Пікірлер
@user-ui4qg2kl4f
@user-ui4qg2kl4f 14 сағат бұрын
Safi sana
@user-dy5fn6qj1q
@user-dy5fn6qj1q 7 күн бұрын
Ukweli ukiweka nyani na binadamu serikali inapna nyani ni boraa kuliko binadamu nyani anaharibu Kila kitu shambani ukimgusa au kumuuwa serikalini ni shidani kipindi cha miaka ya 73_83 serikali ilikua Kila wilaya ilikua ikitengewa fungu la kipana na wanyama wahatibifu na waliajiriwa wenye ujuzi na slahaa wnapewa ya serikali Sasa nyani wamepewa uhuru kuliko b:damu hasa hukuu kilimanjaro makuyuni himo nganjoni Kila mahali wanakila kuku vitoto vya mbuzi wakina mama njia za mkato kufika mashamani shida na hasaa tumbili kimaa wanaingia mpaka chumbani jikoni ukisahau chochote kimee nda ni sawa tumelalamika hatuskilizwi ukigonga twiga faini miloni hamsini tembo akiuwa mtuu uraiyani kifuta jasho sh laki kazaa yanatimia maneno mmyama ni Bora kuliko b damu
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 7 күн бұрын
Serikali inawapenda wanyama kwa kuwa wazungu wanaleta Dora kwao,,wewe binadamu hawaoni faida kwako.
@saidchaula1947
@saidchaula1947 7 күн бұрын
Hayo magazeti mbona huonyeshi vichwa vyake shida iko wap
@AnwaaryTv
@AnwaaryTv 6 күн бұрын
Ni usomaji wa magazeti sio uonyeshaji wa vichwa
@ShukuTete-wb1fp
@ShukuTete-wb1fp 7 күн бұрын
Acheni matusi mbona utoto mwingi nyieeeee
@Jumaamohamedi
@Jumaamohamedi 7 күн бұрын
Mnatuwekea video yazamani kilasiku badilikeni hii inaondoa mvuto wa kazi
@ElishaKashinje-eb6qx
@ElishaKashinje-eb6qx 7 күн бұрын
Mmmmh huyu msomaji hajachangamka Kama maulidi kitenge
@MwajabuBakari-h5m
@MwajabuBakari-h5m 7 күн бұрын
Shati hilo halikuhusu
@MdalesioWilliam
@MdalesioWilliam 7 күн бұрын
Uweunaonyesha picha za magazeti ndio unasoma ilaleta radha
@user-wo8dx8qc2h
@user-wo8dx8qc2h 7 күн бұрын
Nawe badilisha shati Kila siku hilo
@jeremiajackson5282
@jeremiajackson5282 7 күн бұрын
hongereni kwa kazi nzuri
@MathayoMhangwa
@MathayoMhangwa 9 күн бұрын
Mathayo mhangwa
@AdamSumuni
@AdamSumuni 22 күн бұрын
Nivizuri maana tunatakiwa kusikia nini kimehandikwa ndani ya magazeti
@KambiMnyama-my7sk
@KambiMnyama-my7sk 22 күн бұрын
Nenda kasome wewe kama utawez
@KambiMnyama-my7sk
@KambiMnyama-my7sk 22 күн бұрын
🎉nenden mkasome nyie wacheni wevu mwezenu yupo kazin
@MamaYasir-qn2ji
@MamaYasir-qn2ji 22 күн бұрын
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@MamaYasir-qn2ji
@MamaYasir-qn2ji 22 күн бұрын
❤😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 Haujui kusoma
@MamaYasir-qn2ji
@MamaYasir-qn2ji 22 күн бұрын
Usisome vibaya😅😅😅😅😅😢😢😢
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 23 күн бұрын
Mchechu atulipe Wajane haki za Waume zetu na watoto tubashindq Hazina kutwa njoo leo njoo kesho mpakq tunaangukq ngazini
@chejutv4794
@chejutv4794 24 күн бұрын
Safi sana kwa kutupa taarifa za magazeti mapema
@NuruHassani-yz6jt
@NuruHassani-yz6jt 25 күн бұрын
Namm pia 😂
@mirajikawimba8648
@mirajikawimba8648 25 күн бұрын
Hongeleni Sana wana magazeti
@user-wu2yn1lb2e
@user-wu2yn1lb2e 26 күн бұрын
Tusidanganyane kuhusiana na swala la umeme tanzania ni ufisadi tu bado mgao wa umeme upo sana tu hapa Tanzania
@richardrevocatus-kv9fl
@richardrevocatus-kv9fl 27 күн бұрын
Kibondo
@ExaveryMagaga
@ExaveryMagaga 27 күн бұрын
sawa
@user-dy5fn6qj1q
@user-dy5fn6qj1q 29 күн бұрын
Kulikoni wabunge ni wakati au ni jambo la kawaida kutokana kujitambua nyakati na wakati msukuma mbunge tanu tena wa drasa la sabaa tupo pamoja mkuu
@JohnNaftal-hw7st
@JohnNaftal-hw7st 29 күн бұрын
uko sawa dk nchimbi,kuhusu uchaguzi
@user-ej5vc7zg7o
@user-ej5vc7zg7o 29 күн бұрын
Kauri ya nchimbi wabunge Madiwani wajiandae kisaikorojia nikweli.
@user-no2ut7yd3e
@user-no2ut7yd3e 29 күн бұрын
Tuwekeze lakini tuwe na angalizo Kwa vizazi vijavyo..
@vanessastafford5120
@vanessastafford5120 Ай бұрын
Ahsante sana
@user-ui4qg2kl4f
@user-ui4qg2kl4f Ай бұрын
Safi sana.
@teacherd
@teacherd Ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@user-bx9jo2ul4x
@user-bx9jo2ul4x Ай бұрын
Nimekupata vizuri kwa kusoma vichwa vya habari nikiwa mkoani songwe
@AmosiWarioba
@AmosiWarioba Ай бұрын
Tupo.pamoja.
@nelsonmagambo7964
@nelsonmagambo7964 Ай бұрын
Tunakupata vizuri ipasavyo!
@YusuphMpuma-wr3bo
@YusuphMpuma-wr3bo Ай бұрын
Kali 🎉🎉🎉
@BakariMokiwa
@BakariMokiwa Ай бұрын
6:15
@JennyTairo
@JennyTairo Ай бұрын
Kilaaa sikuu lazm nipitee hapa kusikilizaa maan hutupunjii saut nzr kbc
@SaudaNodrini
@SaudaNodrini Ай бұрын
Mchambuzi mahili sana anastahili miaka kumi kamzidi juma anauchambuz wa kigugumiz
@nicholausmwinuka-iy5os
@nicholausmwinuka-iy5os Ай бұрын
Asante mchambuzi wa magezeti
@nicholausmwinuka-iy5os
@nicholausmwinuka-iy5os Ай бұрын
Hii ni nzuri sana maana hata vijijini kama mtandao upo
@skkenyatv
@skkenyatv Ай бұрын
Napenda uchambuzi wa magazeti sana good job
@SYLIVERIOKILIMILA
@SYLIVERIOKILIMILA Ай бұрын
Makonda anafaaa sana kukemea upuuzi
@DeusAloyce
@DeusAloyce Ай бұрын
Waache Makonda apige kazi wanamtaka Nini?
@kalunzy88
@kalunzy88 Ай бұрын
🔥
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Hata yeye mwenyewe ni mwizi
@MartinYakobo-io1og
@MartinYakobo-io1og Ай бұрын
Wachambuzi wamekuwa walotoshaji sana
@stephensindazi2640
@stephensindazi2640 Ай бұрын
Samahani ndugu yangu msomaji tunaomba usiishie tu kwenye vichwa vya habari, soma japo mistali miwili ya kurasa ya gazeti kwani hata sisi wasikilizaji wako tunatumia data. Asubuhi NJEMA. Asante.
@fanuelsimkanga240
@fanuelsimkanga240 Ай бұрын
7:53 7:53 7:53 7:53 7:53
@fanuelsimkanga240
@fanuelsimkanga240 Ай бұрын
7:01 7:01 7:02 7:02
@EzraJapheti
@EzraJapheti Ай бұрын
Binadamu hawafanani
@sulemanmagesa2181
@sulemanmagesa2181 Ай бұрын
Unarudia rudia Maneno Sana.
@AnwaaryTv
@AnwaaryTv Ай бұрын
Mfano
@EliasMadata-oz2uj
@EliasMadata-oz2uj Ай бұрын
Elias azam inamuzidi simba mabao mangapi k