Semina ya Neno La Mungu Kahama || Day 5 || Tarehe 12 Mei 2024
Пікірлер: 36
@blessedtumaini516
Mungu wangu na Baba yangu unirehemu na unisamehe kwa kufuata mkumbo naomba neema ya kusikia na kutii kwako na Roho Mtakatifu anisaidie sana nisifute mkumbo bali nikufuate Wewe katika jina la Yesu Kristo Amina. Mwalimu Christopher Mwakasege ubarikiwe sana na timu MANA na familia yako kukubali kutumiwa na Mungu kunifundisha kunitia moyo na neno la Mungu na faraja na mifano halisi. Neema daima Mtumishi wa Mungu aliye hai❤❤❤.
@samweliantoni770712 сағат бұрын
Mungu nirehem na junisamehe zambizangu zote naomba unisaidie unanijuwa bwana naomba niperohowako mtakatifu anisaidie kuzijuwanyakati zakutoa sadaka kwamaelekezo sahihi na kwamda sahihi rohowako mtakatifu anisaidie Amen dama ya yesu kiristo ikanitakase kilaeneola maishayangu nakunipa ulinzi wako waajabu sana nimeomba .kwaimani nakwakusikia nenolako kwamwalim mwakasege natim yake ya mana wabariki na kuwatunza wafanyike baraka kwa watuwako wote amen
@JemaMbwilo
Hili Neno ni langu kabisa kuanzia Leo sitafuata mkumbo wa maisha ya mtu mwingine Mungu Akubariki sana mtumishi wa Mungu barikiwa sana
@PhilipCharlesBukuku14 күн бұрын
Mwenyezi Mungu wabariki sana watumishi wako Christopher na Diana Mwakasege.
@smartmwakipesile3842
Hakika naiskia sauti ya Mungu ndani ya mtumishi waziwazi
@BlandinaMganga
Amen chakula kitamu . Mungu wangu tusaidie
@anniefrancis9923
Hizi ni SIRI za wakati..ASANTE Baba wa Mbinguni kwa kutupenda .
@neemauiso3098
Asante Mtumishi wa Mungu kwa Neno hili nzuri la kutuvusha mahali tulipokwama
@adventinahevaristo9558
Nipe kukusikia Mungu angu unachotaka nikifanye ....nisiige kushndwa kwa wengne
@AnitherFideri
Asanteee mtumishi kwa ajili ya somo nzur kuna mahali nimevuka
@yusuphluyungu8142
Amina Amina
@EvalineT60
1. Toba
@PhilipCharlesBukuku14 күн бұрын
To God be all the glory.🎉🎉🎉
@denisbongore3098
Ameeen
@dr.sarahbusongo
Amen
@davidpatriki8713
AMINA
@PhilipCharlesBukuku14 күн бұрын
❤❤❤
@VirginiaKatunzi
Asante Mwl.kwa masomo yanayonivusha. Mungu azidi
@RosemaryNdanshau-qz7ko
Amen mwalimu, Mjngu akuzidishie neema juu ya neema