#*Afya Podcast# Fahamu Tabia Mbaya 10 zinazoweka Figo zako HATARINI..

  Рет қаралды 121,788

Muhimbili TV

Muhimbili TV

3 ай бұрын

#*Afya Podcast#*
Fuatana na Prof. Mohamed Janabi ili kufahamu Tabia Mbaya 10 zinazoweka Figo zako HATARINI..

Пікірлер: 197
@legera63
@legera63 3 ай бұрын
Mungu wangu linda afya yangu sayansi ni bora ila wewe ni bora zaid✊
@domisonrichman6499
@domisonrichman6499 3 ай бұрын
Habari hii tv sikujua kama ipo hongera prof Jababi elimu nzuri umetoa..Ila mm ni kijana umri wangu 32yrs nina tatizo ambalo hospitali wameshidwa kujua tiba yake wala chanzo naomba mwenye namba ya simu ya Prof Jababi anisasidie guys nateseka sana almost miaka 8 sàsa ....Msada wakuu
@dullaone454
@dullaone454 3 ай бұрын
Jitahidi uende jkci. Pale muhimbili kitengo cha moyo. Utampata.
@jamesswai1683
@jamesswai1683 3 ай бұрын
Nenda Muhimbili ndio suluhisho..
@barnabasmboya7688
@barnabasmboya7688 3 ай бұрын
Yesu Kristo anaweza kukuponya. Mpe Yesu nafasi. Kwa msaada zaidi unaweza kunifuata nitakushauri na tutaomba na utapona
@SalamaSwedy
@SalamaSwedy 3 ай бұрын
​@@barnabasmboya7688 😂😂😂 Wacha utapeli
@husseinhamis1428
@husseinhamis1428 3 ай бұрын
we kichwa yako mbovu ​@@barnabasmboya7688
@jeremiahbhulituma855
@jeremiahbhulituma855 18 күн бұрын
Prof. Habari za kazi. Mimi ni mfuatiliaji mzuri Wa mafundisho yako. Kila kipindi unachorusha najifunza zaidi. Wewe kwanza umbo lako liko sahihi. Hapo ulipo una umri wa miaka mingapi. Na uzito wa kilo ngapi. Maana nakuona uko very super active!!! Natanguliza shukrani kwa majibu ya maombi hayo
@molitvonline
@molitvonline 3 ай бұрын
Asante sana Dr . Imeeleweka mungu akupe maisha malefu huna baya na mtu Dr janabi
@taturamadhan5940
@taturamadhan5940 3 ай бұрын
Allh akulipe si rahisi kwa mtu mwenye cheo kama chako kuandaa vipindi na kutuelewesha hii ni kwa sababu unaona hatari iliyopo na unataka tujikinga. Ahsante sanna
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 3 ай бұрын
Sana huyu baba anaiimani. anahuruma na binaadam wenzie
@emmiemmi3861
@emmiemmi3861 2 ай бұрын
Kweli kabisa
@phantyrhymes9536
@phantyrhymes9536 3 ай бұрын
Simple and best explanations. Congrats Prof. Mohamed Janabi.Anajua kuelimisha sana.
@Abdalla.Said_01
@Abdalla.Said_01 3 ай бұрын
Unatoa elimu nzuri sana Prof. Mohamed
@aloycerichard5684
@aloycerichard5684 2 күн бұрын
Mungu akubariki sana nimeelewa ulaji holela ni hatar kubwa
@sixytntongambele3038
@sixytntongambele3038 3 ай бұрын
We jamaaa unaafya ya aqiri iliyo strong sana Me binafsi sijutii kukufaham kwakweli
@martinjohn7854
@martinjohn7854 3 ай бұрын
NASHUKURU SANA DOKTA. NAOMBA KILA. KADA YA DAKTARI BINGWA TAIFA, ITOE MADA YAO HUKU, ILI TUJIEPUSHE NA HATARI HIZI.
@josephlorri431
@josephlorri431 3 ай бұрын
Mzee amenyooka,...ila maisha yanahitaji nidhamu kubwa
@hezronmlwale7416
@hezronmlwale7416 3 ай бұрын
Hakıka mzee amenyooka mpaka... Nıdhamu kubwa katıka maısha haya nı muhımu sana. 🙏🙏
@OnejobKope
@OnejobKope 3 ай бұрын
Asante sana doctor ubarikiwe
@officialyohanamalisa1873
@officialyohanamalisa1873 3 ай бұрын
Saana nidhanu ndio kila kitu. Ukikuta mtu anafukia nyama choka kilo moja na bia, akidhani huna hela ya kula , ila siku atakua anafanya dialisis atalia kama nyau 😊
@josephlorri431
@josephlorri431 3 ай бұрын
@@officialyohanamalisa1873 maisha yana mwisho, usimdharau na kumnyanyapaa anayekula kilo nyama choma. Duniani tunapita.
@AbuuMuhsin
@AbuuMuhsin 3 ай бұрын
Tuko pamoja Dr. Nakufuatilia kila siku na kila somo lako.
@greysonmbembelakarateka5842
@greysonmbembelakarateka5842 3 ай бұрын
Ahsante, Mungu akupe maisha marefu uzidi kutuelimisha
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 3 ай бұрын
Prof apewe muhimbili kwa miaka 100 ameibadilisha san Hospital ya Taifa
@gloryurassa9873
@gloryurassa9873 3 ай бұрын
Asante sana kwa Elimu ya afya Dr. Janabi. Mungu akuzindishie wingi wa siku
@alwysalehmohamedalammary3507
@alwysalehmohamedalammary3507 3 ай бұрын
Shukran doctor Allah akulipe kwa unachokitoa kwa jamii
@user-uw7er1ec3v
@user-uw7er1ec3v 3 ай бұрын
Nimekuelewa doctor.mungu akuzidishie kutupa elimu napia .akuingize peponi amin
@joshuakimambo2765
@joshuakimambo2765 3 ай бұрын
Elimu nzuri sana. Elimu ya kujitambua bado inahitajika sana. Magonjwa mengi yangeweza kuepukika kwa kubadilisha tu mfumo wa maisha
@asnathmugassa136
@asnathmugassa136 3 ай бұрын
Aksnate sana professor Janaby kwa elimu nzuri sana
@eliamtani2840
@eliamtani2840 3 ай бұрын
Thank You Prof.
@adamkalokaza6813
@adamkalokaza6813 3 ай бұрын
hongera profesa janabi nakufuatilia
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 3 ай бұрын
Maashaallah Allah akulipe heri Dr. JANABI
@paskalkinyunyu9045
@paskalkinyunyu9045 3 ай бұрын
Mungu akutie nguvu utupe elim naelimika sana sana asante
@Kisase
@Kisase 3 ай бұрын
Asant sana doctor mungu akulinde
@maryammo-gd3me
@maryammo-gd3me 3 ай бұрын
Asante sana kwa elimu nzur
@adellahchipanyanga5107
@adellahchipanyanga5107 3 ай бұрын
Mungu akubariki somo zuri xana hili
@severinmmassy7627
@severinmmassy7627 2 ай бұрын
Hongera Sana prf. Hiv kukojoa mara kwa mara unawezakukuweka hatarini pia
@user-pd2kw4qo2o
@user-pd2kw4qo2o 3 ай бұрын
Asante sana prof🎉
@joctanmotoka2637
@joctanmotoka2637 3 ай бұрын
Ubarikiwe sana prof
@samsonshedrack5677
@samsonshedrack5677 3 ай бұрын
Doctor asante kwa somo zuri,
@winnesakara6957
@winnesakara6957 3 ай бұрын
Asante doctor
@user-wo2ye5vh4q
@user-wo2ye5vh4q 3 ай бұрын
Asante dr kwa somo
@victorntaganyamba7313
@victorntaganyamba7313 3 ай бұрын
Asante kwa somo zuri
@JOFREYSONGOLA
@JOFREYSONGOLA 3 ай бұрын
Thank you Dr
@user-jm6kb2ti1y
@user-jm6kb2ti1y 2 ай бұрын
Doctor tunaomba mjibu coment zetu
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 2 ай бұрын
Shukran sana professor MJ
@MrDaoud-il9nt
@MrDaoud-il9nt 2 ай бұрын
Shukrani doctor Allah akulipe
@francisosodo8001
@francisosodo8001 3 ай бұрын
Asante Prof. Kwa Elimu
@MohamedMursal-nb6nm
@MohamedMursal-nb6nm 3 ай бұрын
Thanks Dr
@James-hb2gv
@James-hb2gv 3 ай бұрын
Asante sana kiongozi Mungu akubaliki
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 3 ай бұрын
Asanteee pfrs Jana bi❤❤❤❤ kwa somo
@abdoulzainoubongoth2556
@abdoulzainoubongoth2556 Ай бұрын
Dr janabi Mungu akupe maisha marefu
@ernestjophreymalaba3374
@ernestjophreymalaba3374 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana My Role Model
@abrahamsingano5372
@abrahamsingano5372 2 ай бұрын
Hongera sana Dr. Mungu akuzidishie umri
@baluhyajr.913
@baluhyajr.913 3 ай бұрын
Asante sana Prof. Janabi kwa elimu ya afya kwa umma.
@victoreleonardmdee9158
@victoreleonardmdee9158 3 ай бұрын
Ahsante Kupata Elimu hii
@josephmsacky2248
@josephmsacky2248 3 ай бұрын
6:09 Hii nzuri sana, ongera sana dr
@user-cf5yb5fk4s
@user-cf5yb5fk4s 3 ай бұрын
Shukran prof janabi hakika kinga ni bora kuliko tiba
3 ай бұрын
Good Job Prof Janabi🤝
@amaniupendo1078
@amaniupendo1078 3 ай бұрын
Asante sana kabisa from 🇨🇩
@josiahkulwa34
@josiahkulwa34 3 ай бұрын
Shukran kwa mafunzo yenye kutujenga kiafya
@ampeliusjoachimu7820
@ampeliusjoachimu7820 3 ай бұрын
Thanks and be blessed🙏🙏🙏
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 ай бұрын
Hongera sana DR🎉🎉
@HusseinJumaa-my6dc
@HusseinJumaa-my6dc 3 ай бұрын
Nashukuru kuwafahamu nitaendelea kuwa fuatilia
@bogoheidaso2628
@bogoheidaso2628 3 ай бұрын
Asante dr
@TowardJesusTv777
@TowardJesusTv777 3 ай бұрын
Asante Prof. Barikiwa sana....nakufata toka DRC
@salutarysebastian2882
@salutarysebastian2882 Ай бұрын
Asante sana kwa elimu
@ernestshekalaghe1945
@ernestshekalaghe1945 2 ай бұрын
uko vizuri sana Prof . Janabi
@lucasisundwa2125
@lucasisundwa2125 2 ай бұрын
Thanks for class
@mbondehemed2841
@mbondehemed2841 3 ай бұрын
Nimekupata janabi mungu aliki kwasomo rako
@FrankDeo-xu7zw
@FrankDeo-xu7zw 3 ай бұрын
Ubarikiwe kiongoz
@Mr.SOPHAT
@Mr.SOPHAT 3 ай бұрын
Thanks you ❤
@hashkhantantrasiraji118
@hashkhantantrasiraji118 3 ай бұрын
Shukrani 🙏🙏🙏
@niriacatering172
@niriacatering172 3 ай бұрын
Shukrani sana
@kobylwaho3191
@kobylwaho3191 3 ай бұрын
safi sana dr nashukur Kuifahamu hii chanel inayofundisha mambo muhimu ktk maish yetu
@azammchunguzi4687
@azammchunguzi4687 3 ай бұрын
Dr upo vizur
@tatankakoroba48
@tatankakoroba48 3 ай бұрын
Prof Janabi..huwa nafuatilia sana session zako...
@Gunze15
@Gunze15 3 ай бұрын
Asant san Dr
@linnetmbotto7212
@linnetmbotto7212 3 ай бұрын
Umesahau utumiaji wa vipodozi vyenye kemikali kali
@ukweli255
@ukweli255 3 ай бұрын
Naamimi kuna Media Kubwa kama Clouds Media au Wasafi Tv wataingia mkataba na hii Channel ili haya Maudhui yawe yanawafikia wengi ambao kuifia KZfaq ni ngumu!
@ce-08
@ce-08 Ай бұрын
Alishaenda wahi kwenda clouds sema ....
@EvanceShirima
@EvanceShirima 3 ай бұрын
Dr mo janabi unipa somo nimetoka na kitu kimojahapo,msaliimie bingwa mwenzio hapo dialysis mgumi na ness mnyenyekevu asie na mawaa HAJIRA ###
@deogratiasntalindi4200
@deogratiasntalindi4200 2 ай бұрын
MUHIMBILI#Afya bodcast# naomba mnisaidie mawasiliano ya Prof.Janabi nina maswali mengi sana
@franciskennethngwale5195
@franciskennethngwale5195 2 ай бұрын
Sio lahisi hivo kupata
@MosesMsuya-yq9ru
@MosesMsuya-yq9ru 2 ай бұрын
Imeeleweka doctor
@Bioone06
@Bioone06 Ай бұрын
Kulinda afya yako
@gabrielygodfrey7815
@gabrielygodfrey7815 3 ай бұрын
Tuko pamoja Dr
@tumaininyambita5002
@tumaininyambita5002 3 ай бұрын
Asante
@joycemboya5728
@joycemboya5728 2 ай бұрын
Tunaomba Dr mfanyie utafiti Sawa zetu za asili tulizotimia huko nyuma na zikatusaidia
@goodlucknjau77
@goodlucknjau77 3 ай бұрын
Shikamoo pro kwenye pombe ongeza ata mbili mkubwa 😂😂😂
@user-ny8fl5gu6q
@user-ny8fl5gu6q 2 ай бұрын
Heeeeee
@AbihudiMbekomize-uy7kp
@AbihudiMbekomize-uy7kp 3 ай бұрын
Asante sana doctor lakini pia nina maswali jenaweza kuuliza
@ManyamaOG
@ManyamaOG 2 ай бұрын
Assalam alaikum, dr janabi naomba utuelezee maradhi gesi na namna ya kujikinga . Insha Allah
@benjaminjackson8567
@benjaminjackson8567 2 ай бұрын
Thank you so much for your consideration 🙏🏿🙏🏿
@johngibson3089
@johngibson3089 3 ай бұрын
Asante sana Dr Janabi kwa kutuelimisha. Je, juice ya miwa ni salama kwa figo?
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 3 ай бұрын
Hakika MUNGU akubariki Sana wewe kweli ni msomi
@user-iy3fx7cl1j
@user-iy3fx7cl1j 3 ай бұрын
Huyu jamaa anajua kutupa madini na anajua kuchambua
@DanielMabula-hs7kr
@DanielMabula-hs7kr 2 ай бұрын
Good
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 3 ай бұрын
Hapa kwenye ulaji wa pombe kupitiliza ningependeza useme watu wasitumie pombe kwasabab hata hio glass moja inaleta athar ndan ya mwili
@DativaMbowe
@DativaMbowe 2 ай бұрын
Sasa mimi ninae kunywa wine zaid ya moja mungu nisaidie nimeogopa
@samyjoseph2732
@samyjoseph2732 Ай бұрын
Nani kaniambia niangalie hii daaah 😢😢
@eujeniosamwel5323
@eujeniosamwel5323 2 ай бұрын
👏👏
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 3 ай бұрын
Tunashkur kwkuwa tunapata Elim ya mapema.
@mohammedabdullah5895
@mohammedabdullah5895 21 күн бұрын
❤❤❤
@drackshad2995
@drackshad2995 3 ай бұрын
🤝
@user-jm3jl3ir2q
@user-jm3jl3ir2q 3 ай бұрын
Ningependa aweke nambayake jamani
@josphinengugi4978
@josphinengugi4978 2 күн бұрын
Dr Habari Niko na sida ya kukojoa Sana tena mukonjo unakuja na nguvu sana naulisa hi nisida gani??
@user-qr4jq2ly6j
@user-qr4jq2ly6j 3 ай бұрын
🙏🙏
@jumannemalale2943
@jumannemalale2943 3 ай бұрын
Najua hii itanifanya niwe maarufu sana 😢😢😂
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 3 ай бұрын
Somo zuri Dr,ila hujatuambia nini tule ili Figo zetu ziweze kuwa salama
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 3 ай бұрын
Hayo aliyokwambia fanya kinyume chake ndiyo jibu. Pia yale asiyoyataja ndiyo hayana madhara makubwa unaweza kula
@sitisalum9573
@sitisalum9573 3 ай бұрын
Mwenyezi mungu akubariki sana prof,
@isacklaizer6776
@isacklaizer6776 3 ай бұрын
Kunywa maji ya kutosha, punguza chumvi, punguza sukari, Punguza matumizi yaliyopitiliza ya dawa za maumivu (NSAID), Kuacha Unywaji wa pombe uliopitiliza...n.k.,
@MinskBelarus-il2tl
@MinskBelarus-il2tl 3 ай бұрын
Boniface, mbona ameweka Wazi? MAJI KAMA CHAKULA BORA
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 3 ай бұрын
😂😂​@@MinskBelarus-il2tl
@tatankakoroba48
@tatankakoroba48 3 ай бұрын
Our body when having too much acid ....can be reduced by eating alkaline foods ...ie all vegy and fruits
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 3 ай бұрын
Janab
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 3 ай бұрын
MAMBO YA AFYA HAYA,MWISHOWE MTATUAMBIA HADI KULALA NA FENI KUNASABABISHA FIGO KUFELI,,SASA USINGIZI ASKARI HAWALALAGI KABISA KUMBE NI HATARI
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 3 ай бұрын
Wewe utabisha mpka kifo chako
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 3 ай бұрын
Mzaha kwenye ukweli ni mzaha uliouzoea kwenye maisha yaki jitafakari ndg
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 3 ай бұрын
@@abdallahmmary8591 angalia Figo zako sio zangu
@abasilihundu200
@abasilihundu200 3 ай бұрын
Nani kakwambia askari halalagi kabisa, acha kukariri. Kwamba mda wote anakuwa kazini
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 3 ай бұрын
@@abasilihundu200 kwani Dr kasema tulale mda wote?au kukosa mda mwingi wa kulala?we unaelewa bs
SHAJARA | zijue sababu za ugonjwa wa figo, matibabu
32:16
Azam TV
Рет қаралды 10 М.
Slow motion boy #shorts by Tsuriki Show
00:14
Tsuriki Show
Рет қаралды 9 МЛН
Jinsi ya kuondokana na janga na hatari ya ugonjwa wa figo
56:49
Dr. Chris Mauki: Epuka maneno haya 8 wakati wa tendo la ndoa
8:16
Chris Mauki
Рет қаралды 597 М.
Cancer Care Service | Huduma za matibabu ya Saratani , The Aga Khan Hospital Dar es Salaam
1:33
The Aga Khan Hospital, Dar Es Salaam
Рет қаралды 767