Рет қаралды 14,156
karibu katika wimbo mwingine kutoka kwaya ya FURAHA S.D.A nyamekoma leo inakuletea wimbo mwingine mpya wimbo usemao SIKIA HADITHI YA AJABU wimbo huu unaeleza jinsi ambavyo Yesu kristo alivyoshuka kwa ajili ya kutukomboa sisi wanadamu asingekuwa Yesu tusingeokolewa kutoka dhambini barikiwa na wimbo huu amen.