AFISA ARDHI ATIWA NGUVUNI JUU KWAJUU NA RC MAKONDA LIVE AKIPOKEA RUSHWA YA MILIONI 5

  Рет қаралды 15,373

KUSAGA TV

KUSAGA TV

2 ай бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZfaq : www.youtube.com/@kusagatv6320...
Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

Пікірлер: 36
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 2 ай бұрын
Hakika ww ni jembe mh makonda udumu miaka mara dufu❤❤❤❤
@boazmaobe7245
@boazmaobe7245 Ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu...huku kenya mbona hamna viongozi kama hawa??? Wezi tu
@samirsamson3996
@samirsamson3996 Ай бұрын
This Man is so brighter keep it up Hon Makonda piga supana kaka
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 2 ай бұрын
T M U Mungu azidi kuwalinda....kaazi yeenu ni ngumu zaidi ya kawaida.
@williamwanga2126
@williamwanga2126 20 күн бұрын
Unafanya kazi nzuri Arusha DC hakufai
@scolasticakaduma5143
@scolasticakaduma5143 2 ай бұрын
Makonda hoyeeeeeeeee
@OmaryChipeta-mh2wi
@OmaryChipeta-mh2wi 2 ай бұрын
Wote 2pa ndan
@liliankayoka5892
@liliankayoka5892 2 ай бұрын
Safi sana mh mkonda uje na njombe mkuu
@aganolamotoeliya2027
@aganolamotoeliya2027 Ай бұрын
Mkuu wa mkoa ni mmoja tu tazania Master Makonda.
@mountaincoffee7
@mountaincoffee7 2 ай бұрын
😅😅😅😂😂😂 uyo dada kigugumizi dah noma sana
@TumainMwambombo
@TumainMwambombo Ай бұрын
Safi sana makonda karibu songwe
@witnessmollel149
@witnessmollel149 2 ай бұрын
Mungu amlinde jmn, anafanya kazi nzuri
@aganolamotoeliya2027
@aganolamotoeliya2027 Ай бұрын
Wakipatikana kina makonda10 nchi inanyooka 😢😢😢
@pascalmsechu6874
@pascalmsechu6874 Ай бұрын
Dada Mzito kwel
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 2 ай бұрын
Sukuma ndani majambazi wote Ao😂😂😂
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 2 ай бұрын
😂😂😂 sukuma ndani
@amanisereni1708
@amanisereni1708 Ай бұрын
Makondo wewe ni nyundo mungu akupe nguvu zaidi ya kuwapiga nyundo.
@user-qd2bz1ik8g
@user-qd2bz1ik8g Ай бұрын
Nawingi lake mungu wangu dada anajuta kuwa kwenye kitengo hicho
@marianmartin7483
@marianmartin7483 Ай бұрын
Huyo dada anakiburi sana, anavoonekana. Mh piga spana tu.
@romanamassawe814
@romanamassawe814 Ай бұрын
Sasa nakubali, na kweli vinakaa kama vinatafuta mchumba,
@mussahancy6591
@mussahancy6591 Ай бұрын
CHUMA KIKO ARUSHA
@zidatv1122
@zidatv1122 2 ай бұрын
Ukienda ofisini wanakuangalia tu
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Huyu hana akili yaani kabisa unaona kabisa mambo sio bado unathubutu kupokea hela? Kweli za mwizi 40
@jacksonsilaa415
@jacksonsilaa415 Ай бұрын
Mfumo mfumo mbaya hauwezi pata kitu chema
@user-cq2lt6ho5w
@user-cq2lt6ho5w Ай бұрын
Million mia600 duh
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 Ай бұрын
ASKARI AKIONGEA HATA NDEGE WALISEMA AMNGANI MWONGO MWOOONGO 😅😅😅 MNASHINDW kumpata😅😅😅
@josephnemgosi8804
@josephnemgosi8804 2 ай бұрын
Tatizo mfumo
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 2 ай бұрын
Kaimu wa magufuli oyeeeeeee!!; chapa kazi.
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
Ccm hii nchi imewashinda
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
Ilikuwa CCM ifanyeje?
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
​@@hajihassan5433watengeneze mifumo ya kila mtu kushtakiwa chini ya katiba akiwemo Rais
@dismaslalubare4196
@dismaslalubare4196 2 ай бұрын
Muheshimiwa makonda.. huyo ocd anakwambia mtuhumiwa amekaa siku kumi lock cup . Hakuogopi kweli kuna sheria ya kumuweka mahabusu mtu siku kumi ?
@victaboy7273
@victaboy7273 2 ай бұрын
😂😂😂 wewe jamaa bhna unafatilia sana ishu za makonda
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd Ай бұрын
Yaan unawekwa ndani ili usiharibu uchunguzi
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
Ni kweli sheria ipo hivyo lakini unaweza kumuweka ndani mtu technically kwa zaidi ya mwaka yaani kila siku unamkamata upya na siku inaaza hapo. Hoja hapa ilikuwa useme RC hana mamlaka ya kuingilia wala kuwapa amri yoyote Polisi kwa sababu kila mteule wa Rais ana mamlaka kwenye eneo moja tu. RC anamuwakilisha Rais kwa upande wa Serikali tu. Rais ana mamlaka 3, mkuu wa Serikali, Mkuu wa nchi (hii haikasimiwi) na Mkuu wa Majeshi.
@khaliphaabubakar9466
@khaliphaabubakar9466 10 күн бұрын
@@hajihassan5433na RC ni mwakilishi wa raisi.Hizo lele mama ndio maana nchi inadorora.
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 30 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 69 МЛН
MAKONDA AWAFUKUZA KAZI WATUMISHI ARUSHA
1:06:20
JAMBO TV
Рет қаралды 82 М.