HATUTAZEEKA BY FURAHA S.D.A CHOIR NYAMEKOMA {NYAMONGO} Hakika Mbinguni Hatutazeeka Karibu Ubarikiwe.

  Рет қаралды 14,459

FURAHA S.D.A CHOIR NYAMONGO.

FURAHA S.D.A CHOIR NYAMONGO.

6 ай бұрын

Mbingunu hatutazeeka karibu ubarikiwe na wimbo huu kutoka kwaya ya kanisa la Waadventsta Wasabato Nyamekoma Nyamongo.

Пікірлер: 81
@stephanyoloo9807
@stephanyoloo9807 Ай бұрын
Amina
@lucyelia6228
@lucyelia6228 6 ай бұрын
Mmeimba vizuri punguzeni madoido hayo maisharaishara.hasa wadada.hapo mnamuimbia Mungu sio maonyesho kwa wanadamu.
@nyamongo
@nyamongo 6 ай бұрын
Ujumbe umefika shkuran 🙏
@simonnyakunga6030
@simonnyakunga6030 3 ай бұрын
AMEN
@neemakabanza4106
@neemakabanza4106 3 ай бұрын
Amina Amina.
@nyamongo
@nyamongo 3 ай бұрын
Amen
@graceratemo3199
@graceratemo3199 3 ай бұрын
Heaven we will not be old, encouraging words, praise God,Barikiwa sana
@nyamongo
@nyamongo 3 ай бұрын
🙏🙏
@victoriaodongo1882
@victoriaodongo1882 6 ай бұрын
Waaoo,mumenibariki ajabu,ukweli mbinguni hatutazeeka.natamani kuufikia mji ule wa mbinguni. Mungu azidi kuinua huduma yenyu. Very beautiful voices 🤗
@nyamongo
@nyamongo 6 ай бұрын
Amen barikiwa 🙏
@FrankAmos-fi8hg
@FrankAmos-fi8hg 5 ай бұрын
Hongeren sana Mungu azidi kutubariki waimbaji na wasikilizaji
@nyamongo
@nyamongo 5 ай бұрын
🙏🙏
@user-jw8pw2pd9l
@user-jw8pw2pd9l 6 ай бұрын
Barikiwa sana mko vxr makelele ya wtu msikilize by kenyamanyori ada choir
@nyamongo
@nyamongo 5 ай бұрын
😂🙏🙏🙏🙏👋
@fadhilidzombe1104
@fadhilidzombe1104 6 ай бұрын
Barikiweni kwa kazi njema, Bwana aendelee kuwatumia zaidi kwa utukufu wa jina lake. Msirudi nyumaa
@nyamongo
@nyamongo 5 ай бұрын
Amen 🙏 barikiwa
@graceratemo3199
@graceratemo3199 3 ай бұрын
Amen Amen
@nyamongo
@nyamongo 3 ай бұрын
🙏
@happynesschristopher8493
@happynesschristopher8493 4 ай бұрын
Hakika mnatuheshimisha ,ninapata ladha ya kisabato ambayo kwasasa ni hadhim. Mungu awabariki kwa njozi hii nzuri. Furaha ni mfano kwa kwaya za Mara wanapaswa kukifunza kutoka kwenu.
@nyamongo
@nyamongo 4 ай бұрын
Amen barikiwa 🙏🙏
@adamkibe1459
@adamkibe1459 6 ай бұрын
My favorite song
@nyamongo
@nyamongo 6 ай бұрын
🙏🙏
@ImaniMkumbwa-jl6qi
@ImaniMkumbwa-jl6qi 6 ай бұрын
Kazi nzuri sanaa
@user-bx6ys1ph8v
@user-bx6ys1ph8v 5 ай бұрын
Merci Seigneur
@frolenciashinga6073
@frolenciashinga6073 6 ай бұрын
Wimbo mzuri Mungu awasimamie wapendwa
@nyamongo
@nyamongo 6 ай бұрын
Aminaaaaaaa mbarikiwe piah🙏
@NdagijimanaElisaphan
@NdagijimanaElisaphan Ай бұрын
Amen
@nyamongo
@nyamongo Ай бұрын
🙏
@Mwl_wazamumediapro.5979
@Mwl_wazamumediapro.5979 6 ай бұрын
Barikiwa sana furaha choir @Nyabihore secondary school
@nyamongo
@nyamongo 6 ай бұрын
Asanteeeeee sana mwl wa zamu barikiwa piah 🙏
@MoshiPaulo
@MoshiPaulo 2 ай бұрын
Mungu awabariki sana❤❤
@nyamongo
@nyamongo 2 ай бұрын
Amen
@user-rc5zd1zl6u
@user-rc5zd1zl6u 3 ай бұрын
Watu wa Mungu niwatie moyo hapana ushindi bila vikwazo wala majungu msiwasikilize hao nyie tumiken tu kwa ubora kazi yenu ni nzuri sana mnatusogeza sana karibu na Bwana nawapenda sana 😊😊😊😊😊
@nyamongo
@nyamongo 3 ай бұрын
Amen barikiwa Rafki
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 3 ай бұрын
Amina amina
@user-rc5zd1zl6u
@user-rc5zd1zl6u 3 ай бұрын
Barikiweni Sana furaha sda kiukweli ukifanya kazi ya Bwana ipasavyo kuzeeka hakupo
@nyamongo
@nyamongo 3 ай бұрын
Amen
@DorvilierNatacha-yc3pl
@DorvilierNatacha-yc3pl 5 ай бұрын
Hello the bunny Girls Gloire a Jesus Chrises Thanks You👼👼⛑️💎👒👑
@nyamongo
@nyamongo 5 ай бұрын
Amen
@ChristopherJoram-wt3xr
@ChristopherJoram-wt3xr 6 ай бұрын
Waoooow am feel blessed, i really appreciate may God bleess u all
@nyamongo
@nyamongo 5 ай бұрын
Be blessed too
@EneaMwaijulu-iq2ki
@EneaMwaijulu-iq2ki 6 ай бұрын
Hongereni sana Mungu awabariki
@nyamongo
@nyamongo 6 ай бұрын
amen
@lucykarii6860
@lucykarii6860 5 ай бұрын
Amina amina
@nyamongo
@nyamongo 5 ай бұрын
Barikiwa 🙏
@marykainyu4191
@marykainyu4191 5 ай бұрын
Glory to God tutakuwa na sura za kupendeza amini tu❤amen
@nyamongo
@nyamongo 5 ай бұрын
Amen 🙏
@lenardmayuki8990
@lenardmayuki8990 6 ай бұрын
😄😄 hiz coment za hapa bwana Tulia, tuliza mikono, tuliza ishara, tuliza kichwa, Kwa ufupi kazi ni nzuri watumishi mbarikiwe
@nyamongo
@nyamongo 6 ай бұрын
Amen barikiwa Mr. Lenard 🙏🙏
@dorisgesare7707
@dorisgesare7707 5 ай бұрын
Hallelujah 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@nyamongo
@nyamongo 5 ай бұрын
🙏
@ChristopherJoram-wt3xr
@ChristopherJoram-wt3xr 6 ай бұрын
Mmechaguwa kuimba vzr ishara zenu hachani sisi tubarikiwe na vyenye mnaimba inatosha
@Mtangazaji
@Mtangazaji 6 ай бұрын
Hizo ishara za msisitizo nazo zinashida!!!Du!!!Wahubiri wanapohubiri mimbarani mbona hawasimami kama gogo!!!
@nyamongo
@nyamongo 5 ай бұрын
Amen tunashukuru Kwa ushaur utafanyiwa Kaz 🙏🙏🙏
@zwadiijaxen
@zwadiijaxen 6 ай бұрын
A pretty song..
@nyamongo
@nyamongo 6 ай бұрын
Barikiwa 🙏
@sabathmnubi5033
@sabathmnubi5033 5 ай бұрын
Ukweli wakiacha maurembo ya ishara ni waimbaji wazuri
@nyamongo
@nyamongo 5 ай бұрын
Asanteeeeee Kwa ushaur utafanyiwa Kaz 🙏
@FebroniaMsilanga
@FebroniaMsilanga 6 ай бұрын
Mnaimna vizuri Ila acheni maishara tulieni Tu italeta utukufu kuimba Kwa maishara kunafanya wimbo unakuwa na vurugu fujo
@nyamongo
@nyamongo 6 ай бұрын
Asanteeeeee sanaaaaaaa Kwa ushaur utafanyiwa Kaz 🙏 barikiwa 🙏
@vicentmigodela190
@vicentmigodela190 5 ай бұрын
Imba wewe tukuone
@brightonjonas69
@brightonjonas69 5 ай бұрын
Masihara gani hapa jamani
@ikwabeinjilitv9758
@ikwabeinjilitv9758 5 ай бұрын
Mbarikwe kwa kweli hazeeki mtu
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 3 ай бұрын
Kwa iyo unadhani Mbinguni wanaimba wamesimama Kama maiti hiyo nishelia ya udhehebu sio Mbinguni,kule wanasujudu mikono Wana ipeleka kushoto kulia Wana inama,na maua yanafanya hivyo hivyo alafu yana toa arufu nzuri
@lucyelia6228
@lucyelia6228 6 ай бұрын
Na vichwa vitulieni.hamjatulia bado.
@nyamongo
@nyamongo 6 ай бұрын
🤗🙏🙏🙏
@user-ok6xt9xl9k
@user-ok6xt9xl9k 5 ай бұрын
РОССИЯ БЛАГОДАРИТ. БЛАГОСЛОВЕНИЙ.
@nyamongo
@nyamongo 5 ай бұрын
Thanks too 🙏
@user-rc5zd1zl6u
@user-rc5zd1zl6u 3 ай бұрын
Jamani kuimba kwa ishara au vitendo nipale unapoguswa zaidi yaani hua kunakuep msukumo Fulani nawapenda Sana!!❤
@nyamongo
@nyamongo 3 ай бұрын
Amen
@FebroniaMsilanga
@FebroniaMsilanga 6 ай бұрын
Tunataka kusikia wimbo si mikono yenu
@nyamongo
@nyamongo 6 ай бұрын
Asanteeeeee Kwa ushaur utafanyiwa Kaz 🙏🙏🙏 barikiwa 🙏🙏
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 3 ай бұрын
Huo ni udhehebu tu Mbinguni wanaimba Bwana hawasimami Kama maiti
@FebroniaMsilanga
@FebroniaMsilanga 6 ай бұрын
Mikono yenu itulie
@nyamongo
@nyamongo 6 ай бұрын
Asanteeeeee Kwa ushaur utafanyiwa Kaz🙏🙏🙏
@innocentsylvesterkitua826
@innocentsylvesterkitua826 6 ай бұрын
Mr,Febroniamsilanga Umeeleweka vyema Rafiki,Naamin hilo Litafanyiwa kazi Mpendwa,Hiyo mikono inayocheza Itatulia Asante kwa ushauri.
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 3 ай бұрын
Itulie wamekuwa maiti jamani Wacha wamwimbie Mungu wao
@BurtonSon
@BurtonSon 2 ай бұрын
Hello wapendwa..naomba mwenye number zenu au za mwalimu wa kwaya tafadhli anitumie kuna mualiko muhimu sna .barikiweni
@nyamongo
@nyamongo 2 ай бұрын
0747336918
MJI MKUU BY FURAHA CHOIR S.D.A FROM NYAMEKOMA NYAMONGO 2024
4:17
FURAHA S.D.A CHOIR NYAMONGO.
Рет қаралды 8 М.
NIWE BARAKA -  TUCASA SUA  ( OFFICIAL VIDEO 4K)
5:20
TUCASA SUA CHOIR
Рет қаралды 25 М.
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 84 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 53 МЛН
MBINGUNI HATUTAZEEKA - KIRUMBA ADVENTIST CHOIR
8:05
Kirumba Adventist Choir (KAC)
Рет қаралды 198 М.
AKIBA MBINGUNI   VOP Choir, Kasulu, Kigoma
5:03
Mtini media
Рет қаралды 4 М.
1. SIYO WOTE WAMWITAO  BWANA. BY FURAHA S.D.A CHOIR NYAMEKOMA {NYAMONGO}.
5:18
FURAHA S.D.A CHOIR NYAMONGO.
Рет қаралды 9 М.
Kurasini SDA Choir - SAUTI YANGU
5:30
Kurasini SDA Choir
Рет қаралды 160 М.
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 4,6 МЛН
wimbo:mawakili    unabii bubombi sda choir
7:05
BUBOMBI SDA CHOIR TANZANIA
Рет қаралды 11 М.
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 2,4 МЛН
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 84 МЛН