4. Mfumo wa umeme wa gari: Usomaji wa Michoro ya saketi 1/3

  Рет қаралды 7,762

Fundigari Academy

Fundigari Academy

Күн бұрын

Nini fundigari anapaswa kufahamu ili kufanikisha kazi za kurekekebisha hitilafu za umeme wa gari.
video hii inaanza kwa kuelezea elimu ya msingi ya nini yapaswa kujua kuhusu umeme wa gari kama vile usomaji wa michoro ya umeme , wapi michoro hii inapatikana na ni zipi changamoto kwa mafundi umeme wa gari inapokuja suala zima la kujua saketi za umeme wa gari zilivyoungwa.
Usisite kurekebisha nakuongeza kilichopungua katika video hii kwa kuacha comment kwa kile ulichojifunza.

Пікірлер: 18
@CaristusJesse
@CaristusJesse 7 күн бұрын
Mwamba umetisha sana nimekuelewa
@njigeautotronicsolutions4127
@njigeautotronicsolutions4127 2 жыл бұрын
Umeelezea vizuri sana Engineer Fundigari
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Asante
@Lujusa-cn9sg
@Lujusa-cn9sg 5 ай бұрын
Naomba niungwe kwenye group la whatasap wakuu nataka kujifunza
@IncSport
@IncSport 9 ай бұрын
Habari Mimi nimevutiwa sana na UFUNDI wa umeme wa magari. Naomba muongozo wako Sina ujuzi wowote wa UFUNDI wa magari. Ila nahitaji Kuwa fundi wa umeme wa magaro
@DavidDeus-pb7ip
@DavidDeus-pb7ip Жыл бұрын
Ahsanteee kaka mungu akupe maisha marefu😂😂😂😂
@ZukhailahMuammed-gu9og
@ZukhailahMuammed-gu9og 8 ай бұрын
Nataka ni joint
@nashonintaki1198
@nashonintaki1198 7 ай бұрын
kwa mtu anaehitaji kujifunza umeme wa mahali anaweza kutumia mda gani.
@noaccount431
@noaccount431 Жыл бұрын
Samahani naomba namba yako
@rack_autowork
@rack_autowork 2 жыл бұрын
Umeelezea katika njia nyepesi ilii Kila 1 apata kuelewa. Oscilloscope, hiii
@nashonintaki1198
@nashonintaki1198 Жыл бұрын
unapatikana wapi
@fundigari
@fundigari Жыл бұрын
ONLINE TU kwa sasa : whatsapp group and facebook page
@nashonintaki1198
@nashonintaki1198 7 ай бұрын
Dare salaam
@nashonintaki1198
@nashonintaki1198 7 ай бұрын
nipo Kiluvya Dar saam
@nayzerkitentya8622
@nayzerkitentya8622 Жыл бұрын
Je? Kusoma umeme wa magari unaitaji kusomea masomo ya science
@fundigari
@fundigari Жыл бұрын
ninaanza somo la umeme mwezi ujao. kwa fundigari unahitaji kujua hesabu nne tu kama ni umeme wa magari. subscribe kwa channel ujifunze nami
@nashonintaki1198
@nashonintaki1198 Жыл бұрын
kwamutu anaehitaji kusomea umeme wa Magali ,inaweza kuichukua mda Gani.
@fundigari
@fundigari Жыл бұрын
@@nashonintaki1198 kuna topic 9 tu unapaswa kuzielewa. kabla ya mwaka huu kuisha nitakuwa nimezielezea zote katika channell hii endele kufuatilia channel hii ya youtube na utakuwa umejifunza nadharia ya umeme wa gari, ili uwe mkufunzi mzuri itabidi utafute gari ili kile unachojifunza kwa channel hii ukakifanye kwa vitendo na hapo ndipo utakuwa umeelewa vizuri
3. Unganisha mfumo wa Alarm ya gari (Vehicle alarm system installation)
14:36
MAFUNDI WENGI WA MAGARI WANASHINDWA HAPA
12:34
Cheni tv Online
Рет қаралды 3,4 М.
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 10 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 50 МЛН
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 70 МЛН
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,1 МЛН
#USAFIRIWAKO: Umeme wa Magari.
29:25
ITV Tanzania
Рет қаралды 6 М.
Njia 4 Kubwa Unazoweza Kutumia Kumshawishi Mteja.
7:01
Joel Nanauka
Рет қаралды 101 М.
UCHAMBUZI WA MITIHANI YA UDEREVA
7:49
Diego film pro
Рет қаралды 23 М.
ZIJUE ALAMA ZA DASHBOARD YA GARI YAKO NA MATUMIZI YAKE
8:11
TMN Portal
Рет қаралды 52 М.
Magari yanayoongoza kwa kuharibika Injini DSM
8:35
Millard Ayo
Рет қаралды 63 М.
UCHAGUZI WA GARI KWA KIGEZO CHA CC
13:25
KYANDO MOTORS TV
Рет қаралды 38 М.
SHIDA YA SENSOR ZA MAGARI NI HII.
9:27
East Cars
Рет қаралды 3,8 М.
#Jagina ufundi wa kisasa wa magari
26:16
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,4 М.
Didn’t Know You Can CHANGE Tesla Car Color?! #asher #shorts
0:30
Asher Lara
Рет қаралды 3,2 МЛН
Самые быстрые авто СССР 💨
0:38
Авто.Бот
Рет қаралды 416 М.
POV: решил купить машину в 2024 году
0:11
AUTOSAMKA | Купить авто под ключ из Грузии
Рет қаралды 3,3 МЛН