@kituhilel.j9747
@kituhilel.j9747 2 күн бұрын
Salama upo vizuri dadangu nimekuwa nakufuatilia,lkn nakubali kazi zako.mwenyezi Mungu akusimamie dadangu
@lone_laugh-bn5re
@lone_laugh-bn5re 2 күн бұрын
Eeeenhe😂😂
@salehmakungu3238
@salehmakungu3238 2 күн бұрын
back to the work
@Paplick9
@Paplick9 3 күн бұрын
Best ever 🐐🙌🧠 salama
@FARISYUSUPH
@FARISYUSUPH 3 күн бұрын
Love Mama Naya
@Hajer-be2kh
@Hajer-be2kh 3 күн бұрын
Toka nianze kumuona ni shati jeupe tu anavaaga 😊
@LucyRaia-sx8jk
@LucyRaia-sx8jk 3 күн бұрын
Nampenda huyu dada zuu akiwa BBC news
@noahmallango8223
@noahmallango8223 4 күн бұрын
Exta ordinary Interview big up Salama
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 4 күн бұрын
🎉❤
@Topcentclassic
@Topcentclassic 4 күн бұрын
nimekuwa proud tu kusikia kumbe role modol wangu ana vinasaba vya iringa
@BabgBab
@BabgBab 4 күн бұрын
Salama naomba connection na uyo mwanajeshi anae hitaji kusapport under ground wasanii mim naitwa d.boy tupo wa3 kwenye gang letu tunaimba nyimbo za aina yoyote sana sana hip hop na drills
@BabgBab
@BabgBab 4 күн бұрын
Salama naomba connection na uyo mwanajeshi anae hitaji kusapport under ground wasanii mim naitwa d.boy tupo wa3 kwenye gang letu tunaimba nyimbo za aina yoyote sana sana hip hop na drills
@user-wv7ft8tm3z
@user-wv7ft8tm3z 5 күн бұрын
Voice is👌
@daudifungo5521
@daudifungo5521 5 күн бұрын
Hongera Sana Mzee Baba Nakumbuka Nyimbo yako ya Mashujaa Mkiwa na Kimulimuli Band
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 5 күн бұрын
Huyu mzee toka kafiwa na mwanae hayuko sawaa😢
@sophiesadick5510
@sophiesadick5510 5 күн бұрын
Masoud kila kitu kinachotutokea duniani kuna stages tunapitia na ya kwanza kabla ya 'kukubali' (ambayo ni ya sita) ni hiyo ya kuwa ya kujiuliza " kwanini mimi'.
@sophiesadick5510
@sophiesadick5510 5 күн бұрын
😂😂😂. so fun.
@sophiesadick5510
@sophiesadick5510 5 күн бұрын
😂😂😂, au unashtukiwa tu mtu anapozaliwa
@sophiesadick5510
@sophiesadick5510 5 күн бұрын
Salama, Michango yenyewe imekuwa ni KAUSHA MAJI
@nakilingwembele9504
@nakilingwembele9504 5 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@sophiesadick5510
@sophiesadick5510 6 күн бұрын
Asalam Aleykum. Salama kipindi chako ni SUPERB. Andaa pia MADA INAYOHUSU MICHANGO HASWA YA HARUSI, imekuwa ni too much mpaka tunashindwa ku- save.
@johnraymond6602
@johnraymond6602 6 күн бұрын
SHUBAAAMIT ZAO💥💥💥
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 6 күн бұрын
Kibonge salama
@user-mt6nu5hs8q
@user-mt6nu5hs8q 6 күн бұрын
Salama mwambie brother masoud vp kuhusu pesa zetu kwa yule mwamba..!
@kasaisatv9765
@kasaisatv9765 6 күн бұрын
Loo!!! Views 10k kwa wiki moja??? Watanzania tunataka maudhui ya aina gani? Kwanza najuta sana kuchelewa kutazama hii video. Ubarikiwe sana Salama.
@KabulaMalimi-es1jm
@KabulaMalimi-es1jm 6 күн бұрын
Asante sana kwa kujitowa kwako Salama na timu yako yote
@samirmswahili
@samirmswahili 7 күн бұрын
Alipoongelea mtoto imenigusa sana mungu awafanyie wepec watoto wetu wagonjwa mimi hua najiuliza ninapoona wanzangu watoto wao tofaut na wangu😢
@user-xp3vi3wc8p
@user-xp3vi3wc8p 7 күн бұрын
safi kwa kurudi
@brainsngaugula6075
@brainsngaugula6075 7 күн бұрын
Dina since day 1
@joojombi2341
@joojombi2341 7 күн бұрын
Jerry upo vizuri akhui ubarikiwe sana ,Ukhti Salama kazi Iendelee tupo pamoja
@PeterTobolla
@PeterTobolla 7 күн бұрын
Naomba Namba ya mchungaji
@allykamila3445
@allykamila3445 8 күн бұрын
Kumbe hii ni ya mwaka 2022?
@HamadAlex
@HamadAlex 8 күн бұрын
Tulikumis sana Salama
@matwerangulichedr3985
@matwerangulichedr3985 8 күн бұрын
simply masoud is genius
@gj3741
@gj3741 9 күн бұрын
Volume ya background music ipo juu kuliko conversation yenyewe 🤦‍♂️
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 9 күн бұрын
AY ni mzee lakin hazeek
@Fatma-rj7vs
@Fatma-rj7vs 9 күн бұрын
Ngiiii wangu mpenda sanaaaaa❤❤❤❤❤
@TabithaCherop
@TabithaCherop 9 күн бұрын
Nimepata funzo through you rose muhando
@democritenzoisaba9117
@democritenzoisaba9117 9 күн бұрын
Mchungaji Hananja nimemskiriza nimegunduwa anakipaji baraa sijaona .
@democritenzoisaba9117
@democritenzoisaba9117 9 күн бұрын
Hananija kiboko ya dunia /
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 9 күн бұрын
I love this man silah man of god my next president ❤
@kwisa4899
@kwisa4899 9 күн бұрын
yani ukajiwekee pesa kwene mfuko wa jamii labda UTT uko kwene mfuko kunashida kubwa sana
@Cosmas_General
@Cosmas_General 9 күн бұрын
Huyu mwamba anajua sana👊👊🫡