1. EPUKA MAKOSA HAYA KATIKA MAHUSIANO SEH 1 (PR DAVID MMBAGA)

  Рет қаралды 77,907

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

3 жыл бұрын

Пікірлер: 71
@Grace-go3cr
@Grace-go3cr Жыл бұрын
Mungu ni mwema siku sote
@mariamhelen7808
@mariamhelen7808 24 күн бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji unafanya nabarikiwa sana kwa mafundisho yko naa tubarikie kwa sote
@rizikimakupe
@rizikimakupe Жыл бұрын
Jina la bwana libarikiwe nafatilia mahubiri nikiwa Saudi arebia mungu akubariki mchungaji nilipo anzakufatilia mahubiri napatanguvu katika kaziyangu munafahamu saudaya ilivyo yesu ni mwena
@Grace-go3cr
@Grace-go3cr Жыл бұрын
Amen pastor
@giselekasigwa4885
@giselekasigwa4885 3 жыл бұрын
Asante sana baba kwa somo nili ni bariki sana
@VascoMwanisawa
@VascoMwanisawa 10 ай бұрын
Mchungaji mungu akubalik Sana kwa matundisho yako juu ya mahusiano, na ndy tatizo langu kubwa
@alimasinyakatabaolivier2027
@alimasinyakatabaolivier2027 3 жыл бұрын
Mchungaji Mungu aku bariki sana. Una gusa mifano hai, ambayo ina gusa maisha yetu ya kawaida. Nakufata toka BUKAVU/ DRCongo.
@user-sn2lr8bl2c
@user-sn2lr8bl2c 7 ай бұрын
Wangu amenifanyia madharau aliniambia niende KAZI baada naskia ameoa naskia roho yngu ikiniuma xna,na lilikua namtumia pesa kila mwezi.last nime mtumia 8k naskia ameoa kwa bona yangu nilikua nime kaa nae 10 yrs
@user-sn2lr8bl2c
@user-sn2lr8bl2c 7 ай бұрын
Mafundisho yameniguza xna
@nkungwiprimary6581
@nkungwiprimary6581 3 жыл бұрын
Amen somo nzuri sana limenibariki
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
Amen
@rehemacharles6159
@rehemacharles6159 3 жыл бұрын
Dah nabarikiwa sanaa Mchungaji watch from Oman
@gabrielmbuyi2630
@gabrielmbuyi2630 3 жыл бұрын
Amen
@germanuspaul1404
@germanuspaul1404 2 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na masomo yako Mungu akubariki.
@estherzaina5
@estherzaina5 3 жыл бұрын
Amen kubwa🙏🏾
@braghtonmsomba8420
@braghtonmsomba8420 11 ай бұрын
Amen amen
@Vel42
@Vel42 3 жыл бұрын
AMEN AMEN
@user-yq8tt2xo8r
@user-yq8tt2xo8r 6 ай бұрын
MUNGU akubariki
@magrethsimtenda926
@magrethsimtenda926 2 жыл бұрын
MUNGU Akubariki Mtumishi nimebarikiwa
@nedsonnelson2351
@nedsonnelson2351 Жыл бұрын
Mungu akubariki
@MkShucra-vi6bo
@MkShucra-vi6bo 10 ай бұрын
Barikiwa mchungaji
@MickyVictorNgulo-qf3ej
@MickyVictorNgulo-qf3ej 7 ай бұрын
Nasikia faraja ninaposikia huu wimbo
@rehemamaduhu5642
@rehemamaduhu5642 3 жыл бұрын
Dah, asante sana pastor nimebarikiwa
@deograsiassway3596
@deograsiassway3596 3 жыл бұрын
Barikiwa
@elizabeththoma8589
@elizabeththoma8589 Жыл бұрын
Barikiwaa mchungaji
@amanibasco2984
@amanibasco2984 3 жыл бұрын
Mungu akubariki kwaneno hili
@stelladavid8045
@stelladavid8045 3 жыл бұрын
Mtoto wa Baba wa Mbinguni naomba endelea Kubarikiwa
@user-dk3ss9ts7n
@user-dk3ss9ts7n 9 ай бұрын
SASA mchungaji Mimi awatak kukaa
@hildanjavike3257
@hildanjavike3257 3 жыл бұрын
Tunajifunza asantee Mtumishi
@grenamagumba8442
@grenamagumba8442 2 жыл бұрын
Amina🙏🙏🙏
@frankmichael3847
@frankmichael3847 3 жыл бұрын
Ubarikiwe nimejifunza kitu mchungaji
@maxlove2668
@maxlove2668 3 жыл бұрын
Amen,barikiwa pastor,nami nilikua kwa ndoa Kama kuna kosa unambiwa no explanation say yap or no,hamna zaidi ya hilo ukijaribu kujiexplain nikuvurutwa tu ;wanijua kweli.Tuliachana 10yrs ago jamen ningekufa kitambo though Nashkuru Mungu kwa yote.
@millicentayangokunting3728
@millicentayangokunting3728 3 жыл бұрын
Mimi pia eti unanijuwa kweli nitskugonga waah nilipitia majuto na sina mtoto naye heee nilisepa
@maxlove2668
@maxlove2668 3 жыл бұрын
@@millicentayangokunting3728 let’s take heart Mungu ako mipango mixuri kwetu
@mashaurikondoro6356
@mashaurikondoro6356 3 жыл бұрын
Mungu atusaidie
@annamsombe2316
@annamsombe2316 3 жыл бұрын
Nakuombea huduma yako , tunaomba kujua semina zako ratiba zikoje? Mhngu akubariki mtu wa Mungu usieangalia dhehebu bali kutanfaza Kweli ya Mungu
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
Amen
@dicksondanielkalua7582
@dicksondanielkalua7582 3 жыл бұрын
Barikiwa sana pastor
@alfrediusetlawe5390
@alfrediusetlawe5390 3 жыл бұрын
Amen.
@SuperYoungAdolph
@SuperYoungAdolph 2 жыл бұрын
Amen
@msafirimhehe
@msafirimhehe 3 жыл бұрын
Amina..
@chancekambale3498
@chancekambale3498 2 жыл бұрын
yaani pasta wewe unanifurahishaka
@glorykamenya2543
@glorykamenya2543 3 жыл бұрын
Kweli kabsa mawazo n hatar
@user-dk3ss9ts7n
@user-dk3ss9ts7n 9 ай бұрын
Mchungaji in naakil
@irenemakokha7615
@irenemakokha7615 3 жыл бұрын
Amina , kutoka Kenya
@linusmalikusoma6353
@linusmalikusoma6353 2 жыл бұрын
Nitafte
@annamsombe2316
@annamsombe2316 3 жыл бұрын
mch. nabarikiwa sana na huduma yako.. nakutafuta kwenye mitandao ya jamii tafadhali anaedahamu majina unayotumia,
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
Mtandao upi unatafuta?
@annamsombe2316
@annamsombe2316 3 жыл бұрын
@@MahubiriPrMmbaga nilishapata na asante kwa kunisaidia hitaji langu pia
@sikuzanibusanya6423
@sikuzanibusanya6423 3 жыл бұрын
AMEEEN KUBWA 👏👏👏🤲🤲🤲
@marryyohana5368
@marryyohana5368 2 жыл бұрын
👏👏
@aloycebujashi1143
@aloycebujashi1143 2 жыл бұрын
mchungaji ubarikiwe kwamahubiri yako
@lovelysalmah9135
@lovelysalmah9135 3 жыл бұрын
Barikiwa Sana kwa huduma mchungaji: katika yote pmoja name familiar yako
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
Amen
@victoriajames6190
@victoriajames6190 3 жыл бұрын
Ahsant MTUMISHI
@vanimam6442
@vanimam6442 3 жыл бұрын
Pastor nikuone vipi....???? Ahhhh nabarikiwa
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
Uko wapi
@vanimam6442
@vanimam6442 3 жыл бұрын
Niko Goma DRC
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 3 жыл бұрын
Nipo DODOMA
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@salimumussa5989
@salimumussa5989 3 жыл бұрын
Sf
@magokomagoko6358
@magokomagoko6358 3 жыл бұрын
P
@yasintamagavilo1996
@yasintamagavilo1996 3 жыл бұрын
Ameeen
@SaimonRichard-wv5yx
@SaimonRichard-wv5yx 15 күн бұрын
Mchungaji nahitaji kuongeza na wewe nawe a kupata namba yako
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 15 күн бұрын
WhatsApp +255 755 932 283
@eunicekimori6402
@eunicekimori6402 3 жыл бұрын
Tule makande wiki nzima sawa
@zuhuramike1399
@zuhuramike1399 3 жыл бұрын
Amen
@judithnjalambaya2450
@judithnjalambaya2450 3 жыл бұрын
Amen
2. EPUKA MAKOSA HAYA KATIKA MAHUSIANO SEH 2 (PR DAVID MMBAGA)
30:44
#1# AINA HII YA IMANI UKIWA NAYO UTAONA MENGI (Seh ya 1)
26:02
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 39 М.
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 73 МЛН
HUWEZI KUFANIKIWA KIMAISHA BILA  MATATU HAYA....
50:09
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 1 МЛН
FAHAMU VIASHIRIA VYA KUWEPO KWA HESHIMA KATIKA MAHUSIANO
16:41
Mwl. JOYCE KISHA
Рет қаралды 3 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: MAISHA NA NADHIRI
1:47:04
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 61 М.
Kutembea Katika Mwanzo Mpya (Day 1) - Pastor Joel Nanauka
1:14:19
Total Healing Ministries
Рет қаралды 12 М.
USHAURI MUHIMU SANA WA YESU KUHUSU MAOMBI. PR. DAVID MMBAGA
46:26
🔴#LIVE! MITIHANI MITATU ILI KUFIKIA MAFANIKIO YAKO II Mch. David A. Mmbaga
52:55
Dodoma Central SDA online TV
Рет қаралды 54 М.
KUKAMATA UCHUMI KATIKA MAISHA YETU!
35:11
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 38 М.
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН