Пікірлер
@getrudaleonard8323
@getrudaleonard8323 Сағат бұрын
Nikimuangalia Mimi Mars natamani arudi apa Jua kali
@RAHULHASSAN-n8o
@RAHULHASSAN-n8o 5 сағат бұрын
Safii kaka upo viizuli iinuaa tena sana maana iilishukaa
@claratinno8574
@claratinno8574 13 сағат бұрын
Gago with that accent 😂
@arya-star53
@arya-star53 14 сағат бұрын
Lamata mpe character nyingine Anna hii character ifutwe, wanaoungana na mm like hapa
@EstarSeleman
@EstarSeleman 16 сағат бұрын
Me pia jamn nafatilia sababu ya mars peke ake
@NzukiwaAntony-x3t
@NzukiwaAntony-x3t 18 сағат бұрын
Mimi mars ❤️
@user-oz9xi3dc7y
@user-oz9xi3dc7y 22 сағат бұрын
Mwaka huuu tutajua kimasai
@BethaJackson
@BethaJackson 23 сағат бұрын
Mmmh nimeipenda mno yaani japo sijaifatilia sana
@user-wv9wc6yr1u
@user-wv9wc6yr1u Күн бұрын
Kumbe na anti yuko huku
@amina2044amin-zv2gh
@amina2044amin-zv2gh Күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤ hulle kan sing die 👏
@samsonmahuve9088
@samsonmahuve9088 Күн бұрын
Anna and Devis love ❤each other
@user-oe8bn5od2o
@user-oe8bn5od2o Күн бұрын
Nimekukubali sana toka filam yako bado natafuta wewe ni shujaa
@user-oe8bn5od2o
@user-oe8bn5od2o Күн бұрын
Kati ya wingizaji ambao nime wakubali gabo kaka wewe ni number moja akika amna cha utani wala ubishi
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj Күн бұрын
Bora judi utambae kila siku Luka anagueuza kitambaa cha deki😢
@pendolema2743
@pendolema2743 2 күн бұрын
Ana anaboa sanaa part yake
@SaraphinePhina-r2i
@SaraphinePhina-r2i 2 күн бұрын
Lkn tu huyu tima anavituko lkn
@FatmaRashid-rr8yw
@FatmaRashid-rr8yw 2 күн бұрын
Watu wa jiya mko pw sana
@rehemajoseph-ng9gv
@rehemajoseph-ng9gv 2 күн бұрын
Hii tamthilia nianze kuitlfatilia maana inaonekqna kali😂
@AnithaNahimana
@AnithaNahimana 2 күн бұрын
Namupend diba na Anna❤
@user-jt1lk2df7s
@user-jt1lk2df7s 2 күн бұрын
Nmekuja kuanza kumtazama jiya kisa tu mtoto wa mama maria amekuja jiya so hope ntaifatilia yote kwa Kasi ya 5G wenyeji mnambie imefkia episode ya ngap et!!!???
@ZulfaMohd-pt3gj
@ZulfaMohd-pt3gj 2 күн бұрын
Good ❤❤❤
@monysanga7516
@monysanga7516 2 күн бұрын
Inayofuata jamani iko wapi😅
@FatmaRashid-rr8yw
@FatmaRashid-rr8yw 2 күн бұрын
Hii series vp Haina mchan giza tu
@monysanga7516
@monysanga7516 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤ 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Maua yenu jamaniii
@monysanga7516
@monysanga7516 3 күн бұрын
Kazi nzuri sana Ila usku umekuwa marefu mno
@monysanga7516
@monysanga7516 3 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤ 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Mbarikiwe
@monysanga7516
@monysanga7516 3 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@leilapateli9924
@leilapateli9924 3 күн бұрын
Mama Luka ❤❤❤
@SabatoManyama
@SabatoManyama 3 күн бұрын
mwendelezo wake unatoka lini?
@SabatoManyama
@SabatoManyama 3 күн бұрын
mwendelezo wake unatoka lini?
@apolinemalungano9155
@apolinemalungano9155 3 күн бұрын
Mbona ma episode hazifatani vizuri jamani mna tuchanganya
@badiislam
@badiislam 3 күн бұрын
I like it
@NasrahMsiagi
@NasrahMsiagi 3 күн бұрын
❤❤mmetisha woteeee big up Gabo
@mrymkubali4017
@mrymkubali4017 3 күн бұрын
Number 1😊
@EstaEs-k9i
@EstaEs-k9i 3 күн бұрын
🎉🎉🎉
@ZainaBu-zs6wc
@ZainaBu-zs6wc 4 күн бұрын
Kazi ipo😂😂😂
@MinaahOmary-wd8ls
@MinaahOmary-wd8ls 5 күн бұрын
Fupi sn lkn
@MinaahOmary-wd8ls
@MinaahOmary-wd8ls 5 күн бұрын
❤❤❤
@Diana-p7h
@Diana-p7h 5 күн бұрын
❤❤
@Fetty-i1v
@Fetty-i1v 5 күн бұрын
Natizama jua kali ya miaka ya nyuma, kumbe ilikuwa moto, na ya kusisimuwa
@monarm9363
@monarm9363 5 күн бұрын
😂😂😂😂 kafupi halafu kachawi tram strong hoyeeee
@ZainaBu-zs6wc
@ZainaBu-zs6wc 5 күн бұрын
Nikweri wengine tupo nnje ya Tanzânia na imetuvutia saaana
@ZainaBu-zs6wc
@ZainaBu-zs6wc 5 күн бұрын
Hii tamsilia ni muzur saana
@zulphaswalekhe6362
@zulphaswalekhe6362 5 күн бұрын
Nyumba anayokaa kashaulo na judy nipalee kwenye kombolela alipokuwa anakaa mzee kikala 😊😂
@Rebecca-q2k
@Rebecca-q2k 6 күн бұрын
🎉❤
@Rebecca-q2k
@Rebecca-q2k 6 күн бұрын
I appreciate it🎉
@MariamMbalabara
@MariamMbalabara 6 күн бұрын
Wow ni zuri🥰🥰🫶
@JacklinaMtei
@JacklinaMtei 6 күн бұрын
Gabo mbn sasa ukawa mmasai ele org kabisa 😅😅
@irenengonyani632
@irenengonyani632 6 күн бұрын
naanza kuangalia kuanzia epsod 1 sababu mimi mars kaanza kuigizaa😂 nataka nianzie mwanzo mpaka nitakapo mfikia😊
@JacklineLyari
@JacklineLyari 6 күн бұрын
😂😂😂 tupo pamoja
@user-kl9zb2su9d
@user-kl9zb2su9d 2 күн бұрын
Mimi pia😅😅
@jescapendo1157
@jescapendo1157 2 күн бұрын
Nyiee ni mimi hapaaa 😂😂
@esterbidogo635
@esterbidogo635 2 күн бұрын
Swadakta kumbe tupo wengi😂😂😂
@MoreenSimkonda
@MoreenSimkonda Күн бұрын
Tuko pamoja uwiii😂
@aisharashidi5162
@aisharashidi5162 6 күн бұрын
Weweeeeeeeeee 🎉🎉🎉chukua mauwa yako gabo