Huyu mtumishi wa Mungu ana kitu kinaitwa madini kichwani mwake. Mungu aendelee kumbariki.
@estherjoseph190417 күн бұрын
I'm blessed by your teachings pastor. God bless you more
@bonyaerick293711 күн бұрын
Tunning from Kampala Uganda be blessed pastor
@JudyWagathoniWagathoni2 күн бұрын
Hili Neno nimeona Leo but yote yameninwa niyangu 😢yote nimeyapitia bila kujua nifanye Nini God Sasa, I need you now Jehovah shuka unokoe nahaya nayo pitia ifike mwisho 🙏🙏🙏
@KathambiAlice5 күн бұрын
Nimejifunza mengi kupitia hili neno,, Mungu akubariki sana pastor,na akuongoze zaindi
@annmukami11722 күн бұрын
Amen Amen Amen Neno nzuri ya baraka Asante mtumishi wa mungu
@user-dv7lw4rc5sКүн бұрын
Powerful 👏 nimejifunza mabo mob sana BE BLESSED
@joycekitundu2848Ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumish wa Mungu umenitia moyo sana
@milicenttangaleАй бұрын
Amen Amen 🙏 nabili be blessed hayo yote ni mm but kupitia kwako nimekuwa maisha yangu itachange amen and amen glory to God ❤
@raphaelboniphace847 Жыл бұрын
Nimekua muumini wa mafundisho yako kupitia "u tube" be blessed Pastor mafundisho yako yanafungua Sana uwelews wangu tangu nianze fuatilia. Nipo Dsm Kigamboni.
@lizthebrave47982 ай бұрын
You have been a blessing to me since yesterday 🇰🇪be highly blessed
@puritynkirote50973 ай бұрын
Asante sana Mungu kwa Neno lako bariki mchungaji wako na umzidizie nguvu ya kutuhubiria neno lako
@Mujungu-h8u12 күн бұрын
Amen Asante sana mutumisi wa mungu nakufata kutoka Uganda
@j3st660 Жыл бұрын
Amina mutumishi wa mungu ubarikiwe sana kwaimani napokea mafundisho yako yakakae ndani yangu makuniongoza sawa sawana mafundisho yako aminaa uwe na hekima atakulipa mungu unatufungua wengi nimepitia vingi ila wewe uwe mwalimu wa wana wa mungu waokoe nami moja wapo love is 🙌🙌👏
@NiwaeliSaro-cu6kx Жыл бұрын
Amen nimebarikiwa sana
@rosehappyedward1422 Жыл бұрын
⁰⁰⁰
@LILIANLUMONYA-t8c7 күн бұрын
Nakubaliana na neno ambala nalifuatilia barikiwa sana mtumishi
@NeemaDickson-em4hm11 ай бұрын
Ubarikiwe sana pastor George kwa neno lako takatifu hakika nimebarikiwa
@sarahmuthoni38774 ай бұрын
Nakutazama kutoka kenya nimebarikiwa sana mungu akujaze na neno ili uendee na kutubariki asanti
@MutoniKellia-dz6lw2 ай бұрын
i like Pastor Mukabwa, he spent more than an hour speaking the gospel, sijamsikia akiongeya mambo mengine ila neno la Mungu. Ubarikiwe Pastor,
@user-fy7jx5td8b3 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu❤
@stephensaro2657Күн бұрын
Ubarikiwe kwa Neno zuri
@Jessica-qz1qw4 ай бұрын
Uwa na barikiwa Sana na maubiri yako man of God may you be lifted Sana.
@soma1tv7502 жыл бұрын
Amina baba akika na barikiwa kwa mafundisho yako mungu akulinde baba
@Hamyztoham14 сағат бұрын
Mungu akubariki baba
@user-zx5li5mh5o Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wamungu kwa hili neno ...kiukweli umeninua kiroho
@JanethUrasa-qs5ot Жыл бұрын
nimebarikiwa sana na somo kwa neno hili najua nitatoka katika jina la Yesu Amen
@hawahamis6827 Жыл бұрын
Amen,nimekuwa mpya ubarikiwe sana
@user-ps2rv2bj2d4 ай бұрын
Kwanza kabsa pastor ubarikiwe Sana unatuelimisha Yani unatutoa uchafu ulioko ndan ya masikio yetu eeh mungu wangu uniongoze🙏
@GgGamas-b6g16 сағат бұрын
Asante sana Mtumaini kwa mafundisho Ninapata kitu kipya
@user-st3fi5en3r2 ай бұрын
Hallelujah Amen nimebarikiwa sana na kufunguka macho thank you lord🙏🏻🙏🏻
@rehemachangarawe90204 ай бұрын
barikiwa sana Mungu akutinze kwa ajiri ya ufalme wake
@bonifacemwambongo29993 ай бұрын
Mungu akubariki sana na hongera sana Kwa kupata neema hii ya kupokea chakula cha Bwana Kwa ajili ya kuwalisha watoto wa Yehova.
@stephanosospeter1709 Жыл бұрын
Ameen, barikiwa mtumishi
@marykissila1373 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yako MUNGU akubariki sana mtumishi
@reginamvungi98355 ай бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi wa mungu sikuwa najua haya yote
@williammahigi8893 ай бұрын
Asante mchungaji kwa hilo somo
@patrickmunisi7234Ай бұрын
Amen,Tumekuwa tukipata hasara mara nyingi kwa kutokujua sauti ya Mungu kwa usahihi
@laurakisasa31622 ай бұрын
I have been always loving Pastor George🔥❤️. He is a TRUE MAN OF GOD
@user-vq3xl2mq9x5 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi nimebarikiwa Sana na ujumbe huu wa saut ya Mungu. Napende Sana huduma yako
@naseeralbishi47263 ай бұрын
Asante sana kwa mafundisho yako aki nmejua mengi tu kupitia haya mafundisho aki....Amen🙏🙏🙏❤
@janengowi-lt9gu2 ай бұрын
Mungu wa mbinguni na akutunze Mtumiahi wa Mungu
@MikayaMwakiteka20 күн бұрын
Mungu aendelee kutumia mchungaj
@farajamkuchu845811 ай бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏Asante Yesu nimesikia sauti yako Leo nafuatia heshima na utajili wangu wangu ktk jina la Yesu kristo aliehai 🙏🙏🙏
@LillianNgao-ob1pl2 ай бұрын
Hallelujah mtumish wa Mungu kwa mafundisho yako mazuri
@saidathmohamed44022 жыл бұрын
Ni somo zuri sana nimejifunza mengi Mungu akubariki pastor
@liliannekesa70533 ай бұрын
That's true I make a covenant with God then now I have land then nimeasa kijenga
@user-hi8ps1yp6p3 ай бұрын
Barikiwa sana mchungaji kwa fundisho lako🙏🙏
@AdelinaBruno-vx5qr Жыл бұрын
Ameeen Ameen barikiwa mtumishi Mungu aendelee kujupandisha kiwango baadae yakiwango
@SHABANDAMAS-qh8wl Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu kwa kutulisha neno lenye uzima
@MikayaMwakiteka20 күн бұрын
Mungu aendelee kutumia mchungaj ubarikiwe sana na Mungu.
@gfydfdf8869 Жыл бұрын
Ameeni Roho mtakatafu asidi kukupaka mafuta, asante kwa neno la Mungu barikiwa mchungaji.
@carolynesimiyu3460 Жыл бұрын
Asante mwenyezi MUNGU kwa kutupa mafundisho mazuri kupitia kwa watumishi wako,,jina lako liinuliwe milele na milele tunaposikia neno lako aminaaaaa
@elizanyarusi61545 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu, Mungu azidi kukutumia.
@amanitmakese9966 Жыл бұрын
Thanks Jesus name pastor nimebarikiwa kwa somo zuri
@user-mp4fz7kk5t3 ай бұрын
Great teaching and foundation of the word! Thanks Man of God.🇰🇪
@marymaria9476 ай бұрын
Powerful i have being blessed🎉🎉watching from kenya😊
@ecasifa35582 ай бұрын
Ameen ubarikiwe
@NyethakBiel24 күн бұрын
Mungu akubariki sana
@IreneJeremia12 күн бұрын
Amina mtumis wa Mungu
@gladyskerubo60754 ай бұрын
Amen Amen, Mungu naitaji kusikia sauti yako🙏🏾🙏🏾
@jedielcomzho9687Ай бұрын
Na mungu hakuongezee neema mtumishi
@dorisnamonje94863 жыл бұрын
Barikiwa sana pastor na barikiwa sana na mafundisho yako
@user-ml5qo8hp8gАй бұрын
Amen nimebarikiwa sana kwa hili neno kuitegemea sauti ya mungu
@ChristopherIkwabe12 күн бұрын
Nimebalikiwa sana neno lako
@nenolako85222 жыл бұрын
Amee. GOD bless you Rev.
@GyanMjema-vo2jq7 ай бұрын
Mungu akutie nguvu mchungaji unanibaliki sana 🙏 kila neno lako linanihusu mm, nimejifunza sanaaa
@rosemarykasele12162 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi kwa Neno hili nzuri sana
@zalampy16804 ай бұрын
Mungu bariki huyu mchungaji wako mpee maisha marefu
@rosepeter89962 жыл бұрын
Jamani nimebarikiwa sana kwa hili neno leo.kwa kuitegemea sauti ya mungu.barikiwa sana mchungaji.🙏
@benjaminsifa6790 Жыл бұрын
Neno laajabu sana barikiwa
@josephngiisha6249 Жыл бұрын
Mtumie sadaka zako kwa maana kupanda madhebahu
@pudensianagregory41896 ай бұрын
Cvvv
@user-od2ty3po6o4 ай бұрын
Much. Mungu akuongezee mafunuo zaidi Barikiwa saaana na Bwana Yesu alikuita
@HappyRingo-fj6xh3 ай бұрын
Ameen ubarikiwe Sana mtumishi. Yaani umenifungua Sana sana
@user-qc4ey6oh3i2 ай бұрын
Nina bahati kubwa sana kumsikiliza huyu mtumishi wa Mungu . Mungu ambariki sana
@user-lf5wg5wd5m2 ай бұрын
Pure gospel imenijenga sana God bls
@PatrickTumpesАй бұрын
Mungu akubaliki San mtumishi Wa mungu hii neno imenigusa
@user-hg4py7el3i21 күн бұрын
Nabarikiwa sana mko upande gani
@ulderonyango4 ай бұрын
I came across this man of God and am getting blessed
@DomyBaganya-pm4shАй бұрын
Amen amen kabisa mchungaji ubarikiwe tena zaidi
@EvelyneBizimungu-kt3sl2 ай бұрын
Amen mungu wambinguni akupe mafuta mengine unanijaza kirohooooooooo❤❤❤
@user-ud4gz9ku9k Жыл бұрын
Ubarikiwe sanaa baba mchungaji Kwa neno jema asubuhi ya leo.🙏🙏
@ErickImwan Жыл бұрын
God bless the preachings
@user-vx5rb6rg1v Жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana,be blessed man of God🙏
@collinslyimo448 Жыл бұрын
Ameeen barikiwa sana mtumishi 🙏
@nuruabraham37698 ай бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri mtumishi wa Mungu🙏🙏
@SiliphanoWekesa-ch3jr17 күн бұрын
I'm really blessed.
@eliwazajosephat2099 Жыл бұрын
Your so blessed man of GOD
@johnlazarowanzage2356 Жыл бұрын
😂😊
@stellasanga78975 ай бұрын
Mungu anisaidie sana Kuna sauti nyingi sana duniaani ebu mungu atusaidie kama mabiti na vijana wakiume
@paulinewamboi9249 ай бұрын
God bless you man of God.
@user-qn2mi4iw5i8 ай бұрын
Amen, huu ujumbe ni wangu, Lord I will listen to your voice always.
@lenahfavour1328 Жыл бұрын
Powerful, may God enrich you servant of the most high God.
@JescaJemsi3 ай бұрын
Mungu nipe neema ya kuweza kusikia sauti yakooo bwana yesu
@FloranceMoraa8 ай бұрын
Am blessed by the word ,,,pst God bless yoiu
@user-dz4he8su4e2 ай бұрын
Aminaa barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
@user-my4ck7zp8i11 ай бұрын
Mungu akubariki sana umekuwa mwalimu wa wengi mimi ni mmoja wao
@user-cw4qk1tm3f4 ай бұрын
Thanks for the good work of God
@IreneSantu-fd7kb Жыл бұрын
Hakika Mungu ana vyombo vyake!nikihamia Mwanza nitakuwa mshirika wa JRC!
@user-ds1gj7jl3d3 ай бұрын
Mtumishi hongera sana Kwa somo LA sauti ya mungu
@janneysamweli31542 жыл бұрын
Mch ubarikiwe sana kwa nafundisho tunabarikiwa sana
@user-in8ev1sd9w11 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi.
@emmanuelmabulatv68293 жыл бұрын
Ubarikiwe pastor
@joysimventures22425 ай бұрын
Amen a very powerful message
@jerffetbet60942 ай бұрын
God bless you Man of God
@smartmwakipesile3842Ай бұрын
Hakika mtumishi Mungu akubariki sana ❤
@geoffreydawson5710 Жыл бұрын
🙏🙏 Barikiwa sana pastor, nimekufurahia sana jinsi Mungu anavyokutumia kwa mafundisho haya.
@aisaakamnde Жыл бұрын
Mungu akubariki mchungaji najifunza sana neno kupitia mafundisho yako umenijenga sana kiimani