Amina baba najua namm rdhiki yngu japo wanaichelewesha lkn kwa Iman najua mungu attenda
@AdaisyKulangaАй бұрын
Ameen baba
@tinaturner5532Ай бұрын
Amina baba
@joshualaizarАй бұрын
Naungamanisha mitihani yangu ya Leo nikifanya nikapokee habari njema Kwa jina la yesu
@MilkaJuma-ez4wdАй бұрын
Amina naomba mungu awekeunzio wamoto kwenye mazao yangu niliyolima maan maadui niwengi
@user-zr5mk4ud8jАй бұрын
Kutoka ujerumani prophet niombe
@user-rt7yc1fy8yАй бұрын
Eemungu naomba nikapokee mujiza wangu wamtoto kwa jina layesu amin
@user-rt7yc1fy8yАй бұрын
Eemungu naomba ukazidi kunijibia kwa jina la yesu
@user-rt7yc1fy8yАй бұрын
kupitia maombi hay eemungu naomba nikapokee majibu niliyo yaomba leo katika jina layesu kristo mapaka haya yalio jizilisha leo yakateketee kwa jina rayesu kwa jina layesu yakanate hapo nje mpaka asubui tuyakute amina
@user-ow6tx2is8bАй бұрын
Nabii ninakua.ini sana naomba maobi yako na sumbuliwa na presha Nipste kupona Bwana yesu asifiwe
@FaisiErnestiАй бұрын
Baba mungu akubari napitia wakati mgumu sana kila nipangapo jambo halitimii lakini sasa ivi naenda kupokea katika jina la yesu
@Mabula-ti4psАй бұрын
Tena wafe kabisa siwataki hta bule maana wamenihalibia sana maisha yagu kiuchumi
@AtuChaula-cp4pwАй бұрын
Amina
@joycekimambo1602Ай бұрын
Ameen Ameen baba ubarikiwe sana sana🙏
@Mabula-ti4psАй бұрын
Amni baba kwakweli kwa maombi hay na muona MUNGU katika maisha yagu
@Mabula-ti4psАй бұрын
Napokea haya mambi maana niukombozi kwagu maan nimezaliwa kwenye familia ya wagaga wakienyeji
@dianarubambura2851Ай бұрын
amen
@miriamlifiga5149Ай бұрын
Ameen
@bethmtega2459Ай бұрын
Amina
@MuniraMalikiАй бұрын
52:29 Napokea kupona kichwa changu
@MuniraMalikiАй бұрын
Nipone mawazo mabawa na maumivu ya mishipa ya kichwa
@MuniraMalikiАй бұрын
Baba niombee kichwa changu baba cpo sawa na roho ya hofu ya mauti mungu wa baba yangu suguye niponye mungu wangu
@MuniraMalikiАй бұрын
Baba naomba unionekanie katika unabii wako jumapili 16/6/2024 naiwe ivyo
@MuniraMalikiАй бұрын
Baba mimi wananivuruga sana kichwa kinauma sana roho ya hofu ya umauti kuhisi kupiga kelele nisaidie baba angu yesu usiniache
@NeemaPaul-hm6syАй бұрын
Ameeen napokea kwajina la yesu
@EzinahMalafuАй бұрын
❤good prophet 😂😂
@user-ff4zh5ky4zАй бұрын
Mungu wa prophet suguye naomba unisaidie
@jacquelinejohn5046Ай бұрын
Najiungamanisha na ibada hii nipate kazi
@user-ss1kt8tv6sАй бұрын
Asate baba ubalikiwe sana kwamawombe
@BarakaMasautiАй бұрын
Baba xhikamo
@BarakaMasautiАй бұрын
Naomba uombe family yetu baba natuma picture
@RICHARDPAULMASELEАй бұрын
Amina baba😅
@julucyАй бұрын
Nasumbuliwa na ndoto mbaya na kumuota mfanyakaz mwenzangu mara Kwa mara na mara nying namuota vibaya prophet