AHMED ALLY AELEZA SABABU ZA CHAMA KUONDOKA SIMBA | "DUBE NA POKOU TUMESINGIZIWA"

  Рет қаралды 136,565

Wasafi Media

Wasafi Media

4 күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 313
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 2 күн бұрын
Aondoke , Mbona Ronaldo ameondoka na Real Madrid na amebeba ubingwa wa UEFA na makombe mengine
@samwelimayunga4188
@samwelimayunga4188 2 күн бұрын
Kwahiyo simba nayo imekuwa madrid ndugu yangu
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 2 күн бұрын
Toka kitambo Okwi , Kaseja waliondoka na Simba ikapata wafalme wapya kama Kagere, Manula ikabeba makombe
@mariaphilipo
@mariaphilipo 2 күн бұрын
@@bbclondonulimwenguwasoka6126 👋👋👋
@ShamCrowAbility
@ShamCrowAbility Күн бұрын
Real madrid sio simba jizime 💣data 2
@AhmedyyMicharazo-wi4mx
@AhmedyyMicharazo-wi4mx Күн бұрын
😂😂😂 bado hamjasema
@pascalgasper403
@pascalgasper403 2 күн бұрын
Mi Simba Nampenda Huyu Msemaji tu😅😅 Mchezajj anashinda Hospital 😅
@israelmwasamboma7092
@israelmwasamboma7092 2 күн бұрын
Yote ni maisha aende awesome simba nguvu moja
@onekisstv8412
@onekisstv8412 2 күн бұрын
😂😂😂😂 ila Ahmed ally asee sio poa wewe jamaa tukupe kipindi pale Cheka tu
@albertvalentino130
@albertvalentino130 2 күн бұрын
This is the big shem to them --- yaani msimu unaanza mpaka unaisha --- msimu mwingine unakaribia kuanza viongozi hawajajua kama wanamhitaji chama msimu ujao au la! " mambo ya ajabu "
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 2 күн бұрын
Wewe hujui masuala ya mikataba usione wanatangazwa kuwa wamesaini ni Mtifuano hasa mastaa.
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 2 күн бұрын
Jawabu wanalo na pengine wamesha fanya uamuzi, ni vile wanafikiri watakavyo waingia mashabiki
@taseleli9181
@taseleli9181 2 күн бұрын
​@@noelmarapachi1808hakuna aibu Wala nini hapo hata msimu uishe na uanze hakuna Cha ajabu hapo Kwa kutojua nani anaachwa na nani anabaki.
@salumhamisi22
@salumhamisi22 2 күн бұрын
Ndo umeandika nini?
@DanielChaula
@DanielChaula 2 күн бұрын
Kama mchawi ivi
@azimioalbertongellangella8970
@azimioalbertongellangella8970 2 күн бұрын
Huyu ni comedian kabisaa😂
@KayegeleCharles
@KayegeleCharles 2 күн бұрын
Mo kwakazi hii chama yeye sio mungu
@BenardSadani
@BenardSadani 2 күн бұрын
Nakubal can Ahmed aly
@onekisstv8412
@onekisstv8412 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 Ahmed Kwanini utoe buku unatuzalilisha
@TheBastarrrd
@TheBastarrrd Күн бұрын
😂😂😂mwehu sana huyu kijana
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 2 күн бұрын
SIMBA NGYVU MOJA 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@modekaisirili5850
@modekaisirili5850 2 күн бұрын
Namba moja mjeshi apa
@user-jk1tw1fh5q
@user-jk1tw1fh5q 23 сағат бұрын
Daaah simba ishakuwa na siasa nyingi saaana nenden directly
@godfrey3926
@godfrey3926 2 күн бұрын
Simba Sports, viongozi wanafanya analysis za maana, hakuna pressure hapa, tuliyafanya haya last time and didn't work, tutawapa muda. Simba, nguvu moja
@abdulsaha0095
@abdulsaha0095 2 күн бұрын
Hapo kwa Messi katupiga, Barcelona hawakumtoa Messi kwaajili Kiwango Chake.
@AbshirMubaarack
@AbshirMubaarack 2 күн бұрын
Yan dah ahmed bonge 1 la comedian
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp Күн бұрын
Chama Bado ana umuhimu sana kwenye timu yetu
@stevenkonalla-cm2rq
@stevenkonalla-cm2rq 2 күн бұрын
Kwa maelezo haya hauhitaji hata D moja kujua kuwa chama kashaondoka
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 күн бұрын
ULIMUONA TIMU INGINE BASI KESHAONDOKA HUYO 😂😂😂😂
@magobocrissvance1187
@magobocrissvance1187 2 күн бұрын
Ha ha haaaaa
@GeorgeMarcky-og6os
@GeorgeMarcky-og6os 15 сағат бұрын
Taarifa hiyo ni maandalizi na ishara tosha ya THANK YOU ya chama mwamba wa Lusaka naamin wanasimba tutamkumbuka Kwa mengi ila ukweli ni kuwa hivyo ndivyo mpira ulivyo
@MAGEMEYOHANA
@MAGEMEYOHANA 2 күн бұрын
Kaka Leo umeongea point
@chillogeorge1383
@chillogeorge1383 Күн бұрын
Ipi?
@CrissyMgaya-ti1np
@CrissyMgaya-ti1np 2 күн бұрын
Chama aende tu bwanaa yeye nan
@jamesjames2368
@jamesjames2368 2 күн бұрын
Hongera semaji la CAF. Utopolo na Mamluki wake wanaweweseka
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 2 күн бұрын
SIMBA WANAANDALIWA KUPOKEA TAARIFA😂😂😂
@user-cs2mo8eb6n
@user-cs2mo8eb6n 2 күн бұрын
Umeongea leo sana vizuri amedi Alil
@alexmbonde8154
@alexmbonde8154 Күн бұрын
Jamaa anajua maana ya SWOT Analys alfu mess kaondoka bac kwasababu za kimshahara na siyo kama bac awamtak
@GeofreySamson-f2y
@GeofreySamson-f2y 2 күн бұрын
Aende tu. Mbona hapo mwishoni mwa musimu, Simba imecheza bila Chama na tukashinda mechi nyingi tuuu. Na kuna mechi tumecheza na Chama akiwemo na tukafungwa vlevle. Chama sasa aende tu
@furika7931
@furika7931 Күн бұрын
Kama shabiki wa simba napongeza uongozi kwa uamuzi huu wa kuachana na chama. Ni mchezaji mzuri lkn ukilinganisha faida na hasara ya kuendelea na Chama binafsi naona Faid ni kubwa zaidi
@user-iq4rv8dq5r
@user-iq4rv8dq5r 2 күн бұрын
Chama abaki kwa uwezo mkubwa alionao na makubwa aliyoyafanya Simba na kuwaziba mdomo kwa kumfuatilia mara kwa mara na itakuwa kiki ya kujichafua Simba.
@NorbethJosphath-hm1zb
@NorbethJosphath-hm1zb 21 сағат бұрын
Acha woga
@user-lj2vp6ec1p
@user-lj2vp6ec1p 15 сағат бұрын
Si wa mwongezee mkataba Chama wampe pesa tu
@user-vw2ux5sh4x
@user-vw2ux5sh4x 2 күн бұрын
Chama abaki simba fundi sana
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 2 күн бұрын
Upo sahihi sana semaji letu la Caf wasitutishe
@rehemaabdalah1863
@rehemaabdalah1863 Күн бұрын
Binafsi chama aende tubaki na tim yetu
@alicenice1711
@alicenice1711 2 күн бұрын
Huyu nae ameshaanza comedy zake kabla ya league😂😂
@VeronicaAdam-lx8yd
@VeronicaAdam-lx8yd 2 күн бұрын
Unatak nn?😂😂😂😂
@OmarDaud-sf1kn
@OmarDaud-sf1kn 2 күн бұрын
Nitashangaa sana kama mtamuacha chama ili abaki onana babakarsa fred maiko jobe itakuwa mnatutesa sana
@linnusaloyce6559
@linnusaloyce6559 Күн бұрын
Simba nguvu moya papaa wangu atuwazi vya jirani tunawaza familia yetu ukitaka kuishi vizuri usiangalie jungu la jirani yko likoje simamia lako huenda likawa nono kuliko lake ndg zangu
@LetasKomba-br1xh
@LetasKomba-br1xh Күн бұрын
Kunamwaka Rial Madrid ilikua na mastaa wote wa Dunia lakin chaajabu hawakuchukua ubingwa wowote, kuwa na mastaa co kuwa na Tim bora
@user-ts2lz6zr7f
@user-ts2lz6zr7f 2 күн бұрын
Plz chama achaguwe wapi anataka acheze asilazimishwe achaguwe anakotaka
@jumannechibaladya6223
@jumannechibaladya6223 2 күн бұрын
Acha maneno mzeee...unajidhalilisha tu...ukweli would unaujuwa..chama ndio ameamuwa kuondoka sio viongozi....
@onekisstv8412
@onekisstv8412 2 күн бұрын
Ila Ahmed ally 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 aya bhana wewe jamaa comedian sana
@user-tn5zr5lu4r
@user-tn5zr5lu4r 2 күн бұрын
Huyu ayhavurugwa na chama
@user-rz4mi8og1w
@user-rz4mi8og1w 16 сағат бұрын
Wazunguluka Eeeee ukweli nikwamba chama amegoma kuongeza mkataba
@user-xp5jo5id7e
@user-xp5jo5id7e 12 сағат бұрын
Ww acha ujinga mesi aliomba kuondok baada ya kuona barcelona imedhorot kiuchumi mess kiwango chake hakijawahi kushuka abadan ..
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Күн бұрын
Wachezaji wazuri huwa wanakuwa mabingwa wa nchi usiwadanganye umma dogo klabu imefeli na italendelea kufeli hata msimu juu
@omarymtotela3751
@omarymtotela3751 2 күн бұрын
Mbumbumbu fc
@user-uu8pb6qi3n
@user-uu8pb6qi3n 2 күн бұрын
Chama akienda yanga na mm uko uko..
@abedysteven4930
@abedysteven4930 2 күн бұрын
Karibu xana haha 😂😂😂
@dominicmasele750
@dominicmasele750 2 күн бұрын
😂😂😂😂karibu sanaaaa
@andrew-mv4pc
@andrew-mv4pc 2 күн бұрын
Wee naye unajitoa ufaham ...wakati kabla ya kukutana na Yanga ulikubali kuwa Yanga wana timu nzuri kuliko Simba ...na leo hii unasema eti msimu uliopita mlikuwa na mnatimu nzuri kuliko zote za ligi.....!!!!!
@DeusMadalali
@DeusMadalali 2 күн бұрын
Hujaelewa amesema Simba ili kua na wachezaji wazuri sio timu
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 2 күн бұрын
Sasa chama kwaheri Simba
@NemesMasawe
@NemesMasawe 2 күн бұрын
Ahmed bwanaaaa ni shidaaa
@wazinzatv3152
@wazinzatv3152 Күн бұрын
Jamaa mbona anapigo za kishoga sana anabinya midomo kama demu aiseee
@japhetmahega3871
@japhetmahega3871 Күн бұрын
Mmechemka nyie chama unampa thank you huku unachka asieee
@JohnAthanas-uu5op
@JohnAthanas-uu5op Күн бұрын
Kwa maneno hayo semaji tunaomba viongozi wafanye usajili wa kweli tupate kina chama wengine maana unadhilisha chama hatobaki simba
@BahathMmassa
@BahathMmassa 2 күн бұрын
Hayo maneno unayo yaongea hao unao waambia wanakusikia na wanakuelewa sana na wanakuona
@maulidubaya1642
@maulidubaya1642 2 күн бұрын
Chama kwaheri aisee kwa style ih
@Tchidymbanga
@Tchidymbanga 2 күн бұрын
Hizi ni akili za DOUBLE KICK 🎉🎉🎉
@Mpforsmart
@Mpforsmart Күн бұрын
Semaji langu rinanifuraisha sana
@atotube1883
@atotube1883 Күн бұрын
Shida nikwamba messi kaondoka kaenda marecan lakini chama akiondoka anaenda yanga hauoni ni uzuni huo... akitoka anabidi haondoke kabisa tanzania
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 2 күн бұрын
Tathmini ya mchezaji anafanya KOCHA au kiingozi...?..🤣🤣🤣
@user-uu8pb6qi3n
@user-uu8pb6qi3n 2 күн бұрын
Messi ameondk Barca unaonaje Hal ya Barcelona
@komboarts7110
@komboarts7110 2 күн бұрын
Chama hayupo iko Wazi shikeni moyo ndugu zangu wanasimba wenzangu
@donaldbenedict5761
@donaldbenedict5761 Күн бұрын
Huyu jamaa kweli mambumbumbu
@wildlife5730
@wildlife5730 2 күн бұрын
Acha uongo mess ameondoka kutokana na maswala ya kifedha sio kiwango kimeshuka
@aliomari5254
@aliomari5254 2 күн бұрын
Msemaji mashallaa anaetaka aamin maneno yake asietaka tunaomba msimtole mbovu msemaj wetu mtaumia
@AdamChuma-vb6ef
@AdamChuma-vb6ef Күн бұрын
Kwao chama aondoke kibu abakie????😂😂😂
@kolosii4351
@kolosii4351 2 күн бұрын
Ahamed Ally leo umeongea point sana.
@khamisally5788
@khamisally5788 2 күн бұрын
Mambo yashaharibika hapo anacheza na akili zenu isje mkaandamana
@Faustine_Charles
@Faustine_Charles 2 күн бұрын
Simba wanaweza kupata hasara gani kuwa na Chama??? aisee this is a shame.
@flova7022
@flova7022 2 күн бұрын
Muwee mnasikiliza hahd mwisho
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 күн бұрын
​@@flova7022KWELI
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 2 күн бұрын
kisoda 😂
@prosperswai490
@prosperswai490 2 күн бұрын
chama bado yupo simba aminini hili
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps 2 күн бұрын
Kwa msimu huu hakuwa mwamba ila katufelisha
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 Күн бұрын
SIMBA tumepata semaji lenye akili sana💪💪💪😅😅😅#SIMBA nguvu moja
@ChrisElectrical-ck4mc
@ChrisElectrical-ck4mc 2 күн бұрын
Leo anaongea point
@sosomacharles9920
@sosomacharles9920 2 күн бұрын
Ila Dube kila mechi alikuwa ananyoa🤣🤣🤣🤣
@philbertmwaipungu2522
@philbertmwaipungu2522 Күн бұрын
Hivi timu inaundwa na viongozi au kocha
@user-jm7qj6kx8c
@user-jm7qj6kx8c 2 күн бұрын
Je ww na viongozi wako mmejitathmini kuwa mnafaa kuendelea na simba msimu ujao ?
@user-vg2uc3hw1v
@user-vg2uc3hw1v 2 күн бұрын
Tunamtaka chama hayo mengine unayajua wewe
@user-ys4zk3hx4f
@user-ys4zk3hx4f 2 күн бұрын
𝘾𝙝𝙖𝙢𝙖 𝙖𝙠𝙞𝙚𝙣𝙙𝙖 𝙮𝙖𝙣𝙜𝙖 𝙣𝙖 𝙢𝙢 𝙣𝙖𝙚𝙣𝙙𝙖 𝙝𝙪𝙠𝙤𝙝𝙪𝙠𝙤 𝙠𝙖𝙢𝙖 𝙧𝙤𝙣𝙖𝙡𝙙𝙤 𝙣𝙞𝙣𝙖𝙫𝙤 𝙢𝙛𝙖𝙩𝙖
@Hassan-ot1mc
@Hassan-ot1mc 2 күн бұрын
Kwahiyo Mzamiru anafaida kumzidi Chama
@JamesNzunda-x1g
@JamesNzunda-x1g 2 күн бұрын
Maskin makolo wanatia huruma ona wanavojitetea chama kawagomea hahahha😅😅😅
@froladaudi3217
@froladaudi3217 2 күн бұрын
Mkundu utakuwa unakuwasha kakunwe
@taseleli9181
@taseleli9181 2 күн бұрын
Kama alivyowagomea Utopoloooo!!! 😂😂😂😂
@NemesMasawe
@NemesMasawe 2 күн бұрын
Jesh la mtuu mmojaaa
@GeofreySamson-f2y
@GeofreySamson-f2y 2 күн бұрын
Aende tu. Mbona hapo mwishoni mwa musimu, Simba imecheza bila Chama na tukashinda mechi nyingi tuuu. Na kuna mechi tumecheza na Chama akiwemo na tukafungwa vlevle. Chama sasa aende tu !!!!
@user-it7np6zz9f
@user-it7np6zz9f 2 күн бұрын
Nimekuelewa sana semaji
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v 2 күн бұрын
DUBE ANASHINDA HOSPITALI KILA MECHI ANAWAFUNGA SIMBA,ITAKUWAJE AKISHINDA AVIC TOWN'?
@magobocrissvance1187
@magobocrissvance1187 2 күн бұрын
Atawauwa
@Benedictohanscansumuni
@Benedictohanscansumuni Күн бұрын
Hapo umeongea point leo
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn 2 күн бұрын
kiuhalisia inaonekana chama ndo kaikataa simba,,ila sio kwamba simba hawamtaki,,
@user-gd5fc6vk9f
@user-gd5fc6vk9f Күн бұрын
Uyu ahmedy ally ananikera mm anakicheko fulan hv Cha unafki sikipend Kama nn😂😂
@risekidy7660
@risekidy7660 9 сағат бұрын
Hapa hakuitaji hata D moja. Chama ni green and yellow😂😂
@user-rz4mi8og1w
@user-rz4mi8og1w 16 сағат бұрын
Sasa kama anashinda ospital ilikuaje mlikua mnamtaka
@mymussept3662
@mymussept3662 2 күн бұрын
Umenichekesha kwenye hilo buku lenyew daaa h
@jumbeojaso5767
@jumbeojaso5767 2 күн бұрын
Ahmed amechanganyikiwa, kwani chama amemaliza mkataba na kuanzia keshokutwa ni mchezaji huru,. Inasemaje viongozi wa simba ndiyo wana mustakbali wa Chama? SHAME on you Ahmed
@robertzamani5612
@robertzamani5612 2 күн бұрын
Ally Kamwe aliongea mapema sana kuhusu Chama mkaanza kuongea nae kumuongezea mkataba,Chama amewatolea nje Simba
@user-jn3nf7uw1w
@user-jn3nf7uw1w Күн бұрын
Nlopokaji anajua sambusa ni sawa na chapati??!!
@chillogeorge1383
@chillogeorge1383 Күн бұрын
Siasa, siasa, siasa. Yaani hivi ndivyo mambumbumbu wao wanavyopenda. Tantalila kibaaao, msimu umeisha na unakaribia kuanza badala ya kuonyesha wamejiandaa vp kuziba pengo wao wanaendelea kuwapa piriton. Yaani Chama muda wote akae anasubiri maamuzi ya akina mangungu??? Vitendo vya Chama kwa viongozi wake vilionyesha wazi amechoka kuendelea na simba
@amanmohamed220
@amanmohamed220 2 күн бұрын
waulize Baca wanahaligan sasaiv?
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 күн бұрын
NIPE NAMBA YAO NTAWAULIZA 😂😂😂
@user-mg1yl2rl8s
@user-mg1yl2rl8s 2 күн бұрын
Kama mnasajiri kina Mutale ni wazi jahazi linazidi kudidimia na ni wazi sasa timu imekosa mvuto kwa wachezaji wa maana na wakubwa. Chama hawezi kucheza timu isiyo na dira wala uelekeo wa kufanya vizuri
@LuckyTemu
@LuckyTemu 2 күн бұрын
YANGA SAIV ANCHEZA NA AIKLI YA MAI WAKE 2 😂😂😂 KDOGO 2 MMEJAA APO BADO
@josephgalandu128
@josephgalandu128 Күн бұрын
Hahaaaaaaaa waota ndoto za mchana baaadoooo ,sasa Chama mbaya😅
@AliAliahmada-ht4ri
@AliAliahmada-ht4ri Күн бұрын
Kama mlipoteza muda mwingi kuzungumza nae ili aongeze muda, na tajiri akasema kuwa bado wanamuhitaji Chama, leo hii unawezaje kusema kuwa Chama hawezi kuisaidia Simba, kweli wapenzi wa Simba ni mbumbumbu wanadanganywa kama watoto😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
@theophilyedward2448
@theophilyedward2448 Күн бұрын
Maelekezo yanajitosheleza hyo kashatembea jangwani
@MgutuMwamba
@MgutuMwamba Күн бұрын
Aondoke mzee inatosha alipo 2sahidia
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn 2 күн бұрын
kwa jinsi anavyoongea huyu kweli chama anaenda yanga
@juliusmvungi5087
@juliusmvungi5087 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 Ahmed
@adamiddymbali402
@adamiddymbali402 Күн бұрын
Ally mpumbavu 😂😂😂😂 eti ndo uwezo wangu😂😂😂😂
@hssanrubota3891
@hssanrubota3891 Күн бұрын
Mnatusumbua kila siku chama chama ni nani ww na wengine ni wazi wa mb zetu hamujielewi mnasjil cocha hakuna wachezaji wanachukuliwa mikononi mwenu hamutak wazajwazur kama akina Pukuu ili mlete akina Sawa dogo ili mpige hela tumechoka na mashaili yako ya kipuuz
@ShafiiHamisi-t6z
@ShafiiHamisi-t6z 9 сағат бұрын
Kam anaondoka aondoke 2
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 9 МЛН
Василиса наняла личного массажиста 😂 #shorts
00:22
Денис Кукояка
Рет қаралды 9 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
ЖЕНЩИНУ ПОСТАВИЛИ НА ВОРОТА☠️❗️
0:20
Профессор ПельменАрти💀
Рет қаралды 631 М.
O'ZBEKGA SAKRASHNI OQIBATI
1:00
OCTAGON UZB
Рет қаралды 2,8 МЛН
ПРОДУМАЛ ТАКТИКУ
0:16
В ТРЕНДЕ
Рет қаралды 12 МЛН
Leglock in MMA 🤪 #shorts
0:17
Riccardo Ammendolia
Рет қаралды 1,3 МЛН
Это самый УМНЫЙ вратарь в МИРЕ #shorts
0:29
Mike Tyson vs James Smith
1:01
Music Workflow Academy
Рет қаралды 5 МЛН