Usiombe upate tatizo la FIGO! Epuka kufanya haya, Video inaweza kuokoa MAISHA yako, Usipuuze

  Рет қаралды 102,369

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

4 ай бұрын

WASILIANA NA URBAN CARE CLINIC:
LOCATION:Nyamanzi Fumba Town Zanzibar
Jambiani Zanzibar
Contact: Call/text/whatsapp +255 622 820 011
bit.ly/3xzFGyU
Email: info@urbancare.clinic
Instagram: @urbancareclinic
Pia wanafanya ushauri kwa njia ya video. Hata kama haupo Zanzibar, popote ulipo dunia unaweza ukaongea na daktari na kusikilizwa shida yako

Пікірлер: 221
@antusajoseph9360
@antusajoseph9360 2 ай бұрын
Kuanzia leo naanza kunywa maji nakuwanywesha watoto na mimi mwenyewe Mungu nisaidiye
@user-ku8lh7wl8v
@user-ku8lh7wl8v 3 ай бұрын
Mungu ndie mtetezi wetu ila tu nashukuru San kwa hiii Ushauri 🙏🙏🙏
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 3 ай бұрын
Amina Amina
@neemamgendi1389
@neemamgendi1389 3 ай бұрын
Jamani anafundisha vizuri dada Catherine, nilikuwa sijui Figo ziko mgongoni,pia matumizi ya chumvi ni hatari Sana kwa afya zetu, asante Sana kwa somo zuri!
@eshyndibalema1529
@eshyndibalema1529 3 ай бұрын
Asante kutuelimisha ugonjwa hatari,sana
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 ай бұрын
😔 mungu wewe tu ndie muokozi wetu,Asante Sns kwa kipindi muhim na kizuri 🙏🏽
@phillipkundy2510
@phillipkundy2510 3 ай бұрын
Mungu ni muokozi wetu, ni kweli, ila sisi tuna sehemu yetu yakuwajibika km mtoa mada anavyoshauri
@StephanoMoses
@StephanoMoses 2 ай бұрын
Jisaidie Nami nitakusaidia. Asema bwana
@user-xi9pv3wu1c
@user-xi9pv3wu1c 3 ай бұрын
Asante sana Dr Catherine Kwa kutuelimisha kipindi kizuri, Bora Kinga kuliko riba Mungu akubariki sana
@HasnaNassoro
@HasnaNassoro 17 күн бұрын
Ya ALLAH tunakuomba waja wako utuepushie haya maradhi,tunakuomba yaa raby,wewe ndo mganga wa wet wakwanza yaraby tupe umri wa manufaa na utuepushe na maradhi ya rabby.Amiina
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 3 ай бұрын
Hongera Kwa kutujuza Ila jua kuwa shetani yuko kazini,n'a huo wote ni mpango wA shetani,
@KazimilyEpimack
@KazimilyEpimack 3 ай бұрын
Dr.Catherine, Mwandaaji wa kipindi na timu nzima, Bravo kwenu sana✊
@user-en7pg4ym5r
@user-en7pg4ym5r 2 ай бұрын
Asante kwa ushaury muhimu wengi tunateseka hatuna pesa
@bonifacenanda9729
@bonifacenanda9729 2 ай бұрын
Dr Asante sana kutuelimisha juu ya Figo. Siku nyigine utuelimishe juu ya Ini MAANA Homa ya Ini imemaliza we give.
@marcemarco3747
@marcemarco3747 3 ай бұрын
Ahsant skay kwa kutusaidia kujua mambo ya msingi kuhusu AFYA zetu....👍
@MosesWilliam-kl3yd
@MosesWilliam-kl3yd 3 ай бұрын
Nashukuru Sana Doctor kwaushauri mzuri, Mimi mtanzania anayeishi inchini Zambia .
@benedictlemason7952
@benedictlemason7952 3 ай бұрын
Goodwoman yourself doc... I got you accordingly. Am one free victim of diabetic melitus and now kidney reading. 370..
@petromsimbe5361
@petromsimbe5361 2 ай бұрын
Asante kwa elimu nzuri Mungu abariki kazi yako.Napata shida kuelewa kwani kuna group moja mtaalam wa lishe anafundisha juu ya diet inayofaa kwa mgonjwa wa kisukari anasisitiza sana mgonjwa asile kabisa ugali iwe dona au ngano isiyokobolewa,wewe unasema ale.Naomba tuondoleeni huo mkanganyiko wataalam wetu.
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 2 ай бұрын
Hi, namba uwasiliane nasi kupitia namba zetu kwenye description box
@christainc.5217
@christainc.5217 3 ай бұрын
Jamani natowa funzo akuna kupiga mutoto kwenye mugongo
@sm.i3419
@sm.i3419 16 күн бұрын
Asante sana kwa elimu tutazingatia. Mungu atusaidie na awabariki kwa elimu
@user-tx6pk5bg1b
@user-tx6pk5bg1b 3 ай бұрын
Asante kwa elimu kubwa ambayo kwahivi SASA nitatizo kubwa nanijanga lakitaifa kwasasa mbarikiwe saana
@jumarajabu5795
@jumarajabu5795 3 ай бұрын
Asante kwa elimu yako kutufikishia elimu mhm mungu akuongeze umri...utufunz zaid
@user-kv9zd6pg8r
@user-kv9zd6pg8r 3 ай бұрын
Dr Catherine Asante sana kwa maelezo mazuri kuhusu afya zetu.
@user-ut8qb2mi7w
@user-ut8qb2mi7w 2 ай бұрын
Mungu atufanyie wepesi inshallah
@JuliusSalimu
@JuliusSalimu 3 ай бұрын
Mungu atusaidie tu bila yy hatuwezi
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 3 ай бұрын
Amina
@salehemganga1081
@salehemganga1081 3 ай бұрын
Aamin yaa rabbi.
@salehemganga1081
@salehemganga1081 3 ай бұрын
Kweli bila Mungu hatutoboi aisee.
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 3 ай бұрын
Mungu atunusuru na huu ugonjwa ni hatari sana 😢😢
@djjosie7283
@djjosie7283 3 ай бұрын
Unaweza ukamtegemea mungu kwelii lkn ww ndo ukawa unajibana kunywa maji unakula vyakula vya ovyo ovyo asa mungu atakuepushaje apo??
@graceluiana8807
@graceluiana8807 3 ай бұрын
Asante sana Catherine ila wajawazito wapate elimu hii nzuri.
@faustinimathayo6566
@faustinimathayo6566 2 ай бұрын
kwaili somo nimejifunza kt asante sana doctor
@davidkabungo1192
@davidkabungo1192 3 ай бұрын
Ahsante sana kwa elimu hiyo ya Bure! Ila kwa usikivu mzuri zaidi naomba siku ingine kasiwepo hako kamuziki !.
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 3 ай бұрын
haha Karibu sana😃 Fredrick ameskia
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 3 ай бұрын
Mziki mbona uko mbali sanaaaa...tatizo siyo mziki ila wewe una masikio mabovuuu
@marthamahule2120
@marthamahule2120 3 ай бұрын
Dah!! Sasa tutakula Nini jamani viazi,mhogo,magimbi Mungu mwenyewe aturehemu
@djjosie7283
@djjosie7283 3 ай бұрын
Hajasema usile hadi ukiibainika uko na ugonjwa wa figo na ukashauliwa na doctor
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 3 ай бұрын
@@djjosie7283 kweli kabisa😁
@JoeliMathayo
@JoeliMathayo 7 күн бұрын
Ni hatari sana,kikubwa Mungu mwenyewe aingilie kati
@user-gc8vb3gv8c
@user-gc8vb3gv8c 2 ай бұрын
Asante kwa somo, Ubarikiwe sana Dr
@ToradEmire
@ToradEmire 3 ай бұрын
Thanks for Nice presentation Dr cathe Nutritionist Actually you know what your Doing
@salehemganga1081
@salehemganga1081 3 ай бұрын
Very informative interview.
@user-lg7yi9el3p
@user-lg7yi9el3p 3 ай бұрын
Thanks for your help doctor catherine
@user-qs7lj7kj1k
@user-qs7lj7kj1k 3 ай бұрын
Asante sns nimejifunza
@lulusenzia4807
@lulusenzia4807 2 ай бұрын
Ahsante kwa elimu ya afya
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 3 ай бұрын
"Dialysis" sio kusafisha figo ni kusafisha (kuchuja) damu ambayo ilitakiwa isafishwe na figo ili kuondoa taka mwili na vitu visivyo hitajika(kiwango kisicho hitajika) . Inasafishwa na mashine(dialyzer) aka "artificial kidney" kutokana na figo kushindwa kufanya hivyo(kuchuja damu) kwa sababu ya kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi "kidney failure)
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 3 ай бұрын
Sawa bwana Daktari
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa 3 ай бұрын
Mwandishi huyo NI mtaalam WA magonjwa ya watoto Tu. Maswali unayo mpa anayajibia kitalam akilenga wa toto. Asante sasa tafuta mtaalam WA magonjwa ya watu wazima
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 3 ай бұрын
ASANTE SANA KWA ELIMU NZURI. HAPO KWENYE MWENYE TATIZO LA FIGO ALE VYA KUKOBOLEWA NA WA SUKARI ALE VISIVYOKOBOLEWA JE KAMA ANA SHIDA ZOTE MBILI?
@angelomfilinge8662
@angelomfilinge8662 2 ай бұрын
Nashukuru kwa elimu hii muhimu.
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 3 ай бұрын
Asante Asante sna
@NassorOmar-qi4st
@NassorOmar-qi4st 24 күн бұрын
Asante dokta kwa ushauli wako
@piensiachuwa1512
@piensiachuwa1512 3 ай бұрын
Asante sana kutuelimisha kuhusu afya ya Figo Mungu awatunze.jamani hii elimu tuizingatie sana
@silvanusndisi9636
@silvanusndisi9636 3 ай бұрын
Dr nimekuelewa mfano mm nilipata ajari na nikaa hospital miaka 5 nilishatumia dawa nyingi za Kila aina hasa za maumivu hasa dawa ya tramadol lakini nilishapona nafanyaje kuhusu huo mda nilio tumia hizi dawa Kwa mda mlefu au Kuna uwezekano wa kuzisafisha .nahofu sana Kwa matumizi niliyo tumia hizi dawa
@eidkhan6024
@eidkhan6024 3 ай бұрын
Duu niatari mi mtoto wangu uji2 chumvi.Mungu atusaidie
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 3 ай бұрын
Kipindi hiki nimefurahi ni madini muhimu kwa maisha asante mwandishi na zaidi Doctor kwa maelezo yanayofahamika
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 3 ай бұрын
Asante sana. Karibu Urban Care Clinic🎉
@user-ch2qb3mm2x
@user-ch2qb3mm2x 3 ай бұрын
Hivi asubuhi kabla hujanywa chai unaweza kunywa maji?
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 3 ай бұрын
@@user-ch2qb3mm2x maji yasiwe baridi tena mazuri zaidi ni moto kiasi hata robo ya glass
@angelakimani4239
@angelakimani4239 2 ай бұрын
Asante sana unanisaidia sana iniko Nairobi
@eliahntazi5611
@eliahntazi5611 3 ай бұрын
Kiukweli MUNGU tu ndio atakayetusaidia kwa hali hii,du Ni kwa neema tu ndio tunaweza save
@barakasamwelly9883
@barakasamwelly9883 Ай бұрын
Ongera sana kwa mafundish bora
@user-dq3op3gs2d
@user-dq3op3gs2d 25 күн бұрын
Ahsante kwa somo
@Babyzay178
@Babyzay178 3 ай бұрын
Asante SnS
@user-wp2dc3dr3w
@user-wp2dc3dr3w 3 ай бұрын
Asate san kwa ushari grace kutoka Kenya
@happykayamba438
@happykayamba438 3 ай бұрын
Asant sn kwa elimi hii weng hatukuwa tunajua hy mung awabarik muendelee kutuelimisha zaid
@SalehBakar-tx4mf
@SalehBakar-tx4mf 2 ай бұрын
asanteni kwa mafunzo
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 3 ай бұрын
Ni muhimu sana kulinda figo maana ikifeli besti hutakojoa ww!! Nakwambia utakiona cha moto!!
@harrietmuriuki5605
@harrietmuriuki5605 3 ай бұрын
thanks daktari
@NgusaMtimbi
@NgusaMtimbi 2 ай бұрын
Nawapata vizuri Sana kwa kipindi hiki kizuri
@thierrygahungu9510
@thierrygahungu9510 3 ай бұрын
Asante sana na kipindi hiki..
@dullahtechtz3422
@dullahtechtz3422 3 ай бұрын
Nimeelewa sana
@irineadisa7289
@irineadisa7289 3 ай бұрын
Thank you Dr.
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 3 ай бұрын
Karibu sana
@SafiElungu
@SafiElungu 3 ай бұрын
Ansate Mimi ninaswali kuusu ungojwa wa sukari napenda kupata mafunzo
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 2 ай бұрын
Habari, naomba utupigie simu namba za simu zipo kwenye description box hapo juu. Karibu.
@user-gb5vz6wm2q
@user-gb5vz6wm2q 3 ай бұрын
Huyu Daktari ni Mkenya🇰🇪 Hongera sana
@ramsojimmykelly3379
@ramsojimmykelly3379 3 ай бұрын
Nani kakuuliza!!
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 ай бұрын
Tanzania hatunaga hayo mambo ya sjui huyu wa nchi gani kinachoangaliwa hapo ni utaalamu wake ni kabila gani wa nchi gani haitusaidii.
@engribertinnocent7536
@engribertinnocent7536 3 ай бұрын
Ndomaana Kenya upuuzi ni mwingi, huku kwetu hakunaga ukabila, wala nini, ndomaana sisia niwakarimu, ika wenzetu Kenya na uganda ili upate msaada lazima uulizwe ww ni wawapi, ndomaan mpk leo wana Redio na Tv za lugha za makabila
@engribertinnocent7536
@engribertinnocent7536 3 ай бұрын
​@@ramsojimmykelly3379😂😂😂😂😂
@Shuu.A
@Shuu.A 3 ай бұрын
Sasa kama mkenya ili iweje kazi yenu sifa roho mbaya na ubinafisi tu ushamba tu
@isayajoseph14
@isayajoseph14 3 ай бұрын
Dah afya moja magonjwa kibao
@Siasia209
@Siasia209 3 ай бұрын
Kipindi kizuri sky shukrn sana
@user-xi9pv3wu1c
@user-xi9pv3wu1c 3 ай бұрын
Mungu tusaidie
@salimjumaa8180
@salimjumaa8180 3 ай бұрын
Hyu Doctor ana ki2 na atafika mbali sana. Kw kwl nmejifunza jambo
@machakuroger7068
@machakuroger7068 3 ай бұрын
Ni Mtaalamu wa lishe
@1961nungwi
@1961nungwi 3 ай бұрын
Ni mambo ya shule tuu. Madaktari wote Wana kitu
@asnathmugassa136
@asnathmugassa136 2 ай бұрын
Somo zuri na muhimu sana
@jacobsimkoko3096
@jacobsimkoko3096 3 ай бұрын
Thanks a lot
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 3 ай бұрын
Karibu sana
@jumaothman9449
@jumaothman9449 2 ай бұрын
Dr. Kiswahili kinapotea kwa lugha ya kigeni
@user-ur7gr9nh9b
@user-ur7gr9nh9b 3 ай бұрын
asant San mung akulipe kwakaz yako muhim kwajam
@YusufLubangula-yn6tq
@YusufLubangula-yn6tq 3 ай бұрын
Mungu atusaidie sana😍🙏
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 3 ай бұрын
AMINA
@frankvianey2438
@frankvianey2438 3 ай бұрын
Nashukuru kaka kwa elimu nzur sana
@barakakusa7606
@barakakusa7606 3 ай бұрын
Inaogopesha nikikumbuka kuna muda nilikuwa nqbeba chumvi nikienda kuchunga naimumucha😢😢😢😢😢
@masungadutta3823
@masungadutta3823 3 ай бұрын
Hii elimu ya chumvi kwa watoto wangepewa wanawake wajawazito hasa
@monicamtenga
@monicamtenga 2 ай бұрын
Iko Zanzibar.
@baderahchantal7672
@baderahchantal7672 3 ай бұрын
Aksanti sana maman🙏
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 3 ай бұрын
Karibu sana Asante kwa kusikiliza🎉
@vickyshayo7880
@vickyshayo7880 3 ай бұрын
Mungu wangu mimi natumia sana dawa za maumivu pia nina uzito mkubwa na presha nifanye je Dr jamani?
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 2 ай бұрын
Kula kwa afya ...muone dr boaz mkumbo akupe elimu ya sayansi ya chakula....mfuatilie hapa you tube ..face book hata insta ... .
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 2 ай бұрын
Habari, naomba utupigie simu namba za simu zipo kwenye description box hapo juu. Karibu.
@winniemyamba1630
@winniemyamba1630 3 ай бұрын
Mungu wangu tumekwisha
@modekaijames
@modekaijames 3 ай бұрын
Kwanini usiogope kikubwa zingatia na kama kuna fulsa ya mazoezi fanya Mungu mwema anaturida
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 3 ай бұрын
Bado Kuna matumaini
@maryklungul9705
@maryklungul9705 3 ай бұрын
ASANTE sana
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 3 ай бұрын
BAAAH NG'ONDA ANAVONOGA HIVYO..NDO NISILE MUNYU KWELI CATHERINE KWELI
@zenjigreen5491
@zenjigreen5491 3 ай бұрын
Umeelimisha Umefahamika
@bacumijuvenalniyibigira3543
@bacumijuvenalniyibigira3543 3 ай бұрын
Asante sana doctor Catherine mimi nina tatizo la kidney stones sasa ni chakula gani naweza tumia? Je kuna uwezekano wa kupata number za doctor Catherine? Asante
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 2 ай бұрын
Hello, zipo kwenye description hapo juu
@user-es1ux5ol2r
@user-es1ux5ol2r 3 ай бұрын
Watangazaji makini kama wewe mmebaki wachache sana kaka Bundala
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 2 ай бұрын
He is the best
@Salumchiwili2023
@Salumchiwili2023 3 ай бұрын
Habari kiongozi naomba kujua mimi nina urefu wa cm 178 Na uzito wangu ni kg 89 Je hiyo ni obesity au niko kawaida asante
@geofreysadok4823
@geofreysadok4823 3 ай бұрын
Hapo bila kujua umri wako hatuwezi kujua kama ni obesity au sio.
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 3 ай бұрын
@@geofreysadok4823 Inawezekana Geoffrey Asante
@aminakassim831
@aminakassim831 3 ай бұрын
Kunywa glass 8 za maj kla cku
@user-hy9hh1zg4y
@user-hy9hh1zg4y 2 ай бұрын
Uzito umezidi Kwa maelekezo ya wataalamu. Wanasema hivi,chukua urefu wako halafu toa 100,then inayobaki ndo inatakiwa uwe uzito wako ambao ni salama Kwa afya. So uzito wako inatakiwa uwe 78. Punguza hizo 11
@user-em1tb7tb8s
@user-em1tb7tb8s 3 ай бұрын
Kaka huyu doctor anavyo elezea tu ukiwa mgonjwa unapona kabisaaaa!Nimepita hospital nyingi ila doctor ni hatari sana!hii hospital iko wapi,?
@AdilAdam-mu5nk
@AdilAdam-mu5nk 3 ай бұрын
Asente
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 3 ай бұрын
Mwaura ni mkenya ee ?? ,maana naona kiswahili ni cha kusua sua
@GilbertMushi-ue5ud
@GilbertMushi-ue5ud 3 ай бұрын
Bwana ututetee sisi wanao
@user-gp9nu5td7s
@user-gp9nu5td7s 3 ай бұрын
Kama ulipo skiya swala lamaji ukanywa Kama Mimi tujuwane
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 3 ай бұрын
Asante kwa kutusikiliza
@elizabethabdon2890
@elizabethabdon2890 3 ай бұрын
Ya
@BushuraMohamedi
@BushuraMohamedi 2 ай бұрын
Doctor mi naisii ninatatizo ilo kwa jinsi ninavyo jisikia
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 2 ай бұрын
Pole sana, tupigie simu namba za simu zipo kwenye description box
@leontiarwechungura7321
@leontiarwechungura7321 3 ай бұрын
Mzugumzaji kasemema 180 za damu zinapita kwenye figo kla siku kwani mwil wa binadamu una lt ngapi za damu?
@peresianamugeta1770
@peresianamugeta1770 3 ай бұрын
Fafanunua hilo
@user-nu6ge7rg7n
@user-nu6ge7rg7n 3 ай бұрын
Asant kwa ufafanuzi mzuli ila uyo dada sura kama mtanzania ila ongea yake nimeipigia saluti anaongea kama mzungu anae jifunza kiswaili
@barakakusa7606
@barakakusa7606 3 ай бұрын
Huyu ni mkenya bila shaka
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 3 ай бұрын
hahhah😁@@barakakusa7606
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 3 ай бұрын
😃 Asante kwa kusikiliza
@mariammpenzwa8997
@mariammpenzwa8997 3 ай бұрын
We need o I'm in iij Jono b
@mariammpenzwa8997
@mariammpenzwa8997 3 ай бұрын
❤ Ra 😂ē she faced dear daa Ra Ra Ra Ra te,🤐😫❤❤ WA🤫a dock jumla
@rizikisalim6630
@rizikisalim6630 3 ай бұрын
Naomba kujua dalili za kuumwa na Figo tafadhali
@MohamedMkota
@MohamedMkota 3 ай бұрын
Mko wp
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 2 ай бұрын
Habari, tupo Nyamanzi Fumba Town Zanzibar wasiliana nasi kupitia namba zetu zilizo kwenye description box hapo juu
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 3 ай бұрын
Hili la kuchemsha mamboga ukamwaga maji si ndiyo umeondoa vitamin yote. Tutayumbishwa sana
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 2 ай бұрын
Hiyo ameelezea jinsi ya kumpigia mgonjwa wa figo sio kama una afya yako kula kawaida
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 2 ай бұрын
Habari, wasiliana nasi kwa maelekezo zaidi namba za simu zipo kwenye description box hapo juu. Karibu.
@peresianamugeta1770
@peresianamugeta1770 3 ай бұрын
Ugonjw a wa mawe kwenye unatokana na nini
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 2 ай бұрын
Habari, naomba utupigie simu namba za simu zipo kwenye description box hapo juu. Karibu.
@user-gc8vb3gv8c
@user-gc8vb3gv8c 3 ай бұрын
Asañte kwa e limu
@user-tx6pk5bg1b
@user-tx6pk5bg1b 3 ай бұрын
Naomba kuuliza kuhusu mtu ambae ameshaanza kukojoa nakuona chembechembe zadam kwenye mkojo
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 2 ай бұрын
Habari, naomba utupigie simu namba za simu zipo kwenye description box hapo juu
@rahimasalim26
@rahimasalim26 3 ай бұрын
Jamni mbona zamani watoto wakilishwa kila kitu na walikua na afya njema tu
@JohnHussein-st6rk
@JohnHussein-st6rk 3 ай бұрын
Naomb namba ya simu
@catherinemwaura6118
@catherinemwaura6118 2 ай бұрын
Habari, namba za simu zipo kwenye description box hapo juu. Karibu.
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 26 күн бұрын
Inatisha 😢
@nyakatogmailnyakatoo1238
@nyakatogmailnyakatoo1238 3 ай бұрын
Sky Asante sana kwa hii Elimu hii muhimu jamani Mungu akubariki sana wewe na huyu Doctor kwa kubali kutupa hii Elimu
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 3 ай бұрын
Hilo swali la utajuaje huyu mtu ana tatizo la Figo! Halijajibiwa kitaalamu hiyo ya mtoto kwenye diaper sivyo. Tunataka jibu la kwa mtu mzima. Umeyumba. Kadiri ya unywaji wa maji ni ndivyo hivyo utapata mkojo!!
SHAJARA | zijue sababu za ugonjwa wa figo, matibabu
32:16
Azam TV
Рет қаралды 9 М.
10 Signs Your Kidneys Are Crying For Help
11:59
HealthNormal
Рет қаралды 7 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 9 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 4,2 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
#MuhimbiliTV  Fahamu zaidi kuhusu ugonjwa wa kisukari
28:31
Muhimbili TV
Рет қаралды 7 М.
Русалка
1:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,5 МЛН
КАК ВЫЖИТЬ В АВИАКАТАСТРОФЕ✈️
0:25
MEXANIK_CHANNEL
Рет қаралды 4,5 МЛН
Оказался НЕНУЖНЫМ и Его БРОСИЛИ🐶💀
0:38
ИССЛЕДОВАТЕЛЬ
Рет қаралды 3,8 МЛН
How is it possible? 😅 #behindthescenes? #vfx
0:19
The Quinetto's
Рет қаралды 43 МЛН
Слепой парень помог раскрыть тайну 😱
0:45
Фильмы I Сериалы
Рет қаралды 1,9 МЛН