MCH :HANANJA AMTOLEA UVIVU NABII KIBOKO YA WACHAWI SIRI ZA KUTOA MAPEPO

  Рет қаралды 41,986

Bongo Touch

Bongo Touch

7 күн бұрын

Our mission is to bring people together,entertain and educate people that's why we create content that does exactly that

Пікірлер: 181
@eliaskabila1106
@eliaskabila1106 Күн бұрын
Mchungaji Hananja unasema kweli kabisa Mungu akubariki sana uishi maisha marefu uendelee kutufunza
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 2 күн бұрын
Ninachojua nikukupenda tu mchungaji wangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@fanuelkatoto8913
@fanuelkatoto8913 2 күн бұрын
Mungu akuzidishie hekima mtumishi ili tupate mafundisho yako yanayotujenga kiimani. 🙏🏽
@frankdickson1480
@frankdickson1480 Күн бұрын
Pastor Unasema kweli Mungu akutunze
@ramadhaninyangasa7275
@ramadhaninyangasa7275 Күн бұрын
Maashaallah Maashaallah Maashaallah ❤❤❤ Allah akufanyie wepesi mzee wangu I'm musilim
@maalimhamad1297
@maalimhamad1297 18 сағат бұрын
Nawewe kafiri kama yeye
@israeluronu9958
@israeluronu9958 15 сағат бұрын
​@@maalimhamad1297ww mwenyewe kafiri!! Tafuta hela punguza makasiriko! Kwanii asimsifie kama kaongea point. Acha udini Mungu ni mmoja
@user-ec4br4pd3o
@user-ec4br4pd3o 11 сағат бұрын
Acha wivu​@@maalimhamad1297
@brightonvictorkimsehyeon7892
@brightonvictorkimsehyeon7892 5 сағат бұрын
​@@maalimhamad1297acha makasiriko mbwa ww rubbish
@zengomikomangwa9264
@zengomikomangwa9264 4 күн бұрын
Nakuelewa sana Mch Hananja. Asiekuelewa hasikilizi vizuri. Hongera kwa kuwa muwazi.
@lerakalaita6909
@lerakalaita6909 8 сағат бұрын
Kweli Mch.Hananja naomba nikupe maua zako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 13 сағат бұрын
Wallah baba nakukubali wewe ni msema kweli mwenye kuchukia na achukie mtumishi wa mungu itakuwaje ajichubue ao ndio welewale
@charlesyotham7977
@charlesyotham7977 Күн бұрын
Huyu Baba anaongea kweli tupu mkijuwa kweli nayo kweli itakuweka huru
@shiracque8524
@shiracque8524 2 күн бұрын
Ubarikiwe mwalimu BABA mchungaji
@user-hb8iv7jz9c
@user-hb8iv7jz9c 2 күн бұрын
Mungu akupe maisha marefu hananja.
@worth_monkey
@worth_monkey Күн бұрын
mungu akuweke mchungaji umeongea fact sana asee wabongoo wanaburuzwaaa
@EVANSOUMA-k5h
@EVANSOUMA-k5h 13 сағат бұрын
Mungu akuzidishie roho mtakatifu Baba mchungaji
@camillasiwa6506
@camillasiwa6506 Күн бұрын
big up mchungaji...tuko pamoja sanaaaaa....waambie hao wajinga wanaoliwa sadaka zao
@godfreymhina6236
@godfreymhina6236 2 күн бұрын
Mchg kwakweli BWANA akubaliki sana amekuweka kwa kusudi huo ndio ukweli, Mwenye kuelewa ataelewa lakini huo unaoeleza ndio ukweli kwenye kizazi cha ukaidi.
@user-zp5qj3ym5x
@user-zp5qj3ym5x 10 сағат бұрын
Mm ni muislamu ila uyu mzee namuelewa sana na pia napenda kumfuatilia kwenye vipindi vyake Mungu akueke mchunguji Ananja
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 13 сағат бұрын
Nabaki Roma Mungu anijalie kama Ibrahim
@MichaelDominick-xx1rz
@MichaelDominick-xx1rz Күн бұрын
Nmekuelewa Sanaa mchungaji
@Yassinseleman
@Yassinseleman 3 күн бұрын
Nilikua na role model wa kisiasa wawili tz lowassa na maalim seiph sasa na baba hananja ni role model wangu kwenye kusema kweli nakupenda baba
@wilfredjohn4829
@wilfredjohn4829 Күн бұрын
Amen nimekuelewa Baba yangu Mungu akubariki 😂😂😂😂 dawa ya deni ni kulipa jaman kwakweli umeongea ukweli kabisa watumishi wa Mungu huubiri Neno la Mungu yohana 8:32 Mtaifahamu kweli na hiyo kweli itawaweka huru.....
@injilinjeyakutazakanisa
@injilinjeyakutazakanisa 3 күн бұрын
Barikiwa, nakuelewa Mchungaji. Nadhani Elimu pia azingatiwe, isiwe wito tu! nadhani tatizo lingine ni hili. Serekali izingatie haya
@mu_tv56
@mu_tv56 4 күн бұрын
Ningekua mkristo, kanisa la huyu mzee ndio ningelitumia kuabudu kwakwel, uyu ni mtu wa Mungu
@fideschacky
@fideschacky 3 күн бұрын
Hana kanisa huyu,anasali kkkt,ila yuko vizuri kwakweli
@upendogreutert199
@upendogreutert199 3 күн бұрын
@@fideschackyalikuwa Mchungaji wa KKKT Ila kwa sasa amestaafu anatoaga tu Ushauri sehemu mbalimbali
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 3 күн бұрын
😂
@user-pl3pc4wk9i
@user-pl3pc4wk9i 2 күн бұрын
Kanisa siyo kigezo kikubwa ni nawewe ujue biblia karibu ujifunza biblia
@maalimhamad1297
@maalimhamad1297 18 сағат бұрын
Wewe pia kafiri kama yeye wewe dini gani unatamani uwe na kafiri kama huyo na anauzuri gani mtu anamkfuru Allah wewe unasema mtu mzuri jieleweni mjue dini zenu
@KahimanoMutwa
@KahimanoMutwa Күн бұрын
This is my father now ❤
@ramadhaninyangasa7275
@ramadhaninyangasa7275 Күн бұрын
Ni katika wachungaji wachache sana!! Wakweli
@user-sp5vr7uo4w
@user-sp5vr7uo4w Күн бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji
@user-ho7ci2fq1c
@user-ho7ci2fq1c 21 сағат бұрын
Exactly Man of GooD
@agnesandrew2742
@agnesandrew2742 20 сағат бұрын
Barikiwa baba mchungaji ❤❤
@panduafricangiant4902
@panduafricangiant4902 4 күн бұрын
Hakuna miujiza katika mafanikio lakini kuna bahati katika juhudi pale mtaji unapokutana na fursa iyo ndo miujiza katika dunia halisi ila hii ya kisubiri kukemea mapepo utasubiri mafanikio mpaka unazeeka
@Ayyub_Semtawa
@Ayyub_Semtawa 3 күн бұрын
Kijana una akili sana...,busara na hekima ya hali ya juu..Taifa lingekua na Vijana wengi wenye ukomavu wa uelewa huu..tungefika mbali sana Kiuchumi..ki hisia na kiimani
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 12 сағат бұрын
Hapo kampiga Mzee wa Upako Mwamposa Kiboko ya wachawi Na wote wenye tabia hizi
@jacquelinelukambuzi5085
@jacquelinelukambuzi5085 40 минут бұрын
Umeongea vizuri sana mchungaji Mungu akutunze
@user-kq7kn7gh6l
@user-kq7kn7gh6l 4 күн бұрын
Mimi ni mmoja wa watu ninao fuatilia mafundisho yako kiukweli unacho kiongea nikweli kabisa kwani baadhi ya makanisa yamegeuka hayafuati bibblia Bali wamejipangia taratibu tofauti na maagizo ya mwenyezi mungu , lakini Sasa Kila kitu kitawekwa wazima mwenye akiri na afahamu,maana hata wenzetu wa dini nyingine wanapata kutu SEMA kuwa huu ukristo sio dini ,lakini mungu atawatawanya manabii feki kwa njia saba
@abdulkadrimbona4454
@abdulkadrimbona4454 Күн бұрын
Kaka upo sahihi selekali ichukue kodi kwa biashara anazo fanya mwamposa
@saiditwalibu5244
@saiditwalibu5244 9 сағат бұрын
Huyu Mzee ukiwa na akili huru utamuelewa vzr sana,
@VascoJohn-rp1uc
@VascoJohn-rp1uc Күн бұрын
Waooo mzee nimekubari interview hiii it is living one ❤
@fredybanda2861
@fredybanda2861 3 күн бұрын
Exactly servant of God
@user-tg5vq3zf1f
@user-tg5vq3zf1f Күн бұрын
Ubarikiwe baba wa mungu
@josephkadeghe4720
@josephkadeghe4720 Күн бұрын
Kiboko ya wachawi, yeye mwenyewe ni mchawi
@shabbymakapane
@shabbymakapane 3 күн бұрын
🤣🤣🤣😭 👏👏👏 Haleluya Mchungaji HANANJA Sema Ukweli,
@shaloom-it4qs
@shaloom-it4qs 8 сағат бұрын
😂😂😂 eti watu wa imani nyingine wanakukamua usiondoke na chips zao loh! Huyu baba kiboko
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 4 күн бұрын
Heavy point WALIPE KODI
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n Күн бұрын
Dah afazali umesema bb mkorogo wa mwafula ni nyoko😂
@SalumSevingi
@SalumSevingi Күн бұрын
Mwenyz Mungu akulinde.
@bensonmgaya6290
@bensonmgaya6290 Күн бұрын
Fact man of GOD
@charlesnyanhanga4382
@charlesnyanhanga4382 4 күн бұрын
Hakika mchungaji yesu mwenyewe alilipa kodi
@user-sh3uc6vw4m
@user-sh3uc6vw4m Күн бұрын
Kweli mzee sema
@thomasraiton7760
@thomasraiton7760 Күн бұрын
Na Kuna watu waliomba awafanyie muujiza akagoma kabisa
@sep10pili202
@sep10pili202 Күн бұрын
Mungu akuinui bro
@MathiasBura
@MathiasBura 7 сағат бұрын
Sema mtumishi.
@georgemtewele7656
@georgemtewele7656 3 күн бұрын
Kama umesoma biblia toka mwanzo mpaka Ufunuo, hongera na Kama bado na huna mda komaa kiroho kwa kumsikiliza Hananja sugu wa imani isiyo goshiwa
@user-ec4br4pd3o
@user-ec4br4pd3o 11 сағат бұрын
❤❤❤mungu akubariki mchungaji
@rashidkassim7836
@rashidkassim7836 20 сағат бұрын
Well said hananja
@sonnyr1899
@sonnyr1899 3 күн бұрын
Ningekuwa mkristo huyu ndio angekuwa Baba yangu wa kiroho ila hata hivyo atabaki kuwa mfanya kazi mzuri wa kuelimisha jami.
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 3 күн бұрын
Allah si muhitaji kwenu na atatukitoa sada yeye haifiki ni unyenyekevu wetu wanafsi chunga imani yako nakauli zako..
@maalimhamad1297
@maalimhamad1297 18 сағат бұрын
Nawewe kafiri kama yeye usijidanganye nafsiyako
@sonnyr1899
@sonnyr1899 18 сағат бұрын
@@maalimhamad1297 Subhanallah unapata wapi uhalali wa kumuita mtu kafiri? Allah akusamehe
@belyseirakoze5371
@belyseirakoze5371 3 күн бұрын
Uyu baba ni junior sana hongera ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@januaryjoseph4383
@januaryjoseph4383 Күн бұрын
🎉
@SamsonMasawa-w7l
@SamsonMasawa-w7l 19 сағат бұрын
Amina
@lydiavegula7641
@lydiavegula7641 14 сағат бұрын
Damubyq Yesu ikulinde
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 5 күн бұрын
Kweli kabisa Hananja 🎉🎉
@elvismabena7630
@elvismabena7630 3 күн бұрын
Fact Sana kiongozi
@Pemba680
@Pemba680 Күн бұрын
Mm ni muislam ila uyu pasta anaongea ukweli sana
@MrNoah-gr7rq
@MrNoah-gr7rq 9 сағат бұрын
True😊
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 7 сағат бұрын
😂😂wambie ukweli baba
@BrianBrian-m8x
@BrianBrian-m8x 10 сағат бұрын
@MathiasBura
@MathiasBura 7 сағат бұрын
Mtumishi.
@patrickmwaulambo9650
@patrickmwaulambo9650 4 сағат бұрын
Wanàuza maji,,,,, wapigwe kodi😅😅
@YusuphShabani-wk5bv
@YusuphShabani-wk5bv 7 сағат бұрын
amina wambie
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 15 сағат бұрын
😂😂😂😂Mungu akupe hidaya.Karibu ktk uislamu.
@LinosJohn-dp9xi
@LinosJohn-dp9xi 2 күн бұрын
Hananjaa umesahau ndio maaana yesu alipindua meza za watu kwenye masinagogi yao
@mengiiblahim4215
@mengiiblahim4215 20 сағат бұрын
We mchungaji mbingu inakuhusu
@georgemtewele7656
@georgemtewele7656 3 күн бұрын
Huyu mzee nikipata nafasi nampa church la kuchunga hapa mjini,, hana mda na ujinga
@MuniraSalim-h6q
@MuniraSalim-h6q 19 сағат бұрын
Nauliza kufufua waliokufa kwa jina la yesu kuombea vilema na vipofu wakatembea wakaona kuna ukwell hapo
@JaqlineKigwazo
@JaqlineKigwazo 19 сағат бұрын
YESU HAKUWA KOMEDI WALA HAKUNA MAHALI KTK BIBLIA KUMEANDIKWA KOMEDI
@YassinIssa-d8j
@YassinIssa-d8j 3 күн бұрын
Hananja upo sawa
@jubilethfestourio450
@jubilethfestourio450 Күн бұрын
Mungu akikuweka huru utakua huru kwelkweli nawewe uko huru mchungaji sema watu wagoner barikiwa
@chazyjacks673
@chazyjacks673 6 сағат бұрын
Mm ningekuwa Rais nafunga baadh ya kanisa
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur
@SmilingBulldogPuppy-nb9ur 3 күн бұрын
Wafanyabiashara wa Tanzania uku wanakimbia kulipa kodi
@mataypanga5262
@mataypanga5262 5 күн бұрын
Hata kwetu kuna kazi,ila hakuna pesa
@GeorgeCharlesKipeya-m3b
@GeorgeCharlesKipeya-m3b 8 сағат бұрын
Kodii sema kweli
@farijala1
@farijala1 4 күн бұрын
Huyu Mzee Huwa anaongea Uhalisiawanamna Mafundisho halisi ya Dini. Haya anayosea Ndani ya Uislamu ni Hivyo na ninaamini hata kwenye Ukristo ni Hivyo,Sema hawakosekanagi wanaotafuta Upenyo wa Kuelekea namna vichwa vyao vinavyotaka.
@rabaniAmri
@rabaniAmri 4 күн бұрын
Kweli upo sawakabisa
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 4 күн бұрын
Uko sahihi mzee hawa manabii wanatumia majini kuwadanganya wapumbavu wao
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 4 күн бұрын
Shamba darasa hawalimi mapori yote yesu alikuwa akifu disha ili yule aliefundishwa akafanye zaidi
@rehemakaijage1364
@rehemakaijage1364 Күн бұрын
Mchungaji, unapatikana wapi? Natamani Semina / Ibada zako, ILI nifurahi, nicheke, niongeze hekima zitokanazo na NENO LA MUNGU UNALOFUNDISHA.
@happytom5455
@happytom5455 Күн бұрын
Piga kodi hao😅😂😂😂
@eliahwerema5818
@eliahwerema5818 19 сағат бұрын
😂😂😂 huyu mchungaji ni 🔥🔥
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 4 күн бұрын
Hahahahaahaha umewachana wachawi mzee
@camillasiwa6506
@camillasiwa6506 Күн бұрын
maaskofu mko wapi kukemea kama mchungaji huyu? KKKT, RC, TAG nk nk
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 9 сағат бұрын
😅😅😅 kodiiii
@happynkya9770
@happynkya9770 16 сағат бұрын
Kuna baadhi ya wachungaji wamekuwa kama wasanii,
@AnaMauricioPatricio
@AnaMauricioPatricio Күн бұрын
Amém 🙏🇲🇿
@JrFunga
@JrFunga 22 сағат бұрын
@user-fj4kj8xc5x
@user-fj4kj8xc5x 7 сағат бұрын
Mkweli ni mfano wa dhahabu
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 Күн бұрын
KWELI KABISA
@BenardLucumay
@BenardLucumay 3 күн бұрын
Nabii kiboko ya wachawi sasa apambane na WATEKAJI !
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 4 күн бұрын
Hatakuwa na akili mbovu ni umaskini mkubwa zaidi
@rasnchimbi
@rasnchimbi 3 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣eti makomedy na mazingaombwe
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 4 күн бұрын
Mbona mwaondoka na misuti na mbao mkuki moyoni
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 4 күн бұрын
Kama yona aliishi bure kwa tumbo la samaki bas sheli si rahisi pia?
@danielkidenya7009
@danielkidenya7009 3 күн бұрын
Nimefurahi aliposema wale waumini niliowapuna wacheza kamali watanielewa
@farajisewe7416
@farajisewe7416 19 сағат бұрын
😂😂😂 kupunwa umenikumbusha mbali sana
@michaelkitali8651
@michaelkitali8651 10 сағат бұрын
😂
@mohamedrashid6578
@mohamedrashid6578 3 күн бұрын
Naamini kabla hujaaga hii dunia utakua umesilimu, utakua muislam siku za mwisho za uhai wako
@JaqlineKigwazo
@JaqlineKigwazo 19 сағат бұрын
Na wavuta bangi kama wewe motoni
@tinertv1382
@tinertv1382 2 күн бұрын
Yesu alivaa suti?
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 4 күн бұрын
Mchungaji anajichubua na wajinga wanaenda kwenye kanisa lake
@filbertkinunda6610
@filbertkinunda6610 4 күн бұрын
Sikilizaa nini anaongea si unaanza kum clasify physically!Shem on you 😢😢😢😢
@worth_monkey
@worth_monkey Күн бұрын
we vp tumsikilizeee ili iweje yanii jituu litoboe masikio lichore tatuu tumsikilizee kwa kinywa kipi acha ufalaaa wwe s​@@filbertkinunda6610
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,2 МЛН
I wish I could change THIS fast! 🤣
00:33
America's Got Talent
Рет қаралды 121 МЛН
I Can't Believe We Did This...
00:38
Stokes Twins
Рет қаралды 88 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 17 МЛН
KIMEUMANA CASSIN NA KIBOKO YA WACHAWI KUZALILISHANA HAZALANI EV PASCHAL CASSIAN
1:11:12
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 46 М.
I DIDNT KNOW  THIS BUILDING IN CANADA..😪😪 I GOT SCARED HAD TO LEAVE AND RUN AWAY
13:13
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 65 М.
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 38 М.
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,2 МЛН