No video

A - Z: ZAKAYO Afunguka FEMI Alivyompeleka Kwa MGANGA, KUROGWA na EX WAKE

  Рет қаралды 67,345

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

A - Z: ZAKAYO Afunguka FEMI Alivyompeleka Kwa MGANGA, KUROGWA na EX WAKE
Muigizaji Kupitia Tamthilia ya #JuaKali Zakayo amefunguka sababu za kuumwa kwa muda mrefu na kusema baada ya kutafuta suluhu kwenye mahospitali kwa muda mrefu bila kupata jawabu, rafiki yake ambaye pia ni muigizaji katika tamthili hiyo aitwaye FEMI alimshauri kwenda kwa mganga na akakubali ushauri huo
Sikiliza kujua nini kiliendelea baada ya kufika kwa mganga, Zakayo amefunguka yote kwenye interview hii aliyofanya na Mashamsham
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 306
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 5 ай бұрын
Jesus is the only Way to follow
@AnethKapingaInventoryControlle
@AnethKapingaInventoryControlle 5 ай бұрын
Zakayo bas mpereken na hawa akapone ana teseka jaman🙏🙏
@lilianurio9781
@lilianurio9781 5 ай бұрын
Mmh Asante Yesu kwa Neema ulonipa yakukutafuta
@shadiantakiyica6647
@shadiantakiyica6647 5 ай бұрын
Sasa yesu ndo Mungu
@shamiramsoke1365
@shamiramsoke1365 5 ай бұрын
@@shadiantakiyica6647YESU NDIE MUNGU WA MIUNGU
@user-yz5zn4tr6i
@user-yz5zn4tr6i 5 ай бұрын
Kweli kabisaaa dear YESU Ndio kila kitu❤❤❤❤❤YOU
@user-gd2dx3pm9y
@user-gd2dx3pm9y 4 ай бұрын
HUYO ALIKUWA NA TB ILIYOJIFICHA DALILI KUBWA YA TB NI KUTOKA JASHO JINGI KAMA MAJI NYAKATI ZA UCKU
@elizabethmuli5911
@elizabethmuli5911 4 ай бұрын
Yes YESU NI MUNGU KWA TAARIFA YAKO WEWE UNAYE ULIZA
@RukiaRashid-mb7qc
@RukiaRashid-mb7qc 5 ай бұрын
Asiye pitia mambo ya kiswahili awez kuku elewa Pole sana
@AzahOmary-kd2db
@AzahOmary-kd2db 5 ай бұрын
kweli?
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 5 ай бұрын
Kweli kabisa, mpaka upitie ndio utajua hujui.
@RukiaRashid-mb7qc
@RukiaRashid-mb7qc 5 ай бұрын
@@Thisisgrace979 kabisa my
@wanzitadeogratias497
@wanzitadeogratias497 5 ай бұрын
Kweli kabisa wanaongea tu hajawafika watatafuta kila njia
@EmJesho
@EmJesho 5 ай бұрын
Kabisa japo cjawai kwenda mungu anisimamie.kwasababu watu wangu wa karibu wanaenda sana
@3malis
@3malis 5 ай бұрын
Kijana friji yake mbovuu 😂😂😂😂
@africantv172
@africantv172 5 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@aishatest4451
@aishatest4451 5 ай бұрын
🙆🙆🙆🙆
@user-pw2sw1sk1b
@user-pw2sw1sk1b 5 ай бұрын
Kateseka acha ateme.nyongo itoke
@ammydaniel8947
@ammydaniel8947 5 ай бұрын
Compressa imekufa kabisa 😆
@irenematari6218
@irenematari6218 5 ай бұрын
Ila zakayo ndiyo uwataje watu kwa majina yao😂😂
@uwasekanimba4115
@uwasekanimba4115 5 ай бұрын
Ayomaji nimoja symptom ya TB
@bahatirobert1009
@bahatirobert1009 5 ай бұрын
Kiufupi kijana hauna Siri kabisa,siku nyingine hutopata wa kukusaidia
@allahisone6386
@allahisone6386 5 ай бұрын
NIKWELIIIII KBSAAAAAA 💯%🤝
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 5 ай бұрын
True anaongea sana jaman 😂😂😂
@LeilaShah-ib4td
@LeilaShah-ib4td 5 ай бұрын
Duuh
@fitinajustine7801
@fitinajustine7801 5 ай бұрын
Kweli hana siri ivi femi ataanza kuandamwa kwa kweli
@rehemamgeni203
@rehemamgeni203 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@dayana5513story
@dayana5513story 5 ай бұрын
Watu wanatafuta number ya mganga 😅😅tz people 🙌🙌🙌vijana fanyeni kaz acheni umariooo
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu 5 ай бұрын
Pole sana zakayo ndo maana nilikuwa sikuon 😭 jua kali pole sana mungu akusimamie sanaa
@matronmkenda3510
@matronmkenda3510 4 ай бұрын
Kwani huyu ni wa jua kali
@veronicadeus9345
@veronicadeus9345 2 ай бұрын
Ndio ameingiza kule kijijini kaka ake Eva ​@@matronmkenda3510
@josephinemeela9098
@josephinemeela9098 5 ай бұрын
Dalili kubwa ya TB ni maji mengi kutoka mwilini, jasho kali haswa usiku
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr 5 ай бұрын
Dogo yupo vizuri ktk uigizaji. Mungu ampe mafanikio mema🙏🙏
@aminaabdalla9949
@aminaabdalla9949 4 ай бұрын
Anaweza sanatu ulemavu ule
@foodbasiccourt2028
@foodbasiccourt2028 5 ай бұрын
Ungemkabizi mungu maisha akurekebishia matatizo
@annievibes8794
@annievibes8794 5 ай бұрын
Mhh ushawahi kurogwa wewe😅
@RegnaRegna4
@RegnaRegna4 5 ай бұрын
Kwaiy unamaanish mung hawez kutatua tatiz lako ila mganga ​ ach ujing wew@@annievibes8794
@wanzitadeogratias497
@wanzitadeogratias497 5 ай бұрын
​@@annievibes87944:03
@asdfhdv9230
@asdfhdv9230 5 ай бұрын
Afazali ungemtaj aliye kuroga na siyo femi ivi watu watamuona femi anapenda shirki
@Hajer-be2kh
@Hajer-be2kh 5 ай бұрын
Kanikera sn mbwa huyu😢
@gladnessshola2718
@gladnessshola2718 5 ай бұрын
Yani ukiumwa ukaenda hospital, ukakuta huna ugonjwa wowote, ujue kuna kitu hakipo sawa kwenye ulimwengu wa roho, life is spiritual
@ashuraramadhan7279
@ashuraramadhan7279 5 ай бұрын
Huyu ni mimi kabisa nateseka sana😭
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 5 ай бұрын
Zakayo.......pole kwa mlima uliopitia
@monicamwanjisi693
@monicamwanjisi693 4 ай бұрын
Amemtaja femi kwa nia nzuri kwa kuwa alimsaidia
@Dareaziz
@Dareaziz 2 ай бұрын
Pole buana ,hao ndo bnadamu
@MariaNdagile-hx5pr
@MariaNdagile-hx5pr 4 ай бұрын
Hapo umenena kaka yangu Mungu akupe mwisho mwema.
@Humanity21216
@Humanity21216 5 ай бұрын
Ambao tushamjua huyo mwanamke tujikusanye apa😂😁
@candiesalm8995
@candiesalm8995 5 ай бұрын
Sas mtatusanua na sie au mpk tuwabembeleze😂😂
@Humanity21216
@Humanity21216 5 ай бұрын
@@candiesalm8995 we huogopi kulogwa 😂😂
@candiesalm8995
@candiesalm8995 5 ай бұрын
@@Humanity21216 huu mwezi mtukufu uchawi haufanyi kazi😁😁
@Humanity21216
@Humanity21216 5 ай бұрын
@@candiesalm8995 shetani kafungiwa 😁
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 5 ай бұрын
Mtutajie na sisi achen roho mbaya
@user-jg3zt9ym8m
@user-jg3zt9ym8m 4 ай бұрын
umezunguka sana ila hiyo ni TB ilikuwa inakusumbua coz jasho jingi n dalili tosha na si lazima uwe na dalili zingine na hata vipimo baadhi haviwezi kuonesha had pale itakapokomaa, na kama ulipotumia doz ukawa sawa, basi umrudie mungu na utubu kwa dhambi hiyo, keep praying brother ..
@CelinaPeress
@CelinaPeress 3 ай бұрын
Hivyo kwa hali hyo angeanza dawa moja kwa moja bila vipimo au angefanyaje ili kupona?
@JOHNJOHN-pu7wb
@JOHNJOHN-pu7wb 5 ай бұрын
Sijaelewa. Karogwa ila alipoanza Dawa za TB akapata nafuu vipimo vikasema maji yameisha na akaendelea na Dawa paka akamaliza na kupona. Sijaelewa hapo ni Dawa za TB simemponesha au uko kwa mganga
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 5 ай бұрын
BAADAE WAKAKWAMBIA USITAJE JINA LA FEMI KWENYE STORI YAKO.,,ILIKUWA KAMA UNAMUANIKA YEYE,,UMEKOSEA SANA JIFUNZE KUMUHIFADHI MTU
@saidisercy1707
@saidisercy1707 5 ай бұрын
Lakini unaweza tengeza movie nyngine safi sanaaa😂😂🫵🫵
@HeleneruthSango
@HeleneruthSango 5 ай бұрын
Pole sana kaka Mungu akusaidiye
@LacknessChaluza-wk9xu
@LacknessChaluza-wk9xu 4 ай бұрын
Aiseeeee pole sana kwakwel wanadam hawa jamn Mungu asimame tu kwakweli
@jacklinakinabo6479
@jacklinakinabo6479 4 ай бұрын
Compressor ya kijana haifanyi kazi vizur😂😂😂😂😂😂
@user-lx8nl8hh3f
@user-lx8nl8hh3f 4 ай бұрын
Bora ucngemtaja Femi
@AnnerErneo-vc9yz
@AnnerErneo-vc9yz 5 ай бұрын
Mmnh we kaka huna koo kabisa afu uache umalaya mnawachezea sana wadada acha wawanyooshe
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 5 ай бұрын
Kama Ni Kweli Basi Umejibloku Siku Ukiwa Hoi Sijui Kama Utapata Mtu Wa Kwenda Nawe Kwa Mganga Mana Kuna Yesu Na Mtume Muhamadi Sasa Ukienda Kwa mganga Weka Sili
@malemawatson1130
@malemawatson1130 5 ай бұрын
Daaaah sio poaaa
@zuhurayusuph4826
@zuhurayusuph4826 5 ай бұрын
Naomba location ya bagamoyo maana kaka yangu anateseka sana
@kassimahmed1831
@kassimahmed1831 5 ай бұрын
Ongera Sana Kwa ukweli Vijana muache kupenda mteremko
@salama1113
@salama1113 5 ай бұрын
Unatowa siri za kambi😂😂😂😂😂
@Dareaziz
@Dareaziz 2 ай бұрын
Muache Kaka wa watu usiendelee kumroga
@Tec_martin
@Tec_martin 5 ай бұрын
Friji frijiiiiiiiiiiiiiiiiiii ni bovu mnoooooooo.... Kumbe Femi mshirikina
@lovegirls3713
@lovegirls3713 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@Tec_martin
@Tec_martin 4 ай бұрын
@@lovegirls3713 Heeheheheh Doooooh
@elizabethmuli5911
@elizabethmuli5911 4 ай бұрын
Jamami mpaka waleo kizasi hii,kuna watu wanaeda kwa waganga madharau ya sheitani,kakangu kama ulifanyiwa hizo chale uligizwa kwa ulimwegu wa pili,BUT YESU YUPO YUAODOA HIZI VITU VYOTE HATA KAMA WEWE NI MUSLIM YESU NDIO MAMBO YOTE👏👏👏👏👏
@beinafuu6219
@beinafuu6219 5 ай бұрын
Asante yesu mimi kua na.imani nawe.sio hao.waminio.shetan na waganga.
@JamaliZidadu-jd1nl
@JamaliZidadu-jd1nl 5 ай бұрын
Hujaumwa wew omba uyo yesuu uendelee kua mzm ivo ivo usipate homaa saw😢 amn anae amini ila katika harakat za kujitibia kuutafuta uhai ipo siku utakuja kutuelezea apa na wew
@BigZhumbe
@BigZhumbe 5 ай бұрын
Uganga sio ushetani... mjifunze tofauti ya Mganga na Mchawi
@user-kc1br9zx4o
@user-kc1br9zx4o 5 ай бұрын
Hayajakukuta
@fatumakiwera7145
@fatumakiwera7145 5 ай бұрын
Hayajakukuta mwaya
@jacquilinemsule9462
@jacquilinemsule9462 5 ай бұрын
Tema mate chini.....hayajakukuta makubwa.....bado unasafari ndefu sana katika maisha.....wachungaji wenyewe yanawakuta makubwa na wanatafuta msaada upande wa pili..😢
@JudithNyabori
@JudithNyabori 3 ай бұрын
Kwann kwa femi hamjazima maiki alafu huyo mchawi mmezima
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d 4 ай бұрын
Tatizo wanaume ss hv mnapenda wanawake wenye pesa hiyo ndo shida Bora mrogwe mtu anakusaidia huumiya pesa zk na mwanamke mwenye pesa anaweza kuenda kukuroga popote Kwa garama yyote si anapesa
@vagashappnecy4850
@vagashappnecy4850 5 ай бұрын
Friji la kijana haligandishi😂😂😂😂
@hamidahamza3754
@hamidahamza3754 5 ай бұрын
Ila wifiii sio mcha Mungu kumbe uwiii ndaghaaaaaaaaa mamaaaaaaaa.... idi shemeji UNAE😂😂😂😂
@user-od9ud8il3n
@user-od9ud8il3n 5 ай бұрын
Friji yake haigandishi tobaaaaa😂😂😂
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 5 ай бұрын
Dida kuzima Mike ttakupeleka Mahakamani
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 5 ай бұрын
Ilikuaje sasa umtaje Femi wajina wangu😢😢😢😢😢😢
@RoselineNyanda
@RoselineNyanda 5 ай бұрын
Et
@PascalDk-pz5sg
@PascalDk-pz5sg 4 ай бұрын
Kijana huna siri wewe !! Ungechambua vitu vinavyostaili kusema Hekima ni muhimu sana
@aishanoor6819
@aishanoor6819 4 ай бұрын
Izo chale utakuwa kujitiia badae umepona lkn baado una vita usijisahau muombe Mungu
@CelinaPeress
@CelinaPeress 3 ай бұрын
Bwanaa huyu hajarogwa wala nn, mwenyewe si amesema kama amepona kwenye dawa za TB. Kuhusu huyo mama kumuona mdada kuwa ndio kamloga ni figisu tu labda kwa sababu alikuwa ni ex wake hvyo aliona tu vichembechembe vyake ye akapachika et ndio mloz, kama angekuwa amelogwa asingepona kwa dawa za hospital
@shakiralasway8821
@shakiralasway8821 3 ай бұрын
Its true,uelewa mdogo usikute hajarogwa figisu za waganga tu unaoneshwa MTU sura kumbe viin macho ndomaana ramli inakatazwa kuanzia dini mpaka serikali,kaponea dawa za hsptl huyu alikuwa anaumwa tu kawaida.
@UpendoKimesu
@UpendoKimesu 3 ай бұрын
Duuuu uh poles aisee
@mankinemansulikine-2220
@mankinemansulikine-2220 5 ай бұрын
Kwann mmezima maiki mnatabia mbaya na ss tunataka kusikia
@CelinaPeress
@CelinaPeress 3 ай бұрын
😂😂😂😂 umbeya utakuponza kijana
@judymarcus6445
@judymarcus6445 5 ай бұрын
jamani idrisa naomba namba hiyoo tunakufa hukuuj daah
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 5 ай бұрын
Mwanaume huna kifua kabisa kwann umtaje mtu tena kwenye radio ?! Hovyoo kabisa 😢😢😢 ndo mana watu hawataki kusaidia wengine kwasababu ya vijana wa hovyo kama ww 😢😢
@sitybby0069
@sitybby0069 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@hamidahamza3754
@hamidahamza3754 5 ай бұрын
Uchawi wanunuliwa kwaajiki ya kukulinda???😮😮😮😮...SHIRKI BANA....ALLAHU AKBAR.....IDRISSA SWALI SANAA ACHA KUJIINGIZA KWENYE MAMBO YA KISHIRIKINA BABAAA...ALLAH S.W NDIO KIBOKO YA USHIRIKINA NA HAUNUNUI KWA HATA BUKU BALI SEALA TANO NA DUAA!!!! ALLA S.W AKUTOE KWENYE HIZO SHIRKI MSOGO WANGU NA MAMBO YANAYOENDEA HAYO.ALLAH S.W AKUEPUSHIA NA YOTE MPAKA YASIYOJULIKANA INSHALLAH..
@GloriaMillinga
@GloriaMillinga 5 ай бұрын
haukurogwa ulikua na TB iliyojificha,, sema ushirikina umekujaa
@alphamenson3784
@alphamenson3784 5 ай бұрын
Dalili moja ilikuwa haitoshi kuonyesha kama ana TB na ingekuwa latent TB isengefanya hivyo unless kama alikuwa na dalili nyingine ambazo hajazitaja
@Heisbilluh
@Heisbilluh 5 ай бұрын
Uzur kapona
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 5 ай бұрын
Jaman mimi nipo nasitofahamu
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 5 ай бұрын
Sijakuelewa kabisa idrisa
@stevengeorgetibenda1647
@stevengeorgetibenda1647 4 ай бұрын
End of the story alikuwa anaumwa TB
@bwisofredrick8047
@bwisofredrick8047 5 ай бұрын
Hii ulitakiwa kutulia nayo maana bado unajitafuta ungekuja kusimulia ukiwa mkubwa😅😅😅 Ila bas hayanihusu😂
@SamweliMwalyungu-du5ln
@SamweliMwalyungu-du5ln 5 ай бұрын
Duuh pole san
@chekakidogo8531
@chekakidogo8531 5 ай бұрын
Muongo huyo, anamfanyia mganga promo apate wateja😂
@user-pw2sw1sk1b
@user-pw2sw1sk1b 5 ай бұрын
Hayajakukuta
@user-io5lm8vm6m
@user-io5lm8vm6m 5 ай бұрын
Siku kichwa kikipat moto atatoa na sir za Lamata ajiandae t director
@storytownTv
@storytownTv 5 ай бұрын
C ungetupa na namba za uyo mtaalamu maana hata cc wengine hatuelew kabix nahis kunamtu ananichezea..😢
@rachelbathromew6223
@rachelbathromew6223 5 ай бұрын
Asa ndio wamuweke femi na tunguli hapo kwenye kichwa cha Habari 😢
@michaelkikusa2646
@michaelkikusa2646 4 ай бұрын
Hapo kwenye kumtaja Femi amezingua 😂😂😂😂
@aziza9093
@aziza9093 5 ай бұрын
Kuwa karabu na mungu utafunikiwa
@monirangerera7155
@monirangerera7155 5 ай бұрын
Ndo huyu aliyekuwa anaumwa akatwambia TikTok mpaka sauti imepotea mpaka kawa cheusi
@ramlaprosper7573
@ramlaprosper7573 4 ай бұрын
Jmn isije kuwa Maria nta umia sana sio mambo yk😊
@Adeen.1
@Adeen.1 5 ай бұрын
Nimemsikiliza kijana mtanikumbuka HII NI MOVIE inakuja pin my comment 😅
@user-bi7wf4nz2d
@user-bi7wf4nz2d 5 ай бұрын
Yaani wakwanza like hata 10 tu
@shamilamgata7754
@shamilamgata7754 5 ай бұрын
Jaman hata kwenye hii interview ya kuhuzunisha unataka like hebu jishikilie bàsi
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 5 ай бұрын
Basi nishamjua jamani niliwaona polisi baasiii heee dunia hiii kumbe niyeye
@scenic6
@scenic6 4 ай бұрын
Nan uyo tupee code jamn
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 5 ай бұрын
Naomben namba ya uyo mganga
@shamsaaman2855
@shamsaaman2855 4 ай бұрын
Kunakastory kamefichwa
@neemakaisy333
@neemakaisy333 5 ай бұрын
Mtajeni jamani
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d 4 ай бұрын
Usinge toa Siri zote ht huyo mtu mbaya anaweza kukuzuru Tena na kumfatilia ht huyo alo kupeleka karizika kumtaja hpo ktk mahojiano na mwengine akijua tiba yko ulo fanyiwa anaweza kuhangaika Kwa njia nyengine utampa mwanya usinge ongea yote
@habibamura5255
@habibamura5255 5 ай бұрын
Dunia pole Sana 🤦🤦
@user-gv1op1oh2c
@user-gv1op1oh2c 4 ай бұрын
Juwa kali mnarogana sana ndio mana mabadiliko kila siku
@mathewkasonta2208
@mathewkasonta2208 5 ай бұрын
Bongo Movie....
@issataslima9846
@issataslima9846 5 ай бұрын
Hii inaonyesha kabisa udhaifu wa hospital zetu hamna vifaa tiba na madaktari hamna unaweza aje kumtibu mtu bila ya kuwa unauhakika anaumwa nini.. Ccm oyee
@neemakaisy333
@neemakaisy333 5 ай бұрын
Aombe apewe dawa za kuzuia TB
@susankahindi244
@susankahindi244 5 ай бұрын
Number ya munga please
@user-eq3oo1md2l
@user-eq3oo1md2l 5 ай бұрын
Naamini ayo mambo yapo maana mimi pia nimepitia na nilipitia wakati mgumu sna😊
@Salhiya96
@Salhiya96 5 ай бұрын
Sbr wakufanyie tn m.mme hun kooo loooogh w.umme wengn mmmgh 😢😢😢😢😢
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 5 ай бұрын
Compressor bovu
@user-ok7zb9tn7q
@user-ok7zb9tn7q 5 ай бұрын
Jamn fem naomba humusaidie n hawa anateseka saan jmn. Kam ni majarib. Sas bs , kam zakayo amepona ata Hawa atapona jmn
@marcynhumbi3534
@marcynhumbi3534 5 ай бұрын
Kwani kwenda kwa mganga kuna shida gani?kwa maana mmemsakama kijana,wakati na nyie wenyewe mnaendaga
@LucyPaul-xc2pe
@LucyPaul-xc2pe 5 ай бұрын
Mitihani ya dunia nkuonaga mnazimmoja hospital
@rehemamgeni203
@rehemamgeni203 5 ай бұрын
Kijana huna siri kabisa😂😂😂
@mwantumkombo3014
@mwantumkombo3014 5 ай бұрын
Vizuri, ila usingemtaja jina aliyekupeleka..
@Joycekwolola7
@Joycekwolola7 4 ай бұрын
Wanganga kuna mda niwachonganishi Kuna wakati
@matronmkenda3510
@matronmkenda3510 4 ай бұрын
Kwani kulikua na ulazima wa kumtaja aliekusaidia
@sund2553
@sund2553 5 ай бұрын
Sio gig kweli😅😅😅😅
@gonsalvamswaga6471
@gonsalvamswaga6471 5 ай бұрын
Mimi nimemsikia aliyemtaja huyo mtu maarufu, haaaaaaaaaa
@prosperaugustino5292
@prosperaugustino5292 5 ай бұрын
Hana Siri hata kidogo
@user-im6dl1ie9i
@user-im6dl1ie9i 5 ай бұрын
Dida upo vzr. Vjana tafuteni pesa mtakwisha kwa dezo
@elizabethmuli5911
@elizabethmuli5911 4 ай бұрын
Waganga wachoganishi Hakuna kitu unajua wana tumiaga sura za watu kuroga😮😮😮😮
@RahmaUssi-ef5lw
@RahmaUssi-ef5lw 5 ай бұрын
Hamisa huyo😅
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo 5 ай бұрын
Kama sio gigi masha
@husnathabiti4114
@husnathabiti4114 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@shamilamgata7754
@shamilamgata7754 5 ай бұрын
Gigi hapana hawezi kuwa yeye
@spazhotel4764
@spazhotel4764 5 ай бұрын
Kama siyo nyamaka yule alokua anafanya naye tiktok sijui
@AshuraKigoma-vf7wb
@AshuraKigoma-vf7wb 4 ай бұрын
Hutapa wa kukusaidia kk s7b. Huna qaba
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 5 ай бұрын
Kulikuwa hakuna ulazima wa kumtaja mtu aliyekusaidia unakosea
@kiya0910
@kiya0910 3 ай бұрын
Sasa ukitangaza Kwa mitandaoni suutarongwa tena ww
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 3,6 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 65 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 199 МЛН
KIMEUMANA: DOTTO MAGARI NA MZAZI MWENZA NUSU WAZICHAPE STUDIO
27:31
Wasafi Media
Рет қаралды 212 М.
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 3,6 МЛН